MWAMPOSA ATOA NENO KWA MARA YA KWANZA BAADA YA VIFO VYA WATU 20 MOSHI | WALIOKANYAGA MAFUTA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kutokea kwa viifo vya watu 20 waliokanganya mafuta kwenye ibaada yake Moshi.

ความคิดเห็น • 918

  • @elisantemsuya1399
    @elisantemsuya1399 4 ปีที่แล้ว +11

    Mungu ni Neema na Rehema, Mungu akuinue zaidi mt mwamposa

    • @shukhuranpetro5796
      @shukhuranpetro5796 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna uponyaji kwenye mafuta someni maandiko

  • @merysamwel3100
    @merysamwel3100 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu azidi kukuinua MTUME NA NABII WA MUNGU. Usijali maneno yao. Mungu yupo pamoja na wewe. We love you dady

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 4 ปีที่แล้ว +15

    Jim uko vizuri sana mungu akubatiki na nakutakia Sunday njema

  • @davidwatson4294
    @davidwatson4294 2 หลายเดือนก่อน

    Mwamposa number one Mungu amlinde mtume wetu Aleruhja Aleruhja Aleruhja 🙏🏽

  • @justinejulius3544
    @justinejulius3544 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwamposa ni mstarabu sana. .Jamaa wala hafanyi act nimeshawai kukutana nae sura kwa sura. . Anabusara sana. Mungu anasimamia. . Na wafiwa mungu awape nguvu

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 4 ปีที่แล้ว

      Duu wee na yeye ni mashetani ya kihindi

    • @justinejulius3544
      @justinejulius3544 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo unahukumu bila kujua uwezo wa Mungu. ... Mungu anajua yupi yupo sahihi. .. Sisi ni wanadam tutarudi udongoni wala hatutakiwi kuukumu

    • @simonmtuka8473
      @simonmtuka8473 4 ปีที่แล้ว +1

      @@justinejulius3544 kaka siyo kosa lao ni kosa la wale wanaopandikiza mbegu za chuki ktk mioyo yao badala ya upendo

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana, Mungu ni Mtenda Miujiza,.... Nilisema kama ni Mungu huyu Atakuokoa ila Kama sio yeye unayemtumikia usingekuwa huru kwa Dhamana, Mungu awe pamoja nawe Siku zote.

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 4 ปีที่แล้ว +6

    Mbona hukuwafufua hao uliowauwa moshi..wew baba wew mwogope mungu kuna kufa...

    • @allyfaniture404
      @allyfaniture404 4 ปีที่แล้ว +2

      TUNAKUOMBA WW S UNAWEZO WA KUWAFUFUA WAFUUE BAS PUMBAV KABISA WW NILOGE BAS NA MM FALA WW

    • @praisekavy
      @praisekavy 4 ปีที่แล้ว

      Sio kila mtu ana karama hiyo, kama hujui biblia kaa kimya

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 4 ปีที่แล้ว

      Hata Bwana Yesu alidhihakiwa kwa kuambiawa km wewe ni mwana wa Mungu jiokoe

    • @moreenmichael7482
      @moreenmichael7482 4 ปีที่แล้ว

      Nyoooo

  • @shukujaibu7143
    @shukujaibu7143 ปีที่แล้ว

    Kila bays na zuri in kutoka kwake Mungu. Tuseme alihamdulillah jina LA Bwana lihimidiwe. Pole bonifas mtumishi Wa Mungu pole wafiwa wore Mungu awatie nguvu

  • @engineertarimo7345
    @engineertarimo7345 4 ปีที่แล้ว +8

    Mtangazaji yuko smart sana kwenye kuuliza na kuhoji

  • @winifridasylivestermachila9490
    @winifridasylivestermachila9490 4 ปีที่แล้ว

    Ameni Mwamposa hata Yesu alifanya mengi mazuri lakin bado majaribu yaliibuka na hata kuuwawa kama ilivyo kawaida uongo na ukweli Ni vitu ambavyo havishabiiani kwa hiyo Kwakuwa Mungu hana chakufananishwa nacho wala wakufanana nae basi Ukweli utabainika na usisahau kuwa Kuna maadui wasiofurahia kabisa hata uwepo wako Ila Mungu akutie nguvu katika hili Mungu ajidhirishe pia katika hili inauma kwa ndugu waliopoteza ndugu zao Ila Mungu awatie nguvu katika Dunia kunaimani nyingi sana na kila mwanadamu ana Imani yake ambayo ana Amini Ni msaada kwenye maisha yao kwahiyo tusihukumiane kwa Ajili ya imani ya mtu Mwingine prngine wewe ukajiona Bora lakini kwake Mwenyezi Mungu so bora Tumuombe Mungu atujaalie Mwisho ulio Mwema na Tukaijue kweli na Kuifuta kweli hiyo 🙏

