WOMAN JUCTION: MJADALA JUU YA HALI YA DOWN SYNDROME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • WOMAN JUCTION: HALI YA DOWN SYNDROME ▶▶ // CONNECT WITH US @WANAWAKE TV ▶NGUZO YETU NI KUCHOCHEA MAENDELEO YA JAMII
    🔗 Jiunge Nasi Hapa WANAWAKE TV! 🔗 - Kichocheo Cha Maendeleo Endelevu Katika Jamii!
    Katika kipindi chetu cha leo, tunayo furaha kukuletea mahojiano ya moja kwa moja na Sarapendo Urio na joyce Maketa wakieleza hali ya Down syndrome visababishi na dalali ya mtoto aliyepatwa na hali ya Down syndrome.
    🌟Kuelekea Madhimisho ya wenye Down syndrome Day tarehe 21 Machi.
    Sarapendo ambaye ni Mwalimu Mkuu Elimu Maalimu anaelezea kiundani zaid kuhusiana na Watoto wenye Hali ya Down Syndrome, Dalilia na Namna ya Kuishi nao
    Pamoja. Joyce ambae ni Afisa Ustawi ataelezea zaid kuhusiana namna wanyotoa elimu kwa wazazi kwenye watoto wa Hali ya Down Syndrome na jinsi ya kuwalea.

ความคิดเห็น •