WANAWAKE TV
WANAWAKE TV
  • 182
  • 74 668

วีดีโอ

🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
มุมมอง 472หลายเดือนก่อน
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
มุมมอง 47หลายเดือนก่อน
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
มุมมอง 75หลายเดือนก่อน
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
มุมมอง 187หลายเดือนก่อน
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
🔴#LIVE:MUBASHARA WA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI (TUCASA)
มุมมอง 510หลายเดือนก่อน
EQUITY BANK YANZINDUA MWANAMKE PLUS/ MIKOPO, BIMA, ELIMU YA BIASHARAEQUITY BANK YANZINDUA MWANAMKE PLUS/ MIKOPO, BIMA, ELIMU YA BIASHARA
EQUITY BANK YANZINDUA MWANAMKE PLUS/ MIKOPO, BIMA, ELIMU YA BIASHARA
มุมมอง 892 หลายเดือนก่อน
samiasuluhuhassan #wanawake Takwimu zimeonesha kuwa Tanzania ni miongoni mwa Nchi yenye idadi ndogo ya wanawake wanaotumia teknolojia katika sekta ya fedha huku serikali ikichukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na changamoto hiyo ikiwemo kuhamasisha matumizi ya pesa kidigitali. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam na Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makund...
WANAWAKE WAJASIRIMALI 675 WAWEZESHWA MASHINE NA VYEREHANI KUTOKA CHINA/WAZIRI GWAJIMA AZUNGUMZA.WANAWAKE WAJASIRIMALI 675 WAWEZESHWA MASHINE NA VYEREHANI KUTOKA CHINA/WAZIRI GWAJIMA AZUNGUMZA.
WANAWAKE WAJASIRIMALI 675 WAWEZESHWA MASHINE NA VYEREHANI KUTOKA CHINA/WAZIRI GWAJIMA AZUNGUMZA.
มุมมอง 393 หลายเดือนก่อน
#samiasuluhuhassan #wanawake Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amepokea msaada wa Vyerehani 425 na mashine za kutotolesha vifaranga 250 kwa ajili ya wanawake wajasiriamali nchini. Msaada huo uliotolewa na Serikali ya China, wenye thamani ya Tsh. Mil. 79 umekabidhiwa na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingian katika hafla fupi il...
MITUNGI 400 YA GESI YAGAIWA KWA WANAWAKE MKURANGA, BALOZI WA HESHIMA AZUNGUMZA.MITUNGI 400 YA GESI YAGAIWA KWA WANAWAKE MKURANGA, BALOZI WA HESHIMA AZUNGUMZA.
MITUNGI 400 YA GESI YAGAIWA KWA WANAWAKE MKURANGA, BALOZI WA HESHIMA AZUNGUMZA.
มุมมอง 193 หลายเดือนก่อน
#wanawake #samiasuluhuhassan Katika kuunga juhudi za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wanawake wanatumia nishati safi ya kupikia ili kuweza kutunza mazingira. Akizungumza mapema leo Aprili, 4 ,2024 Mwanzilishi wabTaasisi ya Reflection Foundation na Balozi wa heshima Toka Visiwa vya Shelisheli, Mary Vonne Pool amesema kuwa wameona kuja kugawa m...
TANZANIA NA DENMARK KUONGEZA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA ZA KIMAENDELEO, WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZATANZANIA NA DENMARK KUONGEZA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA ZA KIMAENDELEO, WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZA
TANZANIA NA DENMARK KUONGEZA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA ZA KIMAENDELEO, WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZA
มุมมอง 383 หลายเดือนก่อน
#samiasuluhuhassan #wanawake ... Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb) amekutana na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Mabadiliko ya Tabianchi wa Denmark, Mhe. Dan Jørgensen ambapo nchi hizi mbili zimeangazia maeneo ya ushirikiano na kukubaliana kuongeza ushirikiano kwenye sekta za kimaendeleo. Tanzania na Denmark zinaenda kuongeza ushirikiano k...
RAIS SAMIA AMEZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI/"HATUNA DENI, TUMEKAMILISHA".RAIS SAMIA AMEZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI/"HATUNA DENI, TUMEKAMILISHA".
RAIS SAMIA AMEZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI/"HATUNA DENI, TUMEKAMILISHA".
มุมมอง 784 หลายเดือนก่อน
#samiasuluhuhassan #wanawake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya Ukiukwaji wa Misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi leo tarehe 03 Aprili, 2024 katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam.
KONGAMANO LA BINTI MWENYE NDOTO, MKURUGENZI AFUNGUKA HAYA, KUELEKEA BINTI ROYAL TOUR.KONGAMANO LA BINTI MWENYE NDOTO, MKURUGENZI AFUNGUKA HAYA, KUELEKEA BINTI ROYAL TOUR.
KONGAMANO LA BINTI MWENYE NDOTO, MKURUGENZI AFUNGUKA HAYA, KUELEKEA BINTI ROYAL TOUR.
มุมมอง 224 หลายเดือนก่อน
#samiasuluhuhassan #wanawake
WOMAN JUCTION: MJADALA JUU YA HALI YA DOWN SYNDROMEWOMAN JUCTION: MJADALA JUU YA HALI YA DOWN SYNDROME
WOMAN JUCTION: MJADALA JUU YA HALI YA DOWN SYNDROME
มุมมอง 1064 หลายเดือนก่อน
WOMAN JUCTION: HALI YA DOWN SYNDROME ▶▶ // CONNECT WITH US @WANAWAKE TV ▶NGUZO YETU NI KUCHOCHEA MAENDELEO YA JAMII 🔗 Jiunge Nasi Hapa WANAWAKE TV! 🔗 - Kichocheo Cha Maendeleo Endelevu Katika Jamii! Katika kipindi chetu cha leo, tunayo furaha kukuletea mahojiano ya moja kwa moja na Sarapendo Urio na joyce Maketa wakieleza hali ya Down syndrome visababishi na dalali ya mtoto aliyepatwa na hali y...
WAZIRI MCHENGERWA: TAARIFA MUHIMU KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE, (COMBINATION 49)WAZIRI MCHENGERWA: TAARIFA MUHIMU KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE, (COMBINATION 49)
WAZIRI MCHENGERWA: TAARIFA MUHIMU KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE, (COMBINATION 49)
มุมมอง 1164 หลายเดือนก่อน
#samiasuluhuhassan #wanawake Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo Jijini Dar es salaam, Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ...
WANAWAKE WAJASIRIMALI WAPEWA MFUNZO YA USIMAMIZI WA BIASHARA, UJUZI NA MAARIFA/UDSMWANAWAKE WAJASIRIMALI WAPEWA MFUNZO YA USIMAMIZI WA BIASHARA, UJUZI NA MAARIFA/UDSM
WANAWAKE WAJASIRIMALI WAPEWA MFUNZO YA USIMAMIZI WA BIASHARA, UJUZI NA MAARIFA/UDSM
มุมมอง 324 หลายเดือนก่อน
#wanawake #samiasuluhuhassan Katika Kuvunja vikwazo na kuwawezesha wajasiriamali wanawake! Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimezindua Mpango wa kwanza wa Mafunzo ya Ujasiriamali na Usimamizi wa Biashara yenye lengo la Kuwapa ujuzi, maarifa, na kujiamini ili kustawi katika ulimwengu wa biashara na kuongoza kwa uvumbuzi na uthabiti. Mafunzo hayo yataolewa wa Muda wa mwezi mmoja katika Chuo kikuu cha...

