JINSI YA KUTUMIA CHUMVI YA MAWE NA MAJI KUFUNGUA NJIA YA MAFANIKIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #knowledgeforyourfuture
    #fafanuomedia
    #tujengemahusiano

ความคิดเห็น • 278

  • @Joannekesa-cc2ib
    @Joannekesa-cc2ib ปีที่แล้ว +25

    Aaaah nimejaribu haya yote na Kwa kweli nimeona kazi imefanyika hakika nashukuru Kwa mafundisho na pia nashukuru mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 barikiwa

    • @calvinm.mulamba8257
      @calvinm.mulamba8257 ปีที่แล้ว +4

      Usiwe natoa ushuda kumbe wewe ni mmoja waho

    • @user-ic2rl7gz5z
      @user-ic2rl7gz5z ปีที่แล้ว

      Aksanti kwamafundicho mazuri Mungu akubarikisana

    • @ashunmohd9182
      @ashunmohd9182 ปีที่แล้ว

      ​@@calvinm.mulamba8257hajasema uongo chumvi ni dawa kubwa

    • @sarahisangila8575
      @sarahisangila8575 10 หลายเดือนก่อน

      Naomba nielekeze umefanyaje fanyaje mpendwa

    • @calvinm.mulamba8257
      @calvinm.mulamba8257 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni muongo

  • @richieshaban2931
    @richieshaban2931 ปีที่แล้ว +12

    Asante Sana kaka nimekupata vizur nimenunua gunia la chumvi ya mawe😊

    • @KaumbyaTibenda
      @KaumbyaTibenda 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂khaaa!

    • @safinahamisi-l7k
      @safinahamisi-l7k 8 หลายเดือนก่อน +1

      Safi sana

    • @abubakarimsere
      @abubakarimsere 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @DubaiRolla-rx9nz
      @DubaiRolla-rx9nz 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂umenifanya nicheke wallah 😅

    • @BetyshanaNelima-wg9sd
      @BetyshanaNelima-wg9sd 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 inapatikana wapi tafadhali

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 ปีที่แล้ว +8

    Hae, thanks kwa somo, na nikuulize jinsi gani unaeza tumia mdos amekwajili akupende aache kuchukia na kuonea

  • @Happynesibarongo
    @Happynesibarongo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante. ubalikiwe. mtu. wa mungu

  • @ausitom2578
    @ausitom2578 ปีที่แล้ว +19

    Asante sana kaka,mimi niko uganda ,nina ulizo kidogo hiyo chunvi ikiwa mutu anasumbuliwa nauchawi ukimpikia kwachakula ni aje

  • @HalemaAl-k1j
    @HalemaAl-k1j ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kka mngu azdi kukupa ujasiri umenifumbua macho nmmi mna sikwahali hii niliyo nayo shukran sana😊

  • @philippenzigamasabo7545
    @philippenzigamasabo7545 ปีที่แล้ว +50

    Ahsante sana mtu wa Mungu chumvi ya mawe nilikuwa nasikia wanaizungumzia wala sikuitilia manane sasa kwa mafundisho yako umenifumbuwa macho kabisa n'a nimeamini kwamba kutumia chumvi ya mawe ni kitu muhimu sana nilikuwa napuuzia sana,sasa ndo nimeamini kabisa vile walikua wanasema wengina kwamba ni ukweli mtupu.nilikua nafikilia ni watu wa yutube wanijitafutia hela nama views tu.Ahsante sana ubarikiwe sana.Kingine hujatwambia utatumia chumvi ya mawe mda gani.

    • @FAFANUOMEDIA
      @FAFANUOMEDIA  ปีที่แล้ว +8

      💯💯💯🔥

    • @priscilamroso5827
      @priscilamroso5827 ปีที่แล้ว +2

      ​@@FAFANUOMEDIAchumvi ya mawe ni ile ya kuwapa ngombe au

    • @ausitom2578
      @ausitom2578 ปีที่แล้ว +5

      Cunvi nyeupe

    • @gracemsuya8192
      @gracemsuya8192 ปีที่แล้ว +3

      @@priscilamroso5827 amen

    • @happypetro1687
      @happypetro1687 ปีที่แล้ว +5

      Chumvi ya mawe ni nzuri Sanaa jmn

  • @rehemakajeze9099
    @rehemakajeze9099 ปีที่แล้ว +12

    Unaweza kutumia kuoga chumvi ya maji chooni?

