@Lady jay Dee nakupendaka sana tena sana ❤❤❤I started listening to you music when I was 8 years old , I love you ❤ all the way from United State of America ,🇿🇼🇨🇩🇺🇸
@@lilianshao8154 Unajua wangekua wanjifunza at least hata kwa wenzao nje kwamfano wale wa AGT, X-factor, The Voice na mashindano mengne wanavofanya ingekua poa
Kuna wadada humu wanatakiwa wakikosa muziki niwa tangazaji wazuri sana wana jiamini yaani presenters ko wapambanie gepu wakiweza wanitafute Chanel kibao niwaoneshe njia npo kanda ya ziwa mimi
Wa tanzania 🇹🇿 munachekesha sana tena sana munapo wacheka hao ambao hawawezi kuimba ndoo kuwatia moyo?lekebisheni uwepo wenu ili wajisikiye kufika mbali kbs
Hata kama Mtu hajui kuimba ma judge ACHENI KUCHEKA CHEKA NA MANENO MACHAFU KUMKATISHA MTU unaweza kuta anajua kuimba mnaongea ongea mnamcheka Cheka tabia mbaya sana na majibu ya kashfa si jambo zuri igeni kwa wenzenu hata East African got talent
Kwani salama jabiri yuko wapi kama wewe ni shabik ya salama jabiri gonga like hapa
Dullah Man Dullah Man iko nakazi nyigine njomana ayupo
Analea
Dullah Man Dullah Man th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Dullah Man Dullah Man
th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Ka Mama Kamatimbwili 😂😂😂😂😂
Walichopatia BSS season hii, Ni kumweka IDRIS kuwa HOST. Creative, Funny and Smart man. .BIG UP IDRIS👍👍👍👍
Wana rangi nzuri....soo natural wanavutia😍viuno sasa juu kama nyigu chini kontena 😲😲😲
Brother K alie muona gonga like
Hahahahahahahahhaahhaahahahauaua
Dully mjambj
@@happylaurent1742 og
Aliyesikia bongo status gonga like za kutosha
😂🤣Mimi nimekuja kusoma comments kama tuko pamoja gonga like @bossholland hapa
Mambo ni motoooo🔥🔥🔥🔥🔥
Delaya Nkeshimana nkeshimana mm muha mwenzako walaye??
mambo motomoto
@@lameckntahondi8073 oké karibu kigoma nitume 0 yako
Delaya Nkeshimana hahahaha
Aliye sikia bongo status kama mm sehemu ya kulike hapa
th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Hemedi b abdallah hahahhhahahahahh huyu sister duu bhna et bongo status
Anaemuona lady JD mpole agonge like
Kiukweli salama jabir ndiyo anachangamsha sana bongo star search. Imepooza sanaa
Jamani kama kuna uwezekano salama jabil aludishwe bongo starsearche imepooza 😚😙
Walio mmiss salama kama Mimi tujuane
Tukooo
Uwiii bongo status km umesikia uiii na management naomb like
braza K asante kwa kunitoa machozi
Haahaaaaa
NATAKA LIKES 1K HAPA kwa wanaoamini SALAMA JABIR arudishwe maana Bila Salama No BSS. GONGA LIKE
Jamani salam arudishwe plz...
YEAH! Online
Likes for the lady who turned a presenter❤❤
Jamani sijawahi kupata like 20 😊 gonga like hapa nami nifurahi
Dada yule anaye igiza UTANGAZAJI
Aise nimempenda Sana
MUSIMUACHE
dully jaman mwswahiliiiii🤣🤣🤣🤣kiherehere lakin sio.mbaya anachangamsha
Nimekuja kusoma comments...Kama unaikubali hii show gonga like tukisonga👍
Km umesikia dully kasema wew mbona km umejirudia gonga meza kwa like
Kama umesikia mtu amekula vitumbua 60 Like twende sawa
So vtumbua 60 tu waga anakula na wali kilo mbili ata chapata 50 anakulaga
Watyuu wamepinda jaman...wimbo wa taifa kwa mluzi😂😂😂
Nmecheka kinyamaa😂😂
😂😂😂😂😂
Winchars Madata 😀😀😀😀😀
Mwanza nixhidaaaaaaaa,,,,gonga like twende sawa,,,km mwanza fireee
Poleni sana majaji mnakutana na vituko ningekuwa mm washiriki wengine ningewachapa fimbo kwa kuwapotezea muda.
