Eeeeyoo nicheck, hebu nicheckiii ninavyong'araa, eeeeyoo nicheck hebu nicheckiii ninavyowaka. This is my best track of all time. Kwenye hii interview, O ten sijamuona. He's almost lost ila dahh haya maisha jamani tuweni makini sana na mambo tunayoyafanya
Kipindi hicho east coast team inaongozwa na king gk huku tmk wanaume inaongozwa na sir nature jmn watoto wa 2000 bongo fleva halisi ilikuwa kipindi kile nilipenda sana nichek
Sema piga ua garagaza,. Huyu jamaa aezi rudi kwenye game ata anye akojoe lami . Mziki ndivyo ulivyo . Ukishapotea umepotea.. ila nyashinski pekee ndio alieprove hiyo kitu wrong
Jamaa anaweza sio teja mziki jealous alishakuw star so mtu kuwa na moyo wa kumrudish unahitaj moyo ingawa nae ajishushe aombe msaada ili tujue ndugu zake aliopamban nao je bado yupo kwa mioyo Yao
Nimekuwa nikifatilia interviews kadhaa za wasanii hawa waliowahi kutamba miaka ya nyuma, nimegundua wengi wanaonekana walevi na wamepinda kweli 😂 sijui Bado Wana zile mindset za zamani eti lazima unywe pombe ili kupata ujasiri, tatizo Sasa wanakunywa Hadi wanakuja wakiwa wamelewa. OTen hapo yuko pombe kabisa😂

Wasichojua watoto wengi wa 2000, huyu na mr blue ndo waanzilishi wa unyamwenz na uvaaji wa pamba kali kwenye bongo flavour 😂.
Vipi dully Sykes na inspector haroun?
Kabisa oya nicheki
vp snowlee,bablee,man x 😊
Bableee unamjua vizuri kweli
@@oscarmatapila6937mwambie uyo
Jamaaa mbona kama yupo unga😂😂.Mzee wa iyooo nicheki
Kipindi hicho east coast team inaongozwa na king gk huku tmk wanaume inaongozwa na sir nature jmn watoto wa 2000 bongo fleva halisi ilikuwa kipindi kile nilipenda sana nichek
Mkuu wa Mkoa ni Kali saaaaana
Nawaheshimu sana hawa watuu haijalishi wako vpi ❤❤❤❤❤❤❤
Ww upo kama mimi
Safi sana. Nimefurahi hiyo point ni kubwa
Sure babu
Dah,nichek kitambo sana bro!! Love xana
Mkuu wa Mkoa, best
Tokomeza madawa yakevya kwa mapenzi yangu kwa huyu br nilivyokuwa nimemuweka moyon na ongea yake hakuna mtu tena hapa achen tu chozi linidondoke jama
LEGEND 👊👊👊
Alijimaliza mwenyewe kwa ubishoo... akawa anashinda tu Yombo vituka
Hapo ni round about karibu na stand bar moja hivi
Hicho ndo kimekungusha starehe sana,mlipata hela sana
Mimi Ngoma Kali Sana ilee
Amechoka kinoma
Sema malegend wengi wanaonekana ni walevi sanaa
😂😂😂
legend...
Fundi🔥🔥🔥🔥🙌
Pombe inatumaliza vijana
Respect bro
Anapiga tungi sana
Dah hamna mtu tena hapa. Wauni sjui wanatumia vitu gani?
😂😂
Huyu alisababisha nikalipiga libaunsa moro
Mhe Mwana FA ebu msaidieni mwenzenu huku au mnasubiri afe kama Mandojo ndo mjazane msibani??
Amsaidie nn Sasa? Kwan anahitaji msaada ?
amin kwamba😅😅
Sema piga ua garagaza,. Huyu jamaa aezi rudi kwenye game ata anye akojoe lami . Mziki ndivyo ulivyo . Ukishapotea umepotea.. ila nyashinski pekee ndio alieprove hiyo kitu wrong
Voicmall ni nyimbo yangu pendwaa broo kutoka kwakooooooo
Mdomon ana ugolo mpaka kuongea ni shida
Jamaa anaweza sio teja mziki jealous alishakuw star so mtu kuwa na moyo wa kumrudish unahitaj moyo ingawa nae ajishushe aombe msaada ili tujue ndugu zake aliopamban nao je bado yupo kwa mioyo Yao
Mhmmm kwel wasaannn wetu ni kuwaombea tu
kaweka muziki pembeni, huyu siyo oten yule wa east coast
sio mteja ila anaonekana bang nying pombe nyingi kwa sisi wacuba
Du hujanufaika na Sanaa kabisa
Kwan o ten ajafa
Fundi wangu
Vichwa makini sema tu hakuna Saport👑 mashabiki tunajua ukari wako mwamba
Nimekuwa nikifatilia interviews kadhaa za wasanii hawa waliowahi kutamba miaka ya nyuma, nimegundua wengi wanaonekana walevi na wamepinda kweli 😂 sijui Bado Wana zile mindset za zamani eti lazima unywe pombe ili kupata ujasiri, tatizo Sasa wanakunywa Hadi wanakuja wakiwa wamelewa. OTen hapo yuko pombe kabisa😂
Skiliza wimbo wa mikasi wa ngwair...ile ndo ilikua stareh na uhuni...ila Sasa hivi uhuni ni uwekezaji na kusafir
Mbona km teja
Hayuko sawa huyu we mcheki mdomo unavyomove na tone yake inavyotoka.
UGOLO HUO@@abasmwika3432
Kati ya wasanii wazamani wajinga ni huyu jamaa ulevi wa kijinga ameshidwa kutumia brand yake ndio sababu nasema watoto wa tmk wanaakili sana
Tokomeza madawa yakevya kwa mapenzi yangu kwa huyu br nilivyokuwa nimemuweka moyon na ongea yake hakuna mtu tena hapa achen tu chozi linidondoke jama
Ushawahi ona interviews zake za nyuma?