MWANRI AWAVUNJA MBAVU WATU MBELE YA WAZIRI MKUU "PELEKA MIREMBE,NANI AMETULOGA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 97

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu azidi kukuinua mbele ya watu mzee, hata kama kuna figisu ulifanyiwa ili usipite ila mm na umma unamaanisha kuwa ulistahili kupita, kila mtu anakukubali mzee, una mchango mkubwa kwenye jamii kuliko unavyojifikiria, upo vizuri baba, naamini mh. Raisi anakuona hivyo atakupa nafasi unayopaswa kuwepo. Ubarikiwe sana

  • @hamidamnyika5287
    @hamidamnyika5287 4 ปีที่แล้ว +11

    We mwanaume nikiboko sipati picha hapo nyuumbani na mkeo panakuaje????love love mingi sana

  • @alexkabeho5609
    @alexkabeho5609 4 ปีที่แล้ว +11

    Missed you sana mzee wangu, tunategemea kukuona sana kwa kazi kuu serekarini ❤️

  • @MrCosmas15
    @MrCosmas15 4 ปีที่แล้ว +15

    Mr Mwanri anafaa sana kuwa mwalimu, lecture, politician. Hata uwe mjinga vipi, utamuelewa huyu jamaa.Mr Magu, kwa mamlaka uliyonayo juu ya Tz, tunakuomba umrudishe Mr Mwari aitumikie Tz kwa miaka mingine 5.

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 4 ปีที่แล้ว +11

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani huyu baba apewe hata uwazir me nampend sana 🤣🤣🤣🤣

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂😂😂😂😂..Agrey Mwanry anachekesha sana...

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 4 ปีที่แล้ว +7

    Hadi raha kwa kweli😂😂😂

  • @yahyaally364ally2
    @yahyaally364ally2 4 ปีที่แล้ว +19

    Sipat picha kpnd alivyo kuwa anasoma shule cjui alkuaje?? aisee😀😀😀

  • @johnmashauri514
    @johnmashauri514 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah noumaaaaaa san

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 4 ปีที่แล้ว +7

    Yaaan mh!uko vizur god blessing Kura za jpm/CCM oyeee

  • @kessyrojas9549
    @kessyrojas9549 ปีที่แล้ว

    Engineer somaaaaa wewe ngpi uko??😂😂😂😂

  • @sulaimanead8060
    @sulaimanead8060 4 ปีที่แล้ว +27

    Uyu jamaa ukimsililiza usipo cheka ww sio mzima

  • @abdulramanhemed3749
    @abdulramanhemed3749 4 ปีที่แล้ว

    Mzee wa kazi ya raiya halisi .... sukuma ndani nakupa salut

  • @janekikoti2179
    @janekikoti2179 4 ปีที่แล้ว +12

    Jaman huyu baba amrudishe kwenye uongozi bado anafaa sana tu

  • @nestor384
    @nestor384 4 ปีที่แล้ว

    Mhe. Rais amtafutie kazi nyingine mzee wetu yuko vizuri sana bado He can retire government serving but politically he is still very very strong Please kwa wasaidizi za rais mfikishieni ombi langu hili.

  • @edwardrichard5071
    @edwardrichard5071 4 ปีที่แล้ว

    Mzee alitambulisha Tabora vzr

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyuu jamaaa very genius

  • @edwinjohn1852
    @edwinjohn1852 4 ปีที่แล้ว +1

    Sukuma ndani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mweusiclassic4785
    @mweusiclassic4785 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma sanaaaaa

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 4 ปีที่แล้ว

    _nakubali sana mzee wa tolonto_

  • @jeromekabogo9456
    @jeromekabogo9456 4 ปีที่แล้ว

    Mzee nomaa sanaa

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 4 ปีที่แล้ว +14

    Tabora tumekumiss sana

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 4 ปีที่แล้ว

    Mbona amesitafu jamani 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @edwinjohn1852
    @edwinjohn1852 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana agrey

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 4 ปีที่แล้ว

    Mzee nimemwona tena leo😄😄😄

  • @charleskisuda9328
    @charleskisuda9328 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana mzee Mwanry