  • @OnesmasMuthini
    @OnesmasMuthini หลายเดือนก่อน +2

    kweli kabisa Mimi natumia chumvi ya mawe kuna muchawi nilimufukuza chumvi ya mawe kiboko cha wachawi

  • @suzanantigonza4208
    @suzanantigonza4208 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki sana nimetumia chumvi imenisaidia sana.

    • @ZahraBabujibabu
      @ZahraBabujibabu 8 หลายเดือนก่อน +1

      Una tumia aje

    • @suzanatweve5857
      @suzanatweve5857 6 หลายเดือนก่อน

      @@ZahraBabujibabu oga kila na chumvi

  • @CarolyneWamalwa
    @CarolyneWamalwa ปีที่แล้ว +8

    Niko mbali Na watoto Wangu Na wanasumbukana sana hata mmoja amekataa kuenda shule,wapili naye nimkojwa sana naomba unisimame Na Mimi mtumishi, nafanya umeiti Kwa ajili yawo

  • @rosemollel2681
    @rosemollel2681 3 วันที่ผ่านมา

    Asante kaka

  • @humairajoys2326
    @humairajoys2326 ปีที่แล้ว +5

    Tunakupenda pia ubarikiwe asant kwa kutujuza

  • @user-mj9lq6jm8z
    @user-mj9lq6jm8z ปีที่แล้ว +3

    Nashukuru sana kwa mawaida yako mszuri, swali ni je? Nawezaje kuipata hapa nchini kenya maeneo ya kisumu

    • @GabrielAngina
      @GabrielAngina ปีที่แล้ว +1

      Hata mimi niko Kenya. Enda kwa maduka ya wahindi yakuuza viungo(spices) utaipata hapo

    • @anitashishi4118
      @anitashishi4118 ปีที่แล้ว +1

      Hello me nko Kenya naenza ipata ni ile chuvi ya kuku?? Ya mawe

    • @mildredsophia7122
      @mildredsophia7122 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@anitashishi4118Sea salt. Buy from spice shops.

  • @masikamagasini-tr5mo
    @masikamagasini-tr5mo ปีที่แล้ว +5

    Jambo nashukuru sana Sasa mutu anaipata wapi Asante kwa mafunjo

  • @chichiereyh
    @chichiereyh ปีที่แล้ว +13

    Mungu akubariki🙏🏾

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu akubariki sana

  • @JuliusShikoli-xd9ey
    @JuliusShikoli-xd9ey 5 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kwa ujumbe huu malimu mu barikiwe sana

  • @insekotv8339
    @insekotv8339 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana❤❤❤❤🙏

  • @WedelAlmas-ns3vd
    @WedelAlmas-ns3vd 9 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana kwa kutufundisha

  • @SoniahMutandwa
    @SoniahMutandwa 19 วันที่ผ่านมา

    Asante nA mungu akubaliki

  • @SussanKenage
    @SussanKenage หลายเดือนก่อน

    Asante nipo kutendes kazi

  • @selinamlali2622
    @selinamlali2622 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa mafunzo mazuri

  • @WinfridaNgonyani-h2j
    @WinfridaNgonyani-h2j 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho

  • @monicahnjoroge3038
    @monicahnjoroge3038 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa mawatha hakika,naomba kuipata chumvi ya mawe,kwangu naishi na popo kwa nyumba.