ความคิดเห็น

  • @HamzaMsangula
    @HamzaMsangula 3 วันที่ผ่านมา

    Umeacha comedy masanja

  • @GODLISTENTEREVAELY
    @GODLISTENTEREVAELY 27 วันที่ผ่านมา

    Kweli kwa mfano mimi nipo Mpakani mwa Kenya na Tanzania Namanga ntajua ni lini?

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 5 หลายเดือนก่อน

    Wacha kujitamba asingelikuwa gumbo usingetoka kihivyooo alafu unadharau sana hata bagamoyo ulilala kwenye mkeka pale baobab studio wakati tukiandaa filamu ya itunyama,,,,,

  • @SadickvicentSimfukwe
    @SadickvicentSimfukwe 5 หลายเดือนก่อน

    Hii ni hatari sana But God please heal them

  • @deadcrush
    @deadcrush 5 หลายเดือนก่อน

    Pharaoh kafika Tanzania.

  • @dianajanes7661
    @dianajanes7661 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitaji samli napataje

  • @fosterngumba
    @fosterngumba 5 หลายเดือนก่อน

    Great Presentation

  • @atibusaidi4041
    @atibusaidi4041 6 หลายเดือนก่อน

    Mangaka sekindari

  • @erickkikwa5377
    @erickkikwa5377 6 หลายเดือนก่อน

    Umebadilisha maisha yangu sanaaa broo more thanks

  • @mrosolevina4109
    @mrosolevina4109 6 หลายเดือนก่อน

    Mbarari riversede

  • @user-xr4di3jn8m
    @user-xr4di3jn8m 6 หลายเดือนก่อน

    Shule ya sekondari kakobe

  • @HojasonMathis-qr3dt
    @HojasonMathis-qr3dt 6 หลายเดือนก่อน

    Hakka

  • @elizabethzacharia1882
    @elizabethzacharia1882 6 หลายเดือนก่อน

    I feel proud kuwa sehemu ya mafunzo haya.

  • @sirbussongo4490
    @sirbussongo4490 6 หลายเดือนก่อน

    Hii video imebadili maisha yangu.