  • @janethhamza8316
    @janethhamza8316 4 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda

  • @michaelkitali8651
    @michaelkitali8651 4 ปีที่แล้ว +8

    Oyowoyowoyooooo uyumzee ni kichwa sanaa yanii

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanri mis you sanaaaa

  • @ymusic803
    @ymusic803 4 ปีที่แล้ว

    Mwanry jamani tunakumisi sanaa

  • @HafizOnlineTz
    @HafizOnlineTz 4 ปีที่แล้ว +7

    Kakaa yakoo 😂😂😂

  • @aisharamadhani9438
    @aisharamadhani9438 4 ปีที่แล้ว +2

    Sukuma ndani

  • @upendokusaga6631
    @upendokusaga6631 4 ปีที่แล้ว

    😅😅😅 hatar jaman adi raha yaan

  • @princhiuskalogosho1804
    @princhiuskalogosho1804 4 ปีที่แล้ว +2

    Umetishaaa mh!!

  • @fatmapanaguiton9783
    @fatmapanaguiton9783 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂kaakaayakoo

  • @naomimabula2660
    @naomimabula2660 4 ปีที่แล้ว +4

    Piga keleleeeee kwa Mwandry.

  • @eliahmbaruku6372
    @eliahmbaruku6372 4 ปีที่แล้ว +2

    Hv wajumbe wana nn jmn kumfelisha huyu jamaaaa

  • @rehemasalimini5466
    @rehemasalimini5466 4 ปีที่แล้ว +4

    Hebu fanya kama unajikuna 😆😆😆 tumekumis sana tabora kwenye mtaa wa salimini ukaupa jina la tolonto

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 4 ปีที่แล้ว +7

    CCM OYEEE

  • @emmanueldottofimbo2815
    @emmanueldottofimbo2815 4 ปีที่แล้ว

    Hapo ndipo mnafeli waandishi. kwasasa hatuna waziri mkuu huyo ni mgombea wa ubunge tu

    • @rabielmaringo4245
      @rabielmaringo4245 4 ปีที่แล้ว

      Acha kudanganya baraza la mawaziri halijavunjwa hivyo mawaziri wote wanaendelea na majukumu yao

  • @edwinjohn1852
    @edwinjohn1852 4 ปีที่แล้ว +1

    Agrey😂😂😂

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว

    TANZANIA TUNATAKA MABADILIKO BILA KUMWAGA DAMU. WACHUNGAJI, MASHEHE, MAASKOFU, WAAMBIENI CCM HATUTAKI VITA TUNATAKA MABADILIKO.

    • @barakawisdom8562
      @barakawisdom8562 4 ปีที่แล้ว

      Utamwaga ya mama yako na baba yako fala wew walisemaga baba zko endelea na kubweka na wew

  • @kelvinjonathan4772
    @kelvinjonathan4772 4 ปีที่แล้ว

    #KaakaaYako 😀😁😁😀😀😁😂😂😂😂

  • @fardoosikopoasana4024
    @fardoosikopoasana4024 4 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂

  • @maisaalawi5399
    @maisaalawi5399 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha safi

  • @mahewamahewa6461
    @mahewamahewa6461 4 ปีที่แล้ว

    Aende akaungane na jot anafaa kuwa comedian

  • @athanasgibson192
    @athanasgibson192 4 ปีที่แล้ว +3

    Tume kumic Sana Tabora Mzee wa Toronto

  • @mussakyomboi4110
    @mussakyomboi4110 4 ปีที่แล้ว

    Yeeee more

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 4 ปีที่แล้ว

    Natabir anaweza kuwa rc dodoma au wazir wakitengo chochote. Karbu Tabora tena

  • @semenimtoka1121
    @semenimtoka1121 4 ปีที่แล้ว

    Mwary sijui wakat yupo shule alikua hiv hiv au vp

  • @izackkileo5792
    @izackkileo5792 4 ปีที่แล้ว

    Asant baba

  • @masudinangololo3672
    @masudinangololo3672 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni yeye😁

