SIMULIZI FUPI: REHEMA WA TANGA, By Ankojay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2023
  • SimuliziNzuri Ya Ndugu Wawili Ambao Wanshindwa Kupatana Sababu Ya Wivu Wa Kimapenzi.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 475

  • @ankojay_
    @ankojay_  ปีที่แล้ว +75

    Kuna watu waongo sana, et wamemaliza hii simulizi, wanataka part 2 😂😂

    • @salmakim557
      @salmakim557 ปีที่แล้ว +3

      Hahaha yaani Anko Jay huamini kuna watu wamemaliza part 1😂😂 mimi hapa nshaamaliza tupe part 2 pllllz

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 ปีที่แล้ว +2

      Khaa anko mda watu tumesha maliza hhhhhh

    • @lovenessyesse9053
      @lovenessyesse9053 ปีที่แล้ว +1

      Tumemaliza bhn anko jey sasa bila kufika mwishi unajuaje kua Ina part 2 jmn 😂😂

    • @lovenessyesse9053
      @lovenessyesse9053 ปีที่แล้ว

      Tumemaliza bhn anko jey sasa bila kufika mwishi unajuaje kua Ina part 2 jmn 😂😂

    • @mariamjuma743
      @mariamjuma743 ปีที่แล้ว

      Mm hpa nimemaliza 😋😋🥰 nataka part 2 Anko

  • @mirajimohamedchifuno
    @mirajimohamedchifuno ปีที่แล้ว +16

    Daa Lisa na anko napenda Sana kazi yenu❤❤❤

  • @echawekab3796
    @echawekab3796 ปีที่แล้ว +6

    Wa kwanza mimi

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 ปีที่แล้ว +9

    I like how Anko shower praises on himself...his voice make me shrrrrrrriiiii.waiting for part two

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 ปีที่แล้ว +17

    Huyu Juli jamani,kaaa anaweza hata kuua, yani ni mzushi mwongo mchonganishi wivu umemzidi, mie ndugu zangu wapo hivyo,na ilinichukua muda mrefu sana kuwajua, walifanikiwa kuniharibia hasa kwa watu walio muhimu kwangu mmoja wapo akiwa mama yangu mzazi, lakini walichosahau ni kuwepo kwa Mungu anayeona na kusikia kila kitu, nashukuru sana ukweli ulikuja KUWA wazi, tena wala sikutumia nguvu kujitetea, maana nilifanya hivyo wakati wa mwanzoni, lakini sikuaminika, basi niliumia hadi nikajizoelea nikajitenga nao wote hadi mama, nikahama mkoa nikaenda kwa baba mdogo, cha ajabu wakapeleleza wakajua nilipo huko nako wakaja wakaniharibia, walikuwa hodari wa kutunga uwongo unaofanana na ukweli, walisababisha nikapigana 👊 na mke wa baba mdogo, ikabidi niondoke nihamie kwa dada wa jirani yetu ambaye ameolewa huko Tanga ,sikuwa hata nimemzoea alipokuja kuwatembelea wazazi wake nikamsalimia nikamsadia kushusha mizawadi aliyowaletea familia yake,akanichangamkia sana,akanikaribisha huko Tanga siku alipokuwa anarudi kwake nikatumia fursa hiyo nikamwambia nikipata nauli, baadaye kama miezi mitatu ikapita akatuma nauli, sikuaga mtu ,hapo nimenyanyasika sana maana nilirudigi nyumbani baada ya kupigana na mamdogo.MUNGU huyu maisha yalibadilika nilipofika Tanga tulipendana sana na mwenyeji wangu nilikaa miaka 6 BILA kuwasiliana na ndugu zangu,japo nilikuwa namkumbuka sana mama nilimpenda, habari zao nilizopata sababu ni jirani, niishie hapa nina mengi sana,niliondoka umri 17 nikaja wasalimia umri 23 nimependeza hatari, mama alinikumbatia tulilia sana sikuwaambia kabisa nilipokuwa.Nawale ndugu zangu wakijulikana yote walizusha, mama amerithisha nyumba yake,japo naishi mkoa mwingine.Ndiyo maana namkubali Lissa Mwalla utunzi wake ni maisha halisi,na msimuliaji sauti yake inanifanya nifurahie simulizi sana tu NINA MAISHA YA KURIDHISHA ndg bado hawakomi , lakini hawanipi shida,wananitamani lakini nimewawekea mipaka tunawasiliana kwa CM,sasa hivi huko wanawekana vikao kila mwezi kuchambana,mie kila mmoja ananishtakia kueleza ubaya wa mwenzake,nawajibu SALINI SANA YATAISHA 🙅

