DR.SULLE:EPISODE YA 2 NI MTOTO YUPI ALIE TAKIWA KUCHINJWA KATI YA ISMAIL NA IS-HAQA |VITABU VYA KALE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024
  • #DrSulle #VitabuVyaKale #Zvponlinetv

ความคิดเห็น • 33

  • @meselemanlinuku1876
    @meselemanlinuku1876 ปีที่แล้ว

    Swadakta sheikh sule mungu akupe umri mreefu INSHA'ALLAH uzidi kutuelimisha

  • @mammukaratu4687
    @mammukaratu4687 3 ปีที่แล้ว +2

    Namwelewa sana huyu ustaadhi....ahsante sana hili lilikuwa linanisumbua sana

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @marysanga5310
      @marysanga5310 3 ปีที่แล้ว

      wewe unakisia mbona bibilia iko wazi mtoto pekee ni isaka

  • @osmankabete2493
    @osmankabete2493 3 ปีที่แล้ว +3

    Asalaam aleykum sulle Allah akuzidishie baraka kwa kile unacho fanya......nlikuwa nataka umchunguze huyu chaka

  • @machaliakulima76
    @machaliakulima76 ปีที่แล้ว

    Dr Sulle nampenda sana na ni shabiki wake namfatilia sana napenda contents zake anaziwasilisha kisomi lakini ana kitu cha "muwamba ngoma" anapohitimisha!!

  • @ratibuathumani3422
    @ratibuathumani3422 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @suleimanuwiduhaye2671
    @suleimanuwiduhaye2671 3 ปีที่แล้ว +2

    Unakawaida ya kuekeweka sheikh wetu.. asante

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @cuchahassan7782
    @cuchahassan7782 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalaam Alykm Sheikh Sure. Nakumba nakushauli Tafuta mtu awe anakusomea maandiko wewe uwe unatutafasili Sheikh Sure Thanks

    • @machaliakulima76
      @machaliakulima76 ปีที่แล้ว

      Si Sulle ana PhD iweje ashindwe kusoma? Ana jitihada za makusudi za kupindisha ukweli, Biblia imenyoka kama mstari wa 180 degrees

  • @ramadhanmgumba3680
    @ramadhanmgumba3680 3 ปีที่แล้ว +1

    Maasha,allah

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 2 ปีที่แล้ว

    Mashala mungu akuongoze ❤️❤️❤️❤️shekh

  • @donitoalberto3154
    @donitoalberto3154 3 ปีที่แล้ว +1

    Bom dia DR sule, acompanhado de Moçambique_Montepuez

  • @barakambura1362
    @barakambura1362 ปีที่แล้ว +1

    Nina maswali
    1. Kati ya mrithi wa mali ( mtoto wa kutoka ktk viuno vya Abraham- Ishmael ) na mtoto wa kuzaliwa kwa muujiza wa Mungu mwenyewe-Isack , ambaye ni mtoto wa Agano la Mungu -soma mwanzo 17:17-22
    Nani mwenye uzito zaidi mbele za Mungu kati ya mtoto mrithi wa mali na mtoto ambaye Mungu alitengeneza agano la milele na yeye

    • @barakambura1362
      @barakambura1362 ปีที่แล้ว +1

      Swali 2, ukisoma mwanzo 21 nzima na 22 nzima , unagundua Hajra alisafiri peke yake na mwanae na sura 22, Abraham kutoa sadaka ya mtoto, Mungu alimpa maagizo asafiri na baadae unaona akasafiri uelekeo uleule wa Hajra ( Beer-Sheba )
      Kwanini unahitimisha kwa kusema Abraham alimtoa sadaka Ishmael kwa kusoma Aya chache na kiziunganisha bila kusoma sura nzima ya mwanzo 21 na mwanzo 22 kwa mtiririko ili upate maana nzima
      Naomba ufafanuzi, lakini soma mwanzo 17 nzima utaona uzito ( baraka ) Mungu aliompa Ishmael na uzito aliopewa Isack kwa maana ya agano la milele Mungu aliomuahidi Isack
      Mwanzo 17:18-22

    • @barakambura1362
      @barakambura1362 ปีที่แล้ว

      Swali no 3
      Kuna tofauti gani kati ya jagwa la Beer-Sheba na jangwa la Parani?

