Sitetei, ila nijuavyo Roman Catholic Haina utamaduni specific wa mavazi! Mostly tamaduni ya mavazi huathiriwa na sehemu mahalia! Mfano; tamaduni za jamii A zinaweza kukataza uvaaji wa suruali kwa wanawake ila tamaduni B inaweza ikawa sahihi kwao
ONE of the most creative songs I have ever watched ...one of the most ORGANIZED. THIS IS THE WAY TO GO DEAR KENYANS (though i am not catholic by the way ). u can even see the humility of the singers as they ask for water from God, kwani iko nn
am ready to join this choir in few years from Uganda to Kenya after finishing my minor seminary level this year then next year may God bless me and join this angelic choir voices
Hongereni kwa kweli mnamfanya mtu amtukuze vizuli...... Saf sana Lakini naomba nikosoe jambo Moja la sare kwa Amina dada haijakaa powa sana kimaadili kwa kuwa upande mwingine nguo ya ndani inaonekana. Mlitazame hilo pia Ahsante
Kagoni, I had to come see for myselof! Indeed, gorgeous sister . Women spend so much $$ trying to manage their hair to look like yours Luchia!! Blessings were wrapped in misery to blow out later on. Hope . Inspiring.
Guys keep liking my comment,so that when am filling low I can come here and praise God ❤
Mko vizuri saan ila vaz la like sio
Kaka yangu Ray Umefika Mpaka Nairobii Hongera aiseeee Brother
HUU NI MWANZO TU MAJAMAA....GOOD MUSIC ALERT. AM VERY PROUD OF US
Asante mkuu kwa Kazi nzuri uliofanya nawe pia🙏
Ll ni amwqqqubgqag dayalll
Pp
What a beautiful song sang beautifully!❤❤
Hongereni sana 👏👏👏👏👏
Thanks Ann ☺️
Wow! Nairobi University,hizo sauti kama za tausi mmenichangamsha sana.Tafadhali neno la Mungu lizonge mbele kwa mataifa yote.
The st Paul's students choir's delivery is much better than a pregnant woman 😊😊
😂 😂 😂
th-cam.com/video/gqJ9HihqccY/w-d-xo.html
Acha comment za wakoswa imani
ahaaa ukona maneno
Luv u guys kazi nzuri sana mjini Tanzania muinjilishe kwa
The dance 😊
The vibe🤗
The piano😀
Amaizing work 👏👏
Hongereeni kwa kazi nzuri 🔥🔥🔥
Keep the name of St. Paul's Students Choir up there, as always.
Thanks sauti tamu
Hata nawe Mungu abariki kazi ya mkono wako
Wimbo mzur sana
Wameimba vzuri sana ila wamezngua kwenye mavazi ya kike sio utamaduni wa ROMAN CATHOLIC
Sitetei, ila nijuavyo Roman Catholic Haina utamaduni specific wa mavazi! Mostly tamaduni ya mavazi huathiriwa na sehemu mahalia! Mfano; tamaduni za jamii A zinaweza kukataza uvaaji wa suruali kwa wanawake ila tamaduni B inaweza ikawa sahihi kwao
lengo kuu n kumsifu muumba wao
African Synod ilikuja kwa ajili ya kufungua milango ya utamaduni kuingiana na liturjia
Wewe kazi yako ni kukosoa watu tu😅😅. Nlikuona kwa video nyengine ukikosoa pia
These are University students. We are very proud of them.
Wimbo mzuri ujumbe mzuri shukrani mavazi kwa wadada jitahidini liwe la heshima injili isonge mbele
Shimanyi unajua hadi unakera,,,
Ila vijana walijipanga mno mziki mtamu mno,, Mungu alitukuzwa vilivyo hongereni sana Saint Paul Student Choir
Mbalikiwe sanaaa na sauti zenu nzuri pia zibalikiwe 👋👋👋
This is lit UoN... Kazi sasa imeanza ... Trials zimeisha!
