Hapa Afrika kuna nchi nne ambazo ni Nigeria, Kenya, Somalia na Rwanda ndio wanajua kushirikiana wakiwa nje ya nchi yao. Na Moja ya nchi Africa ambayo watu wake hawana ushirikiano ndani na nje ya nchi ni Tanzania. Roho mbaya ndio katiba yao
Maashallah kwetu watazania tukiwa na moli kama hiyo basi Tutasema Raisi Samia Suluhu anatumia pesa za WANAINCHI kama anavyo taka sisi tutabaki hivi hivi tu wenzetu wanakwenda EXTRA MAIL SIO WAKUTAKA KAMA WENZETU BRO😭😭😭😭
@@zaddysenemy2291 you should ask urself story za alshabab na pia watu wanakubaliwa kuingiaarekani na kwengineko hata hapa nilipo wasomali kibaaao. Wee jifungie tu sebleni kwako utizame BBC na usisome chochote. Halaf siku roho yako ikitolewa ndo utajua kama ni Alshababu au Alshabibi.
@@zaddysenemy2291 I'm not gonna respond your question because you're cheap quality material maybe you're jealous with others success be happy with your monthly food card enjoy tax payers money 💰
Tukiwa Nje ya Tanzania hakuna mtu anae itwa mtanzania, kuna mZanzibara na Watanganyika, roho zetu huku tunazijua wenyewe, Mwenyezi atunusuru, alafu hao jamaa dini imewasaidia kuinuana
@@gangmore9091 Muungano ndio unapelekea Wazanzibar wakiwa Nje nchi kumchukia kila mtanzania sio? Nani alikuwepo wakati Nyerere na Karume wanasaini ,ndugu zetu hamjali kama mtu Ni muumini mwenzenu au lah mnachoangalia Ni Uzanzibar sehem yeyote mlioko, MNA Kibri, Kibri ni nini? Kukataa haki na kuwadharau na kuwabagua wengine, tabia ya kijahiri ya Waarabu wajinga
@@ndukulusudikucho_ hizo hisia zako hata huku bongo watu wanabaguana hata hao wazungu wanabaguana swala la kubaguwana kote duniani lipo kama ujanifahamu nimekusudia nini ungeuliza Mfumo wa Mungano ndio sababu y kupelekea kuwa n makundi mawili unafahamu mfumo wa Mungano ulivo???
@Mohamed Elmi Tena huku UK ndo balaa umaskini upo kwa sehem kubwa wengi kazi porojo hawawezi hata kukupa connection mtu anakwambia kaishi huku 20 years ila hana mbele wala nyuma, Mungu atusaidie kwa kweli
Tanzania tunaongoza kwa amani Africa mashariki lakini naushikamano lakini tukiwa inje ya inchi hatuna ushirikiano by Fosill nikiwa jijini Nairobi Kenya east Afraca
Watazania ukitukuta ulaya tuko na roho zetu za korosho yaani mtu anaweza kuona umefungua mgahawa basi ni bora wazungu wanaweza kukuungisha kuliko mt mwenzio
Ukija ubelgiji nitafute nikuonyeshe mitaa ya matonge huku Brussels hapo ukiingia ni kama huko Africa kabisa ukitaka muhogo yuko ndiozi mkono tembo papa sangara omena hata kambare
Sio kweli Tz hawana ubaguzi wa aina hiyo. Wasomali wanaishi vizuri sana ndani ya Tz na wanashirikiana vizuri na wa Tz. Ukiongelea wahamiaji ambao hawana kibali chochote najua kila nchi ina sheria zake katika kulinda Amani ya nchi huwezi kuingiza watu kiholela Tu na ulinzi uko kila nchi duniani kote. Nawajua wasomali wengi wanaoishi bongo ambao wana enjoy maisha na hawataki hata kurudi nchi Yao.
Wabongo tupeaneni makonnection asee ya majob kam vip sio unaenda mambele unaon fursa zipo unastay queit sio poa toen hat detail za maagent huk tuwasilian nao hiy inatosha kabisa maan tutapat full information then we are going to work on it. Tupendan wabongo
Somalis ni wachapakazi wherever they are@ Kitenge sio wasomali wote wametoka mogadishu wengine wamezaliwa marekani halafu pia jifunze ngeli upige kotekote
Wa ndugu zetu, na ishi jamhuri Somalia na Jamhuri ya Kenya, So you can't geographically position them. The whiteman divided our motherland Africa. Hutujui mipaka sisi Wa Afrika.
They never lose their somali identify. Thats beautiful ❤️😍
America is really a welcoming country.
I pray Somali can also allow others do so in their country. We are all one from the same creator
Go to somalia at your own risk
@@zaddysenemy2291 🤣🤣🤣🤣🤣
What in God's name would you going to Somalia to do?Are you the only one who has never heard what happens to
@@raelchepchirchir4728 na hatujakualika stay in your lane😏
Ma"Sha"ALLAH i am Proud of All Somale
I used to come to this mall years back for very good food. 🔥🔥🔥it has really grown.