😂😂😂 brother k, umekuja kupoteza muda wa wengine.
Waaooh brother k kanichekeshaaa
Kama na wewe unafikiria characteristic device nini ngonga like
Kuja na hisia ukasahau sauti nyumbani😂😂😂
Madam N jide Best Judge
Dully chenga tu
Hahahaaa brother K nimekuelewa mwenzio hahahaaaaa
@Lady jay Dee nakupendaka sana tena sana ❤❤❤I started listening to you music when I was 8 years old , I love you ❤ all the way from United State of America ,🇿🇼🇨🇩🇺🇸
Mwanzaaaa loh mnaniua mbavu😂😂😂😂
Jide anauwezo wa kuona kipaji cha mtu! Much love to u Anakonda jidee
Angel Mwoleka namimi namupenda sana Jide iko naona mbali sana
Huyo dada mtangazaj mumsaidie jmn anasaut nzur san, mungu atawabarik
Tausi Ngomeni
th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
@@Zanzibar_quiztv kuna nn huko 😂😂
Tausi Ngomeni
Ww nenda ucwaze wala nini
@@Zanzibar_quiztv tayar
Tausi Ngomeni
Umeona nn
Ha haha haha haha haha hah amezimiaaaa😂😂😂😂😂😂haki hii ni COMEDY START SEARCH
Asanteni washiriki mmeniongezea muda wa kuishi, mecheka😄😄😄
Mbona hawa wat wa mwanza kiswahili chao kama cha kenya
No , wakenya nairobi wanaongea sheng na msa wanaongea tofauti
Plz judges punguzeniii kuwakataaa watu kwa kejeliii .....mkatae kwa namna yakumpaaa motishaaa na sio akitokaaa hapo ajioneee hafai kufanyaaa kitu
Who realised that once dully got the word characteristics hakuiwacha tena 😁😁😁😂😂😂😂😂
😂😂😂 je ni mimi tu nilienotice kuwa hio characteristics yenyew anaikosa kos kwnye matamshi
Haaaaaa yani nimemiss sana SALAMA🙌
Daaah washiriki wengine are so funny!
Big up madam ritha, kingereza kisiwasumbue
Dully sykes kama mkali wenu kama umegundua gonga like😆😆
I like the one with nation song 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
GREAT SHOW!!!!!!
Huyo dada wa kwanza Diana ameimba vizurii
Sure yan sem wamemkazia
Sana yaan nmeumia
Kwel kabisa jaman
Madamme najua unapitia comments zetu Mrudishe ben pol ktk majaji anaujua music
Gastor Dominic well said,,,,syo dully mzushi
Madam Rita nakupenda buree
Huyu mshiliki aliyeingia wa pili kanifurahisha Sana coz kaja na mbwembwe mnoo afu kazingua🤣🤣
Acha tu 😆
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaaaaniii 😂
Tatizo letu huwa hatupendi kuelezwa ukwel.....big up kwa majudge mko makin
Brother k you’re the best
Bongo star search coaches acheni lugha mbovu kwa washiriki hata kama mtu hawezi mpe lugha ya kuwa hawezi lakini asijisikie vibaya
Sure yan wanazingua xn kauli mbovuuu
@@lilianshao8154 Unajua wangekua wanjifunza at least hata kwa wenzao nje kwamfano wale wa AGT, X-factor, The Voice na mashindano mengne wanavofanya ingekua poa
They are so boring
So so annoying
Kinyumbani zaidi😍😍😍😍😘😘😘
Huyo wa mluzi kaniacha hoii😂😂😂😂
Dully Kakaa Kimalaya Tu Apo 😂😂
Dully kihelehele mpaka anataka kutukana,kama umesikia tusi la dully kwa mshiriki anaeitwa Agness james namba 457 gonga like hapa
😅😅
Huyo wa kupiga uluzi mm hoi as cjui saut itajulikanaje
Characteristics device😂😂
Kuna wadada humu wanatakiwa wakikosa muziki niwa tangazaji wazuri sana wana jiamini yaani presenters ko wapambanie gepu wakiweza wanitafute Chanel kibao niwaoneshe njia npo kanda ya ziwa mimi
Mmmh
Mm nipo
@@jackjohn5663
Whatsup me 0768738506
nakupenda bure idrisa kaka angu ur the best bro
Dully acha kiherehere acha majaji wenzako nafasi ya kujaji Bora mgempa Benpol hiyo nafasi
Mtu aliyesikia vitumbua 60 na silex 2 alike hapa
Kama unasapoti Dully afunzwe kiingereza na Jay D. besic of it twende na like..
