Well done Mheshimiwa Bashe, hii ni baadhi ya interview chache ambazo zina contents za maana kwa Taifa. Mungu akubariki sana Bashe na hasa kwa kuwa mkweli na muwazi katika mambo unayoyafahamu na hasa yanayohusu Taifa. RIP Rais Dr John Pombe Magufuli, mzalendo wa kweli.
Uko vizuri Sana kijana Bashe kwa usikilizaji na kujibu maswali kwa ufasaha. Kuna wengine wamekuwa na majibu ya AJABU katika kujieleza kuhusu marehemu Dr. Magufuli, wanaweka challenge kana kwamba baada ya kifo chake kumenoga, Tanzania mpya na hata kubeza kazi zake.
Mashallah upo vizuri Sana speech imenivutia najiona sipo mnyonge hayati magufuli kafunza wengi ninaimani tutafika alipo pataka in shaa Allah mungu awasimamie kila sektar zote mungu ailaze pema Rais wetu mpendwa Rais wetu magufuli
Interview moja nzuri yenye contents mujarabu kabisa,,, hizi smart talks twazitaka nyingi hapa TANZANIA kwa ajili ya ku-shape mindset za watanzania wengi
Kumbe baba alikuwa apumziki kwa ajili yetu hakuwa na vacation ndio maana kaondoka mapema hakuwa na muda wa kupumzika dah kapumzike baba umetuumiza Baba yetu jamani
Thanks Mheshimiwa Naibu Waziri Wa Kilimo nimejifunza mengi kupitia mahojiano haya nikiwa chuo cha Paradigms institute of health science Barikiwa Sanaa na Mwenyezi Mungu.
huyu mwandishi anaelewa kuuliza na kumpa mtu muda wa kujieleza na maswali adimu siyo yaleeee tuliyozoea 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
This is one of the best interviews of the 21st century in Tanzania. Mh. Bashe you just said it all, I wish all Africans will watch this interview. I shed a lot of tears of joy to hear Bashe articulating this! RIP Magufuli and Bashe thanks a lot for humanizing him at a level a lot of people could not articulate it. Kudos to Dr. Samia for carrying forward the vision of our nation. Aluta Continua!
Moja kati ya mahojiano mazuri mwaka huu wa 2021. Hongera sana Mheshimiwa naibu waziri wa kilimo ndg. Hussein Bashe kwa namna ambavyo umejibu maswali yote kwa ufasaha. Tunaona uongozo imara na wenye mwelekeo chanya ndani yako. Kama kijana ambaye kila wakati ulipopata nafasi ya kusimama bungeni ulikuwa unatoa hoja zenye mashiko zenye kuleta changamoto kwa serikali na kuifanya kwenda mbele zaidi katika utendaji wake. Maana ya kiongozi ni kuweza kusimamia kile unachokiamini. Ndani yako kuna hazina kubwa sana na tunauona uzalendo wa kweli kwa nchi yako. Tunakutakia utumishi mwema na Bwana Mungu azidi kukutunza na ulinzi wa kimbingu uwe juu yako kwa ajili ya mama Tanzania
kwa mazungumzo ya mbunge bashe mama samia suluhu ana kazi kubwa. kuna viongozi ndani ya ccm hawapendi ukweli mfano nape ridhuwani kikwete janauari makamba na sisi wanchi tuna taka nchi yetu iyende mbele isiwe nchi ya ccm wezi
Bashe umesema ukweli lv you.na hata wewe ktk masuala ya kazi usicheke na wazembe! Na ninakumbuka miezi kama miwili kwenye mkutano wake kuna kitu ulimweleza akasema hadharani amefurahia mawazo yako.ww kijana Bashe chapa kz nakutabiria makubwa mbele na kamwe usivutwe na wale 2014 kaa nao mbali kama ukoma !! Ili watanzania tuje tumuone MAGUFULI ndani yako.💪💪
Uko sawa Bw.Bashe,ni mawazo yako jinsi mlivyofanya naye kazi. Wakati ukuta,mengi yatasemwa, mabaya na mazuri yake, binadamu lazima apakwe mafuta upande,na upande matope,lkn yote ktk yote nilipenda sana misimamo yako ya ukweli, Mungu akuinue Bashe ushike nafasi kubwa zaidi kwa manufaa ya Taifa zima. R I P JPM
HONGERA SANA MH BASHE,NIA AINA YA KIONGOZI NIVIGUMU KUMUELEWA KTK USO WAKE ILA NI KWA VITENDO ANAVYOFITAFSRI KTK HISIA ZAKE ZA DHATI A KIMAAMUZI NA NDOMA JMP ALIKUELEWA BAADADA YA KUKUTAFAKARI NA KUKUELEWA.JPM HE WAS HERO,REFORMER,PAN AFRICANIST,NATIONALIST AND AFRICAN IDIOLOGIST-HUSEIN BASHE
Ahsante sana Bashe kwa kuongea ukweli na uwazi.Napenda sana hoja zako zenye proper mind-set bila unafiki,Mungu akulinde na baadae utakuja kuwa kiongozi mkubwa.