    • @DerrickBusiinge-fw8lu
      @DerrickBusiinge-fw8lu 11 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwakutuereze

    • @DerrickBusiinge-fw8lu
      @DerrickBusiinge-fw8lu 11 หลายเดือนก่อน

      Lakini nauriza hivi ukioga unatumia sabuni,au ukipiga deki unachanganya nasabuni?au unatumia cyumvitu

    • @MariamRamadhani-xn9vj
      @MariamRamadhani-xn9vj 6 หลายเดือนก่อน

      Tunakupenda sanaa

  • @MukisaDiana
    @MukisaDiana 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mimi naomba unisadie nikipata mume anaondoka masiliano yanaisha hapo naomba hunipe hushauri Asante sana mungu hakubariki

  • @Jay-Ningo
    @Jay-Ningo ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwamafunzo unadupatia kira mara

  • @Dorrypretty
    @Dorrypretty 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen🙏

  • @babalao3250
    @babalao3250 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana

  • @niyonkurualice-mf3ib
    @niyonkurualice-mf3ib 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana tubakupenda pia

  • @agnessndabhalu
    @agnessndabhalu 3 หลายเดือนก่อน

    Asant sana mtumishi barikiwa sana

  • @aminaa3284
    @aminaa3284 ปีที่แล้ว +1

    Asante nitajaribu 🙏

  • @deborashisia9185
    @deborashisia9185 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana ndugu

  • @AishaSaidi-h8v
    @AishaSaidi-h8v 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana nimejifunza pakubwa sana sana

  • @ShamimAbdul-tf3fw
    @ShamimAbdul-tf3fw 21 วันที่ผ่านมา

    Ahsant san 🎉🎉

  • @vickyramadhani7164
    @vickyramadhani7164 8 หลายเดือนก่อน

    Amen sana pastor ❤

  • @IreneKwamboka-h4k
    @IreneKwamboka-h4k หลายเดือนก่อน

    Amen namini kila kitu kitanda sawa

  • @justinekalunga8488
    @justinekalunga8488 ปีที่แล้ว +7

    Nivizuri pia kunywa kwa hio maji kidogo baada ya kuichanga na chunvi? Pia ni vizuri kuiombea?

    • @faustinengayuma6028
      @faustinengayuma6028 6 หลายเดือนก่อน

      Umesema kweli ndiyo maana wachungaji wanaitumia

  • @azizisuleiman5214
    @azizisuleiman5214 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @makesynyamwijra3978
    @makesynyamwijra3978 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana,asante kwa somo zur

  • @MasikaAna
    @MasikaAna 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sn

  • @faithmwende1724
    @faithmwende1724 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen.

  • @iluminatambilinyi5062
    @iluminatambilinyi5062 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtoa mada

  • @FlaviaPhilemonPhilipo
    @FlaviaPhilemonPhilipo 11 วันที่ผ่านมา

    Jamn mm uwa naona giza kwenye macho yangu jmn nisaidie jamn nitumie nn naambiwa nyota yangu.imeshachukuliwa plx nijb

  • @TedyKrisent-ih9xi
    @TedyKrisent-ih9xi ปีที่แล้ว

    Asante kwasomo nzuri

    • @user-hp2ix5wp6i
      @user-hp2ix5wp6i 7 หลายเดือนก่อน

      Asante sana Kwa elimu hiyo

  • @musambyabamu4551
    @musambyabamu4551 7 หลายเดือนก่อน

    Naishi mashariki mwa Congo DRC nashukuru

  • @user-bi1vk7zl2o
    @user-bi1vk7zl2o ปีที่แล้ว

    Asante ubarikiwe

  • @russiaululu7723
    @russiaululu7723 ปีที่แล้ว +1

    Amina kaka

  • @victoriadickson6931
    @victoriadickson6931 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki sana kaka kwa somo zuri sana

  • @davidnziku2492
    @davidnziku2492 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nitumie namba yako nitume Hela ya soda nilisha Fanya hivyo nimeanza kufanikiwa

  • @fatmamayunga6250
    @fatmamayunga6250 5 หลายเดือนก่อน

    asanty jana tu nimepata matokeo

  • @JanetNassary
    @JanetNassary หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunz

  • @robertsanga5390
    @robertsanga5390 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @sumucalikamula2827
    @sumucalikamula2827 ปีที่แล้ว +2

    nashukuru chumvi ya mawe ilinisaidia sana .

