LYRICS: Ninaucheka wakati wangu mimi uliopita nikiyafikiria maisha haya yangu ya sasa {Asante x3 Mungu kwa kuniinua} x2 Nakumbuka katika safari hiyo ya maisha yangu ndugu na jamaa walisema nimeshindwa {na kumbe bwana waniwazia mema, na kumbe wewe bwana wanipangia mazuri}x2 Umenitendea mambo makuu, { hivyo imenipasa kukushukuru, Na nitazidi kukutukuza kwa nyimbo}X2 Uliona huzuni uliofichwa ndani ya kicheko changu Uliponya, vidonda vya ndani ya roho yangu {Asante x3 Mungu kwa kuniponya} x2 Umenitendea mambo makuu, { hivyo imenipasa kukushukuru, Na nitazidi kukutukuza kwa nyimbo}X2 Nikufiche nini ee Mungu wangu kwa mema ulionijalia Ulivyonitoa shimoni, ulivyonitoa katika kifo na kunifuta machozi yangu wewe ni Mungu wa ajabu x2 Bwana umenitoa mbali wewe Bwana ni ebeneza Bwana wewe unatosha wewe ni elshadai Wewe mwenye enzi yote wewe ni adonai sifa na utukufu kwako Daima na milele
Woooow Diana this is so beautiful from the voices the choreography the vocals everything is in sync I love it 😻 and it’s so clear you guys invested so much in this, beautiful. Diana I see you, I love the dance
LYRICS:
Ninaucheka wakati wangu mimi uliopita
nikiyafikiria maisha haya yangu ya sasa
{Asante x3 Mungu kwa kuniinua} x2
Nakumbuka katika safari hiyo ya maisha yangu
ndugu na jamaa walisema nimeshindwa
{na kumbe bwana waniwazia mema, na kumbe wewe bwana wanipangia mazuri}x2
Umenitendea mambo makuu,
{ hivyo imenipasa kukushukuru, Na nitazidi kukutukuza kwa nyimbo}X2
Uliona huzuni uliofichwa ndani ya kicheko changu
Uliponya, vidonda vya ndani ya roho yangu
{Asante x3 Mungu kwa kuniponya} x2
Umenitendea mambo makuu,
{ hivyo imenipasa kukushukuru, Na nitazidi kukutukuza kwa nyimbo}X2
Nikufiche nini ee Mungu wangu
kwa mema ulionijalia
Ulivyonitoa shimoni, ulivyonitoa katika kifo
na kunifuta machozi yangu
wewe ni Mungu wa ajabu x2
Bwana umenitoa mbali
wewe Bwana ni ebeneza
Bwana wewe unatosha
wewe ni elshadai
Wewe mwenye enzi yote
wewe ni adonai
sifa na utukufu kwako
Daima na milele
Thanks fir the lyrics mtuekeange hivi Sasa ❤
Thanks so much for the lyrics 🙏
EKENI LYRICS KWA HIZO ZINGINE PIA ESPECIALLY MJUMBE
We shall look at that. Thank you. @@agnesmambo4570
@@jefflegrand166You're welcome
Asante Mungu kwa waimbaji hawa wapendwa 🙏nyimbo za wanadokc to the world 🎉🎉🎉🎉
Nyimbo nzuri💯💯
❤Baraka za Mwenyezi Mungu ziwashukie na neema zake.
Napenda utume wenu
Hakika Mungu wangu asantee sn wanakwaya amazing kwa wimbo umrnibariki mnoo❤
Kweli kabisaaa...karibu ndugu
This song is a rock and it talks voluminous about the Almighty God's grace to us really it's truly unconditional love
Amen 🙏🙏, Thank you Lord 🙏🙏🙏
Nawapenda sana all the way from Tanzania
Such a nice thanks giving as we end the year. God bless you guys.
