Kama huyu Mzee angekataa,Basi Nyerere kamwe asingekuwa Rais

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 117

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 19 วันที่ผ่านมา +10

    True always remains true sheikh Hassan was great person Allah amfanyie wepesi

    • @alexlugembe4816
      @alexlugembe4816 15 วันที่ผ่านมา

      wepesi kwenye nini ebu toeni ushamba wenu hapa

  • @lshayo1658
    @lshayo1658 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mnafanya vizuri sana aongee bila kumkatiza au kuingilia maongezi kila baada ya sekunde kadhaa, yako very professional haya maongezi! safi sana kwa waandaji.

  • @khalidawadh6689
    @khalidawadh6689 19 วันที่ผ่านมา +2

    MashaAllah. Allah akuongezee umri ilinasi tupate japo kidogo kutoka kwako

  • @JalibuMwenemilao
    @JalibuMwenemilao 5 วันที่ผ่านมา +1

    MWAFRIKA ANASIKITISHA SANA. MWAFRIKA HAJITAMBUI! MWAFRIKA HAIJUI HISTORIA YAKE! MWAFRIKA KAPOTEZA UTAMADUNI WAKE, KAPOTEZA IMANI ZAKE ASILIA, KAPOTEZA UTU WAKE NA HAONI UMBALI ULIOZIDI PUA YAKE. WAARABU WAMEMTAWALA MWAFRIKA NA KUMCHUKUA UTUMWANI KAMA BIDHAA YA MAHINDI. MWAFRIKA HAKUONEKANA KAMA NI MWANADAMU. WAARABU HAO NDIYO WALIOMLAZIMISHA MWAFRIKA KUACHA UTAMADUNI WAKE, IMANI YAKE ASILIA NA MWISHOWE KUUPOTEZA UTU WAKE. BILA YA KUJITAMBUA, MWAFRIKA AKAUCHUKUA UTAMADUNI WA KIARABU, DINI YA KIARABU, NA MENGINE MENGI YA KIARABU KUWA NDIYO USTAARABU, NDIYO UKWELI NA NDIYO UTU! KUANZIA HAPO MWAFRIKA AKAPOTEZA UTU WAKE NA AKILI YAKE IKAWA NI YA KITUMWA. ANAFIKIRI KIARABU. HADI HII LEO, MWAFRIKA AMEJIKOMBOA KUTOKANA NA UTUMWA MKONGWE NA UKOLONI MKONGWE. LAKINI MWAFRIKA HAJAJIKOMBOA KIFIKRA. BADO ANATAWALIWA KIMAWAZO. HAYUPO HURU. NI MTUMWA WA WAARABU KIDINI, KIUTAMADUNI NA KIFIKRA! HATA MAJINA YAKE YA ASILI ANAYAKANA, ANAITIKA KWA MAJINA YA KIARABU. NI UTUMWA WA KUSIKITISHA!
    WAZUNGU PIA WALIWACHUKUA UTUMWA WAAFRIKA NA KISHA KUWATAWALA. WAKAFUTA UTAMADUNI NA IMANI ZA MWAFRIKA. NAO WAKAWARITHISHA KWA NJAMA, DINI YAO NA UTAMADUNI WAO. WANAOFUATA DINI YA WAZUNGU, HAWANA TOFAUTI NA WAAFRIKA WANAOFUATA DINI YA WAARABU.
    WOTE WANATAWALIWA NA MABWANA ZAO KIFIKRA.
    WAAFRIKA NI TOFAUTI NA MATAIFA YA WACHINA, WAJAPANI NA WAHINDI. MATAIFA HAYO YOTE YALITAWALIWA, LAKINI WALIPOPATA UHURU, WALIJIKOMBOA PIA KIFIKRA. WAMEBAKI NA IMANI ZAO, TAMADUNI ZAO NA UTU WAO KAMA TAIFA.
    ATHARI ZA UTUMWA WA FIKRA NI KAMA HIZI TUNAZOZIONA HAPA AFRIKA. BAINA YETU SISI WAAFRIKA, TUNABAGUANA KIDINI, KIKABILA NA KIMAJIMBO! UMOJA WA AFRIKA UNASHINDIKANA KWA SABABU HIZO. MWAFRIKA ANADHARAULIWA DUNIANI KOTE KWA SABABU YA UJINGA WAKE UNAOTOKANA NA UTUMWA WA FIKRA.
    NI AIBU KUBWA!!!!!