    • @EzekiaMalemi
      @EzekiaMalemi 6 หลายเดือนก่อน

      Rafiki tuerimishane uliitumiaje na ilikusaidiaje asante

  • @RachelWahito
    @RachelWahito 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @everlyneimali
    @everlyneimali หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @livaimwakisha1600
    @livaimwakisha1600 ปีที่แล้ว +6

    @FAFANUO MEDIA,
    Chumvi ya mawe ndio inaitwa sea salt

    • @janjaz
      @janjaz 11 หลายเดือนก่อน

      Rock salt

    • @anastasianastasi7515
      @anastasianastasi7515 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@janjaz😂

  • @VailethJonathan
    @VailethJonathan 11 หลายเดือนก่อน

    Daah asante sana

  • @veronicamabula5124
    @veronicamabula5124 ปีที่แล้ว

    Asante sana mfafanuzi

  • @BettyKamete
    @BettyKamete ปีที่แล้ว

    asanti.kaka

  • @digitaltechnology4104
    @digitaltechnology4104 ปีที่แล้ว +3

    Samahani nimetoka njeyamaada weunajulia wapi

  • @AliMohamed-xj9ww
    @AliMohamed-xj9ww 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kakangu naukiyaka kuoga waonga choni amavarandani

    • @DerrickBusiinge-fw8lu
      @DerrickBusiinge-fw8lu 11 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kweri kaka ukiwa unafanyia balabalani unaitumiaje?

  • @Sabinasotola
    @Sabinasotola ปีที่แล้ว +1

    As ante San ❤

  • @SakinaSeif-tt6hf
    @SakinaSeif-tt6hf 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana

  • @deborashisia9185
    @deborashisia9185 2 หลายเดือนก่อน

    Asante ndugu yangu nitaipata wapi chumvi ya mawe?

  • @NeemaBahonya
    @NeemaBahonya 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa kaka.🎉🎉

  • @alimzee
    @alimzee ปีที่แล้ว

    Shukran 🙏❤️

  • @MarcoJoseph-g3f
    @MarcoJoseph-g3f 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante mutumishi🙏🙏 8:01

  • @rosemarry1274
    @rosemarry1274 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa somo,mungu akubariki ❤❤❤❤❤

    • @FAFANUOMEDIA
      @FAFANUOMEDIA  ปีที่แล้ว +2

      🔥🔥🔥💯

    • @KevinHizza
      @KevinHizza ปีที่แล้ว +2

      Chumvi ya mawe inapatikana ktk maduka gani

    • @rosemarry1274
      @rosemarry1274 ปีที่แล้ว

      @@KevinHizza Sasa mwezangu

    • @rosemarry1274
      @rosemarry1274 ปีที่แล้ว

      @@KevinHizza kwa supermarket ask for sea salt

  • @okiringcarol9056
    @okiringcarol9056 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sea salt inapatikana kwa duka gani

  • @user-vh4rz4qp8z
    @user-vh4rz4qp8z 5 หลายเดือนก่อน

    Thats true

  • @user-zg3kh7fm8w
    @user-zg3kh7fm8w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo tayari kuipokea miujiza

  • @katherinekatherine24
    @katherinekatherine24 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana ubarikiwe kaka

  • @AliMohamed-xj9ww
    @AliMohamed-xj9ww 11 หลายเดือนก่อน

    Naukisha kupiga deki kazini maramoja haifaitena marayapili kutumiya kakangu

  • @abdimsagati9667
    @abdimsagati9667 ปีที่แล้ว +4

    Nisawa inasaidia ila kinawatu wamefungwa hatari unatumia lakin hakuna kitu

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 ปีที่แล้ว

      Wakina mimi ao😢😢😢😢

    • @ashunmohd9182
      @ashunmohd9182 ปีที่แล้ว +1

      Msiogee siku moja tu fanyeni kama ni ada yenu

  • @DhahiriHamisi
    @DhahiriHamisi ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @yussufnimbona3247
    @yussufnimbona3247 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jambon nikiw Burundi Bujumbura chumvi hiy inapatikana wapi???