Mashallah utadhani upo marikiti mombasa. Allah abariki biashara zao waendelee kuuzia waislamu nguo za stara hata wakiwa ulaya. Mashallah
allah ibarik.
Hapa Afrika kuna nchi nne ambazo ni Nigeria, Kenya, Somalia na Rwanda ndio wanajua kushirikiana wakiwa nje ya nchi yao. Na Moja ya nchi Africa ambayo watu wake hawana ushirikiano ndani na nje ya nchi ni Tanzania. Roho mbaya ndio katiba yao
Uko sahii kabisa
Kweli kabisa
Poleni sana waTanzania jirani yetu Sisi waKenya. Kumbe ule ndugu na dada ni ya mdomo tu. Jameni jikomboeni na uhasidi.
we umeishi na watu wa nchi hizo zote ndani na nje ya nchi?
Ungekuwa uko karibu ningekununulia soda
Maashallah kwetu watazania tukiwa na moli kama hiyo basi Tutasema Raisi Samia Suluhu anatumia pesa za WANAINCHI kama anavyo taka sisi tutabaki hivi hivi tu wenzetu wanakwenda EXTRA MAIL SIO WAKUTAKA KAMA WENZETU BRO😭😭😭😭
Minnesota ni state ya wasomalia,yaani halal food is everywhere na nikama somalia 🇸🇴,I like it,Sala 5 muhimu
What about alshabaab?
@@zaddysenemy2291 you should ask urself story za alshabab na pia watu wanakubaliwa kuingiaarekani na kwengineko hata hapa nilipo wasomali kibaaao. Wee jifungie tu sebleni kwako utizame BBC na usisome chochote. Halaf siku roho yako ikitolewa ndo utajua kama ni Alshababu au Alshabibi.
@@zebusdaughter8158 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@zaddysenemy2291 I'm not gonna respond your question because you're cheap quality material maybe you're jealous with others success be happy with your monthly food card enjoy tax payers money 💰
@@zebusdaughter8158 umetisha👊👊
wabongo wengi roho mbaya sana na hili linasababishwa na ubinafsi wenzetu wana umlja sana ndo mana wanaweza kutoboa.
Almost everyone understands swahili, thoss who understand it are mainly kenyan somalis
swadacta
Safi sana Kitenge kazi nzuri sana iyo....
Tukiwa Nje ya Tanzania hakuna mtu anae itwa mtanzania, kuna mZanzibara na Watanganyika, roho zetu huku tunazijua wenyewe, Mwenyezi atunusuru, alafu hao jamaa dini imewasaidia kuinuana
Tatizo Mungano hapa huku pia kuna Wazanzibar na Tanzania ukiacha uko Nje Mtihaniii
@@gangmore9091 Muungano ndio unapelekea Wazanzibar wakiwa Nje nchi kumchukia kila mtanzania sio? Nani alikuwepo wakati Nyerere na Karume wanasaini ,ndugu zetu hamjali kama mtu Ni muumini mwenzenu au lah mnachoangalia Ni Uzanzibar sehem yeyote mlioko, MNA Kibri, Kibri ni nini? Kukataa haki na kuwadharau na kuwabagua wengine, tabia ya kijahiri ya Waarabu wajinga
@@ndukulusudikucho_ hizo hisia zako hata huku bongo watu wanabaguana hata hao wazungu wanabaguana swala la kubaguwana kote duniani lipo kama ujanifahamu nimekusudia nini ungeuliza Mfumo wa Mungano ndio sababu y kupelekea kuwa n makundi mawili unafahamu mfumo wa Mungano ulivo???
Wasomali wanahatar ndio maana hawatak kuwapa Aman katika nchi yao...wenzetu wanaweza sio ss watanzania kaz rohombaya tuuu Chefuuuuuuu
Sio wabongo tuuu, asilimia kubwa sie weusi roho mbaya na majungu ndo tunaweza
@Mohamed Elmi Tena huku UK ndo balaa umaskini upo kwa sehem kubwa wengi kazi porojo hawawezi hata kukupa connection mtu anakwambia kaishi huku 20 years ila hana mbele wala nyuma, Mungu atusaidie kwa kweli
@@spreadlove5300 hata Canada wabongo wanaroho mbaya sana angalau watz wanaoishi Calgary wanaumoja
@Mohamed Elmi are you somalian
Tanzania tunaongoza kwa amani Africa mashariki lakini naushikamano lakini tukiwa inje ya inchi hatuna ushirikiano by Fosill nikiwa jijini Nairobi Kenya east Afraca
Warya Mr kitenge serekali ya kwenu inawabagua wasomali sana...
Wasomali wenyewe wanabagua wasomali wenzao juu ya qabiil
Ubaguzi ni asili ya binadamu, sema inatofautiana kulingana maeneo uliyokulia Warya.
sas maca!!
us somalis where we go we will ever be somali. kenya is our second country
Watazania ukitukuta ulaya tuko na roho zetu za korosho yaani mtu anaweza kuona umefungua mgahawa basi ni bora wazungu wanaweza kukuungisha kuliko mt mwenzio
Sio WaTanzania wote mkuu usiongee kwa ujumla hata hao wasomali wote wanapendana
Masha Allah wana umaja 😍
Maa shaa Allah
This Askari is so lovely
Those are Kenyan Somali. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
mashallah my family
Beautiful.