  • @froma3732
    @froma3732 18 วันที่ผ่านมา +4

    Hao wanaosema huyu anamchukia Nyerere kwa Sababu Mkiristo itakuwa hujamuelewa na kama Munaona anatunga Watueleze yaliokuwa na Ukweli kam sio huuu

    • @Fesary
      @Fesary 7 วันที่ผ่านมา

      Lakini anaongea kitu ambacho kilishindwa kufanya kazi, Nyerere akawa Raisi

  • @Andres-qt6kp
    @Andres-qt6kp 19 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Ameir alikua mtu wa Mungu na msafi na Mungu alimtumia kumunga mkono Nyerere ila ungekua wewe I believe ungepinga Mwalimu asiwe kiongozi wetu

    • @AliAmour-g2o
      @AliAmour-g2o 18 วันที่ผ่านมา +1

      Pamoja kuwa shkh hassan bin ameir ni mtu wa mungu, hakuwa nao lakini uwelewa wa mambo ya mbeleni ambayo baadae yalikuja kumkuta kwa huyohuyo ambae aliemfanyia wema wa kumuunga mkono, naamini angelikuwa anayajua hayo yaliyomkuta katu asingelimuunga mkono hata kidogo kwa vile kuwa alikuwa ni mtu wa mungu na hakupeda dhulma...
      Soma historia kwa umakini uwelewe ndugu

  • @MwinyimvuaOmary
    @MwinyimvuaOmary 19 วันที่ผ่านมา

    Maashaa'allah shukran Kwa ukumbusho

  • @MaulidKomboza-wh2ki
    @MaulidKomboza-wh2ki 18 วันที่ผ่านมา +2

    Boniface Ww hujui chochote KuhusuHistoria ya kweli ya Tanganyika Jifunze usilaumu.

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 19 วันที่ผ่านมา +4

    Nadhani tuzungumzie zaidi utaifa wote walikuwa Watanganyika regardless ya dini zao.
    Nyerere aliteuliwa na wenzake Kwa sababu ya sifa alizokuwanazo. Si Kwa sababu ya dini yake na kama kigezo ingekuwa ni dini yake asingeteuliwa.
    Yawezekana kabisa kama wewe ungehusika katika uteuzi usingemteua Nyerere Kwa sababu ya dini.

    • @king3-q1s
      @king3-q1s 19 วันที่ผ่านมา +2

      Wakati kanisa linatunga nyimbo ya kwaya na kuwaimbia watu kuwa kama sio juhudi zake nyerere na uhuru tungepata wapi, mulidhani watu hawatojua kuwa sio juhudi za nyerere kama mulivyoaminishwa, kufeni kwa uchungu.

    • @samitungo
      @samitungo 19 วันที่ผ่านมา +1

      Nyerere alichaguliwa kwa sifa alizokuwanazo na moja ya sifa hizo ilikuwa dini yake.
      Hamza Mwapachu alisema ni muhimu Nyerere aongoze harakati za kudai uhuru kwa sababu kama Mkristo ataondoa ile "stigma" ya kuwa harakati za uhuru ni za Waislam peke yao.
      Nyerere kuwa kiongozi wa TANU kutaleta umoja wa Watanganyika wote lau kama Waislam wako mstari wa mbele.

    • @antarsangali4456
      @antarsangali4456 19 วันที่ผ่านมา

      Huwezi kukwepa ukweli wa historia ya political movement kuelekea uhuru wa Tanganyika haikamiliki bila kuzungumzia nguvu au mchango wa waislam by then.
      TAA hadi TANU haikuwa na ushiriki mkubwa wa Ukristo ,Ubudha au Uyahudi.
      Sauti ya Muft sheikh Hassan bin Ameir kwa wakati ule, angemtaka Julius Nyerere asiwe kiongozi wa TAA baadae TANU , historia yake ingeandikwa vingine si kama inavyosomeka leo