yan dully simpendi ana kiherehere
Madame Ritha amemwangalia ile mbaya Dully 😂🗣 ,afanye kilicho mpeleka kila mwanamke anamshobokea
Precious Benedict hahahha jilo jicho angeliona basi angetulia kbx mbwembwe zingeksha
😂😂😂😂😂 kumbe umemwona eeh
Yaan dully sykes amekaaa kitamaa tamaa ya wanawake huko kambini sijui itakuaje ni kama fisi kakabiziwa bucha
Kweli kabisa
Yaani mpk anatia aibu
Kweli kabhisa
Characteristics device is not English and dosnt exit in any dictionary but 😂 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Huyooo bintii prezentaaaa yuko sawaa kabisaa tatizooo duly mushambaa Sana'a na maguoo ykee yaaa kishambaa yulee Dada plezentaaaaa munamubaniaa tyuu
Asante Kwa kushiriki utajiona Kwa tv
Wa tanzania 🇹🇿 munachekesha sana tena sana munapo wacheka hao ambao hawawezi kuimba ndoo kuwatia moyo?lekebisheni uwepo wenu ili wajisikiye kufika mbali kbs
Nimependa personality jide
Hata kama Mtu hajui kuimba ma judge ACHENI KUCHEKA CHEKA NA MANENO MACHAFU KUMKATISHA MTU unaweza kuta anajua kuimba mnaongea ongea mnamcheka Cheka tabia mbaya sana na majibu ya kashfa si jambo zuri igeni kwa wenzenu hata East African got talent
bila dully Sykes, hii kitu haichekeshi,dully safi sana
Daaah jamani sikujua kama Mwanza ilikua imefika. Duuh imenipita hiyooo
😂😂😂huwezi ipata mana bongo status hamnaaa😂😂😂😂😂😂
Jide is so humble
Sure ametulia mstaarab anatoa comment vzr z kusaidia sio Kam wengine
Alie elewa maana ya characterisric device naomba anieleweshe
Nilichogundua watu wanaukataa uafrika wao
Umeona eeh maana wanajifanya hawajuwi kiswahili
Yaan feelings haziruhusiwi ktk bss 😂😂😂
Dulysykes okoa jahazi broo mn we ndo Legend jaribu kumpinga master J
Bongo status🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 you guys are funny
Kitete sio kitu kizuri achana na kitete 😂😂bongo sihami hat hali iwe ngumu vip
Star bongo ni baba lao mond
Eti dakika ya 17:50 "umekuja na hisia ukasahau sauti nyumbani...!!!" Idrisi fala Sana🤣🤣
Yaani nimecheka sana
napenda mawowowo
Walio cheka ambao sio rahisi kucheka hata comedy iweje... twende pamoja 😀😆😀😆😉
Dully kifaransa nakupa non 😂 nimependa sana big up bro 🙌🏾
I'm solly baby 🤣🤣🤣🤣🤣
Nyiee naoo ni kumaaa tyuuu master jey na wenzakooo
Kitete tu mungu akuwezeshe broo kaza utafika mbali
Mwaka huu 2020 mwanza lini
Wimbo wa taifa unapigwa mnacomment😳🤨😳😁😁😁
Kama umeona majaji wengine hucheka kwa kukatisha tamaa gonga like twende sawa
😂😂😂😂😂😂 I'm soli baby 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂. Brother k kanifurahisha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kwa 2020
has anyone seen madam lita the way z looking at dully at 30:52 ?hahahah
Xts device 😂😂😂!Master J
Jamani wanaomtaka salama jabili Kama Mimi aludi kwenye nafasi yake nipeni like
Yaan majaji mnafaidi vituko hm ndani hahahaaa mbavu zang jmn!!!
Idris anapatia sana...good replacement for Caesar Daniel..
Mie Napita Tyuuu😂😂😂Maana Kugumu Hapa😁😅
Wasukuma bhn ati muwimbo wa udhuni🤣