BSS 2020 EXTRA DAR ES SALAAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ย. 2020
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch

ความคิดเห็น • 246

  • @dalmasonyango1532
    @dalmasonyango1532 3 ปีที่แล้ว +11

    Aise bana, uyo jamaa number 1129 ameifanyia haki huo wimbo wa nani kama mama🙏 respect

  • @melody_mike_mavoice
    @melody_mike_mavoice 3 ปีที่แล้ว +7

    Ommy amempa dada huyo advise mzuri

  • @mossesbishubo5378
    @mossesbishubo5378 3 ปีที่แล้ว +8

    Ila Ommy speeks like a humble man

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 3 ปีที่แล้ว +6

    Lucy....umeniliza....ila mm sikukata tamaaa....nimepgana had saasa nimekuwa wakili...nashkuru...Alhamdulillah..naww pigana utafikia lengo...chase ur dream mamaa...

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 ปีที่แล้ว +5

    Hahahahaha! Kumekuchaa! Namba moja kiboko! ‘Mboo ni ichafukapo’! 🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ Christian Bella alivoguna sasa! 😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🚶🏿‍♂️BSS raha sana! Uwiii kuwa judge BSS kwahitaji usiwe na bandama lol!

  • @rayanaabdallah473
    @rayanaabdallah473 3 ปีที่แล้ว +19

    "Kufeli shule sio kufeli maisha" Ommy I like it actually.

  • @jojosky337
    @jojosky337 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani majaji wanachoka sna Jamaniiii🤣 sio kwa huyu joshua

  • @danielcrus9534
    @danielcrus9534 3 ปีที่แล้ว +17

    Ommy awe tu comedian😂😂😂

  • @kryorte___michelle1645
    @kryorte___michelle1645 3 ปีที่แล้ว +16

    😂😂😂bss ya mwaka huu. Ni burudani moto motooo

  • @gatiepaula1372
    @gatiepaula1372 3 ปีที่แล้ว +7

    The one who sang the USA anthem😂😂

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +1

    Khaaaaaaa Adi mtu na mumewe ndani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 3 ปีที่แล้ว +5

    Mastre J nimekuelewa sana Oya umeshabarehe ebu nenda zako uko...🤣💪

  • @bellabakera
    @bellabakera 3 ปีที่แล้ว +5

    Ommy kavaa ndala sana alivyokuwa mdogo

  • @talent9018
    @talent9018 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole sna madam Rita 😉

  • @brightthebeteliya5567
    @brightthebeteliya5567 3 ปีที่แล้ว +7

    Number 0315 nailed the song just fine. I mean y'all call yourselves judges and don't know what's vocals and what's not🤦🤦🤦. FYI! Hajaimbia kooni, she sang very perfectly.

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukihona Christian Bella anakuhitika ujuwe unajuw kbsa😂😂😂

  • @GATOBOLEBOIBURAMBIMUHIRA
    @GATOBOLEBOIBURAMBIMUHIRA 3 ปีที่แล้ว +2

    Dar hawana vipaji wanajua kupiga nyeto tu😂😂 nakula chips mayai

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 3 ปีที่แล้ว +14

    Mume wake alimdanganya anajua kuimba 😂😂😂😂....

  • @marymasanyiwa5738
    @marymasanyiwa5738 3 ปีที่แล้ว +3

    Yani mtu ukiimba ukiwa bafuni au nyimbo inapigwa unaigiliza yani yunajionaga tunajua tu lkn hapo unatoa aibu jmn 🤸🤸🤸🤸

  • @mingajohn6518
    @mingajohn6518 3 ปีที่แล้ว +1

    Bss ya mwaka huu sjaona kipaji cha kutisha kama mwaka jana