jinsi ya kuandaa aloevera dawa ya asili ya kutibu kuku
āļāļąāļ
- āđāļāļĒāđāļāļĢāđāđāļĄāļ·āđāļ 15 āļ.āļĒ. 2024
- katika video hi utajifunza jinsi ya kuandaa aloevera kwaajiya kutibu maylnkwa mengi ya kuku mwishoni mwa video hi nimekuwekea magonkwa 5 yanayotibika kwa aloevera
angalia videos hii jinsi ya kuandaa majani ya mpapai ili yatibu coccidiosis ingia hapa
ððð
âĒ jinsi ya kuandaa dawa ...
#chicken #egg #farming #birds #ayam
I'm very happy with your teaching , understand thanks
Am very grateful,have learned a lot I'll do practically.
Thanks for watching
Ahsante sana
Munhu akubaliki
Pamoja ndugu
Alovela ipi ya kisasa au kienyeji nashindwa kujua nijbu nijue
Ya polini
Mfano Sina Brenda natumia nini ili nipate dawa ikiwa salama
Asante sana Kwa kutuelimisha tiba hii ya alovela
Asante ndugu unaweza share link ya video ili na wengine wajifunze
Je,? Dawa inayoweza kutibu kideri ni ipi?
Umetoa elim nzur san kaka tmejifunza
Karibu sana
Asante sana nimejifunza kitu kipya kumbe mimi nilikuwa nakatkata tu vipande vidogo na kusubiri masaa 12 ndipo niwape
Fanya ivi nilivyo fundisha ifanye kazi vizuri
Je kwa wezangu na mm tuxyokuwa na blenda tutaisagaje?
Njia yoyote unayohisi inaweza kukusaidia
Asantene kaelimu yenye manufa sasa ikiwa mtu hana hiyo blenda atafanyaje?
Utatumia kinu kinachotumika kutwanga karanga