ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Safi sana, biashara halali kabisa. 👍
Hongera sana nimekupenda creative xna
Habar za US kaka Yasin , Mungu akubariki nimefurahi
Hongera sana kaka ,,Mungu akusimamie
Hii imekaa vizuri xn, heko
♥️♥️♥️♥️big up bro
Angekuwa huku angekutana na migambo, anachafua jiji
Njoo ufanye Tz au Zanzibar utaambiwa unahujumu uchumi hutaki kulipa kodi kwa7b hujakodi mlango
Sasa iyo bussness license c ndio anolipia ndio Kodi yenyewe iyoo uko ndio huko kila kitu kinalipiwa
Ongera sana mzee tunataman kuiga ukifanyacho
Mwandishi nikufundishe jambo.Usikurupuke tu na kuvaa kofia inayouzwa bila kuomba tishu ama kitambaa chepesi cha kutanguliza kichwani vinginevyo unaichafua bro
Mwandisi anadhan ni bongo😂😂
Under the carpet ....hao sio Kama unavowajua ....we jaa kichwa Kama chura wa nchi kavu.....😂
Madawa nn?
KAMA UMEKUJA HAPA BAADA YA KUSIKILIZA INTERVIEW NA MANARA KWA TUHUMA ZA KUGAWA VITABU VYA KUSHAWISHI USHOGA GONGA LIKE HAPA
Pia jitahidi sana kuekeza kwenye timu ,,,mbele utaona mafanikio
Kwa Tanzania hiyo biashara haiwezekani hakuna wateja wa kusapoti hiyo biashara
Masha'Allah
Xafi xn Mzee
Maashallah
Uliza kuhusu kodi
MSIWATIE WATU MOTOO, HUO NI UWONGO UMTUPUU.HIYO MILIONI TANO NI KAMA DOLA 2600/=. LAKINI HAPOBADO HUJALIPA USHURUU.
Wow
Duh
Nakubali
Waau ujenagarikamahilo nalipenda
angekua huku lazima migambo wangemfukuzia mbali
Europe pia kuna vyakula Kama hinyo
Mwambiye atowe namba
Kapuya? Related to Professor Kapuya
Nadhani mwingine anaitwa Yahaya kapuya
Ni ndugu
😅😅😅 maulid we n mjanjamjanja sn.
Jamaa promoti mwenzio
Mtangazaj anamiemko
Namba zake nataka kununua kofia
Utaweza bei wewe
Usukuie uko siyo goli paka wewe
Safi sana
😁😁😁😁
Safi sana, biashara halali kabisa. 👍
Hongera sana nimekupenda creative xna
Habar za US kaka Yasin , Mungu akubariki nimefurahi
Hongera sana kaka ,,Mungu akusimamie
Hii imekaa vizuri xn, heko
♥️♥️♥️♥️big up bro
Angekuwa huku angekutana na migambo, anachafua jiji
Njoo ufanye Tz au Zanzibar utaambiwa unahujumu uchumi hutaki kulipa kodi kwa7b hujakodi mlango
Sasa iyo bussness license c ndio anolipia ndio Kodi yenyewe iyoo uko ndio huko kila kitu kinalipiwa
Ongera sana mzee tunataman kuiga ukifanyacho
Mwandishi nikufundishe jambo.
Usikurupuke tu na kuvaa kofia inayouzwa bila kuomba tishu ama kitambaa chepesi cha kutanguliza kichwani vinginevyo unaichafua bro