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Inasisimua hii...🤔

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 ปีที่แล้ว +1

      Jitie moyo mwaya na pia kuwa mtu wa maombi sana maana mungu hamwachi mja wake na kitu kingine wapende wala usiwaonyeshe una kinyongo nao bali usitake mazoea nao mie pia ninayo yaliyo nisibu hapo awali ila namshukuru mungu kwa kumtumainia leo hii nifikapo nyumbani kila mmoja anataka anione wanangu pia ni wtt wapendwa kwa Bibi yao hivyo dear kazana na sala na utapata majibu Mungu wetu sio wa ubaguzi,,,japo ya kwangu sio ya kushare mapenzi Na ndugu ni dharau tu za kawaida

    • @sarahsamson9362
      @sarahsamson9362 ปีที่แล้ว

      Yani ww umenisemea mm 😢kabisa 😢😢😢ila namshukuru Mungu

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 ปีที่แล้ว

      @@Pretty22750 Mwaya wee unafikiri hata nikushea mapenzi kumchukua darling no bali ni mambo haswaa, ndo maana simulizi ambazo mwanzo mwisho majonzi zikubali kivilee nakumbuka mateso niliyopitia, yani MUNGU NI MWAMINIFU SANA wakati napitia nilitamani hata nife, nikanakwamba sikuwa naona mbele yaani kila nikitizama ni giza tu sioni pakutokea, hata sielewi yalianza vp kwisha kumbe yalikuwa magumu ya muda tu, kama machozi yangekuwa yanafaa kukinga katika ndoo mmm loo, sijui niieleze vp mie, sasa maisha yangu burudani, hahaha ha hehehe nacheka mno ninaamani, japo katika mfumo huu huwezi furahi kila siku, lakini furaha kwangu imezidi kuliko kusononeka ,hapa najitizama kioo hakinidanganyi niwe mkweli najitambua, Hakuna mtu ambaye akiniona akaacha geuka si wanawake si wanaume tena warika tofauti, niko vizuri mno ,nikipita mahali nikiona wananitizama sanaaaaaa nafanya makusudi kama Dr Mayra wa simulizi ,wakidata najichekea mwenyewe, nimejifunza RAHA JIPE MWENYE, jamani natizimwa mie, laiti nisingejitambua mapema duu ,sidanganyiki kamwe

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 ปีที่แล้ว

      @@sarahsamson9362 Sarah Samson usijali kabisa yanakwishaga mbona,utaipata amani yako siku moja Sali MUDA mwingi, pia usikazie fkra sana matatizo mwachie Mungu amini anaona hata visivyo onekana kwa macho,pia ukiomba kumbuka kushukuru hata kwa uhai, hata ingawa bado tatizo lako bado kwisha,nakama sala itachelewa kujibiwa sala upate nguvu za kuvumilia 🤲🙏

  • @beatriceonsongo9915
    @beatriceonsongo9915 ปีที่แล้ว +4

    Tusikilize kwanza rehema kafanyaje hongera ankojay na Lissa kazi nzuri kweli

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much 😊

  • @MsChocoFlava
    @MsChocoFlava ปีที่แล้ว +12

    Napendaga anko akisimulia huku akicheka 😂 just love him❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😊😊😍😍 Thank Youuu

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 ปีที่แล้ว +3

    Top twenty ila anko nisem Asante San nimejifunz mengi San San Mungu akubariki San mm saiv Kila nachokipitia kweny maisha yang naon kawaidaaaa kutokan n simuliz zenuuu thanks much anko

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much 😊

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 ปีที่แล้ว +2

    Jaman anko letaaaa uvumilivu umenishindaa keaho nj mbalo

  • @fjggoxfh9502
    @fjggoxfh9502 ปีที่แล้ว +2

    Anko jay tume injoi kwa iyisimuliz tam tunayisubili kwahamu muenderey

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 ปีที่แล้ว +5

    Keep it up ankol j,unanitowaga stress za hawa warabu

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Ur welcome 😊

    • @JazilaJazila-uw1bc
      @JazilaJazila-uw1bc 3 หลายเดือนก่อน

      Jaman anko j unasauti nzur na unapenda kujisifia jaman

  • @doricedeus7587
    @doricedeus7587 ปีที่แล้ว +2

    Nikiwa na my boo akawa na sauti Kama ya ankojay nitaringa sana

  • @user-sr2mm8zv5n
    @user-sr2mm8zv5n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn simulizi zuri uncle jei 🎉🎉❤❤😊😅

