IBADA_YAKUSIFU_NA_KUABUDU_RABISTER_ELIASAPH_MATTAYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Watu wengi huenda kwenye matamasha yakusifu na kuabudu ili kuona sale na namna ya watu wanvyo cheza.Wanachosahau nikwamba Nguvu za MUNGU hukaa katika sifa Endapo Uta Andaa roho yako na ukawa na imani hakika huto toka kama ulivo kuja kama ulikuja na magonjwa itakua ndio mwisho wa magonjwa yako.Pia katika sifa watu hupokea karama na vipawa tofauti tofauti.
    Pentecostal Motomoto Church inakukaribisha kushiriki Ibada zetu kanisa lipo
    DAR ES SALAAM WILAYA YA KINONDONI KATA YA BOKO MTAA WA BOKO CHAMA.Mawasiliano +255655501202 Asante kwakuwa mwana familia wa Motomoto Tv Mungu akubariki sana
  • บันเทิง

ความคิดเห็น •