Wow🎉very nice song,this cheers me up and makes a smile on my face,,,bravoo❤❤
Good song cogratulation 🎉
Moto saana
This aki lack words to say ....I feel blessed listening this ..keep 🔥 burning
Can't have enough of the song.. it's amazing 😍
A Good song that encourages me from My past
This song summarised my 2024 asante mungu kwa yote umenitendea mwaka huu🙏🙏🙏
Kongole...continue sharing the word of God thru songs....naitamani one day ntakua part of Dokc
Beautiful♥♥♥♥♥♥
The song is sweet 🎉keep winning dokc🥰
Thank for that sweet song🔥🔥🔥🔥
Congrats DOKC👍👍🙏🙏
Asente🙏🙏🙏❤️❤️
🎉❤,I love it
Kweli Bwana waniwazia mema
Wow! I see Elsie ❤good job🎉🎉🎉
on date 14 tunataka kuona kambua and lazalo on stage much love lazaro from sabu
Wow ,my 2024 best song 😊, can't get enough of it , with powerful message❤❤❤ May the Almighty God make it easy for us in 2025 hopefully 🙏🙏
This is beautiful ❤❤❤
A really blessing sing, thanks and be blessed
Its just woow @senior Alex,,,nice job na wenzako😍
Asante Sana 🎉
Hongereni ❤🎉
kazi saaaaaafi
My best song and video this year, 2024 ❤. Nipeeni likes if it's yours too❤
Very beautiful song
So nice ❤❤❤
Hii ni moto🔥🔥
❤❤❤❤I love it
Great one❤
Hongereni Sana kway ya mt. Elizabeti
Great praise
Kazi safi🎉🎉
Nice song keep up
This is amazing 🎉🎉
Umenitendea makuu Bwana Asante 🙏🙏🙏🙏🙏
Great poetry.
Video ideas zenu ni outstanding. A very blessing song
Thanks
Asante to God indeed ❤
The pride of Kajiado,034
I love the song tho
Wow nice song
Congratulations dear ones
True reflection of our daily life. May God bless the work of your voice
Best song
We were waiting for the beautiful
Song
God bless them
Always finest vibes
Asante
Can't get enough of this song!!! You are a God of impossible, i will always love you, adore you n worship you forever. 🙏🙏🙏🙏
As 2024 comes to un end wacha niambie Mungu asante.... asante kwa mipango yako hata sikupata yenye nilikua natarajia asante
Congratulations my friends 👏👏👏👏
Thank you and be blessed
Kazi fty
Song of the year ❤ congratulations guys ❤❤🎉
Beautiful piece.
Good job wadau🎉❤
Hongereni sana waimbaji nyimbo tamu asante mungu
Asante ❤
I love the creativity.. Keep it up guys
Nice song 🎵 👌
Wow,,this is great hekoooo,,,,,🎉
Asante
As the year comes to an end ...the lord has done great
Wow congratulations uniform ya ladies Iko Smart
Asanteew
Bravo 👌
Woooow Diana this is so beautiful from the voices the choreography the vocals everything is in sync I love it 😻 and it’s so clear you guys invested so much in this, beautiful. Diana I see you, I love the dance
nyimbo zenyu huwa za kubariki na kuguza moyo 🙏🙏🙏 asanteni
Hongereni sana Mungu anainua bila ubaguzi 💐💐💐🎉🎉🎉
A wonderful piece🎉🎉
Thanks
Wow🥰👏👏
Wow nice song to make my year 🎉❤ addicted to it❤
Good one
Unakosaje kuwa mkatoliki.....❤❤❤❤wow amazing
My favorite choir❤❤nawapenda bure; watching from Kenya
Wow Amazing ❤❤
❤❤
very nice,,, venye mlitoa top top I knew this group was going far,,, kwanza pale mwisho wa hii song it's soo blessing
DOKC to the world ❤❤❤❤ mmetisha kweli aiseeee
Wow, awesome song. Mungu awazidishie baraka tele 🙏
Beautiful,,,the choir deserves it,,,,congratulations 🎊,,,,sauti ni tamu hizi
Cool you are doing great and i love this song 😇🥰😍🤩💜
One of the best catholic choir.
Feeling blessed at St. Theresa's Cathedral Kibuye Kisumu
Wueh🔥🔥🔥🔥🔥@Alex Senior and Crew hapa mumewezaaa🎉DOKC keep winning👏🏻
moto kama pasi
wimbo mtamu
hongera team
Mungu awabariki sana🎉🎉😂😅
Beautiful 🎉🎉🎉🎉🎉
Thank you! 😊
Wow nice song 🎉🎉🎉 congratulations 👏👏👏
Wow, very nice song.
Kwa Mungu Kuna raha jameni
Beautiful guys, you are really doing well. Much love from Malawi 🇲🇼
Asante sanaaaa
Asante kwa ku pin lyrics ❤❤❤❤❤
Asante
Wow the song has really touched my heart very beautiful song...be blessed
Niko hapa👍
Dokc making my year end in style❤
Wow. Amen
Thank you
Nice one
Song of the year🎉
Thanks
Nice one again, congratulations, keep the fire burning
The singing is encouraging mine🤦🥰