Upo vizuri dada lakini lugha yetu kiswahili tuitunze unasikilizwa au unasikika mbali maneno kama hakunaga au nakwambiaga tujitahidi tuyaache iwe hakuna au nakwambia ushauri tu
Nakuaminia sana Mr Bashe kwa sisi tunaopenda Tanzania business tunajali sana mchango kwa Taifa Tanzania kama kijana .Na nimategemeo na mapenzi yangu kuwa unatakiwa kuwa Waziri kamili na hatimaye kiongozi mkuu zaidi ,it's my overview honestly
Big up Mh. Hussein Bashe. Kati ya watu waliomjua Mwenda zake R.I.P Dr. Magufuli . Mungu akuzidishie Miaka mingi ya kuishi ili utuhudumie kwa kadri ya vipaji ulivyojaliwa na Mwenyezi Mungu kuwahudumia binadamu wenzako hususa Waafrika kwa ujumla.
Ulikuwa sawa kabisa. Serikali ya nne ilikuwa haifanyi vizuri kabisa. Kuna wengine walikuwa wananong’ona. Na ndiyo maana Rais Hayati Magufuli aliweza kukuchaguwa.
Well said brother Bashe, Unaeleza halisi ambacho hata mwananchi wa kawaida atakueleza. Siyo ya kina Nape kuanza kujenga vijihoja vyenye dhihaka ndani yake Nape anasema mama kaja kutufuta macho like if before tulikuwa tunalia!.
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
To my opinion, i think this gentleman deserves a docket of ministry of industry and trade as a full minister should the country wish to see real reforms in that area. Huyu tulietangaziwa bado namuona ni mwanasiasa zaidi kuliko uelewa na utendaji.
Interview hii imenifanya nitoe tena machozi nikimkumbula Baba aliye jitoa Sadaka kwa ajili ya Nchi yake ya Tz. Pumzika Kwa Amani Hayati Dk. JPM uliye kuwa Rais wetu. Daima utaishi Moyoni mwangu. 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Eloquent, intelligent and humble. Keep on training brother, acquiring more wisdom not abandoning empathy on the common citizen. And perhaps someday you will be the shining beacon for Tanzania and Africa as well.
Bashe Rais Magufuli Alikupenda kwasababu yaliyokuwa yanakuudhi ndiyo yalikuwa yakimuudhi. Ulikuwa mukweli na ndiyo maana akakuchaguwa. Umeelezea vizuri na ukweli kabisa. Kila binaadamu ana mapungufu. Mazuri ya Hayati kwa Tanzania ni mengi zaidi ya mapungufu. Ameacha historia ya Mwalimu Nyerere. Wengi walikuwa wakimuimba Nyerere lakini ulikuwa ni uwongo tu. Wote walimugeuka na viwanda vyote wakauza bila ya kujali
Nacho shukuru nikwamba marais wetu wanatoka ktk familia za kawaida kwagiyo nirahisi kutusaidia wanyonge maana maisha ya unyongewetu wanayajua kiundani kbs
Bashe umemuelezea vizuri sana shujaa wetu
Hussein Bashe uko vizuri kazi ya mbunge ni kuishauri serikali na siyo kwenda kulala bungeni keep it up
Safiii sana ubarikiwe umeongea point
Nimeipenda interview hii!Bashe siku zote ni mkweli umemtendea haki my President ❤ apumzike kwa amani 🤲🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mh Rais alikuwa halali kwa ajili ya Watanzania na Tanzania.