  • @godlivingjacobissangya8530
    @godlivingjacobissangya8530 4 ปีที่แล้ว +5

    Ukweli anajua Mungu moyo wa mwanadamu ni kichaka aonae ni Mungu tu

  • @alicexavery1147
    @alicexavery1147 4 ปีที่แล้ว

    Piga injili baba...injili lazima isonge mbele...majaribu ni mtaji..siyo lazima Kila mtu akuelewe...hata Yesu hakueleweka kwa Kila mtu Na hakulazimisha mtu kumwamini Na kumfata....Roho za marehemu zipumzike kwa amani...Wafiwa roho mtakatifu awape faraja yake... Amina

  • @fraycokahise7932
    @fraycokahise7932 4 ปีที่แล้ว +21

    Mengi yatazungumzwa ila ukweli hautakuja kueleweka kwamba ni mafuta ya kweli au la,la msingi ni watu kumwamini Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yao na kuishi maisha ya utakatifu tu ndio dawa pekee.
    Mtu mwenye uwezo wa kujua imani ya uongo ni ipi ni yule ambae ana ukaribu wa hali ya juu sana na Mungu katika Kristo Yesu.
    Wengi wanaotoa hukumu katika hili hata wao maisha yao ni machafu kwa hiyo hawawezi kutoa tafsiri sahihi.
    Dunia inapita pamoja na mambo yake,la msingi ni kuikwepa dhambi kwa nguvu zote na kumchukia Shetani na kazi zake kwa nguvu zote,tofauti na hapo ukweli hautajulikana na Mungu atanyamaza kimya maana wote ni wachafu hakuna wa kumkosoa mwenzake tunaishia kutapatapa tu.
    Nichukue nafasi hii kuwapa pole wafiwa,wanapitia vipindi vigumu tusivyovijua.Wapo ambao huenda wanefariki wakiwa wamemwamini KRISTO na huenda wamerudi kwake.
    Tusitukane wala kubishana,dawa ya kuushinda ubaya ni kwa kutenda mema,ukitaka kuujua uongo ni lazima uujue ukweli kwanza, na ukitaka kumkosoa mkosaji jitakase wewe na uwe na ushuhuda mwema moyoni mwako kwanza.
    MUNGU AWABARIKI.

    • @simonmtuka8473
      @simonmtuka8473 4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 4 ปีที่แล้ว

      Kweli tupu

    • @salumhemed2437
      @salumhemed2437 4 ปีที่แล้ว

      Apo umeenena

    • @jofreysanga9520
      @jofreysanga9520 4 ปีที่แล้ว

      Umeongea kitu sawa kabisa. Ubarikiwe sana

    • @jenngenes2364
      @jenngenes2364 4 ปีที่แล้ว

      Tuamini mafuta au tumwamini yesu nakama tuna mwamini yesu mafuta yana faida gani katika ibada kumekuwa na ukristo maigizo sana na ndio unatumaliza sisi wakristo

  • @reyjohnson624
    @reyjohnson624 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU msaidie Baba Yetu aendelee kuombea watu kwa Iman iliyo yakwer nawatu wazidi kumwamin MUNGU AMINA

    • @alvaamisse7510
      @alvaamisse7510 ปีที่แล้ว

      Hakuna hioo ata kamana mtamlilia mara ngapi Mungu hawezi saidia mtu wa shetani kama alivyo mwamposa wenu

  • @helencharles2363
    @helencharles2363 4 ปีที่แล้ว +17

    Nakuombea sana uishi miaka miamoja kaka Yangu mwamposa umenionyesha njia yakupita ili nisimchukize mungu wangu ubarikiwe sana

    • @shukhuranpetro5796
      @shukhuranpetro5796 3 ปีที่แล้ว +1

      Herena soma maandiko utaujua ukweli,hakuna mungu kwenye mafuta,chumvi,kitambaa,sabuni nk

    • @alvaamisse7510
      @alvaamisse7510 ปีที่แล้ว

      Ni nabii wa wongo anaongozwa na freemason

    • @stanleyguthia7771
      @stanleyguthia7771 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@alvaamisse7510 Jesus Kristo ni bwana na mwokozi wa dunia

    • @stanleyguthia7771
      @stanleyguthia7771 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@shukhuranpetro5796
      Yesu Kristo anaweza yote

  • @GetrudaRomanus-nt3em
    @GetrudaRomanus-nt3em 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba ukaangalie biashara yangu mungu naomba ukaniongezee wateja pia Hela ikawe na mafanikio kwangu

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 4 ปีที่แล้ว +8

    Nyota izidi kungaa kwa kafara yako mzee uko vzr Siri ya maisha yako naijua mwenyewe mzee cwz kukuhukum mm Bali ni Mung pekee

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 4 ปีที่แล้ว

      Ote mko chama kimoja kumbe

    • @neyjoseph813
      @neyjoseph813 4 ปีที่แล้ว

      Umuhukumu mara ngap hapo tayari ushamuhukumu na pia hongera kwa kushirikiana nae kwa maana hakuna hajuwae mchawi kama na yeye siyo mchawi

