UCHUMBA HADI NDOA EPISODE 5 MWL.RABISTER ELIASAPH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa Mwalimu.
    Maoni yangu kwa vijana;
    Kabla ya ndoa katika kipindi cha uchumba tuache kuongozwa na upofu wa mapenzi ya ujanani. Kwani taa ya tahadhari huwaka mapema kukuonesha mtu wako hana utii, heshima na upendo wa kweli, ila mtu hajali hayo hata roho wa Mungu akimuonya huziba macho na masikio.
    Ukiishaingia kwenye ndoa utaishi kwa majuto tu.
    Kikubwa kabla ya maamuzi yetu binafsi tuitafute hekima na maarifa ya ki-Mungu na tutii.
    Endelea kubarikiwa mtumishi 🎉🎉