Wamarekani hawa wataweza kutamka 'Tafadhali naomba maji ya kunywa?' Utacheka sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 160

  • @rozina2161
    @rozina2161 2 ปีที่แล้ว +6

    Yakunywa wanashindwa tu kusema nywa yani kwao ni kunya yenyewe🤣🤣🤣🤣matuharibia kiswahili jamani nimecheka hadi basi 😅😅😅😅much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @LadyveenOfficial
      @LadyveenOfficial ปีที่แล้ว

      Hahaaaaa 😂

    • @mamawatoto9032
      @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว

      Yaani sisi tumeingia ndaaani ya lugha yao Hadi mtu ataweza jua ni wablack america eh tuko mbele

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji uko vizuri

  • @EmanuellVictoria
    @EmanuellVictoria 2 ปีที่แล้ว +1

    The guy in blue t-shirt Omg i cant stop laughing! i really love the way they are trying very hard to understand out language ❤️🇹🇿

  • @isaliisu3408
    @isaliisu3408 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mwenyewe hujuwi kiswahili

  • @shafiamustafa7856
    @shafiamustafa7856 3 ปีที่แล้ว +19

    Nilichogundua sisi ndo tunajutahidi kutumia lugha Yao wao Wala hawana mda

    • @moally2224
      @moally2224 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 2 ปีที่แล้ว +3

      Lugha yao ni lugha ya kimataifa pia ni lugha ya kibiashara hivyo ni muhimu sana kujua English language.

    • @mkaapwekekariakoo6417
      @mkaapwekekariakoo6417 2 ปีที่แล้ว

      Sio kweli.... Walioulizwa ni ambao hawako na interest na kiswahili... Kuna watu ambao sio wa Tz na wanaongea Kishwahili balaa hakuna.. Yaani kingereza cha Mtangazaji kinachekesha kuliko Kishwahili chao... Hahaaaaa

    • @linkin5961
      @linkin5961 2 ปีที่แล้ว

      @@issaibrahim8796 And it's also to learn other languages.
      I think it's ridiculous Africans learn multiple European languages but look down on their languages and have little expectations for others to learn African languages but let them die.
      As an American who wants to learn an African language. I have difficulty engaging any African as to which African language I should invest my time learning. When I give them options of African languages I am interested in.

    • @ziadasiliko3722
      @ziadasiliko3722 2 ปีที่แล้ว

      @@mkaapwekekariakoo6417 😀😀😀ww

  • @ebakeichinge7081
    @ebakeichinge7081 2 ปีที่แล้ว

    Anadanganya wazungu. Nzuri sana ni very good. Wewe Anasema ni I'm fine.

  • @asaa3219
    @asaa3219 2 ปีที่แล้ว +2

    Mali y kunya😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @junezihashran1583
    @junezihashran1583 3 ปีที่แล้ว +3

    Love from burundi napenda idea hiyo by the way

  • @magidachimija5599
    @magidachimija5599 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo nimegunduaa kumbe kunya ni rahisi kuliko kunywa

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka wewe unatangaza vnzr sana inatakiwa wakufikilie ubaloz jaman

  • @necbottz
    @necbottz 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana kaka, pia ungekuwa unawapa kwenye maadishi wasome ingewasaidia sana🔥🔥🔥

  • @ElipendoMkumbo-d3b
    @ElipendoMkumbo-d3b ปีที่แล้ว

    Wote mbn wanakunya tu😂😂😂😂😂😂😂

  • @safiamohamed635
    @safiamohamed635 2 ปีที่แล้ว

    Tafadhali naomba Maria kunya

  • @dancodancoprince7264
    @dancodancoprince7264 3 ปีที่แล้ว +4

    Tafadhali naomba mali ya kunia😂😂

  • @issaonline4723
    @issaonline4723 3 ปีที่แล้ว +1

    Seme huyo dogo yupo powa sana

  • @Happykiliwe
    @Happykiliwe ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂🎉🎉🎉 mali ya kunya

  • @mercynina6288
    @mercynina6288 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂 naomba mali na kunya

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa kudumisha kiswahili

  • @kizurichristopher5946
    @kizurichristopher5946 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha jamniii Sina mbavu mie

  • @gerinoboa-zk9rf
    @gerinoboa-zk9rf ปีที่แล้ว

    Tafadhali naomba maji nakunya

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 ปีที่แล้ว

    Excuse me can you give me a wola?