Congrts for the good work. I see my brother Edddddddyyyyyyyyyyy
😂😂Salim, number one fan! 💪
Kazi Kuntu ino.😍.Huku kwetu twasema moto kama pasi🔥
Masterpiece 👌
Shukran mswahili😂
Yeah ni moto🔥🔥🔥
Ino sio kiluhya?😂
Huu ufund wa shimanyi naqbal sana
❤
Hongereni sana wimbo mtamu kwa uinjilishaji. Shimanyi na Rajo kama kawaida yenu. Bug up
Asante sana, karibu
Being part of this choir I'm proud♥️
Nice Voices
Mbona sikuoni apa😅
Kazi ya kupendeza
I have nothing to say ,just enjoying from Kenya
Wimbo mzuri sana,Rangi ya mavazu imekuwa tafouti,hongera sana
How I love this song.Amazing work.🎉🎉
Shimanyi mungu akulinde sana ila wimbo wa shamba la mizabibu ulifikiliaje ila kwer unajua kufariji loho zetu
Cogratulation st Paul. Kwa kweli mmefanya kazi nzuri Sana. Mungu aendelee Kuwapa nguvu ya kuendelea na hii kazi.
Asante sana
Hongereni sana kwa wimbo mzuri sana wenye ujumbe mzito kweli kweli. Hakika tunahitaji maji ya uzima ili tukate kiu. Bravo!!! From Tz
Kazi safi😊♥️
Thanks Christine
Good music and good production,
St. Paul and Rajo production kazi safi. Hongera
Is this a Ray ufumguo production or what.huu wimbo ni mtamu kweli👏👏👏
Ray Ufunguo is the Producer at RAJO PRODUCTION COMPANY
hakika shimanyi ni hatari
Hongera sana
Nyimbo iko makin sana na waloimba wameitendea haki
Mavazi waliovaa wanakwaya wa like Ni ya hovyo. Hayampi imungu heshima na utukufu anayostahili
Safi sn tupatapo maji ya uzima,yatutakasa kiroho zaidi
❤❤❤Kazi safi😊
The balanced voices
Uniforms
Msee wa piano
#good piece
St Paul's students'Choir 🎵✨❤️ music soo soothing, Kazi safi wadau, Njooni muonje nanyi maji🙏
Asante sana mkuu 🤝
Ina nguvu ya Roho mtakatifu
I am very obsessed with this style of dancing, the melody, the tune arrangement and the piano organization
Eeeeeeeeish ❤❤adi nikatamani kurudi shule 🤣🤣🤣🤣 this is tooooooop guys congratulations kwa kazi poa......Ray you never disappoint 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thank you
Wimbo mzuri wameimba vzr ila mavazi kwa wanawake siipe
Hongera sana kikoa cha waimbaji wa Mtakatifu Paulo .
ONE of the most creative songs I have ever watched ...one of the most ORGANIZED. THIS IS THE WAY TO GO DEAR KENYANS (though i am not catholic by the way
). u can even see the humility of the singers as they ask for water from God, kwani iko nn
Let thy voice I shall raise, Praise thy Most High.
💯
Maji ya uzima😍 Amazing
Kweli mmejua kumtendea haki shimanyi ❤❤❤
Kazi Safi Sana ...mtukuzeni Mungu Zaidi Na Zaidi
Utunzi mzuri, ujumbe mtamu, kazi nzuri 🔥. Hongereni Wana st Paul's.
Thanks linet
am ready to join this choir in few years from Uganda to Kenya after finishing my minor seminary level this year then next year may God bless me and join this angelic choir voices
Mungu ninyweshe Maji Ya Uzima. Amina
Mko vizuri sanaaaa,
Mungu awabariki zaidi na zaidi.
Proud of my choir,proud of myself sauti ya tenor, proud of Mr Ray ufunguo. God bless us all.