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 19 วันที่ผ่านมา

      RAIS MKATOLIKI NYERERE
      ALICHANGANYA
      UKATOLIKI ✝️ NA SIASA.
      1) Bila Udini wa Nyerere na Msaada wa Chama Cha Makanisa (CCM) yafuatayo yasingekuwepo:
      a) Afro-Shirazi Party.
      b) Mapinduzi ya Zanzibar.
      c) Muungano.
      d) Kero za Muungano.
      e) Tanzania.
      f) Karume asingeuliwa
      g) Chama Cha Mapinduzi
      h) Waislam wa Zanzibar wasinbygeuzwa Wahanga kila Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi.
      i) Maaskofu wa Kanisa wasingependekeza Baba wa Taifa kuwa MTAKATIFU.
      2) Nyerere alichanganya Siasa na Udini mara tu baada ya kuvunja TAA na K😢uwafukuza Waislam na Kuwaingiza Mkatoliki.
      3) Nyerere alilazimisha Ujamaa wa Kiafrika kumbe ni Liberation Theology ya Kanisa la Katoliki.
      4) Kwa nia ya kupinga Dini ya Kiislam Tanganyika na Zanzibar, Nyerere alitaka watu wasichanganye Dini (Uislam) na Siasa Nchini.
      5) Waislam hawajui kuwa kutochanganya Dini na Siasa ni Imani ya Mfalme Julius kwenye Biblia.
      6) Kambarage alibatizwa kuitwa jina JULIUS na kuandika kitabu JULIUS KAIZARI, Mwasisi wa Kutokuchanganya Dini (Ukiristo) na Siasa.✝️
      7) Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi na Mashekhe wenzake waliopinga Siasa ya Ujamaa aliwafukuza nchini, akiwemo Mufti Hassan bin Ameir na wengine kufungwa jela.
      8) Nyerere ni Rais wa kwanza kuwaunga Mkono Wakatoliki wenzake wa Biafra kujitenga na Muungano wa Nigeria. Alifuatiwa na Marais Makatoliki wa Zambia, Gabon na Ivory Coast.
      9) Kwanini Mkatoliki Julius Nyerere aliwavamia na kuwatawala Waislam wa Zanzibar kwa Muungano wa Kanisa Katoliki?✝️
      10) Kwanini Julius Nyerere alipoivamia Uganda na kumwondosha Iddi Amin hakuitawala Uganda kama alivyofanya Zanzibar?
      11) Waislam wakitetea Dini yao wanambiwa eti wanaleta Udini. Mashekhe wa Uamsho wa Zanzibar walifungwa Tanganyika na Hussain Ali zaidi ya Miaka Minane. Dodoma Pombe alimchaguwa kuwa Rais wa Zanzibar kwa Maslahi
      ya Kanisa Katoliki.
      12) Wakiristo wakitetea Dini yao hawaambiwi wana Udini. Mfano William Lukuvi alipotetea Ukiristo wake na Kupinga Uislam wa Zanzibar Kanisani ni Uhuru wa Mawazo yake.
      KILA UKILA NA KIPOFU
      USIMKATE MKONO

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 18 วันที่ผ่านมา

      @@king3-q1s ni Kanisa gani huo wimbo ulitungwa, na wanaimba kwenye ibada? Ndio maana hata akili za kawaida hamnazo. Shule zetu zimejaa watoto wenu. Jengeni zenu, mnakuwa na chuki na watu wanaowasaidia! Kweli akili zenu bovu.

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 19 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu yeye kajikita kumchukia Nyerere kisa mkristo huwa simwelewi kabisa kwani hii nchi si yetu sote mtu wa bara na pwani

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 18 วันที่ผ่านมา +3

      Kwaunavodai hii nchi ni yetu sote kimaneno lkn kiundani kabisa wakristo wanaona hii nchi ni yao wao pekeayo, lkn ndio ivo mkismbiwa ukweli mnakua wakali

    • @AliAmour-g2o
      @AliAmour-g2o 18 วันที่ผ่านมา +2

      Kama ni kweli hayo unayoyasema mbona historia inatwambia kuwa katika kipindi cha harakati za kudai uhuru kanisa (wakristo) lilijitenga mbali na jambo hilo, waislamu wakawa ndio wanaokwenda mbio kudai uhuru peke yao?..na baada ya kupatikana uhuru hao waislamu wakamkabidhi kwa moyo safi nyerere uongozi wa kuliongoza taifa la mzizima (Tanganyika) mwisho akawageukia wale waliokwenda mbio peke yao kipindi cha kupigania uhuru kwa kutanguliza kwake dini yake kwanza kabla ya usawa?

