Kimeumana, Wabunge wa kanda ya ziwa Tanganyika wamuwakia Waziri bila woga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2023
  • Umoja wa wabunge wa kanda ya Ziwa Tanganyika wameapa kuwa, hii ni bajeti yao ya mwisho kupitisha bila kuwa na meli katika ziwa hilo lakini zinazofuatwa ukanda mzima watapinga hata lije shinikizo.
    Kauli hiyo imetolewa leo Mei 22, 2022 na wabunge wakati wakichangia bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka 2023/24.
    Mwenyekiti wa Umoja wa wabunge hao ambaye ni Mbunge wa Kigoma (CCM) Kilumbe Ng’enda amesema uvumilivu kwao sasa basi kwani wamebaini kuwa, wenzao wa ukanda wa Ziwa Victoria waliungana na ndiyo maana ziwa hilo lina meli tano.

ความคิดเห็น • 3

  • @RehemaAlyy
    @RehemaAlyy หลายเดือนก่อน

    Ris Samia mbona. Bulundi n'a congo wana vuw kama kawaida

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว

    Kwakweli kigoma serikari inatuonea sana mwanza meri tano zina fanya kazi. Kigoma hata moja. Mbunge hata mimi nakuunga mkono . Ni uonevu uliopitiliza.

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 2 หลายเดือนก่อน

      Mwaka huu kaunga mkono bajeti. nambie kuna meli ngapi zinafanya kazi ziwa Tanganyika..?