  • @imanwalid6549
    @imanwalid6549 ปีที่แล้ว +2

    Ieo my first frm dubai

  • @DoreenwangilaNanjala-rd5wi
    @DoreenwangilaNanjala-rd5wi 3 หลายเดือนก่อน

    Woow inabamba, sauti poa, imaburudisha, tune nayo iko woow

  • @josephinechisiwa4357
    @josephinechisiwa4357 ปีที่แล้ว +3

    Weee😂😂😂 anko jay unavojua kusimulia ss ❤❤

  • @patojefa1137
    @patojefa1137 ปีที่แล้ว +4

    Napenda sana story zako ankoj zanifunza mengi sana

  • @nasmanyagali4938
    @nasmanyagali4938 ปีที่แล้ว +7

    Wooow nimekuwa wa kwanza leo ❤❤

  • @kanenokarisa2261
    @kanenokarisa2261 ปีที่แล้ว +2

    Anko jay ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥 tunaisubiri sana hiyo party 2

  • @user-rm9xp3eb1m
    @user-rm9xp3eb1m 7 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda ako anavyo sema subscribe basiii oooh 🤩 ❤

  • @jescamasanja4916
    @jescamasanja4916 ปีที่แล้ว +3

    Napenda ukisimlia ukiwa unacheka❤️❤️💞💞

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 ปีที่แล้ว +2

    Anko Jey mimi na wewe bega kwa bega mpaka kieleweke ❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 ปีที่แล้ว +2

    Ankojay asante sana kwa simulizi hii tamu kweli kweli ❤

  • @swabrarashidi1082
    @swabrarashidi1082 ปีที่แล้ว +2

    Ivi anko unaugomvi gani na wanaume wanene alafu anauliza ume enjoy hhhhhh h nimejikuta nimecheka kwa sauti

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @hadijambaule7366
    @hadijambaule7366 ปีที่แล้ว +2

    Jmniiii last born ss tuacheniii tu tupendwe na bab zetuuu

  • @mariamjuma743
    @mariamjuma743 ปีที่แล้ว +5

    Leo wa kwanza 🤣🤣🤣🤣 Asnte Anko J 😅🤣❤️💕

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      🎉🎉🎉😂😂 Saaaafi

    • @leahmajaliwa6575
      @leahmajaliwa6575 ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ ankojay naomba link ya WhatsApp

  • @adijampoyo2154
    @adijampoyo2154 ปีที่แล้ว

    nashukuru kwa simulizi zenye. mafunzo na mazingatio!

  • @bellabelle1593
    @bellabelle1593 ปีที่แล้ว

    Asante sana.kwasimulizi nzuli
    Tunakupenda sana
    From🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @user-sb4fj9iq6f
    @user-sb4fj9iq6f 2 หลายเดือนก่อน

    Kujifia tu ankoj❤❤

  • @REY_KATUNI1
    @REY_KATUNI1 ปีที่แล้ว +5

    SOMO yangu kafanyaje tenaa😂😂😂REHEMA❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +3

      😅😅😅 kaharibu huku

    • @mwanaally4972
      @mwanaally4972 ปีที่แล้ว

      Ank naitaka hii part 2 nailipiaje jomon😂😂

    • @matridamgani8862
      @matridamgani8862 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @ritaisaya1424
    @ritaisaya1424 ปีที่แล้ว +3

    Wow kitu kipya ❣️❣️

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Yeeeeaaah😊

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Anko jay kwa kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +2

    Lete mzigo anko jay simulizi tamuu

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Ahsante sana

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 8 หลายเดือนก่อน

    Amazing Ankojay 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @laymallya178
    @laymallya178 ปีที่แล้ว +2

    Ankojay mwendelezo uwe leo

  • @Amenah-ll5ys
    @Amenah-ll5ys ปีที่แล้ว +1

    Jamani Ankoj anapenda jisifiya uyoo 😀😀😀😀😀😀nisifiye namimi kidogo basi Amina

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 ปีที่แล้ว

    Shukran sanaa brother god bless you

  • @SakinaAndrew
    @SakinaAndrew 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anko jay unanifurahisha

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 ปีที่แล้ว +1

    Salute sana Lisa and Jay much love ❤❤

  • @EstherJoram-gt4lt
    @EstherJoram-gt4lt 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja san Anko jay

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Asante anko
    Dah nilikuwa nasubiria kwa hamu

