BONGO STAR SEARCH 2021 DAILY WEDNESDAY SHOW SE12 EP06

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.พ. 2022
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 12 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
    TikTok: bongostarsearch
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 36

  • @kybtzearthmoney9984
    @kybtzearthmoney9984 2 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣🤣salama jamani 🤣🤣🤣ati alikua anakula hela na Monica

  • @annathomas784

    Kuna watu wanapenda kujiabisha sana 😂😂😂

  • @lulually5209
    @lulually5209 ปีที่แล้ว +1

    Aka dada kalovaa km mmasai kazuri kanafaa hata kuwa kamodo ana weusi mzuri mashaallah

  • @salamagoyal4399
    @salamagoyal4399 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂watu wanapenda aibu ndogo ndogi

  • @annathomas784

    Daah😂😂😂😂😂eti huyo Monika mlikula wote hela salama jzmsn😂😂😂😂

  • @lulually5209
    @lulually5209 ปีที่แล้ว +1

    Majaji wa kibongo nyoko kabisa sijui hawaangalii American got talent

  • @10gb27
    @10gb27 ปีที่แล้ว

    Nimependa the way Madam rita amempa mrejesho yule mnaijeria. English safi, ushauri mzuri, tone sahihi ya kukosoa mtu kwa kumfundisha na kumtia moyo. Bravo Madam Rita

  • @topickenya545
    @topickenya545 2 ปีที่แล้ว +7

    Kenya number one fan....nafurahi sana...

  • @lulually5209
    @lulually5209 ปีที่แล้ว +1

    Daah wanakatisha tamaa kabisa

  • @quarecmanicolous3222
    @quarecmanicolous3222 ปีที่แล้ว +1

    Mnaigeria kaonewa saana😔😔

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 ปีที่แล้ว +2

    Ukioa dada kama yule aliyeimba wimborne wa zuchu itakuwa hatar

  • @florahhemedy4053
    @florahhemedy4053 ปีที่แล้ว +3

    Rita and salama make the best couple

  • @quarecmanicolous3222
    @quarecmanicolous3222 ปีที่แล้ว

    Nigeria number is one

  • @serinijoseph6386
    @serinijoseph6386 ปีที่แล้ว

    Congratulations 💐

  • @fatimamv2723
    @fatimamv2723 ปีที่แล้ว +1

    Mm na Cheka paka basiii🤣🤣🤣

  • @001number
    @001number 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow 🤩

  • @tegemeongalama6737
    @tegemeongalama6737 ปีที่แล้ว +1

    Walichfanyia mnigeria cyo kizur jaman

  • @Dimpolive
    @Dimpolive ปีที่แล้ว +1

    Unataka uwe diamond na diamond awe nan

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว

    Yani nacheka sana ommy utaniua nakucheka

  • @zamdasaleh6917
    @zamdasaleh6917 ปีที่แล้ว

    Humu kun watu wanaimba unaona aibu ww mtazamajii