Ukija ubelgiji nitafute nikuonyeshe mitaa ya matonge huku Brussels hapo ukiingia ni kama huko Africa kabisa ukitaka muhogo yuko ndiozi mkono tembo papa sangara omena hata kambare
Mwakasidi digo moja hiyo😅😅
Good good 👍
wow i love that❤
Mtangazaji waache wasomali na maisha Yao huko kwenu Tanzania mnawabagua.
Hacha uongo
Sio kweli Tz hawana ubaguzi wa aina hiyo. Wasomali wanaishi vizuri sana ndani ya Tz na wanashirikiana vizuri na wa Tz. Ukiongelea wahamiaji ambao hawana kibali chochote najua kila nchi ina sheria zake katika kulinda Amani ya nchi huwezi kuingiza watu kiholela Tu na ulinzi uko kila nchi duniani kote. Nawajua wasomali wengi wanaoishi bongo ambao wana enjoy maisha na hawataki hata kurudi nchi Yao.
Wabaguliwe vip wakat na wao ni waafrika acha ujinga sote ni ndugu au wasomali wanajiona waarabu wakat ni weus tu
right 😂😂
Hamza
Naomba KUKUTANA na MAULIDI KITENGE
Maulid kitenge usishangae na sisi wasomali.
Tabia ya biashara sisi hurithi kutoka kwa wazazi.
hahahahaha. cabty
Wasomali wakenya haya
This is good, really good.
Video nzuri sana.....wa Somalia wakona umoja sana..
mashaallah.
Amina 🙏🇹🇿🤔
Wabongo unoko mwingi
Wabongo tupeaneni makonnection asee ya majob kam vip sio unaenda mambele unaon fursa zipo unastay queit sio poa toen hat detail za maagent huk tuwasilian nao hiy inatosha kabisa maan tutapat full information then we are going to work on it. Tupendan wabongo
Bila vita Somalia ingekuwa mbali sana kiuchumi hawa watu ni wachapakazi sana
Na shida kubwa Somalia ni mafuta na hili watu wengi hawalijui
Nice
Proud kenys
Hadi raha
Tutaweza vip ikiwa tunaanza kukwamishwa na serikali yetu ya tanzania, kwa mfano ukitoka nje na kurudishwa unafungwa jela
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MashaAllah Good life
RIP hamza
Huyo jamaa kafa?
Wasomari wako vizuri wakitoka nje ya kwao
what’s your point?❓❓
maulid . Nakuona unaupg mwing hko ulayaa
Hata pale Dubai kuna mtaa wa wasomali
BRO KITENGE NAOMBA KUONANA NA WEW
Utadhani ni marikiti Mombasa
💯😂😂😂😂🙌🏿
Mwembe tayari
American inchi yakila kabila duniani....maisha Kama haya hakuna China...hakuna Urusi
kwel bro
Plz nimejaribu Sana kukutafuta lakn bado sijafanikiwa
Somalis ni wachapakazi wherever they are@ Kitenge sio wasomali wote wametoka mogadishu wengine wamezaliwa marekani halafu pia jifunze ngeli upige kotekote
Tupe mawasiliano ya huyo ndugu yetu msomali
Hao wanakadi ya kijani nadhan kuipewa ile lazma uchunguzwe na USA vizuri,wakirud somali alshababu watawachukulia kama Vibaraka
Safi kwa kuutupa vitu wa bongo
Wa ndugu zetu, na ishi jamhuri Somalia na Jamhuri ya Kenya, So you can't geographically position them. The whiteman divided our motherland Africa. Hutujui mipaka sisi Wa Afrika.
Noma sana
Hao ni Wasomali kutoka Kenya sio Somali
mbona unajizonga
@@afropanorama4730 kwani wewe hauskii kiswahili Chao ni Cha kenya
@@mwamudmohamed5566 ata watokee wp bado ni wasomalia
@@afropanorama4730 Sasa what is your point of argument nkt!
Nyanyako na nyanyake ndio wa kenya ... Siku zote jua kwamba msomali ni msomali.
Do they have Al shabab there?
Kamati ya roho chafu
Tumia akili kidogo.
WASOMALI SIKAMA WAKIKUYU MUNACHUKIANA HATA HAMUSAIDIANI HUKU USA
Al shabab is Arabic word meaning youths..
No there's on single of them we should kick their ass.
Lakini wunba miingi Sana don't worry either we should kill or capture them soon.
Nimekubali hii
Tanzania shinda Yao ni wivu na ubinafsi
Ni miji yote? mana marekani kubwa sana.
Safi habari
Ok
watanzania tuna roho za kichoyo
Oyo
Roho za wazungu tafauti na na waarabu sure
fafanua kaka
Kivipi
Jambo
Warudi nyumbani !!!!!!!! Nyumbani ni nyumbani
akuu namabom je
Marundi yako
WATARUDI TU HUKO WAMEENDA KUTAFUTA