MKAZAE MATUNDA MEMA | Ray Ufunguo | (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao ni wa ndoa unaowahimiza wanandoa kumtafuta Mungu ili kuishi maisha yanayompendeza siku zote.
Wimbo: Mkazae Matunda Mema
Mtunzi: Ray Ufunguo
Waimbaji: St Pauls Student Choir
Audio and Video: Rajo Productions
Kindly share, like, comment, and subscribe - บันเทิง
Mungu awatie nguvu na baraka tele mfike mbali zaidi
Wimbo mzuri Sana sauti nzuri
Endeleeni kutuhamasisha
Wimbo mzuri sana. Ray, Mungu azidi kukutunza una kipaji kizuri sana napenda sana nyimbo zako
Barikiwa sana kwa nyimbo nzuri sana mpiga kinanda tumain swai nampenda sana nifundi sana 2:16
Kila mmoja ataacha wazazi wake nakuambatana na mwenzi wake na kuujaza ulimwengy
Hongera nyimbo nzuri sana
Hongereni sana nyimbo nzuri sana
NINAOMBA NOTA ZA NYIMBO HII TAFADHALI
Tuzidi kumsifu Yesu Kristu kupitia njia zote nzuri iwiwemo sanaa ya uimbaji. Upendo wake ukapate kuenea kote.
Kweli jamani wimbo nzuri mungu ambariki alie utumga
Nampa maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤
Ray Mungu akujalia maisha marefu yenye heri na Baraka tele.. congratulations to the whole team 🎉
Ray kwenye saksofoni huwa 👌 that guy is made of something different ❤❤❤
baraka za mwenyezi mungu ziwashukie
Na shukuru sana,ni Charles toka DRC.
Barikiwa sana wimbo mzuri sana wa ndoa
Tuzidi kumsifu kila siku
Ukifanya vizuri hata wanadamu watapewa kibali Cha mungu,wakupongezee,Hongeraa MUNGU akuinue akuongezee akutumze Katika maisha yenu
Salini pamoja na Mungu awajazi❤🔥🔥🔥✨️
LEO JP NAUSIKILIZA HUU MWIMBO SO ZAIDI YA MARA MBILI MZURI SANA
Yangu iko
Beautiful song for wedding Congratulation guys🤩🤩🤩"Huyu ni mfupa katika mifupa yangu! Utamwacha baba yako na mama yako mtaambatana pamoja na sasa ni mwili mmoja!"🤝🎉🎉🎊🎊
Asante sana
Hongereni wapendwa katika bwana.
Mbalikiwe sana wanakwaya
Best choir ❤...my wedding song in a couple of years to come🤩🤩
Karibu sana kaka... Ni wimbo mzuri wa harusi🎉🎉
I need this songs
Mungu awabariki mmefanya vizuri from Tanzania I'm Timoth
Fantastic! Ray and the team, congratulations 👏,a sweet song,tuzidi kumsifu daima na milele,proudly a Catholic
Wow the the message coupled with the melodious tunes is very nourishing. Thank you
🎉 amazing from Nairobi Kenya
Bomba sana mungu awabariki ❤🎉❤🎉
Vijana muige mfano mzuri mungu akuheshishe uzao WAKO ubarikiwe
The standard of this song,is not in Kenya but Tanzania Haki.
God bless you the whole team
But still its Kenya.could not believe it too
What do you expect na unaona Swai plus Ray ufunguo😂 and they're from Tz
Mungu nawazidisie umarifa
Nyimbo nzuri yenye mawaidha mema jinsi ndoa inavyostahili kuzingatia amri za Mungu na kumweka Mungu kama msingi wa ndoa
Kazi kuntu 🎉🎉🎉🎉
Organist aiseeee ni hatari sana hongera sana Teacher Swai unajua tena sio kidogo Mungu awabariki nyote waimbaji ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana😊
❣️❣️wow blessed song I like it God bless you st Paul
Kazi nzuri nataka number ya director wa video
Wapiga vyombo mmevitendea haki big up sana
At least mmepunguza dancing speed.congratulation ray
Mmetisha🙌🙌🙌👏👏👏
Mubarikiwen nyote aise nyimbo tamu sana kaka Ray barikiwa sana aise
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Safi Sana... Utunzi mzuri na Uimbaji sambamba
Daaaah!!! Mmetisha Sanaa watumishi Mungu awabarikiii🎉🎉🎉
Amina...Ubarikiwe pia
A very powerful message delivered thru the song...God is good
One of the best choirs in 2023 ❤
Wanakatoliki wote kwa ujumla nawaombea baraka na ufanisi katika uzao wenu
Hongereni kwa nyimbo nzuri imenibariki sana,nasjikizs nikiwa tanzania❤❤❤❤❤❤
Kitu moto...St Paul students choir always nail it🔥🔥🔥❤️🥰Ambatana na mkeo❤🎉🎉 congratulations mkuu😂🥳🥳🥳
Wimbo unatia fora sana
Mwenye alicheza kinanda God bless you🎉
Kwaya hii naipenda sana.