    • @antarsangali4456
      @antarsangali4456 17 วันที่ผ่านมา

      @@bonifacedanielmwakisunga9638 Hoja ya ubara na upwani unailet vwewe. Kama harakati zingeanzishwa Bara ,historia ingeandikwa kama ilivyo na kwakuwa harakati zimeasisiwa Pwani ,acha historia iandikwe kama mambo yalivyokuwa.
      Mwanahistoria Mohamed Said wewe humuelewi vizuri. Ameanza kusoma st Joseph na wanafunzi wengi wakiwa wakristo,ndiyo rafiki zake. Anachokiandika na kukielezea ni ukweli wa historia.
      Tokea aandike na kukitoa kita cha maisha na nyakati za Abdulwahid Sykes ,kina Mwalimu Nyerere,John Rupia na wanasiasa wengine walikuwa hao lkn hawakukanusha wala kukipinga kitabu hicho

    • @NdakiYacha
      @NdakiYacha 17 วันที่ผ่านมา

      Huyu Amir alukuwa ni nani sasa

    • @ce-08
      @ce-08 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@MohdJuma-w6l hizo ni hisia zenu udini umewajaa wote wawili huyo anaona waislam wanaona nchi Yao na wewe unaona wakristo wanaona hii nchi Yao ni upuuzi mtupu nyinyi madam mnaishi inatosha tumie nguvu zetu kufanya mambo mazur yenye kumjenga sio kuibua chokochoko sasa itasaidia ni nini hata tukisema nchi hii ya waislam au wakristo

  • @lamecktanda8148
    @lamecktanda8148 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hii itasaidia nini hiyo ndio siasa za kupigania uhuru. Wewe unataka nini je wewe hukupenda umoja huo

  • @AbubakarKawayasimwanza
    @AbubakarKawayasimwanza 19 วันที่ผ่านมา

    Baraka nyingi kwako

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 19 วันที่ผ่านมา +1

    Shk duka la Vitabu li WaPi?

    • @samitungo
      @samitungo 19 วันที่ผ่านมา +1

      Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na Kichangani bei 10,000.00.

  • @GeorgeMuhongole
    @GeorgeMuhongole 18 วันที่ผ่านมา

    Alikuwa wapi siku zote kuelezea hayo yote ebu tuongelee mambo ya maendeleo.

    • @samitungo
      @samitungo 18 วันที่ผ่านมา

      Nimeandika kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London 1998.
      Kitabu kipo sasa miaka 25 na kimechapwa mara kadhaa tafsiri ya Kiswahili imechapwa na Phoenix Publishers, Nairobi 2002 na ikachapwa tena 2014.
      Ama kuhusu mambo ya maendeleo.
      Kitabu hiki kimeleta maendeleo makubwa katika utafiti wa historia ya Julius Nyerere na katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
      Wazalendo waliosahauliwa katika historia ya Tanganyika sasa wanafahamika mfano wa Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Mohamed Yusuf Badi, Sheikh Abdallah Rashid Sembe kwa kuwataja wachache halikadhalika wazalendo kama Hamza Mwapachu na wanawake waliopigania uhuru: Tatu bint Mzee, Hawa bint Maftah, Shariffa bint Mzee, Halima bint Khamis, Halima Selengia, Amina Kinabo, Mama bint Mwalimu, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande kwa kuwataja wachache.
      Kleist Abdallah Sykes na wanae wametiwa katika Dictionary of African Biography.
      Mambo mengi.
      Nimekuwapo siku zote ila wewe hukuwa unanifahamu.
      Nimeandika vitabu kadhaa vya historia ya uhuru wa Tanganyika.

    • @AliAmour-g2o
      @AliAmour-g2o 18 วันที่ผ่านมา

      @@GeorgeMuhongole bila ya kujua ulipotoka, ulipo, na unapoelekea maendeleo ni ndoto tu hhhhhhhh

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 17 วันที่ผ่านมา

    Miaka yoye alikuwa wapi aje leo kusema kwamba ndio anajua kumbukumbu ya nchi hii msanii tu anataka apate vyuwa wengi alipwe mkijua

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  17 วันที่ผ่านมา

      Mzungumzaji hapo si mwenye hii channel hivyo hoja yako ya yeye kutafuta viewers ni miflis,Pili Hata mwalimu nyerere alikuwa namjua Muhammad Said na hakuwahi thubutu mjibu wala kutuma watu wamkamate,unajua kwanini?Soma,usifate mkumbo,kazi yetu ni kukuletea Chapisho zetu,pokea kisha fanya upembuzi yakinifu.Kisha utaamua nani mkweli nani muongo

    • @Magotimwteregina
      @Magotimwteregina 17 วันที่ผ่านมา

      Shida yenu hamtaki ukweli hii nchi imepiganiwa sana na waislamu, mwaka 1985 nyerere anaondoka madarakani aliwaita wazee wa Islam wa mji wa dar es salaam kuwaaga na ndio siku hiyo anawaambia ukweli "bila ninyi nisingekuwa raisi" wewe unabisha kitu gani sumbua akili yako kufikilia

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@Magotimwteregina inaumuhim gan sas

    • @Magotimwteregina
      @Magotimwteregina 15 วันที่ผ่านมา

      @fasterwalker1464 hujaona umuhimu wake mpaka sasa jitafakari

  • @goodluckmolleltennis5980
    @goodluckmolleltennis5980 15 วันที่ผ่านมา

    Ukisoma comments utagundua waislam Wana udini mno adi kwenye siasa na ndomana nchi nyingi zenye sheria ya kihislam wanagomban na hawana amani..UDINI MNOOO ,,na mkoipewa nchi mnabagua wengine na kuwanyanyasa

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 15 วันที่ผ่านมา

      Waislam wengi hawana akili wala elim

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 8 วันที่ผ่านมา

      Hata hapa kwa dhuluma mnazowafanyia waislamu mngekuwa tayari mmevuruga amani tayari waislamu waungwana sana. Hii amani unayoiona Tanazania ni sababu ya upole uungwana wa waislamu tu di uliona magu alivyokuwa anapora mali za waislamu waziwazi tena huku anatamba kadhulumu waislamu roho zao na Mali zao leo yuko wapi hii dunia tunapita tu..!

  • @MaulidKomboza-wh2ki
    @MaulidKomboza-wh2ki 18 วันที่ผ่านมา +8

    Nyie wakristo mnakumbushwa ukweli wa kupigania uhuru wa Tanganyika Nyie mlikaa pembenii waislaam Ndio waliompokea Nyerere. Ulipopatikana Uhuru Nyerere akawageuka Waislaam. Someni kitabu cha wakatoliki Siasa ya Tanganyika na Kanisa katoliki 1954-1984.

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 18 วันที่ผ่านมา

      Haya yote yatakuletea faida gani? Mnateseka kuunda uwongo ili mfaidike na nini! Watu wa Upanga!
      Waislamu bhana!😅 😁 😂 😂

    • @nyembobea7285
      @nyembobea7285 18 วันที่ผ่านมา

      Ukatoliki si ukristo peke yake ile ni taasisi ya kiitaliano itabidi muainishe kwakusema ukatoliki nasi ukristo pia makala ijikite kwenye uzalendo maana wasabato wa kkkt moloviani aic hizi zote ni taasisi haziipigi vita dini ya kiislam na ndio maana utaona hapajawahi kuwa na rais msabato moloviani wala kkkt sasa je huo ukristo gani iwe rais anatoka katholic peke yake nafasi za juu nchini yaani uraisi ni mkatoliki na muislam vip

    • @AliAmour-g2o
      @AliAmour-g2o 18 วันที่ผ่านมา

      Eleza basi huo ukweli tope ulionao

    • @Winford-f4l
      @Winford-f4l 18 วันที่ผ่านมา

      Wangekuwa wakoloni ni waarabu ndio wanatawalaTanganyika ,basi waislamu wasingetumia nguvu sana kudai Uhuru,maana wangeona waarab kama waumini wenzao ,na hali hiyo haina tatizo, hali hiyo ndio waliokuwa nayo wakristo dhidi ya Wakoloni wajerumani na waingereza ,it's very natural kwa msomi kuelewa haya.