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 ปีที่แล้ว

    Maji ya kunya, 😂😂😂

  • @erikimethod6246
    @erikimethod6246 3 ปีที่แล้ว +4

    #maji ya kunyaaaa 😆😆😆😆

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 2 ปีที่แล้ว

    Watatukana bureeeee

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว

    AK utafanya wajiume

  • @dorcasnasimiyu9002
    @dorcasnasimiyu9002 2 ปีที่แล้ว +3

    😹😹😹you also broke the English

  • @kelvinwashenyu1970
    @kelvinwashenyu1970 3 ปีที่แล้ว

    Kazi njema ndugu, tunakufata saana.

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣et tafadhali naomba Mali ya kunyia waa🙉

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣which means we have sharp brain 👍💯

  • @mundhiraliy1307
    @mundhiraliy1307 2 ปีที่แล้ว +3

    Wote wanaomba maji yakunya 🤣🤣🤣🤣

  • @koletajeanne8824
    @koletajeanne8824 3 ปีที่แล้ว

    Mary yakunya USA girl funny Swahili mmmm from USA texas

  • @ibrahimasuleyman
    @ibrahimasuleyman 3 ปีที่แล้ว

    Hata huyo kizungu kime mshinda asema.. " can you give me some wolaa" 🙌🙌🙌

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 2 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 Yan kunya ndo lahisi

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว

    Hii show utaniua AK🤣🤣🤣🤣🤣

  • @blacksheep4159
    @blacksheep4159 3 ปีที่แล้ว +1

    Nicheke 😄🤣😂😆

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 3 ปีที่แล้ว +2

    Apo ndio shida ilipo anzia naomba maji ya Kunywa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania 🇹🇿Africa father

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 ปีที่แล้ว

    Nzr san kuwafunza kiswahili .. Lakini kwanza na ww jifunze L. NA R.. bilaa ya hivyo utakua unawafundisha maneno mabovu kwenye .. L na R.

  • @wilbrodwemaonlinetv8379
    @wilbrodwemaonlinetv8379 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwenye kunywa & maji ndo shida

  • @shiikheygacashakha1611
    @shiikheygacashakha1611 3 ปีที่แล้ว

    Nimecheka sanaa walahi

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣aiyayaya Mali ya gumba

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว

    Huyo Sasa ndiye hajui pii

  • @Mrdigital.
    @Mrdigital. 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo gari mnayondesha inaitwaje

  • @kingmtz5740
    @kingmtz5740 3 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhari naomba mangi akunye

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 3 ปีที่แล้ว +3

    Jaman mtatuua kwa kucheka duh! Maji ya kunya🤔🤔

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 majanga makubwa

  • @NgomaMsonde-tu1vh
    @NgomaMsonde-tu1vh ปีที่แล้ว

    Halo umepambana sn,endelea kupiga mwingi mpaka wajue utakuwa umetoka kimaisha

  • @priscaphedrick560
    @priscaphedrick560 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtanzania akikosea kiingereza watanzania humcheka sana lakini mzungu akikosea kiswahili nikiburudisho tu utumwa wa akili

  • @twahrhamid3941
    @twahrhamid3941 3 ปีที่แล้ว

    Tafazaliz naombaamriii yakumiiii

  • @anatolimayot4303
    @anatolimayot4303 3 ปีที่แล้ว

    Napenda kiswahili

  • @emanuelmajele7237
    @emanuelmajele7237 3 ปีที่แล้ว

    Naomba maji yakunya

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mali ya kunya 😂😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿💪🏽

  • @newbwejuu4302
    @newbwejuu4302 2 ปีที่แล้ว

    Tafasar naomba mbali na kunya

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtangazi anachosha the anasema ze

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 8 หลายเดือนก่อน

    The end of America mwisho wao umekaribia

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiswahili kitam😘

  • @rehemamapande4680
    @rehemamapande4680 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 maji ya kunya

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 ปีที่แล้ว

    Maji ya kunyia🤣🤣🤣🤣

  • @victorkibasa6911
    @victorkibasa6911 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mali ya kunya😂😂😂

  • @mersianantibakazi8474
    @mersianantibakazi8474 2 ปีที่แล้ว

    Kuna vichaaaa

  • @manrakizagervais4418
    @manrakizagervais4418 2 ปีที่แล้ว

    Nimecheka mpaka hivi nashikilia mbavuzangu

  • @jacksonntimba6200
    @jacksonntimba6200 3 ปีที่แล้ว

    Tafasali naomba Mali ya kum,,,nya🤣🤣🤣🤣

  • @kakarasmuuzages7490
    @kakarasmuuzages7490 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwaiyo kunya ndio rahisi kuliko kunywa😂😂😂

  • @raymondmasanja6735
    @raymondmasanja6735 3 ปีที่แล้ว

    Wazungu wanazngua hahahaha gogo

  • @kelvinevarist8801
    @kelvinevarist8801 3 ปีที่แล้ว +3

    Nasikia wanaomba kunya,,, maji yatakuwa yakutawazia na dhani.