  • @khadijaallykhadijaally665
    @khadijaallykhadijaally665 ปีที่แล้ว +3

    Tuletee tumemaliza tayar😊

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana lna mafunzo Asante Anko J na Lissa Mwala tuharakishie na 2

  • @aminajumashakombo1549
    @aminajumashakombo1549 11 หลายเดือนก่อน +1

    Anko jay nakupenda😂❤Njoo nkupe simuliz yngu unisomee pekeangu

  • @AishaAljadidi
    @AishaAljadidi 2 หลายเดือนก่อน

    Nacho mpendeya anko jy asunili kusifiwa anajisifu mwenyew 🤣🤣🤣❤❤❤❤

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 ปีที่แล้ว

    Ayiii waoooo kitu na box sante ankjay na lissa akee❤❤

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn ปีที่แล้ว

    Nakupenda sn anclejy mungu azidishe kipaji chako

  • @SumayMasindi
    @SumayMasindi ปีที่แล้ว +3

    Watu wa Tanga oyeeee

  • @mmlml
    @mmlml ปีที่แล้ว +1

    Margaret saudi Arabia napenda sana simulizi ❤anko Jay

  • @queenjojo7231
    @queenjojo7231 ปีที่แล้ว +2

    Muendelezo anko Jay love you ❤❤❤

  • @SumayMasindi
    @SumayMasindi ปีที่แล้ว +4

    Ewaaah

  • @user-gg5zu7bp6z
    @user-gg5zu7bp6z ปีที่แล้ว +1

    Waaah kumbe kweli kila mtu anamapito yake tofauti na ya wengine hakika kazi duniani ipo tena yenye haihitaji usaini cheti wala leseni ila MUNGU atuwezeshe kuishinda yote kila wakati

  • @mwanahawamsafmsafiri
    @mwanahawamsafmsafiri ปีที่แล้ว +3

    Pat2 jaman

  • @Mopao17
    @Mopao17 ปีที่แล้ว

    Mmmhhhh Mimi pia nimemaliza Asante Lisa

  • @lillykuiname69
    @lillykuiname69 ปีที่แล้ว

    Anko Jay uongo mbaya kwa kweli nakupenda please 🙏 hivi umeoa😢

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 7 หลายเดือนก่อน

    Anko j unavituko sana daaa nakupenda buree❤❤❤❤

  • @SheilaDoto-jo7jc
    @SheilaDoto-jo7jc ปีที่แล้ว +1

    Me naenjoy voice yako anko j❤️❤️❤️🙏🙏🙏

  • @anastaziasanga
    @anastaziasanga ปีที่แล้ว +2

    Tulikumisi sana madame Lissa Asante Kwa kitu kipya musimuliaji wetu Sasa bomba 🤣🤣🤣

  • @mulhathamid6059
    @mulhathamid6059 ปีที่แล้ว +2

    Anko j leta nyengine please 🥺🥺

  • @MasikaPacheli
    @MasikaPacheli 9 หลายเดือนก่อน

    Sauti yako anko daaaaaa na enjoy sauti tuuu

  • @risperwangari4879
    @risperwangari4879 ปีที่แล้ว +1

    Ankojay 🔥🔥🙋mbarikiwe na Lissa Mwala

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 eti mechi yajana ulionaje 😂😂😂

  • @jaclynnj
    @jaclynnj ปีที่แล้ว

    Lete party two 😂❤

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 ปีที่แล้ว +2

    Leo mdogo wangu rehema ngoja tumskie Ana nini? ❤Ankojay

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว

    Ahsante dear Lissa na Mr Jay tuna enjoy pia kujifunza mengi Mungu awaongeze maarifa Zaidi,,,eee na bora Jay umeitisha chai maana sio kwa kupiga miayo huko 😂😂😂😂

  • @user-ip6hb1nq2u
    @user-ip6hb1nq2u 9 หลายเดือนก่อน +1

    Rehema vumiliya hiyo mechi ukichoka kanyanga 🏃🏃🏃🏃😂😂😂😂 vumiliya kamududu

  • @user-xb9md9yi7u
    @user-xb9md9yi7u ปีที่แล้ว +1

    We kungwi weeeeee😚😚😚😚

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 ปีที่แล้ว

    Ank mm kitakubania kama unavyonibania
    Vikopaaa❤

  • @popod177
    @popod177 ปีที่แล้ว +2

    Thanks jay..so satisfying

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank you too

    • @neykubyo3932
      @neykubyo3932 ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ tunangoja mwendelezoo

