Asante kwa mafunzo yako mama. Swali langu ni kuna wengine wanachanganya , hizo vutu zote umesema lakini huchanganya growers ama wenye wanataga wanachanganya layers mash ni vyema ama sio bora ❤❤from kenya pls🇰🇪🇰🇪
Asante sana my friendi ila mimi kuku wangu sikuweza kuwalea kwa grower ila mwezi wa kwanza niliwapa starter mwezi wa pili nikafullia nikaanza kuwachanganyia pumba naona wamefubaaa niwape nini waendane na muda?ni saso wanamiezi 3
Somo lako imenisahidia sana mimi nimeamza kufuga kuku wakienyeji mwaka jana ile changamoto nimeona ni vivaranga wamepatwa vidoda kwa macho wakiwa wadogo wana kufa.je hio ugonwa tiba yake ni nini naomba unisahidie
Haha hahaaa! Magagura mlongo za magino? Wikeka? Nipo Songea saa hii Mume wangu amekuja kutoa Posa ya pili kwa Wazazi wangu. Nimefndisha sana Chipole hapo enzi za wakina Sr..Bilawaa♥️♥️♥️
Toka nimeanza kufuatilia mafunzo ya ufugaji wa kuku hasa kwa wabongo nimekupenda wewe maana si mchoyo wa maarifa. Mm bado mfugaji mdogo nimeanza na kuku 11 natumai sikumoja namm niwe na uwezo wa kuchanganya magunia mawili kama wewe🥰🥰🥰
Subscribe na bonyeza like . Video hi inaelimisha sana. Niulize swahili unaanza kuwatengenezea chakula baada ta miezi 2? Kwa maana kuwa unawaanzisha na chakula cha dukani kabla hawajafikisha miezi 2?
Uko vizuri dada
Asante mpendwa uko vizuri.
🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Mungu akuongezee ufahamu. Asante kutufungua tunachanganya kienyeji tu. Asante sana dada.
@@lestherusitukanesanasomaam1339 🙏🙏🥰🥰
Dada upo vizuri sana huna roho mbaya, Mungu akubariki.
🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Chokaa ina kz gn
Mimi so mwepesi wa ku-like na ku-share, hapa nimekupa maua Yako. Barikiwa.
🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
Asante sana mdogo wangu ubarikiwe kwa mafunzo yako mazuri.
Kadala ubarikiwe mno naomba no yako'
@@SubiraMwashitete-hj9pd 🙏🙏👆👆
Safi sana uko vizuri ndo mara ya kwanza nimejifumza kitu barikiwa unapoelimisha wengine utazidi kubarikiwa nipo arusha
🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Asante sana dada angu kwa kunipa elimu hiyo
Asante dada ila tunaomba hilo jina la hiyo dawa inayoua bacteria kwenye pumba
Asante kwa mafunzo yako mama. Swali langu ni kuna wengine wanachanganya , hizo vutu zote umesema lakini huchanganya growers ama wenye wanataga wanachanganya layers mash ni vyema ama sio bora ❤❤from kenya pls🇰🇪🇰🇪
Iwe grower au layers unaweza changanya DCP TU sio hizo ingredients hapana rudia kusikiliza tena na tena utaekewa.🙏🙏
Asante dada nimepata some la ufugaji
Ubarikiwe kipenzi.
@@fadhilamsami1837 🙏🙏🙏
We dada mi nakupenda sio mchoyo wa kuelimisha
🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Umenisaidia sana . Nipo arusha
🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Nashukuru madam Kwa maelekezo yote hayo yupo pamoja
🙏🙏🥰🥰
Ubarikiwe sana nimekupata vilivyo
🙏🙏🙏
Asante sana dada
@@MelkizedeckMbilinyi 🙏🙏🥰🥰
Asante kwa idea nzuri na mafunzo mengi
🙏🙏🙏♥️♥️♥️
🙏🙏🙏♥️♥️♥️
No please
Asante Sana ubarikiwe 18:38
Ubarikiwe sana dada
🙏🙏🙏
Good.
🙏🙏
Ungekuwa unatuonyesha hivo vichanganyiko 😮😮😮😮😂😂😘😘
Si ushukuru tu hata nimekusaidia kwani wewe ni kiziwi kwamba husikii jamani😁😁😁
Hili gunia la pumba za mahindi linaujazo gani?
@@CheerfulDominoes-xy6gh 10
Yaaani nimekupendaaa
🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Nimejifunza somo limeingia
Asante sana my friendi ila mimi kuku wangu sikuweza kuwalea kwa grower ila mwezi wa kwanza niliwapa starter mwezi wa pili nikafullia nikaanza kuwachanganyia pumba naona wamefubaaa niwape nini waendane na muda?ni saso wanamiezi 3
Pole my dear umewakosea sana sasa fanya hivi.