  • @rangalmas8833
    @rangalmas8833 3 ปีที่แล้ว +1

    haha😂😂haoo kwa kunywa ndo wanazuga eti kunywa

  • @blessedcycle5782
    @blessedcycle5782 3 ปีที่แล้ว

    #swahili nation pamoja sana bro

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 2 ปีที่แล้ว

    Hata sio shida zao

  • @NtumbaLume-ch3lj
    @NtumbaLume-ch3lj ปีที่แล้ว

    Kwel kak

  • @xelinerparis7365
    @xelinerparis7365 3 ปีที่แล้ว

    Tafadhali naomba maji ya kumbaa

  • @SAMALI-wk2xp
    @SAMALI-wk2xp 2 ปีที่แล้ว

    Awa naona wanataka kutawaza washa kunya tayari

  • @Lavalava-lg2ww
    @Lavalava-lg2ww 3 ปีที่แล้ว

    Namkubali Sana uyu muuni

  • @shiikheygacashakha1611
    @shiikheygacashakha1611 3 ปีที่แล้ว

    Naomba Maria kunya kkkkkkkkk

  • @MWALIMUMBUNIFU89
    @MWALIMUMBUNIFU89 3 ปีที่แล้ว

    Naomba mali na kunya

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂Maji ya kunya

  • @امنهالسناني-ث4س
    @امنهالسناني-ث4س 3 ปีที่แล้ว

    Amepatiya

  • @erastobartalome2709
    @erastobartalome2709 3 ปีที่แล้ว

    Watu wanataka maji ya kujitawaza bhana

  • @FFf-wq5fr
    @FFf-wq5fr 3 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @MWALIMUMBUNIFU89
    @MWALIMUMBUNIFU89 3 ปีที่แล้ว

    Haa haaa haaaa, Stress killer

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    Dogo utawanyoosha fuul warembo

  • @xelinerparis7365
    @xelinerparis7365 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyoo kaka mwenyee tshet ya njano jamn amejua kunichekesha

  • @anatolimayot4303
    @anatolimayot4303 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha from tz manyara

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 2 ปีที่แล้ว

    Mari ya kunya hahhahahahhahahah

  • @nurukwilabya2790
    @nurukwilabya2790 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 maji ya ku....mba

  • @John-vv1hl
    @John-vv1hl 2 ปีที่แล้ว +1

    Vp hi

  • @emilykai7866
    @emilykai7866 3 ปีที่แล้ว

    Mari ya kumbo,kunyaa 🤣🤣🤣

  • @feisalabdi1368
    @feisalabdi1368 3 ปีที่แล้ว

    Vitengo

  • @aminanurudini9233
    @aminanurudini9233 3 ปีที่แล้ว

    Hyo maji ya kunywa sasa

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 3 ปีที่แล้ว

    Mari ya Akunya

  • @shiikheygacashakha1611
    @shiikheygacashakha1611 3 ปีที่แล้ว

    Naomba amani kunya kkkkkkk

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 ปีที่แล้ว

    Wewe. Nilikua bado sijakupata kwenye chaneliyako Leo nimecheka. Alivosema maji ya kunya😂😂😂😂

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +1

    Kunya😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 ปีที่แล้ว +1

    Mistake iko kwa kunywa tu#KUNYA😂😂

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 ปีที่แล้ว

    👍🏾

  • @mrneythug9707
    @mrneythug9707 3 ปีที่แล้ว

    🌹

  • @obadiahnkwale124
    @obadiahnkwale124 2 ปีที่แล้ว

    😄😄

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว

    💋❤️

  • @erikimethod6246
    @erikimethod6246 3 ปีที่แล้ว

    Wa kwanza hapa

  • @koletajeanne8824
    @koletajeanne8824 3 ปีที่แล้ว

    Oh God this people funny

  • @mrsdafena6546
    @mrsdafena6546 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