    • @neemamsanga253
      @neemamsanga253 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Azidi kuwa pamoja nawe achana na wanaokutukana Mungu atawabananisha kisawasawa, na watakuja kukuomba msamaha na Watafunguliwa, Na nguvu ya Mungu itendayo miujiza, waache wengine watapigwa na Ukoma hivi hivi wanajiona na lengo ni kufunzwa,.. Maandiko yanasema Usiwaguse wapakwa mafuta wa Bwana, sasa wewe endelea utakiona unachokitafuta. Mimi sio muumini wa dhehebu la Mwamposa ila ninaheshimu Mafuta aliyopakwa, nina amini Huduma zote Tano za Mitume na Manabii, Wainjilisti Wachungaji na walimu. 🔥 🙏 🔥

    • @boniphacemvungi9317
      @boniphacemvungi9317 2 ปีที่แล้ว

      Pole

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      wewe unafikiri mungu Ni wa kijinga kijinga tu anatumia Kira fara tafuta roho mtakatifu acha ushabiki maana Kira mmoja atasimama mbere za mungu kutoa hesabu

  • @enockchaula6292
    @enockchaula6292 4 ปีที่แล้ว +3

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, maarifa ni neno la mungu yesu alisema hao manabii wa uongo mtawatambua kwa matunda yao mti mzuri huzaa tunda zuri mti mbaya huzaa tunda baya matunda ni matokeo ya kazi zao ,,uliskia wapi watu walikufa katika huduma ya mtumishi wa kweli wa mungu,,, watakufa sana maana walipuuzia neno

    • @tiagomilanzi3290
      @tiagomilanzi3290 2 ปีที่แล้ว

      MKUTANO WA Yesu watu wanakufa vp Kwa KUKANYAGANA? Hio damu iliomwagika hapo inaenda wp?

  • @MwanaidMshana-r9s
    @MwanaidMshana-r9s 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupend sana mtumishi wa mungu mwamposa

  • @amrimalumbo1712
    @amrimalumbo1712 4 ปีที่แล้ว +18

    Mungu ndo wa kuabudiwa ty sio Binadam mwenzako

  • @JacklineKoko-em9xb
    @JacklineKoko-em9xb 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema akutie nguvu na akupe miaka mingi yenye baraka🙏🙏🙏🙏🙏

  • @stuartkamba1598
    @stuartkamba1598 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubarki mwamposa uko saw tuko pamoja bro

  • @kitasyajohn6033
    @kitasyajohn6033 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina sanaaaa shujaaaa mkuki wa sauli hautakupata kwa jina la yesu simama ewe shujaaaa

    • @FrankM384
      @FrankM384 4 ปีที่แล้ว

      Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa sio kosa lenu kosa ni kukosa maarifa na kuto kuijua biblia vizuri

    • @shukhuranpetro5796
      @shukhuranpetro5796 3 ปีที่แล้ว

      Sikumoja mtajua mafuta nnn

  • @jumamlanzi8200
    @jumamlanzi8200 4 ปีที่แล้ว +9

    anapigiwa adi salute

  • @lidyabukhay1624
    @lidyabukhay1624 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie kuelewa kabisaa hapa ni upofu wa macho na fikraa na ndio maaana tunazidi kuangamia

  • @georgebushmissg2830
    @georgebushmissg2830 4 ปีที่แล้ว +3

    Utaulizwa juu ya vifo hivyo ,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa mafuta ni mafuta ila Mungu ni Mungu

  • @jenalamwanjala6729
    @jenalamwanjala6729 4 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi mungu akutie nguvu kwa hili unalopitia

  • @lameckysulumbi4727
    @lameckysulumbi4727 4 ปีที่แล้ว +13

    Kati ya watu walio kanyaga mafuta wakapona ni mimi mmoja wapo barikiwa sana mwamposa

    • @paulinamwenisongole8804
      @paulinamwenisongole8804 4 ปีที่แล้ว +1

      Waooo nice

    • @siwemamitingimahenge5270
      @siwemamitingimahenge5270 4 ปีที่แล้ว +2

      Damu yako hawakuitaka freemason, hakuna ukweli wowote wa kukanyaga Mafuta katika biblia, masikini mnaangamia kwa kukosa maarifa kasome hayo maandiko

    • @lameckysulumbi4727
      @lameckysulumbi4727 4 ปีที่แล้ว +1

      Siwema mitingi Mahenge
      Uwezi kuamini lakini nimepona ugonjwa niliokuanao baada ya kukanyaga mafuta majira ya sa12.30

    • @jacksontulito38
      @jacksontulito38 4 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana kak kwahiyo umepona kabis?

    • @jacksontulito38
      @jacksontulito38 4 ปีที่แล้ว +1

      Gharam yake ni nin?

  • @NeemaMinga-pl8ty
    @NeemaMinga-pl8ty ปีที่แล้ว

    Pole mtume, ninavyokupenda nakuombea afya na uzima baba.