Interview nzuri sana. Big up sana. RIP THE SON OF AFRIKA JPM
Well done Mheshimiwa Bashe, hii ni baadhi ya interview chache ambazo zina contents za maana kwa Taifa. Mungu akubariki sana Bashe na hasa kwa kuwa mkweli na muwazi katika mambo unayoyafahamu na hasa yanayohusu Taifa. RIP Rais Dr John Pombe Magufuli, mzalendo wa kweli.
From Kenya but so impressed by this Leader haki Tanzanians you are lucky to be a Tanzania.
Namkubali tena saana watching from kenya😊
Uko vizuri Sana kijana Bashe kwa usikilizaji na kujibu maswali kwa ufasaha. Kuna wengine wamekuwa na majibu ya AJABU katika kujieleza kuhusu marehemu Dr. Magufuli, wanaweka challenge kana kwamba baada ya kifo chake kumenoga, Tanzania mpya na hata kubeza kazi zake.
Kama unaamini bashe anauchamungu ndani yake gonga like
Bashe alikuwa akisema ukweli... Mungu akubariki maana hukuficha ukweli kama wachumia tumbo wengine walikuwa waoga..
Mashallah upo vizuri Sana speech imenivutia najiona sipo mnyonge hayati magufuli kafunza wengi ninaimani tutafika alipo pataka in shaa Allah mungu awasimamie kila sektar zote mungu ailaze pema Rais wetu mpendwa Rais wetu magufuli
Msema kweli ni mpenzi
Wa mungu ,
Tunataka Viongozi wa kweli
Kama Bashe ...
MUNGU Akubaliki Sana
Interview moja nzuri yenye contents mujarabu kabisa,,, hizi smart talks twazitaka nyingi hapa TANZANIA kwa ajili ya ku-shape mindset za watanzania wengi
Mungu ibariki Tanzania ,Buriani JPM
The journalist has done a good job. Congratulations
Bonge la moja ya interview, hongera mtangazaji,hongera sana mh Bashe nakuona mbali sana kama itakua sio figisu za Ccm, be blessed 🙏
Journalist umejitahidi kufanya mahojiano mazuri....Hongera
Kabisa, maswali yake yameenda shule...amefanya maandalizi ya kutosha
Bashe pambana. Mbele yako kuna mazuri zaidi yanakuja mbele yako unachapa kazi kijana
Hongera ww ni uso wa taifa
Moja kati ya Intervew Bora kabisa kwakweli Nimeifuraia sana sana Bashe Namuelewa sana
Excellent. Keep it up Hussein.
Kumbe baba alikuwa apumziki kwa ajili yetu hakuwa na vacation ndio maana kaondoka mapema hakuwa na muda wa kupumzika dah kapumzike baba umetuumiza Baba yetu jamani
@anna John tunaumia.sote ndg 😭😭😭😭cnta msahau apumzike.kwa Amani.
Sn 😭😭😭😭
Bashe uwezo uko juu, endelea kuwa mtulivu na mvumilivu utafika mbali!!Allah sw akuweke!
Bashe pole na msiba pole sana Mungu akupe nguvu pole
Nice interview!! Interview zangu ambazo nimeziangalia Mwanz mpaka mwisho
Haven't changed since school..... MashaAllah. Stay on the truth my brother. May Allah protect you and the legacy of JPM
Tunakukubali brother Hussein bashe , One day Huenda ukawa Rais wetu 🇹🇿 kwa miaka ya mbele, Mungu akipenda .
Rest in Peace Hayaty Magufuli 🇹🇿💔
Nakukubali sana bashe huna makuu na unachapa kazi kwelikwel
Ilo ulilosema apo juu ata likitokea sitakuja Shangaa. Safi sanaa
Allah akubari uje uwe Rais brother nakukubali
Well done Bashe. Keep it up iko siku itajibu.
Thanks Mheshimiwa Naibu Waziri Wa Kilimo nimejifunza mengi kupitia mahojiano haya nikiwa chuo cha Paradigms institute of health science Barikiwa Sanaa na Mwenyezi Mungu.
