Kweli Mungu ndiye muweza yote ,sisi kama wakristu tumpe nafasi katika maisha yote yatakuwa sawa .Hangera wanakawa kwa kazi Mungu awape afya ya mwili na roho muendelee kueneza injili.
You feel down ,you get into TH-cam only for this song to pop up and minister to you and after listening to it you feel relieved .God bless you abundantly mnaponya mioyo iliovunjika,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kweli kabisa ❤ congratulations 👏👏
Hongereni sana, ujumbe mzuri sana
Asante Wana zajilwa kwa kumtukuza mungu mmependeza na ujumbe mzur
Alto wanajiamini kweli kweli.well done
Hakuna ubishi,mwacheni aitwe mungu milele.nabarikiwa.sana
He is God in all seasons
Kazi nzuri
Kweli Mungu ndiye muweza yote ,sisi kama wakristu tumpe nafasi katika maisha yote yatakuwa sawa .Hangera wanakawa kwa kazi Mungu awape afya ya mwili na roho muendelee kueneza injili.
Aminaaaaaaa pamoja sana
@@timotheodaudi2819 l
Blessed be God forever,Kwa kweli ni Mungu mweye mamlaka milele
Kweli kabisa kizazi had I kizazi in mungu tu
Kweli kwa njema yake
kweli aitwe Mungu...
Acheni aitwe Mungu milele🙏🏻huu wimbo wafariji moyo wangu kila nikumbukapo alikonitoa Mungu Mimi🙏🏻
🙏🙏
God of all times 🙏
Wow am blessed
Hongereni wapendwa
A wonderful song , keep up
Barikiweni sana
Nice song wacheni mungu kweli aitwe mungu that's true ❤.
Hakika mwacheni Mungu aitwe Mungu ❤
Kwa kweli Mungu aitwe Mungu,Yeye n mwema kwa kla jambo
Amina
Nice song
Hi song is soo nice
Mungu aitwe nungu
You feel down ,you get into TH-cam only for this song to pop up and minister to you and after listening to it you feel relieved .God bless you abundantly mnaponya mioyo iliovunjika,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mambo
Kweli Mungu aitwe Mungu,,,,karibuni Kenya 🙏🙏
Asante sana mkuu
Nicer one
amina ,nyimbo nzuri sana ndugu zangu wanatanzania,mbarikiwe
Amina amina Saaaaaaaanaaaa
Asanteni sana wanakwaya. Love from Kenya
Amina. Atukuzwe Mungu Mkuu sana
Nyimbo nzuri sana twakaribisha kenya
Amina amina Asanteeeeeee saaaanaaa. Mkuu
nawatazama kutoka njini wajir,kenya
Amina Mkuu Mungu ni Mungu tu Wajibu wetu sote Ni kumtukuza Mungu maana Yeye ni Mungu hafananishwi na kiumbe chochote,,
❤❤❤
Mungu ni Mungu kweli 🙏🙏
wimbo mzui sana....copy ya huu wimbo naweza ipata wapi?
Wonderful job 👍
God bless the choir
Ameeee
Aminaaaaa
The descency of your message.. lovely.
Thanks mr. Utukufu kwa Mungu pekeyake
beatiful vocals
A well composed song
🙏🙏
Glory to God
Glory to God 🙏
Aminaaaaa
Nimeupenda sana huu wimbo, I can sing the chorus comfortably, can i get the lyrics please
🙏🙏
Amen
Pamoja sana
🙏🙏🙏🙏 very nice
Pppp0
Amen