  • @deuslwanga1426
    @deuslwanga1426 4 ปีที่แล้ว +12

    YESU alisema mtaweka mikono juu ya wagonjwa nao watapata Afya, yametoka wapi ya kukanyagishana mafuta? Waurimwengu mwogopeni MUNGU

  • @faineschisunga7421
    @faineschisunga7421 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinuwa mtumishi

  • @tarsilakimaro7006
    @tarsilakimaro7006 4 ปีที่แล้ว +13

    Imani ndio inaponya sio mafuta

    • @dainesmateru2121
      @dainesmateru2121 ปีที่แล้ว

      Mungu akufanyie wepesi kwenye kila jambo na wanaokusema vibaya mungu hatawashuurikia.

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      razima Kira mjiga awe na mavipofu nyuma yake yamo tu yanayo sapoti ujinga wa mganga wa kienyeji mwamposa hayanaga roho mtakatifu matomaso yasiyo amini mpaga yesu atarudi haya amini tu

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijamuelewa niliondoka kabla shida haijatokea kukimbilia kokangamano lingine..mara nilienda ili kule nako kusije kutokea shida nyingine. Mungu atafunua watu wake macho
    Watu wangu wanaaangamia kwa kukosa maarifa

  • @sebastianhaward2617
    @sebastianhaward2617 4 ปีที่แล้ว +51

    kama umemuelewa Jamaa anajua Jim's ya kuuliza maswali

  • @mariamhamisi7519
    @mariamhamisi7519 4 ปีที่แล้ว

    Arise and shine👍❤❤❤❤❤❤❤sana !Bro Mwamposa endelea kutangaza injili , kila jaribu lina mlango wakutokea ndomana Mungu amekupa jaribu hili!! Hakuna wakukubadili kamwe ❤

  • @jumamwengwa4682
    @jumamwengwa4682 4 ปีที่แล้ว +7

    Hv kiongoz wa kiroho anapigiwa saruti😇

  • @annamakomele339
    @annamakomele339 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema sanaa na akubarikii mwamposa

  • @ibrahimujumanne5555
    @ibrahimujumanne5555 4 ปีที่แล้ว +17

    Mafuta ya upako anatoa wapi,? Mbona yesu hajayatumia

    • @gracedaffa1606
      @gracedaffa1606 4 ปีที่แล้ว

      Kwan ww kilakitu alichofanya yesu ndo unatakaafanye asa atakuwa mtume au yesu kaka mkubwa a have a strong mind

    • @allyhassan537
      @allyhassan537 4 ปีที่แล้ว +1

      Dah kweli pesa kuipata akili za. watu ukizitia imani unatoboa

    • @bonifacejuma8248
      @bonifacejuma8248 4 ปีที่แล้ว

      Acha🍁🍁🍁

  • @charlesedson5538
    @charlesedson5538 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde mtumishi, Ahsanye Yesu Christo kwa kutupenda

    • @lunyabamapesa5575
      @lunyabamapesa5575 4 ปีที่แล้ว

      Ataendelea Kuwaua Hao Ndo Manabii Wa Uongo Kama Yy Ni Mtume Aende Mortuary Akawaamshe wote Think Big

  • @kirupyseleman582
    @kirupyseleman582 4 ปีที่แล้ว +50

    Hapa ningesababisha mimi vifo vya watu wawili msingeniona hata kwa vyombo vya habari

    • @erickjeremiah6406
      @erickjeremiah6406 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/TB_hSc7MkGA/w-d-xo.html

    • @godlivingjacobissangya8530
      @godlivingjacobissangya8530 4 ปีที่แล้ว +2

      Kweli hata mm naamin ila Mungu ndo anajua Siri zote

    • @elimikasasa643
      @elimikasasa643 4 ปีที่แล้ว +2

      Kweli sbb wewe si Mwamposa. Watu hutofautiana

    • @moureenbernardy4912
      @moureenbernardy4912 4 ปีที่แล้ว +1

      😆😆😆

    • @kirupyseleman582
      @kirupyseleman582 4 ปีที่แล้ว

      @@elimikasasa643 kwa sababu mimi sio mwamposa sawa kabisa hata ww ni kama mimk kama unabisha sababisha

  • @meryimanuel7238
    @meryimanuel7238 4 ปีที่แล้ว

    Hivi Haya mafuta. Justis wap maan papa mtume Paulo mwenyew hana Mmmmmh hii Kali yao wakomexhe Mzee baba

  • @browntiger4849
    @browntiger4849 4 ปีที่แล้ว +36

    Unaaambiwa bunduki haiui watu ila watu ndio wanaua watu mtumishi hana makosa watu ndio hawana subra wangefuata utaratibu hapangekufa mtu

    • @lastymushi4584
      @lastymushi4584 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @salimdiabyonlinetv4873
      @salimdiabyonlinetv4873 4 ปีที่แล้ว +3

      Watu ndo wanaua watu, Nae ndo hao amewaua, usiusingizie utaratibu na Mafuta.