Quality✅✅✅✅music, sound, harmony, production,voices. Kila kitu
Congratulations!!
ata Mimi nataka Jina ufunguo
Asante sana
Wimbo mzr mno,nitauimba daima
I love this song so much god bless you gugs
Hongeren San kw Wimb mzur wa harus
Waooooh yaan kaimbo kazuri katam natamani nifunge doa kesho mkaniimbie aka kawimbo dah💕💍🥰🥰🥰🥰🥰
My wedding song😅❤❤🎉
Kazi nzuri wakuu, mbarikiwe sana
A very nice song i love it. keep it st. paul
Wimbo mtamu hatali jamani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo mtamu Sana. Napenda Sana kazi ya Ray Ufunguo.
That combination.Tumaini Swai and Ray ufunguo .what do you expect 🔥🔥🔥
Wimbo mzuri saaana hongereni Hadi raha mume wangu mtarajiwa huko uliko uje nakusubiri....
Wimbo mzuri❤
Jmn km kuna tuzo hawa wanastahili basi.dah!duniani kuna vipaji namshukuru Mungu kwaajili yenu,nawapenda
Asante sana
Ongera sana mutungaji wa mwimbo huu inatubidi kuziheshimu ndoa zetu ili mungu atukuzwe🎉
Hongera waimbaji. Mungu awabariki. Ray, Mungu akubariki sana kwa kuleta mdundo mpya katika uimbaji hapa kwetu Kenya.
Mungu awazidishie maneno mengi matamu yenye baraka ndani mwake❤
Wimbo mzuli Sanna
Wimbo umenibarik sana ..❤❤
Kazi nzuri👏👏👏
Kazi nzuri ndugu mtunzi.choristers🎉🎉🎉 explicit!
Mbalikiwe sana waimbaji💓💓💓💓💓💓🎂🎂🎂🎂
Love the voices and the presentation ❤. God bless you 🙏 all.🙏
Wimbo mtamu sana ❤️ keep it up guys
Nice work guys,, you all have lovely voices 💕
Nyimbo za roman znarah yake mungu awajaze roho mtakatif waimbaj woteeeeee
Hongereni sana kwakumwinua mungu kwa nyimbo nzuri halafu oganisti u nanifanya nahisi kamaniko mbinguni hongeta sana kaka
Nyimbo hii nzuri sanaa❤❤❤
A nice song congratulations
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu ❤❤❤❤❤
Mpo vizuri sanaa
Ray nakukubaligi Sana we ujui2 mungu huyu akupe maisha marefu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Hongeren ety wapendwa
Huwa inakoshaga moyo sana
Hongeren kwakuinjilisha kwanyimbo tunafarijika sana
Hongera sana Laurence shimanyi nakuona karibu na kinanda na step zako😂
Huu wimbo sichoki kuusikiliza mungu awabaliki Sanna
Naamini ipo siku 💃💃💃
Kazi safi
..Hongera🎉😊
Today we have 14 weddings ya jubilee in our church Holy Mary Mother of God Githurai 44 i dedicated them this song....Naipenda tu sana 🎉🎉🎉
Ray haujawahi kukosea hongereni sana kwa utume wenu na Mungu azidi kuwabariki
Wimbo mzuri sana
Kweli kama sio watu wa sasa wana mharibu uzuri wandoa ndoa ni fungu na nguzo ya heshima katika jamii na familia kwao ni ufunguo wa mibaraka yake kwani kila ashirikishwapo MUNGU yote ni niyaheri njema
Ray Ufunguo 😍😍😍😍Everyday ✊✊✊✊✊
Mpangilio vazi njema Ahsante
Woow nice song ❤❤❤❤
Kazi Nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉mbalikiwe nyote ❤❤❤🙏
Aiyululululululului!!!!
Mkazae matunda mema ❤😊
Sana Kaka Rey mungu ukupe Manisha marefu uendelee kumtukuza
Kwakweli mnanikosha sana mbarikiwe.sana