    • @123A-t7q
      @123A-t7q 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@Winford-f4l kwaivo Zanzibar walioudai uhuru walikua nani

  • @BenedictaMagantg
    @BenedictaMagantg 19 วันที่ผ่านมา

    Ndio haikuwa sasa.

  • @DumishaTanzania
    @DumishaTanzania 14 วันที่ผ่านมา

    Siwezi kupinga hoja zako, ila kwenye ukweli pia siwezi sema nimekubali au nakataa. Lakini najiuliza sasa lengo ni kujua historia tu? Au kipo kitu cha kufanya/kinachopaswa kufanywa?

  • @radjabusuleiman6486
    @radjabusuleiman6486 19 วันที่ผ่านมา

    Historia ya Tanzania ilifichwa Sana ili isijulikane.

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 15 วันที่ผ่านมา

      Wewe unaona hii historia inaumuhim gan

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 19 วันที่ผ่านมา

    👍👊✌️

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 19 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzeee pngekuwa uarabuni saivi mngeskia kaunda kundi la kigaidi ,
    Ana udini usio na faida wala maana ni kueneza chuki tu

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  19 วันที่ผ่านมา

      Hoja hujibiwa kwa hoja na si pety talk

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 19 วันที่ผ่านมา

      Kwa kuwa anasema ukweli

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 19 วันที่ผ่านมา

      Tena sana mdini ile mbaya kwanini serikali wasimshughulikie?

    • @samitungo
      @samitungo 18 วันที่ผ่านมา

      Kusomesha historia ya Tanganyika imekuwa ugaidi?
      Kusomesha historia ya watu ni kueneza chuki?
      Wewe unachukia kujifunza historia hii ambayo haikuwa inafahamika na wewe hukuijua?
      Au moyo unakuuma kwa kusikia historia ya Waislam?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@johnmichaellukindo21Serikali imshughulikie, ndio itajulikana ni sirikali ya kutesa waislamu. Hamtaki kusikia muislamu alifanya zuri kwa Tanganyika yenu, iwe Nyerere tu.

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 19 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wa roho mtakatifu ngumu kumeza hii

  • @albertjames6845
    @albertjames6845 18 วันที่ผ่านมา

    Hawa kawaida yao, vichwa mavimavi Hamna kitu

  • @GeorgeMuhongole
    @GeorgeMuhongole 18 วันที่ผ่านมา

    Acheni kuanza udini sisi tunaangalia mambo ya uchaguzi 2025 msianze kutuvuruga

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 18 วันที่ผ่านมา

      Uchaguzi mama anaendelea kuwepo mitano ijayo In Sha Allah

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 12 วันที่ผ่านมา

    Hayo ungeyazungumza kipindi nyerere hayuko madarakani na bado hai ili naye angetoa mchango wake kuhusu masimango yako unayomtolea. Acha udini, haujengi. Kila kilichotengenezwa na wazee wetu wewe unaona siyo bora.

    • @ZanzibarOrchestra
      @ZanzibarOrchestra 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Km kilichofanyika ni kweli kwann kifichwe? Lkn km kuna utetezi naamini wako watu wa upande wa pili wanajua historia watoe ushahi wao halaf sisi wasikilizaji tutajiongeza wenyewe sio lazma aweko nyerere mwenyewe hata aliowataja yeye karibu wote hawapo.yeye kasema na kajitahidi kutoa ushahidi wake na mm naamini kwa karibu 80% ni kweli kwa namna anavyoelezea.

  • @goodluckmolleltennis5980
    @goodluckmolleltennis5980 15 วันที่ผ่านมา

    Uislam ni hatar sana ndo mana Rais wa Poland kasema waislam wakizid 30% nchi iko hatarini..agenda yao ni kutawala dunia na Quran inawambia wapigane na wasio muamini mungu wao adi wawaue ..hawana amani wala syo dini ya aman

  • @jilalamaligisa4854
    @jilalamaligisa4854 19 วันที่ผ่านมา

    Sijawahi kuvutiwa wala kumwelewa huyu mzee maana anahubiri zaidi udini na sio historia, kwa nini vitu kama hivi vinaruhusiwa? Sisi hatuna UDINI, angezungumza tu historia angekuwa wa maana sana.