Nifanteje my
Duh! Hapo imekula kwako ningumu sana kuwarudisha kwa kweli.
naomba nambazenu ,
@@EdomKisoma ☝️☝️
Nimepokea kitu kikubwa dada Asante sana
🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Nimepata kitu hapa. Asante sana
🙏🙏🙏
Asante sana sana
🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Unaeleweka sana dear❤❤
Asante Kwa mwongozo
🙏🙏🙏
🙏🙏
Mahindi ya kubalaza si lazima kuchanganya?
@@user-qk7of4zp1o Hicho ni chakula cha watoto
ASANTE SANA KWA ELIMU HIYO.
@@MaryNyoni-n7j 🙏🙏
Je dada premix inakazi gani.
Tunashukuru tumejifunza
🙏🙏🥰🥰
Nichumvi yamawe
Naomb mchanganyo wa kuku chotara wa nyama
Somo lako imenisahidia sana mimi nimeamza kufuga kuku wakienyeji mwaka jana ile changamoto nimeona ni vivaranga wamepatwa vidoda kwa macho wakiwa wadogo wana kufa.je hio ugonwa tiba yake ni nini naomba unisahidie
Hiyo ni Ndui tafuta video yake hapa kadala utaiona🥰🥰
I naitwa L-Acid
🙏🙏
Vumba mini?
Nakupata sana npo magagura ntakupiga kwenye no yangu xmas njema kadala (wise wife)
Haha hahaaa! Magagura mlongo za magino? Wikeka? Nipo Songea saa hii Mume wangu amekuja kutoa Posa ya pili kwa Wazazi wangu. Nimefndisha sana Chipole hapo enzi za wakina Sr..Bilawaa♥️♥️♥️
Hiyo chumvi ya nguruka inapatikana wapi?
Samahani mi mgeni naomba unisaidie kuku saiso wanatakiwa waanze kula pumba za mjinga miezi mingapi
Za mjinga,?
Toka nimeanza kufuatilia mafunzo ya ufugaji wa kuku hasa kwa wabongo nimekupenda wewe maana si mchoyo wa maarifa. Mm bado mfugaji mdogo nimeanza na kuku 11 natumai sikumoja namm niwe na uwezo wa kuchanganya magunia mawili kama wewe🥰🥰🥰
Mungu akujalie kwa kadiri unavyohitaji🥰🥰🥰
Asante Sana
Unafugia wilaya gani mama?@@KADALAtv255
Tayari nimesubscribe, sasa kazi kwako uendelee kutufundisha, usichoke!!!
@@jeremiahbhulituma855 😁😁😁nitawafundisha kwanza issue ya Mama yangu ikae sawa apone🥰🥰🙏🙏
Naomba no zako za simu
@@RahmaAbuubakar ☝️☝️
Naomba unisaidie kuchanganya chakula wa broiler
Angalia video zilizotangulia zipo kama 3 za kuchanganya chakula♥️♥️
🙏🙏🙏
🙏🙏
Nimetafuta hizi ingredients lakini baadhi hazipatioani. Umenishaidia sana Mimi natoka kenya
Pumbazamchele hizi.tunazoweka chini Kama maranda
No!
Mahindi uwekiii
Hapana
Subscribe na bonyeza like . Video hi inaelimisha sana. Niulize swahili unaanza kuwatengenezea chakula baada ta miezi 2? Kwa maana kuwa unawaanzisha na chakula cha dukani kabla hawajafikisha miezi 2?
@@alexntahiraja2974 Yap, miezi yote 2 ya awali ni chakula cha kiwandani.🥰🥰
@@KADALAtv255 Asante nashukuru sana. Ubarikiwe
Nafunga kienyeji nifanyeje jaman magonjwa yananisumbua sana
Fuatilia hizo vide
Tumepnda maelezo yko unaelez vzur dada ila naomba namba yko pliz
Unaanza kuwapa mbogamboga wakiwa na mda gani
Wanapoanza mwezi wa 3♥️♥️
Naomba namba yako
☝️☝️☝️
naomba no yako
Zipo hspo☝️☝️☝️🙏🙏
Kwann umesahau Ile dawa lkn😂
@@yesayamwamakasi4792 Ubinadamu
@@KADALAtv255 ukikumbuka basi
Z
Na dcp kwenye maji wanakunywa kwa mda gani
Sikiliza vizuri☝️
Unaweka kiasi gani cha DCP ya unga kwenye maji kila siku?
Vijiko vya chaku 2/3
Naomba namba yako
☝️☝️☝️