Broo nakukubali sana upo Okey jipe moyo chapa kazii
Upo makini na kazi yako nenda mbele my broo jipe moyo upo Okey 🙏🙏🙏🙏🙏
Husein Bashe nakutabilia siku moja utakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania maana una hekima sana
Yuko vizuri tumuombee
Unaweza kuwa raisi kaka Mungu akuongoze
Hata mm nitafrah sana
Bashe ana utulivu mkubwa sana wa akili, mstaarabu, muelewa, mkweli, mzalendo. Bashe for presidency 2035. Like if you wish the same
Nimekuelewa Bashe
Bashe unae Akili na uelewa mzuri jùu ya kazi za Ankoo Magufuli.✊🏿
Asante kumbe umempta vzr jamaa yuk vzr so masihara
Huyu Dada anakipaji kikubwa sana. Kwa hii interview anapaswa apandishwe juu 360
Bashe una kipaji. Taifa linakuhitaji. Allah akuhifadhi. By the way, jogoo wako kabambe!
Kweli bashe imeongelea vizuri Sana kuhusu malehemu magufuli
huyu mwandishi anaelewa kuuliza na kumpa mtu muda wa kujieleza na maswali adimu siyo yaleeee tuliyozoea 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Sometime inategemea na mtu unaye muhoji...Bashe anajua kuzungumza na ni mzungumzaji
This is one of the best interviews of the 21st century in Tanzania. Mh. Bashe you just said it all, I wish all Africans will watch this interview. I shed a lot of tears of joy to hear Bashe articulating this! RIP Magufuli and Bashe thanks a lot for humanizing him at a level a lot of people could not articulate it. Kudos to Dr. Samia for carrying forward the vision of our nation. Aluta Continua!
HUSSEN Nakupenda ww ni mkweli halafu upovizuri ww ni kichwa mchapa kazi
Hakika
bashe safi sana wewe ni mbunge unaye jua kujieleza na unapenda nchi yako hangera kaka nina imani na wewe ipo siku utakuwa kiongozi mkubwa inshaa allah
Uko vizuri bashe
Moja kati ya mahojiano mazuri mwaka huu wa 2021. Hongera sana Mheshimiwa naibu waziri wa kilimo ndg. Hussein Bashe kwa namna ambavyo umejibu maswali yote kwa ufasaha. Tunaona uongozo imara na wenye mwelekeo chanya ndani yako. Kama kijana ambaye kila wakati ulipopata nafasi ya kusimama bungeni ulikuwa unatoa hoja zenye mashiko zenye kuleta changamoto kwa serikali na kuifanya kwenda mbele zaidi katika utendaji wake. Maana ya kiongozi ni kuweza kusimamia kile unachokiamini. Ndani yako kuna hazina kubwa sana na tunauona uzalendo wa kweli kwa nchi yako. Tunakutakia utumishi mwema na Bwana Mungu azidi kukutunza na ulinzi wa kimbingu uwe juu yako kwa ajili ya mama Tanzania
Safi sana Bashe kwa uwazi wako!
Bashi mdogo wangu nakukubali Sana raisi wangu wa baadae
Bashe hongera sana. Ni Waziri makini, anayejiamini na msema ukweli
Nachukia watu vigeugeu kama akina Kigwangala
Bashe uko vizuri sana... nakukubali. Natumai one day utashika nchi yetu ili uboreshe maisha ya mtanzania hasa upande wa kilimo...