  • @msuyatztv5201
    @msuyatztv5201 6 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/6cXLz79DMu0/w-d-xo.htmlsi=l-QL1GGhmskFWGrY

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 6 หลายเดือนก่อน

    Subscripo kwaya viwawa Parokia ya BASHNET

  • @aludokyando4630
    @aludokyando4630 6 หลายเดือนก่อน

    Nihakika tulikutana mbeya mwanjerwa hakika muumBA aliyetuu 7:08 mba aabuniwe umilele wote

  • @user-sc9ll5no3f
    @user-sc9ll5no3f 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana dada Maida Waziri

  • @FadhiliSaid-mr8gq
    @FadhiliSaid-mr8gq 7 หลายเดือนก่อน

    Mm nikua bosi kupitia elimu Ii nimejifuza kitu apa du kumbe ss atupendi kujishulisha tuna kua na tama sana kuliko kuwa na usubutu wa kulipa galama ya Kile tunacho kitamani

  • @thommatinda4584
    @thommatinda4584 7 หลายเดือนก่อน

    Namba zenu

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu bro

  • @christinamrope5690
    @christinamrope5690 8 หลายเดือนก่อน

    Malkia Mercy❤

  • @Angeljoel-xn1jx
    @Angeljoel-xn1jx 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera boss hanipha

  • @rosekapingu-hs5rd
    @rosekapingu-hs5rd 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Da happy

  • @prisca996
    @prisca996 9 หลายเดือนก่อน

    Well spoken Mariam mapunda, the inspiration lady, keep moving sweetheart

  • @AshuraLombo-ql6xn
    @AshuraLombo-ql6xn 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mamii

  • @anithanithaa2651
    @anithanithaa2651 9 หลายเดือนก่อน

    🤗🤗🤗

  • @agnesshayo9371
    @agnesshayo9371 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mke Mwee kwa hatua unayoendelea kupiga....Mwanamke Jasiri haachi asili💪🌷🌷

  • @dorissweke6272
    @dorissweke6272 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dia, Mwenyezi MUNGU aendelee kukusimamia

  • @gillianmwalyasi1549
    @gillianmwalyasi1549 9 หลายเดือนก่อน

    You are the best my dear... hongera sana sana...tutakuja dear utusafirishie mizigo...

  • @user-qi1ij9us8b
    @user-qi1ij9us8b 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wanatumia jina la msanja na sura yake kutaperi watu Naomba namba ya masanj

  • @user-qi1ij9us8b
    @user-qi1ij9us8b 9 หลายเดือนก่อน

    Masanja kunawatu wanatumia jina na sura kutaperi watu, Naomba namba ya masanja

  • @aminamwambasi4538
    @aminamwambasi4538 9 หลายเดือนก่อน

    hongera sana teacher

  • @savianchimbi6725
    @savianchimbi6725 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dear hapo ulipofika unastahiri Mwenyezi Mungu akufungulie zaidi na zaidi,uzidi kusaidia wengi zaidi. hanipha tarimo

  • @glorycyprian14
    @glorycyprian14 9 หลายเดือนก่อน

    👌🏽👌🏽👌🏽my cstaaa mpambanaji

  • @user-ku4xq4nd9v
    @user-ku4xq4nd9v 9 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli Uaminifu ni mtaji mkubwa unaosahaulika

  • @user-sm9ut3ej8x
    @user-sm9ut3ej8x 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera kipenzi allah ajaalie iwe kheri ,nikweli hii nachangamoto sana katika mustakabali wawatoto wetu

  • @Lukamgidange
    @Lukamgidange 9 หลายเดือนก่อน

    Mnapatikana wapi?

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 9 หลายเดือนก่อน

    Sauti iko chini

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 หลายเดือนก่อน

    Nachowakumbusha vijana WAANZE NA WALICHONACHO ,KAMA NI NGUVU ,KIPAJI , MAARIFA ,SH 1000 nk hakuna siri nyingine ni KUAMUA KWA UJASIRI

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli hayo mafungu unayasikia mifuko zaidi ya 30 ya uwekezaji ila kuupata ni kimbembeee

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 หลายเดือนก่อน

    GREAT KAKA MASANJA

  • @user-bi2kp7ww4o
    @user-bi2kp7ww4o 9 หลายเดือนก่อน

    unyama mwingi

  • @seniorboniface8784
    @seniorboniface8784 9 หลายเดือนก่อน

    Powerful

  • @naalinneno3558
    @naalinneno3558 10 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji plz

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 10 หลายเดือนก่อน

    Kuaminiwa ni mtaji

  • @experiuskamugisha6722
    @experiuskamugisha6722 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa ushauri MKUBWA sana Kwa vijana

  • @tuntufyegwamaka2404
    @tuntufyegwamaka2404 10 หลายเดือนก่อน

    our family C.E.O

  • @michaelabdul7147
    @michaelabdul7147 11 หลายเดือนก่อน

    Rafiki yangu mimi

  • @jovinjames6130
    @jovinjames6130 11 หลายเดือนก่อน

    Amnia