    • @anthonynyange5930
      @anthonynyange5930 4 ปีที่แล้ว

      Kwahyo yeye malaika au?

    • @happymeshackmas6923
      @happymeshackmas6923 4 ปีที่แล้ว +1

      Brown uko sawa ma dear ,ila unajua nn ktk mambo Kama hya ya kidn mungu atuongoze kwa kweli mungu ndo anapasw kuhukumu na c ss bnadam

    • @erickjeremiah6406
      @erickjeremiah6406 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/TB_hSc7MkGA/w-d-xo.html

  • @ndetaulwapallangyo8408
    @ndetaulwapallangyo8408 ปีที่แล้ว

    Uwezi lipa dam za watu walio poteza maisha yao kwa utapeli wako zidi ya taamaa za kujipatia Mali kwa njia za Udanganyifu!

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 4 ปีที่แล้ว +3

    Baba nakuombea Yesu akutie nguvu

  • @abellawilson3372
    @abellawilson3372 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu mtumishi ktk kipindi hiki kigumu

  • @agneslimbe578
    @agneslimbe578 4 ปีที่แล้ว +4

    Unaambia watu wamuamini mungu mbona we unatembea na walinzi kibao inamaana weww uamini Mungu ,jamani binadam

    • @florakabado3543
      @florakabado3543 4 ปีที่แล้ว

      Angines omba Mungu akupe hekima sana usiwe na mihemuko ya kutukana mtumishi.

    • @erickjeremiah6406
      @erickjeremiah6406 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/TB_hSc7MkGA/w-d-xo.html
      Duuh mwamposa

  • @devybernardlaizer7713
    @devybernardlaizer7713 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi ,Jimmy upo vizuri na kazi yako barikiwa

  • @irenemwanaa8160
    @irenemwanaa8160 4 ปีที่แล้ว +9

    Waoooo! Nimefurahi kukuonatena

    • @ibrahimmaganga3429
      @ibrahimmaganga3429 4 ปีที่แล้ว

      Irene Mwanaa hay

    • @irenemwanaa8160
      @irenemwanaa8160 4 ปีที่แล้ว

      Hi

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 4 ปีที่แล้ว

      Umefurahi kumuona yeye vipi wale waliopoteza Baba, mama, watoto, na ndugu zao? Ama kweli binaadam mins ubinafsi Sana. Mungu anawaona lakini na atawahukumu tu.

  • @supermama6553
    @supermama6553 4 ปีที่แล้ว +2

    Bdo tunakupenda dady,hongera kwa ushindi

  • @officialruqaiyah2881
    @officialruqaiyah2881 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen I love you so much mwamposa

  • @mfamba2926
    @mfamba2926 2 ปีที่แล้ว

    Mungu baba azidi kukutetea mtumishi Boniface Godwin Mwamposa Bulldozer na watumishi wote Kwa kuendeleza neno lake

  • @minzagabriel6150
    @minzagabriel6150 4 ปีที่แล้ว +8

    🙏Amen

  • @rechoraymond3396
    @rechoraymond3396 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua baba katika kipindi ichi kigumu

  • @omaryshabani7221
    @omaryshabani7221 4 ปีที่แล้ว +4

    Msachi seneta kiraka TH-cam msanii wa singeri

  • @evaaron3078
    @evaaron3078 2 ปีที่แล้ว

    Mungu Akulinde mtumishi wa Mungu Amina

  • @ramanhoibrahim3383
    @ramanhoibrahim3383 4 ปีที่แล้ว +3

    Eeh anapigiwa na salute pia aysee 😲

  • @jeressjohn9105
    @jeressjohn9105 3 ปีที่แล้ว +1

    Don't Give up dear Take heart mungu yupo

  • @tabumussa9406
    @tabumussa9406 4 ปีที่แล้ว +26

    jikisanyie mapesa ya mazumbukuku hao si wanaleta wenyewe bwana

    • @praisekavy
      @praisekavy 4 ปีที่แล้ว

      Biblia hujui kaa kimya

    • @agneslimbe578
      @agneslimbe578 4 ปีที่แล้ว

      Na kweli awajielwi kabisa hao

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 4 ปีที่แล้ว

      Nabii alietoa wengine sadaka

    • @stanleyrububura4000
      @stanleyrububura4000 4 ปีที่แล้ว

      Acha dharau na kumwita mwanadamu mwenzako zumbukuku, jiheshimu au unadhani ww ni wa thamani au wa maana sana kuliko wengine?

    • @stanleyrububura4000
      @stanleyrububura4000 4 ปีที่แล้ว

      @@agneslimbe578 Muwe mnaweka akiba ya maneno.