Sahau
Interview nzuri...hongera
kwa mazungumzo ya mbunge bashe mama samia suluhu ana kazi kubwa. kuna viongozi ndani ya ccm hawapendi ukweli mfano nape ridhuwani kikwete janauari makamba na sisi wanchi tuna taka nchi yetu iyende mbele isiwe nchi ya ccm wezi
Rais wa 2030 bashe
Jamaani tuwe wakeli ivi yule lissu ataweza kweli kuongea na watu hawa kweli maaana huyu jaamaa anaonekana anawexa kuwa ata rais wa nchi
Bashe umesema ukweli lv you.na hata wewe ktk masuala ya kazi usicheke na wazembe! Na ninakumbuka miezi kama miwili kwenye mkutano wake kuna kitu ulimweleza akasema hadharani amefurahia mawazo yako.ww kijana Bashe chapa kz nakutabiria makubwa mbele na kamwe usivutwe na wale 2014 kaa nao mbali kama ukoma !! Ili watanzania tuje tumuone MAGUFULI ndani yako.💪💪
Safi sana mh Bashe umeongea ukweli wako kuliko wanafiki wanaongea ubaya wa mpendwa wetu
Waandishi wa habari wengine wajifunze kwa huyu dada. Kweli ameitendea haki taaluma yake. Well done dada
Uko sawa Bw.Bashe,ni mawazo yako jinsi mlivyofanya naye kazi. Wakati ukuta,mengi yatasemwa, mabaya na mazuri yake, binadamu lazima apakwe mafuta upande,na upande matope,lkn yote ktk yote nilipenda sana misimamo yako ya ukweli, Mungu akuinue Bashe ushike nafasi kubwa zaidi kwa manufaa ya Taifa zima. R I P JPM
Bashe my somali brother, uko vizuri kaka . Jamaa anaongea point tu
Wow!A promising young leader.So impressed.I wish we had the same in Kenya.
Back your people came to Tanzania 🇹🇿 to learn leadership skills. They don't come anymore, so you can't get this products as used to be back then
NAOMBA AND I HAVE TO BE AT HOME AND I
@@FIFO28
m.v.b
HONGERA SANA MH BASHE,NIA AINA YA KIONGOZI NIVIGUMU KUMUELEWA KTK USO WAKE ILA NI KWA VITENDO ANAVYOFITAFSRI KTK HISIA ZAKE ZA DHATI A KIMAAMUZI NA NDOMA JMP ALIKUELEWA BAADADA YA KUKUTAFAKARI NA KUKUELEWA.JPM HE WAS HERO,REFORMER,PAN AFRICANIST,NATIONALIST AND AFRICAN IDIOLOGIST-HUSEIN BASHE
Tutakukumbuka daima Jemedari wetu
Basheeee
Ahsante sana Bashe kwa kuongea ukweli na uwazi.Napenda sana hoja zako zenye proper mind-set bila unafiki,Mungu akulinde na baadae utakuja kuwa kiongozi mkubwa.
Upo vizuri dada lakini lugha yetu kiswahili tuitunze unasikilizwa au unasikika mbali maneno kama hakunaga au nakwambiaga tujitahidi tuyaache iwe hakuna au nakwambia ushauri tu
🌙
Dada mtalamu kweli shukran kwako dada na basha
Nakuaminia sana Mr Bashe kwa sisi tunaopenda Tanzania business tunajali sana mchango kwa Taifa Tanzania kama kijana .Na nimategemeo na mapenzi yangu kuwa unatakiwa kuwa Waziri kamili na hatimaye kiongozi mkuu zaidi ,it's my overview honestly
Mashalla Mh Bashe unajibuu vizuri ninakukubali🥰🥰🤲Allah akbar
Big up Mh. Hussein Bashe. Kati ya watu waliomjua Mwenda zake R.I.P Dr. Magufuli . Mungu akuzidishie Miaka mingi ya kuishi ili utuhudumie kwa kadri ya vipaji ulivyojaliwa na Mwenyezi Mungu kuwahudumia binadamu wenzako hususa Waafrika kwa ujumla.
6
Ulikuwa sawa kabisa. Serikali ya nne ilikuwa haifanyi vizuri kabisa. Kuna wengine walikuwa wananong’ona. Na ndiyo maana Rais Hayati Magufuli aliweza kukuchaguwa.
Clouds huyu dada akae pale 360 mtanikumbuka
Ulivyomalizia kusema sasa imebidi nicheke😁
Malulu
Well said brother Bashe, Unaeleza halisi ambacho hata mwananchi wa kawaida atakueleza. Siyo ya kina Nape kuanza kujenga vijihoja vyenye dhihaka ndani yake Nape anasema mama kaja kutufuta macho like if before tulikuwa tunalia!.