Amen
Kumbe st Paul's imeacha ile ujinga ya zamani.skuizi mko you.mnanitumbuiza.nlifkiri n rd.kumbe n nyinyi.amen mungu😊
This is angelic voice , Am usually be blessed with your songs
Ray ufunguo never didsapoints..kongole mwalimu na oroducer🙏🙏
Nairobi + Tanzanian production = 🎉🎉
Shimanyi anapenda nyimbo za hivi hii inamahadhi kama ya shusha baraka 😘😘😘😘love much
Thanks
Thanks
Hongereni kwa kweli mnamfanya mtu amtukuze vizuli...... Saf sana
Lakini naomba nikosoe jambo Moja la sare kwa Amina dada haijakaa powa sana kimaadili kwa kuwa upande mwingine nguo ya ndani inaonekana. Mlitazame hilo pia Ahsante
Catholic worship music is all to another high level......and I thank Catholic composers and producers. Credit to Rajo Production
Kazi tremendous✨
Amazing 😍❤️❤️mbarikiwe kwa kazi nzuri 🙏
marvelous voice, wonderful video creativities....vijana kufanya mambo makubwa kama haya ni baraka🙏
Thank you Dr Bongole
Ray Ufunguo mwamba sana
Wimbo ulitungwa ukatungika,ukaimbwa vizuri
Kazi njema St. Paul UoN am happy to be an alumni
Sauti tamu na ya kubariki❤
Nice song UON choir,,it's lit
🎉🎉shukrani🎉
Hongerani sana❤❤
Am impressed with the producer,,, wow
Karibu sana
keep it up, good one
We Ray unatisha hongereni kazi Nzuri
Proud catho!!not Ashamed,eish dancing to this tune
good work 👏👏napenda Sana kazi ya Ray may God bless him
Been blessed nyimbo Tamu Sana god bless 🙏
When Rajo is behind it definitely the product is good
Nimependa,, kazi safi
I can't stop listening this ...😍😍😍love my roman church
Hatimaye, niliungoja sana wimbo huu.
Wimbo umepangwa ukapangika I am a proud catholic
Well done !!!
Hongera sana mungu awabariki
Ahsanteni UON....❤Wimbo mtamu
This song is a blessing.
The voices are awesome
St. Pauls hoyeee🎉
Kazi safi...Mola azidi kuwainua.
Hatimaye!
In the spirit of Evangelizing through singing.
Kazi safi sana! ❤❤❤
Thanks Baraka
Nice song. Hongera sana RAJO
Hongeleni sana nimefurahi sana kusikia muziki mtamu sana
wimbo mzuri sana, kila kitu kinaeleweka, sound, dancing, message very powerful
Great one fellow brethren
Shukarani kw pongezi
Congratulations to St Paul's students Choir🎵✨
Thank you
Wonderful choir with the suitable voices. Wabule Grace from Uganda.
th-cam.com/video/gqJ9HihqccY/w-d-xo.html
Welcome again Grace
Tamu walai
Wow❤, this song.
Karibu nidhani ni Tanzania, it's hot❤❤
Kagoni, I had to come see for myselof! Indeed, gorgeous sister . Women spend so much $$ trying to manage their hair to look like yours Luchia!! Blessings were wrapped in misery to blow out later on. Hope . Inspiring.
Kweli maji niu hai navyote nikazi ya mungu wetu
Always doing what they're best in doing, for the glory of God. Lovely 😍 ❤️🥳🥳🥳
Yes! Thank you!
Mmetisha watoto wa Mungu, mbarikiwe sana.
Congratulations family, The student's community.
🥳🙏
Thank you so much 🤗
🥰🥰🥰🥰🥰This is fire my men, Thank you for this amazing beautiful and handsome voices of St. Paul's Student's Choir.🥳🥳🥳🥳
Thanks for listening
what a nice song be blessed and may the lord shower you with his blessing and may you never lack words more songscontinue composing
Finally 🎉🎉
Evangelizing through singing 🎶 ♥️