  • @dainagano3656
    @dainagano3656 4 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji wangu nakupenda, mungu akutie nguvu baba

  • @abuumaryam185
    @abuumaryam185 4 ปีที่แล้ว +9

    KAMA UMEONA JAMAA ANAPIGIWA SARUTI KAMA MKUU WA JESHI GONGA LIKE

  • @chikumuya8063
    @chikumuya8063 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen baba, napokea kufunguliwa

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuhurumia baba,Yesu akutie nguvu tena

  • @magdalenadeusi760
    @magdalenadeusi760 10 หลายเดือนก่อน

    Poresana. Mungu. Atasaidia. Tuuu. Yeye nimwema

  • @iflamusa7645
    @iflamusa7645 4 ปีที่แล้ว +3

    Jaman nimefurah kumuona mtumishi wangu hadi raha jaman mpak amepungua

    • @barakajoseph202
      @barakajoseph202 4 ปีที่แล้ว

      Mwuuuu

    • @FrankM384
      @FrankM384 4 ปีที่แล้ว +1

      Sawa na raha lkn huwezi jua maumivu tulio jisikia wengine kwa mungu wote tupo kwenye foren na huyo mwamposa wenu sie atakae wapeleka mbinguni ila na yeye yupo kwenye foleni muabuduni tu

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 4 ปีที่แล้ว

    kwa allah kuna kazi sana sema kila mtu na njia yake akuna kucheleweshana .piga pesa wacristo si wamilala bwana.afu jama ni fremasson kama nihona bendera ya mericani na msumbji inakuaje kafala imikubalika.im musilim kudadeki

    • @alphoncegambuna440
      @alphoncegambuna440 4 ปีที่แล้ว

      Wivu tu unakusumbua we jahidina mambo ya wakristo yanakuhusu nini?

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 4 ปีที่แล้ว +16

    Ukiwa ndani ya hiyo v8 ...uko sawa na aliyepanda ndege🤣🤣🤣
    Mashimo unayasahau

  • @samoramkama967
    @samoramkama967 2 ปีที่แล้ว

    Mtume mungu akutie nguvu ukatende kazi ya bwana

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 4 ปีที่แล้ว +3

    Eeeh Mungu, tufunike na mbawa zako

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 4 ปีที่แล้ว

      weee... kakwambia nani kama mungu ana mbawa!!?

  • @sikudhanigivengilbreth9361
    @sikudhanigivengilbreth9361 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutie nguvu mtumishi kwa kipindi hiki unajopitia

    • @stevensimtoe2989
      @stevensimtoe2989 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣😂😂🤣Vipofu wasio ona mna macho lakini hamuoni

    • @sikudhanigivengilbreth9361
      @sikudhanigivengilbreth9361 4 ปีที่แล้ว

      @@stevensimtoe2989 haya sawa mm sioni lakini usihukumu usichokijua wa kumhukumu ni mungu pekee

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 4 ปีที่แล้ว +9

    Hamna kitu apo utapeli tu,kaifanya dini kuw biashara tu hapo...waliemtuma wamefaulu sasa akili kwenu endeleen kumfwata...Akili kunkichwa apo

    • @maryangela107
      @maryangela107 4 ปีที่แล้ว +2

      Tuliza kimdomo chako wewe dada Acha kuongelea uchawi kwenye mdomo wako Acha laana zako fanya yako

    • @chazijoji7183
      @chazijoji7183 4 ปีที่แล้ว +1

      Hanna kitu hapo, wewe una nini? kama hamnakitu wewe ulika kuwe na nini, mbona maka watu wanakufa kwenye hija tena wengi lakini watu hawaachi kwenda kuhiji,

    • @neylatikilango401
      @neylatikilango401 4 ปีที่แล้ว +1

      @@chazijoji7183 atapeli na yy kama rahisi

    • @bahatiagustino5047
      @bahatiagustino5047 4 ปีที่แล้ว

      Naima pole kwa sababu hujui mafuta na hujawahi fika fika uone siyo unasema matapeli wew ndo tapeli

  • @neyleepallangyo8436
    @neyleepallangyo8436 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mtumishi wa Mungu

  • @paulkessy5267
    @paulkessy5267 4 ปีที่แล้ว +79

    Watu nyomi kanisani aisee Kama kawaida ..mwamposa oyee

    • @mlembamo
      @mlembamo 4 ปีที่แล้ว +4

      Sisi tunasema Yesu oyeee, wingi hau justify ukweli huu ni ushetani.

    • @siwemanyango7727
      @siwemanyango7727 4 ปีที่แล้ว +2

      Leo lile cheni lake hajalivaa au mpaka apande kwenye madhabahu yake YESU tuokoe na uturehemu kwa damu yako ya thamani AMEEN

    • @dasilvajunior3016
      @dasilvajunior3016 4 ปีที่แล้ว

      We fara nahisi ndio wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa halafu wakafa...!!

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว +5

      Paul kessy inaonekan ww humuabud Mungu unamuabudi mwanadam mwenzako huna hta aibuu eti mwamponsa oyee mxciuu 😏😏😏😏

    • @paulkessy5267
      @paulkessy5267 4 ปีที่แล้ว

      adija adija naisi ujanielewa kabisa ...Sina Mana iyo

  • @khamisally6743
    @khamisally6743 4 ปีที่แล้ว

    nacheka sna . al hamdulillah kua muislamu.