  • @porthealth4838
    @porthealth4838 ปีที่แล้ว

    MNAHANGAIKA JAMAN NA DINI YENU 😀

  • @kassongokittapa7762
    @kassongokittapa7762 7 หลายเดือนก่อน

    Katika hio historia kuna mkanganyiko!
    1. Bi Hajira na Mwanae waliondolewa machoni kwa Bi Sarah kabla Isihaka hajazaliwa, na Ismail ni Mtoto mdogo wa kubebwa na kulazwa na Mama yake Bi Hajira. Ndio sababu alimlaza na kumtenga ili asimuone mtoto akifa Mwanzo 21
    2. Baadae tunamuona tena Ismaili akiwa nyumbani kwa Bi Sarah, siku ambayo Isihaka anaachishwa ziwa 😅 alirudi lini!?

  • @machaliakulima76
    @machaliakulima76 ปีที่แล้ว

    Hapo Dr Sulle umebumu kuhusu nani alikusudiwa kuchinjwa, Isaka ni mlengwa ndo mtoto pekee sababu ndiyo mlimo agano la kuzaliwa Yesu si Ismaili. Kweli Ibrahimu ni baba wa Ismaili lakini si wa agano la Mungu, agano la Mungu ni lile walilolileta Malaika kwa Sara, hata wewe umekubali kuzaliwa kwa Isaka si kwa kawaida tofauti na Ismaili. Isaka ni mpaka uzao wa Yesu

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

    Kweli wakristo wamebadilisha wakaweka Isaka wafundisha hao

  • @antarsangali4456
    @antarsangali4456 ปีที่แล้ว

    Mtafute mtu shieikh Sule asome ,wewe yaonyesha macho yako yanahitaji miwani

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu 3 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah!! Dr sule tupe na history ya yesu kuhusu kubatizwa je ni kweli alibatizwa au propaganda tu!!? Insha'Allah

  • @boyi7303
    @boyi7303 3 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa miaka 16 mwanamume

  • @porthealth4838
    @porthealth4838 ปีที่แล้ว

    HAKUNA WATU WAONGO KAMA HAWA WALIMU WENU HAWASOMI MAANDIKO HADI MWISHO KAZI KULAZMISHA UONGO KUWA KWEL BIBLIA IMENYOOKA BWANA...UNABISHANAJE NA KTU ULICHOKIKUTA MIAKA MIA SITA MBELE WEWE

  • @ALISTIDESITWAZA
    @ALISTIDESITWAZA 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama ni hi you mbona hakuna mwendelezo wa uzao wa Ismail katika kutumia na Mungu mnalazimisha vitu ambavyo havipo viwe

  • @johnngige5794
    @johnngige5794 ปีที่แล้ว

    Mbona kupachika viraka kwa nguo mpya. Unasema Biblia jina Ishamel iliondolewa wakapachika Isaac kama mwana aliyetakiwa kuchinjwa. Toa ushahidi wako apo kwa maandiko kuwa ilikuwa Ishmael wala sio Isaac kama ilivyo kwenye maandiko. Quran enyewe haiwezi kujisimamia bila Biblia ndio maana hadithi hii hauwezi pata popote kwenye Quran ila kwa Biblia tu. Wewe ni fundi wa viraka na uongo mwingi.

  • @vailethmarack374
    @vailethmarack374 3 ปีที่แล้ว

    Dkt wapi imeandikwa ktk biblia kuwa ishimaili alikuwa na miaka 16 na isaka alikuwa na miaka 2.

    • @IddyTuyizere-di5td
      @IddyTuyizere-di5td ปีที่แล้ว

      KiItabu chenu hakitoshi,, maana yake hamna history nzima zamanabii n'a mitume WA Mungu

  • @boyi7303
    @boyi7303 3 ปีที่แล้ว

    Jamani Abimelech ni nani ktk kisa hiki na aliishi wapi? hata kwa ku google tunaona alikuwa kiongozi wa wafilist na Beersheba maana yake ni mapatano au agano waliopatana Ibrahim na Abimelech juu ya kisima alichochimba Ibrahim huko kwa wafilist. Hivyo Beersheba haiko Hijaz

  • @jacksonmwafongo1758
    @jacksonmwafongo1758 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah