BONDIA ALIYEMTANDIKA MTANZANIA AHISIWA KUTUMIA MADAWA YA KUMUONGEZEA NGUVU/VIPIMO VYACHUKULIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ย. 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 55

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 2 ปีที่แล้ว +4

    Bado nakukubali Sana Tony , you can my friend

  • @rosepeter133
    @rosepeter133 2 ปีที่แล้ว +5

    Technical fight ulizisahau Brother,
    Uliwaza sana mkanda ukasahau kiwa One second can Change the game,Hapa ni nyumban,kama kashinda ni ameshinda Mbinu zake za mchezo,si kwa uchawi wala dawa Za stimulate
    Kifupi uko vizuri,nmependa the way unafght kwanza huko mwenye kupani wala huna hofu hata kdogo,ukitupa znafka fesh sana but all in all ASIYEKUBALI KUSHINDWA__,_!??

  • @abdullaothman3772
    @abdullaothman3772 2 ปีที่แล้ว +1

    Tonny wewe ni bonge la bondia, hongera sana brother

  • @fundimkuut.v2973
    @fundimkuut.v2973 2 ปีที่แล้ว +3

    tony uko vizuri sana tunataka bondia kama wewe

  • @samwelseverine7838
    @samwelseverine7838 2 ปีที่แล้ว +1

    Keep on fighting mr,,,, uwezo unao

  • @halfankallah7173
    @halfankallah7173 2 ปีที่แล้ว

    Polee xana Mwamba ila uko vizuriii yule Mshenzi Japo Anatechnic ila bdo unammudu xana still Tunakuamini Sana Tony Go Goo Goooo Mwambaa

  • @abaspaundy8081
    @abaspaundy8081 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations ninja upo vizur 🥊🥊

  • @nchimbijunior4110
    @nchimbijunior4110 2 ปีที่แล้ว

    The champion mwakinyo...i watched the game from #afghastan clear

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 2 ปีที่แล้ว

    Umepigwa kihalali round nyingi umepigwa hakuna dawa hapo ulizidiwa mbinu na ujanja jamaa ni very professional

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 2 ปีที่แล้ว +3

    Umepigwa acha uongo

  • @habibaly5641
    @habibaly5641 2 ปีที่แล้ว

    Nc Tony respect 👏🙏naku ombea kla wakat baba nshallah uta fkia malengo yako

  • @chelchelsea1453
    @chelchelsea1453 2 ปีที่แล้ว +1

    Asiekubali kushinda sio mshindani bratha

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 ปีที่แล้ว +1

    Achana na izo fikra chafu dogo,fanya mazoezi acha kukurupuka mechi ulishaimaliza harafu round ya mwisho unaforce KO..ungetulia tu ushinde kwa point

    • @salehewaziri8231
      @salehewaziri8231 2 ปีที่แล้ว

      Hapandio tunapopotea kimsingi anajuangumi nilitegemea tujifunze baazi yavitu kutokakwake Sasa tunaanza kudanganyana refamwenyewe alizingua pale alipokuwa anamwambia jamaa asikimbiekimbie hiishelia yawapi

  • @msetikebwasi7270
    @msetikebwasi7270 2 ปีที่แล้ว

    Anaonekana kakulia kwenye karate yule bwana ,ndo maana ana uwezo wa kunyumbulika sana yani ni mf.wa wapiganaji kama Terence Crawford na prince naseem ,sasa watu wa aina hiyo kuwapiga ni ngumu sana.

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 2 ปีที่แล้ว +1

    Wabongo ndivyo tulivyo tukipigwa kumamae

  • @abdulkiliga335
    @abdulkiliga335 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana broo

  • @goromamussa9102
    @goromamussa9102 2 ปีที่แล้ว

    We ushapgwa tujipange upya .. ulirewa ushindi bro JIFUNZE hcho kitu....Ila kupgwa umepgwa🥱

  • @mussanassoro814
    @mussanassoro814 2 ปีที่แล้ว

    Dah Kaka umecheza vizuri angalia ulikosea wapi mwenzio alijiandaa Kama wewe usifikiri ulikua unapigana na kilaza kubali umeshindwa ni vitu vya kawaida kwenye mchezo ukifanya mistek mwenzio anaitumia achana na maneno ya kishabiki mnataka mumtengenezee kipindi mumnyang'anye mkanda wake hiyo dawa asitumie raundi zote 11 aje atumie raundi ya mwisho

  • @barakagashaza8516
    @barakagashaza8516 2 ปีที่แล้ว

    mimi sio mtaalamu wa afya ila najua dawa ya kumeza absoption yake kwenda kwenye damu huchelewa si chini ya masaa mawili.....mi nadhani aache tu visingizio ajipange upya

  • @Dysmedia254
    @Dysmedia254 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh watanzania sie tukishindwa tunatoaga sabbu. Bora tukubali matokeo

  • @husseinbwakame3785
    @husseinbwakame3785 2 ปีที่แล้ว

    Kaka upo vizuri

  • @shabanmilingo4266
    @shabanmilingo4266 2 ปีที่แล้ว

    Usipende kusingizia vitu,ilo jambo unaongea huna uhakika,tatizo ulitaka KO ya haraka