  • @amrimalumbo1712
    @amrimalumbo1712 4 ปีที่แล้ว +9

    Kesho kwa Allah kuna kqz kubwa san

  • @marympemba8843
    @marympemba8843 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupiganie mtumishi wa mungu

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji ana bonge la ndinga na bodyguards ama kweli uchungaji unalipa

    • @neemamsanga253
      @neemamsanga253 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣ngoja na me niwe mchungaj

  • @salmamatola4255
    @salmamatola4255 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana Daddy, Tunakupenda.....Mungu akutie nguvu🙏

  • @mosesngesi3333
    @mosesngesi3333 4 ปีที่แล้ว +17

    Watu wapo nyomi kanisani utadhn hakukukuwa na shida tena shida ya vifooo

    • @chazijoji7183
      @chazijoji7183 4 ปีที่แล้ว

      Mwamposa upon vizuri, hayo ni majaribu tu, na mungu atasimama, kwa kuwa unafanya Nazi bwana,👏👏

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว +1

      Wakufe tu tena maan hawasikii

    • @chazijoji7183
      @chazijoji7183 4 ปีที่แล้ว +1

      Wakufe tu, kama walivyo kufa kule maka wakati wakimpiga mawe shetani pale alkaba, usiombee binadamu wenzio vifo, tafakari juu ya maombi ya ubaya,

    • @jovintosssi3287
      @jovintosssi3287 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijakhadija6212 😢😢😢😢

    • @kitasyajohn6033
      @kitasyajohn6033 4 ปีที่แล้ว

      Weee ulitakaje

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 4 ปีที่แล้ว +2

    Upumbavu wa mwanadam ni imani.
    wanaoenda kuhij maka wanakufa kila mwaka. tena wengi tu. hao wanasifiwa et wamefia maka. kuna wakat ukizitafakari hizi imani kuna vitu vingi anasingiziwa Mungu. lakn ipo siku tutajua ukweli tu.

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 ปีที่แล้ว +5

    Watumishi inabidi kuwa makini sana’ na waumini pia inabidi kujiuliza sana Juu ya imani mbalimbali...!
    Mi najiuliza hivi UPAKO ni baraka na kitu kitakatifu mbele ya imani’ Sasa unaweza kweli kukanyaga kitu KITAKATIFU..?

  • @GetrudaRomanus-nt3em
    @GetrudaRomanus-nt3em 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu mwamposa

  • @nibomadavid1129
    @nibomadavid1129 4 ปีที่แล้ว +10

    Kweli watu wamepigwa upofu

    • @joeljulius6389
      @joeljulius6389 4 ปีที่แล้ว

      Niboma David hamna kipofu wewe ndo kipofuu

    • @saidhamad5931
      @saidhamad5931 4 ปีที่แล้ว

      Kinapalilia ujira wake

  • @maryjoseph1949
    @maryjoseph1949 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu unae muabudu akutie nguvu yakusonga mbele because dhahabu ili ingae nilazma ipitishwe kwenye moto.

  • @christophermahawi4920
    @christophermahawi4920 4 ปีที่แล้ว +4

    Siku za mwisho, kutakuwa na manabii wa uwongo.😂😂😂.

  • @maryangela107
    @maryangela107 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa hekima ya mungu iliyoko ndani yako

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 4 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂Hiii sura siiamin kama kwel ina yesu ndani yake

    • @estermhindi7189
      @estermhindi7189 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣sura ya upako jamn ndio maan ina upole 😂😂😂

    • @stanleyguthia7771
      @stanleyguthia7771 7 หลายเดือนก่อน

      Ni sura imebarikiwa

  • @melaniamosha9356
    @melaniamosha9356 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe nguvu,mtume wa Mungu

    • @jamalkimbililo9127
      @jamalkimbililo9127 4 ปีที่แล้ว

      Acha wehu wewee mtume wa mungu ni Mohammad s.a.w huyo ni mpiga hela tuu

    • @priscacharles7414
      @priscacharles7414 4 ปีที่แล้ว

      Someni kumbukumbu la tolati 33-24-25

    • @nyamogafamily9549
      @nyamogafamily9549 ปีที่แล้ว

      @@jamalkimbililo9127 😂😂😂

  • @mpwapwamedia7279
    @mpwapwamedia7279 4 ปีที่แล้ว +4

    Vijimama Ndo viko shapu kuchangamkia mafuta yani wanawake sijui watazinduka linii walianza kuzingua eden,hawajakoma aloo jamani jamani mbona mna macho na hamuoni roho inaniuma sana

  • @aminaanord6740
    @aminaanord6740 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu

  • @youngmasta5444
    @youngmasta5444 4 ปีที่แล้ว +18

    Iv kuna mtu alishawahi kufunguliwa nakua tajiri au mtumishi ndio anazid tu kua tajiri?