Clouds huyu mtangazaji ni 🔥🔥🔥🔥
Yupo vizr mno
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
If you don't mind, come and visit our beautiful Country.. will be your Host
Exactly bro
Mi nakukubali sana bashe wewe ni mzalendo wa kweli
ahaa wapii
Pole kwa kufiwa na Mama yako jamani lkn jipe moyo fanya kazi songa mbele chapa kaziii
Smart talks in the right time big up bashe
Mmmmmm
mh bashe upo vizuri sana big up
Mungu akubariki Sana bashe
To my opinion, i think this gentleman deserves a docket of ministry of industry and trade as a full minister should the country wish to see real reforms in that area. Huyu tulietangaziwa bado namuona ni mwanasiasa zaidi kuliko uelewa na utendaji.
Interview hii imenifanya nitoe tena machozi nikimkumbula Baba aliye jitoa Sadaka kwa ajili ya Nchi yake ya Tz. Pumzika Kwa Amani Hayati Dk. JPM uliye kuwa Rais wetu. Daima utaishi Moyoni mwangu. 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Waziri Bashe umeelezea vizuri sana. Mwenyezi Mungu akubariki sana
Tanzanian are so patriotic. I wish Kenyans wangefuata mfano wa Tanzania. This guy is so smart and well spoken. Not to forget good looking too.
Hahaha..Good looking too
thank you his my cousin 💯👏🏿
@@farikkaqueen2367from degodia or Ogaden? Masha Allah
Unaheshima na hekma lazima kuongea unachojua
Hongera sana Mh. Bashe
Nimejisikia machozi yananitoka Mungu amlaze mahala pema peponi
Hussein Bashe mim nakuelewa sana nakuomba kwa mungu uje upata wasifu mkubwa kabisa wanchi
Eloquent, intelligent and humble.
Keep on training brother, acquiring more wisdom not abandoning empathy on the common citizen. And perhaps someday you will be the shining beacon for Tanzania and Africa as well.
Ata mi naona utakuja kua rais
Nimeshika hapo tu ulipo sema mjomba alikuwa akfanya jambo alikuwa na dhamira njema.,🙏🙏👍👍
Big up Bashe I like your presentation in Parliament
Tumempotez J.P.M kipenz Cha weng, sasa tumempat Samia ambaye namuona waz anaend kutupotez yaan hawa wazung ni kama wamemnunua. R.I.P Mr. JPM😭
Mwenyez Mungu akutangulie Mh Bashe
Thanks
Masha Allah kaka yetu bashe you are good at all
Asante bashe maana huo ndio ukweli alivyokuwa jpm
Interview nzuri sana, hongereni sana
Hata mimi bashe nimekupenda kwa ukweli ulionao juu ya rais Magufuli. Amina sana mungu akubariki
wee jamaa mtoto wa kishua.... lkn uko vizuri sana kichwani big up Bro I really appreciate you
Kwaio ukiwa wa kishua huwez kuwa na akili
Mazungumzo yenu yalikuwa ni mazuri sana
Bashe Rais Magufuli Alikupenda kwasababu yaliyokuwa yanakuudhi ndiyo yalikuwa yakimuudhi. Ulikuwa mukweli na ndiyo maana akakuchaguwa. Umeelezea vizuri na ukweli kabisa. Kila binaadamu ana mapungufu. Mazuri ya Hayati kwa Tanzania ni mengi zaidi ya mapungufu. Ameacha historia ya Mwalimu Nyerere. Wengi walikuwa wakimuimba Nyerere lakini ulikuwa ni uwongo tu. Wote walimugeuka na viwanda vyote wakauza bila ya kujali
Miaka mia namkubali sana Bashe
🍒🙏bashe we ni mzalendo kama alvokua mh magufuli,allah akulinde katka utendaj wako
Bashe mtu safi sana, basi wangempa tu uwaziri kamili
hahaha
Madaraka anapanga Mungu wakati ukifika atapata tu Uwaziri. Hivi aondoke nani kwenye Uwaziri.
Namkubali sana bashe
Nacho shukuru nikwamba marais wetu wanatoka ktk familia za kawaida kwagiyo nirahisi kutusaidia wanyonge maana maisha ya unyongewetu wanayajua kiundani kbs
Asnt Bashe Mungu akujalie afya njema
mweshimiwa Bashe wewe ni msema kweli mungu akubariki sana.