  • @SalestinaMfaume-bx1km
    @SalestinaMfaume-bx1km ปีที่แล้ว +1

    Iyo chumvi ndan ya gras Inadum Kwa muda gan au Kila siku naweka maji Mapya

  • @CandyKenya-y1b
    @CandyKenya-y1b หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌👏👏👏👏

  • @user-eb1hw7lb5u
    @user-eb1hw7lb5u 6 หลายเดือนก่อน

    Asante lakini samahani Chumvi ya mawe kama unaikoga nikiasigani unaweka ndani ya majii

  • @EduTigana-pq6dq
    @EduTigana-pq6dq ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe🙏🙏🙏

  • @faustinengayuma6028
    @faustinengayuma6028 6 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo maana wachungaji wanaitumia kwa kuiombea kisha utaambiwa ukaogee na kudekia ndani na kwenye biashara

  • @TravisCosmas
    @TravisCosmas หลายเดือนก่อน

    Ninamna gani kutumia

  • @BenardAgwacha
    @BenardAgwacha 9 หลายเดือนก่อน

    .ashante mumenifunza..chunvi ya mawa ndio sijaerewa poa vile inabatikana

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 9 หลายเดือนก่อน

    To be continued

  • @JeanKalonji-gr4dg
    @JeanKalonji-gr4dg 6 หลายเดือนก่อน

    Asaate sana kaka

  • @LoisaJumma
    @LoisaJumma 4 หลายเดือนก่อน

    Inauzwa wapi nipo singida nosaidien namim

  • @KimolaFundikira
    @KimolaFundikira หลายเดือนก่อน

    Kila kinachosemwa nisawa

  • @MajulaMpuhwe
    @MajulaMpuhwe หลายเดือนก่อน

    Ishi milele

  • @anitashishi4118
    @anitashishi4118 ปีที่แล้ว

    Hello ni chuvi ya mifugo kama chuvi wa kuku hvi ama?

  • @HalimaMhando-c9d
    @HalimaMhando-c9d ปีที่แล้ว +1

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 ปีที่แล้ว +2

    Naamini asilimia mia moja KBS

  • @user-um1jp2of3b
    @user-um1jp2of3b 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba no yako plss

  • @EdinaEzekiel-f3w
    @EdinaEzekiel-f3w 11 หลายเดือนก่อน

    Je kama unatatizo lakupata wachumba lakini mnakaa ndani yamwezi mmoja tu mnaachana unafanyj kuhs na chumvi hiyo

  • @iluminatambilinyi5062
    @iluminatambilinyi5062 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi naomba kuhusu kumtibu
    Anayekojoa kitandani nifanyeje

    • @jacklynekunikina1540
      @jacklynekunikina1540 ปีที่แล้ว

      My question too

    • @alexandermilanzi9860
      @alexandermilanzi9860 ปีที่แล้ว

      Anayekojoa kitandani loweka mchele kwenye maji halafu mpe maji ayanywe...anywe kidogo tu mara kwa mara

  • @WedelAlmas-ns3vd
    @WedelAlmas-ns3vd 9 หลายเดือนก่อน

    Shukurani

  • @YohanaWanda-v7d
    @YohanaWanda-v7d 10 หลายเดือนก่อน

    Tarime chumvi hivi ni nyingi sana niagize nikulee ulipe nauli

  • @AdijaIrakoze-k1z
    @AdijaIrakoze-k1z ปีที่แล้ว

    Unayitumiya kirasiku ao?

  • @estergunda7595
    @estergunda7595 ปีที่แล้ว

    Nashukul jmn duuuu!!!

  • @faithmwende1724
    @faithmwende1724 8 หลายเดือนก่อน

    Hii ni kweli kaka mungu akubariki.