    • @allyfaniture404
      @allyfaniture404 4 ปีที่แล้ว

      Bibilia ndo nini nikae kimya ndo nini kwann ww hukuenda kufa na wale Moshi kama unaipenda Bibilia Acha ushamba ww nenda naww kafe bas

    • @bukobatalentsnanimkali9423
      @bukobatalentsnanimkali9423 4 ปีที่แล้ว

      @@allyfaniture404 wewe tayari unaitwa Ally na babaako ni faniture so huwezi jua chochote kuhusu bible

    • @allyfaniture404
      @allyfaniture404 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha haya bhana amiin ivyo ivyo

    • @issaahmady9644
      @issaahmady9644 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanaomtetea hao ndio wasaidiziwake hata baiskeli hawana

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 ปีที่แล้ว

    No matter how,what. God will never leave you.wanaompenda mwamposa thumb up👍

  • @rhodamalembo7873
    @rhodamalembo7873 4 ปีที่แล้ว +15

    Had amepungua jmn kwel hil n jarib litapita

    • @lunyabamapesa5575
      @lunyabamapesa5575 4 ปีที่แล้ว +1

      Kuua watu Ni Jaribio Ingekuwa Ww Umefiwa Ungesema Ni Jaribio Think Big

    • @issaahmady9644
      @issaahmady9644 4 ปีที่แล้ว +1

      @@lunyabamapesa5575 wizitu kama kweli mtume mbona kashindwa kuwaombea watu wakafufuka na waliolemaa wakapona? Hapo ndio utajua huyo ni mpigaji tu

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 4 ปีที่แล้ว

      Yeye kapungua vipi wale ishirini ambao hawapo kabisa duniani watu wamepoteza wazazi, watoto zao na ndugu zao eti unaongelea kupunguza kweli,?

  • @hellenmasasi3850
    @hellenmasasi3850 4 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema amtetee mtumishi wa Mungu

  • @davidmoshi8820
    @davidmoshi8820 4 ปีที่แล้ว +7

    Kwendraa umeniulia mama yangu naumia mnoo... Ulaaniwe

    • @africa7479
      @africa7479 4 ปีที่แล้ว +2

      David Moshi halfu anasema eti leo wanafufua kuponya n.k kwann asiende kufufua waliokufa

    • @plantp.o1823
      @plantp.o1823 4 ปีที่แล้ว +1

      Usihukumu usije ukaukumiwa

    • @twariatiomary486
      @twariatiomary486 4 ปีที่แล้ว

      Huyo mama ako alivutwa au alienda mwenyewe ndio mjue msiwe mnaingia kwenye madini yasiyo kua maana nendeni lomami katolki umeona kuna mafuta

    • @alisaid2410
      @alisaid2410 4 ปีที่แล้ว

      hao ni snema tu amini katika imani yako yaroho

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows 4 ปีที่แล้ว

      Twariati Omary karne ya 21 mtu anajigamba na dini hii ni nzuri kuliko ya mwenzake kweli mpumbavu muache na upumbavu wake 🚮✌️

  • @jophunimwalufunda5536
    @jophunimwalufunda5536 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila Ki ukweli jimmy bado sana ongeza bidii mkuu

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 ปีที่แล้ว +18

    Kafara imefuzu, tajirika baba, wenye akili tu ndio wataelewa km hii biashara hakuna zaidi 🤣🤣 mafuta my foot

    • @praisekavy
      @praisekavy 4 ปีที่แล้ว

      Hujui biblia kaa kimya, mafuta yameandikwa kwee biblia

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว +1

      @@praisekavy Wajinga ndo waliwao

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 4 ปีที่แล้ว +2

      @@praisekavy 😂😂 mazezeta wengi jiongezeni mtaendelea kfa kwa uzuzu.et mafuta ywko biblia ss huyo anayatoa wapi km yapo ndani biblia 😂😂? Kufrni tu wenzenu wanatajirika kwa ujinga wenu hao ni sawa na mganga wa kienyeji utapeli tu kufeni wapumbavu🤑

    • @catherinechifebe5800
      @catherinechifebe5800 4 ปีที่แล้ว

      @@praisekavy wapi na niwapi ilitamkwa watu wayakanyage.....AMKA

    • @renaldajohn7844
      @renaldajohn7844 4 ปีที่แล้ว

      @@catherinechifebe5800 kama unajua biblia mbona unabishana?kubishana tu hairuhusiwi

  • @roseboaz1819
    @roseboaz1819 4 ปีที่แล้ว +1

    Woooooi,ukweli utabaki pale pale.

  • @sekundambilinyi5450
    @sekundambilinyi5450 4 ปีที่แล้ว +73

    Kula pesa mtumishi wajinga ndio waliwao😂😂

  • @hanskidd2290
    @hanskidd2290 4 ปีที่แล้ว +1

    Alijiimbia pastor Emmanuel mgogo watu hawautaki ukweli wanataka miujiza watu hawataki kusoma neno wanafnya yao 😞