  • @hamidumagesa432
    @hamidumagesa432 2 ปีที่แล้ว +1

    We kubali umepigwaaaa

  • @patrickherman1906
    @patrickherman1906 2 ปีที่แล้ว +1

    tony nimekukubali na kuanzia leo ntakushabikia

  • @pitargamba9208
    @pitargamba9208 2 ปีที่แล้ว

    Shida haikutakiwa umfate tena kwenye raondi ya mwisho ungelilakisi nawe maana ulitaka kumpiga k o ikashindikana jamaa akakuotea ukapotea.siamini kuwa ni dawa

  • @husseinmdwangi8966
    @husseinmdwangi8966 2 ปีที่แล้ว

    Hatari ya ngumi ya Kidevu kwa Toni ilionekana mapema sana Sijui Makocha mlikua wapi kama alishinwa kumaliza raund 11 utaweza 1 ya mwisho wakati makocha mlikua mnajua kabisa kijana kashashinda raund zote 11.Mmeshindwa kumwambia awe na tahadhali inauma sana lawa ma ziende kocha na uongozi wa Tonny.

  • @ladislausmorisi3057
    @ladislausmorisi3057 2 ปีที่แล้ว

    Kaka salute

  • @beebee9419
    @beebee9419 2 ปีที่แล้ว

    Namlaumu kocha wako kashindwa kukupa maujanja ulikua unaongoza point round zote ile ya mwisho unge relax tu ungemuacha akimbie nayey akikufata unamkimbia umuon maywether akisha ongoza point anavyo fanya

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

    asiyekubali kushindwa si mshindani.Kubali kushindwa na ujipange upya.

  • @wamoroboy8963
    @wamoroboy8963 2 ปีที่แล้ว +1

    Msela unajua sana sema nini bondia kupoteza pambano nikitu cha kawaida bas vunga tujipange upya?

    • @abelswila9919
      @abelswila9919 2 ปีที่แล้ว

      Apana uyujama kafanyiwa hujuma

  • @msetikebwasi7270
    @msetikebwasi7270 2 ปีที่แล้ว

    Kashinda kihalali huyo bwana .

  • @robinhomesuza9263
    @robinhomesuza9263 2 ปีที่แล้ว +1

    Dogo acha izo imani wewe pambano lilikuwa lako ww mwenye umeyumba

  • @nelsonmushi4413
    @nelsonmushi4413 2 ปีที่แล้ว

    umepgwa acha lawama,haiwezekan mda wote ucheze vzur alafu upgwe raundi ya mwsho

  • @gidionkalima2566
    @gidionkalima2566 2 ปีที่แล้ว

    Kujiamini Kupita Kias Ndio Kimesababisha ,Hafu Ulikuwa Unataka Njia Mkato

  • @hamidumagesa432
    @hamidumagesa432 2 ปีที่แล้ว

    Kwani huwaga hamkagu liwi

  • @suleymankalage1832
    @suleymankalage1832 2 ปีที่แล้ว

    Ww unawaza ko raund ya mwisho na ushascore san

  • @wilsonmpega8225
    @wilsonmpega8225 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha ngumi nzito mpaka anasingizia madawa kudadadeki hahahahaha

    • @habibaly5641
      @habibaly5641 2 ปีที่แล้ว

      Tony wewe ni bondia unae sta hil pongez kaza baba uta fkia malengo nshallah

  • @peterjohn4206
    @peterjohn4206 2 ปีที่แล้ว

    Kwa mm ww ndiyo bondia bora Tanzania kaka

  • @allyjerome9451
    @allyjerome9451 2 ปีที่แล้ว +1

    Round ya mwisho ulitakiwa ukimbie na wewe amekuwin jamaa sio dawa

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 2 ปีที่แล้ว

    Nihatari

  • @hannansaad2675
    @hannansaad2675 2 ปีที่แล้ว

    Kubali matokeo

  • @suleymankalage1832
    @suleymankalage1832 2 ปีที่แล้ว

    Huna kocha amoma sio kocha mpuuz tu

  • @msetikebwasi7270
    @msetikebwasi7270 2 ปีที่แล้ว

    Na wewe ungetumia .

  • @suleymankalage1832
    @suleymankalage1832 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha kuskingizia dawa ww

  • @hamidumagesa432
    @hamidumagesa432 2 ปีที่แล้ว

    Unapendaa mshindee nyiee tuuuuu

    • @mussanassoro814
      @mussanassoro814 2 ปีที่แล้ว

      Kaka huu ni mchezo siku hazifanani tuwe tunakubali matokeo wewe ulijiandaa na mwenzio alijiandaa pia bahati haikuwa yako fanya maxoezi zaidi angalia wapi ulikosea ili ufanye vizuri mchezo unaofuata tuache hizo fikra potofu hatutafika mbali katik michezo

  • @bahatijoseph8763
    @bahatijoseph8763 2 ปีที่แล้ว +1

    Toni uko vizur dogo