    • @mwanaally4972
      @mwanaally4972 ปีที่แล้ว

      Ank hii part 2 ntaipataje

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Ankojay

  • @fentafesh9790
    @fentafesh9790 9 หลายเดือนก่อน

    Fantastic 💯

  • @Bintinurumwaliphonzo-qd8zt
    @Bintinurumwaliphonzo-qd8zt ปีที่แล้ว

    Mashaallah broo

  • @user-ep9rd5mx4b
    @user-ep9rd5mx4b 2 หลายเดือนก่อน

    Matangazo yamekua mengi sanaa

  • @Adonai810
    @Adonai810 ปีที่แล้ว +2

    AMAZING STORY ANKO JAY

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😊😊😊😊

  • @user-lx3bs3iq8t
    @user-lx3bs3iq8t ปีที่แล้ว

    Jamn ningekua me rehema niaingeweza yaan at bab angesemaj ningerud kwetu jamn maisha ay

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante anko jay tuna enjoy na simulizi zako tamu sanaa 😂😂

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 ปีที่แล้ว +1

    Twakupenda bure❤❤❤❤ Anko J Kenya Nairobi napenda kazi yako nzuri be blessed

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว

    Yan ni 🔥🤭😂🤣 asante Anko Jay 🙏

  • @sumeiyamaddy95
    @sumeiyamaddy95 ปีที่แล้ว +1

    Tuleteee part two

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว

    Asante nimekaribia twende nalo Anko J

  • @jamilahussein1071
    @jamilahussein1071 ปีที่แล้ว +1

    Ankojey yaonyesha umchoka sna jm unapiga miayo mpka bc 😆😆😆😃

  • @rehemasharifu8985
    @rehemasharifu8985 ปีที่แล้ว

    Ni tamu sana!!!!ila anko j uko mwisho hatari kaaa 😂😂😂😂

  • @fedhaathuman-sd2id
    @fedhaathuman-sd2id ปีที่แล้ว

    Kwer tena ank mass mawiri so meng 2na kusubiri wew 2 uret pat2

  • @user-di5td5gt4u
    @user-di5td5gt4u ปีที่แล้ว

    Nime wahi kabisa❤❤

  • @linetnyairabu9493
    @linetnyairabu9493 ปีที่แล้ว +1

    anko jay i salute u im from kenya mombasa twakubali kazi yako God bless ur job

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much 😊🎉

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee part 2 Anko jay❤

  • @mayasamayasa1205
    @mayasamayasa1205 ปีที่แล้ว

    Jmn ndugu hawa bac tu❤❤

  • @lovenesshadson3559
    @lovenesshadson3559 ปีที่แล้ว +2

    Anko jay ivikukupenda wewe ni shingapiiii jamani 😂😂 mie nakupenda to much yani nyang'anyang'a❤️❤️

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @MerissahFlavour
    @MerissahFlavour ปีที่แล้ว +1

    Tupe part two please

  • @judyauko8134
    @judyauko8134 ปีที่แล้ว

    Anko Jay masifa😂😂😂😂nakupenda bure mwanangu. Kongole pamoja na Lisa Mwala. Part 2 usicheleweshe tafadhali ❤❤❤

  • @salhakristina9434
    @salhakristina9434 ปีที่แล้ว

    Ankojay asante kwa simulizi zuri 😊😅

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 ปีที่แล้ว

    Ankoj plz part 2 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Ankojay simulizi zako huwa na mafunzo mengi, I will continue supporting you😍😍😍

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Thank you so much 😊

    • @graceshansila
      @graceshansila ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ Asante Ankojay nakupenda Bure❤️❤️

    • @graceshansila
      @graceshansila ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ unasauti nzuri sana

  • @moajaki8566
    @moajaki8566 ปีที่แล้ว +2

    Eeei watu mko rada 😂😂

  • @rehemasharifu8985
    @rehemasharifu8985 ปีที่แล้ว

    Anko j😄 rehema wajina wanguu😄😄😄😄

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว

    Amazing story

  • @moreenfelluzy3243
    @moreenfelluzy3243 หลายเดือนก่อน

    Watu wanakoment wa kwanz wakat hat simliz hawajaisikiliza guys jmn 😂😂😂😂

  • @evelinazaina2455
    @evelinazaina2455 ปีที่แล้ว +1

    Part 2 jamani ankojay 😊

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Anko unasimulia vzr💥🔥🔥

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana 🙏😊

  • @JenniferBenson-kp4hg
    @JenniferBenson-kp4hg 11 หลายเดือนก่อน

    Ila ndung Wana bowa sana kaaah