    • @samitungo
      @samitungo 19 วันที่ผ่านมา

      Historia yenyewe ndiyo hiyo Waislam na viongozi wao hatuwezi kuibadili.

    • @sadih5333
      @sadih5333 19 วันที่ผ่านมา

      Hakuna historia ya Tanganyika ilio kamilika bila ya mapitio hayo usio yapenda, sikiliza vumilia na ujifunze.

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 19 วันที่ผ่านมา

      Huyu mzee anashida ya udini nna chuki na elimu yake inaonekana ipo chini sana

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 19 วันที่ผ่านมา

      Mbona watu huwa happening kusikia ukweli

  • @hosianajolam8695
    @hosianajolam8695 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂

  • @MohamedKatanga-db4dd
    @MohamedKatanga-db4dd 15 วันที่ผ่านมา

    wewe Boniface ndio mana. mnadanganywa kanisani wasilamu hawakusoma, mulize kiongozi wako unaposali, history yanchi Tanganyika, acha ujinga wewe sasa nakupa homework kabra ya kanisa la sant peter pakua nn?

  • @asamulinda8017
    @asamulinda8017 19 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe una Advocate uislam. Ni mdini. Hutufai

    • @mohayussuf2057
      @mohayussuf2057 19 วันที่ผ่านมา

      @@asamulinda8017 ukweli mchungu Meza hata kama mchungu

    • @africano98.
      @africano98. 19 วันที่ผ่านมา +1

      Tulia dawa ikuingie wanaojua tanganyika ilipotoka hawawez kuandika huo upuuzi wako

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 19 วันที่ผ่านมา

      True anazingua na udini wake

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 19 วันที่ผ่านมา

      Nikuulize wewe. ni nini maana ya historia?
      pia nikuulize tangu umeanza kusoma shule darasa la kwanza hadi umemaliza huko uliko fika ulishamsoma sheikh huyo anaetajwa kwenye historia ya uhuru wa tanzania? je ni yanayosemwa si kweli? hakuwamo kwenye siasa. basi acheni chuki. Nyerer tumemsoma sana, acha tuwasome na wengine nao.

    • @muslimkhamis2372
      @muslimkhamis2372 19 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe huyo lazima ahubiri udini kwasababu sisi tumeaminishwa kuwa wakristo ndo wametoa mchango mkubwa kwenye kupatikana uhuru wa Tanganyika kinyume chake kumbe waislamu walishiriki moja kwa moja na mukitaka musitake nyerere hakuwapenda waislamu ndo mana akawabadilikia wakati waislamu walimkunjulia mioyo yao yote

  • @gabrielmashauri8236
    @gabrielmashauri8236 19 วันที่ผ่านมา

    Huwa sielewi maudhui ya hii clip

    • @shabantelack5716
      @shabantelack5716 19 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani umelazimishwa kuiangalia

    • @king3-q1s
      @king3-q1s 19 วันที่ผ่านมา +2

      makafiri huwa hawataki kusikia ukweli na hasa ukweli huo ukiwa unahusisha waislam, na ndio maana huelewi.

    • @ramadhanimandoa716
      @ramadhanimandoa716 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@king3-q1sni wajing sana makafir

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 19 วันที่ผ่านมา

      @@shabantelack5716daah huu sio uislam jamani, mweleweshe tuu atakuelewa usiwe mjinga na ww kumkaripia.

    • @MakameAbdallah-wn3hc
      @MakameAbdallah-wn3hc 19 วันที่ผ่านมา +2

      Mm nimemuelewa sana huyu mzee kwamba wazanzibar na watanganyika huwezi kuwatenganisha ktk ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar.
      Chengine ni kwamba ukweli usemwe usipindushwe.
      Tatizo letu tunapenda kupotosha mambo .
      Mzee hongera sana kwa kutueleza tuliyokuwa hatuyajuwi leo tumepata kuyajuwa Allah akupe afya njema na umri zaidi tuelimike kutoka kwako Nakupongeza sana pia hongera kwa kiswahili fasaha