  • @focuseric4109
    @focuseric4109 4 ปีที่แล้ว +2

    Ayo upo vizur kwa picha yan ukoseu mpaka sauti

  • @kabonakabona8121
    @kabonakabona8121 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @gammygreggy1930
    @gammygreggy1930 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila mzee kama umepungua hivi

  • @mabaujames3632
    @mabaujames3632 4 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 ปีที่แล้ว

    Mama wa kimachame

  • @mohamedmnjeja70
    @mohamedmnjeja70 4 ปีที่แล้ว

    We mzee nakuelewa xnaaaaaaa

  • @wilongojackweljacxe9015
    @wilongojackweljacxe9015 4 ปีที่แล้ว

    Haya peleka milembe nani huyo

  • @aronjiran
    @aronjiran 4 ปีที่แล้ว

    Mekumiss Sana mwanli

  • @petersenteu7252
    @petersenteu7252 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow

  • @mosesmtumishi3818
    @mosesmtumishi3818 3 ปีที่แล้ว

    B

  • @salamakaloloma1098
    @salamakaloloma1098 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwani huyu mzee Ali fukuzwa

  • @majeje655
    @majeje655 4 ปีที่แล้ว

    Hellow
    Naitwa Salome natokea kampuni ya *UGREAT INTERNATIONAL*, ni kampuni kutoka *MALAYSIA* kwa sasa tumefungua ofisi Tanzania.Napenda kuchukua fursa hii kukualika.Tunatafuta watu wa kufanya nao kazi kutoka upande wa ajira , maonesho na matangazo .
    Ofisi zetu zipo Mwenge Mpakani, jengo linaitwa *MPAKANI CENTRE* (Jengo la Loan Board ya zamani),gorofa ya tatu .
    Karibu sana +255745480193

  • @leonardemmanuel9249
    @leonardemmanuel9249 4 ปีที่แล้ว

    Mr Soma hiyo a.k.a Toronto

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 4 ปีที่แล้ว +6

    Ccm hoyeee

  • @hadijasalimu5481
    @hadijasalimu5481 4 ปีที่แล้ว +2

    Ivi alichaguliwa kuwakilisha ccm huyu?

  • @emanuelandedela2771
    @emanuelandedela2771 4 ปีที่แล้ว

    Yuko mkoa gani mzee huyu jamani ,

  • @ruthjapheth174
    @ruthjapheth174 4 ปีที่แล้ว

    Hapa lazma uchekeee

  • @michaelluoga5131
    @michaelluoga5131 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @victorbakarwea9621
    @victorbakarwea9621 4 ปีที่แล้ว

    M

  • @raurentkorosso2014
    @raurentkorosso2014 4 ปีที่แล้ว

    Apewe nafac tena

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @nyatichegenya3645
    @nyatichegenya3645 4 ปีที่แล้ว

    K

  • @davidmendrad4749
    @davidmendrad4749 4 ปีที่แล้ว

    Ahahahahahahaha

  • @sabahumedia7053
    @sabahumedia7053 4 ปีที่แล้ว

    Nilimuona mtu kampanda fisi| hutumika kuiba mbuzi| sikuwa sawa th-cam.com/video/FyJnu0SPBw4/w-d-xo.html

  • @amojrtv9186
    @amojrtv9186 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha
    Pia TAZAMENI BINADAMU HAWA WAWILI WENYE MIKOSI ZAIDI DUNIAN UTASHANGAA 👇 👇th-cam.com/video/90MkNRfHDF8/w-d-xo.html

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 4 ปีที่แล้ว +1

    Hovyoooo

    • @ndehuriomoonguyu4911
      @ndehuriomoonguyu4911 4 ปีที่แล้ว

      Nampenda sana napenda mambo yake mikimsikiliza nasahau madeni woyooooo

    • @shooupendo591
      @shooupendo591 4 ปีที่แล้ว

      Kweli hata sisi tunatambani angeongoza mkoa wa kilimanjaro yupo vizuri.mcheshi. mtendaji.

    • @shooupendo591
      @shooupendo591 4 ปีที่แล้ว

      Tunatani angekuwa kiongozi popote Tz