ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Best taarab song. Bin seif ishara zitazameni
Mashallah Taarab Asilia
Kwapendeza jameni..Zanzibar 😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Habibu nakutamani sjiwezi taaban..mikono miwili nakukunjulia karibu habib wangu Maridhia.. special for mylovelly husband
A truly love ballad.... yaani kule kukiri kulivyo kwa dhati... sijiwezi ni taabani... wangu maridhia... nakupenda habibi wangu
Karibu habibi asante Hajji Moh'd
Yalokuwa kifuani, sasa yametoka ndani.siri zilizo nyoyoni, sasa zisikieni.Habibi nakutamani, sijimudu taabani..............
hatum83 8
Nakumbuka marehem.zamir uwanja.wa.mkele
Nyimbo hii inanikumbusha mwaka 1994 old good days
Macho yake yalisema na yangu yakamjibu midomo yasema sema nakupenda mahabubu
Ishara zitazameni anipenda nampenda.... tunapendana...
Daah hizi nyimbo mm nazipenda sn sijui kwann? Yaan haipit siku kama sijasikiliza Old is Gold 😭
I love you from Kenya?
Sauti nyororo vinanda na mashairi inafuatana kwa mpangirio love it
Asanteeeee bin seeiiffff
Bin seif asanti sana..napenda taarab😙😙😙
Mzuri mnoo huchoki kuyasikiliza mashair yake
Macho yake yalisema na yangu yakamjibu × 2Na nyoyo zikatetema zikahimili sulubu × 2Midomo yasema sema nakupenda mahabubu × 2Sote tulikuwa wima kimya mithili mabubu × 3Mikono miwili kaninyooshea karibu habibi wangu maridhiaMikono miwili kaninyoshea karibu habibi nakufungulia
Mashallah Umeweza vzr ;ait ungeingiza Sauti yako tuiskie Jamani au hata Cover uitolee
@@ramasalim335 kabanduliwe uko
nakumbuka mbali kwa kweli
macho yake yaliseeeeema, na yangu yakamjiiiibu na nyoyo zikatetemaaaaa!!
Niyakweli maneno yote ni yana utamu❤
Mh!!! E bwanaa eee enzi hizooo we Acha tu
anipendaaa na mi nampendaaa
Kwa kweli wimbo unamtoa nyoka pangoni....nice
usipime kabisa walai.. ahh zanzibar! zanzibar!
I love it!! Khamis kea
Mashallah huwezi kuchoka kusikiliza
zilipendwaaa
Fatma Ahmed vipihaliyako mzima
Na bado twazipenda
Wimbo huu hautachakaa kabisa kila siku unakuwa mpya!
kabisa kabisa
Salua Halua
ishara inazaa mingi
reminds me alot
ABDULKHEIR MOH'D jamani taarib zishaipwa inze hizi
naomba utueke nyimbo ishara namfanyia
mikono mawili kanishikilia karib habib nakufunguliaaaaaa
asanthaa fadya
❤❤❤
❤
R.i.p daddy
Wimbo bado upo xw 23/06/2019
Ilove it
Mashairi mazuri sana
Nice songs
❤❤❤❤
Maashallah!
Hashim Dossi
midomo yasema sema nakupenda mahabubu
Hedaya Hassan
love Zanzibar
l love it
sote tulikua sima kimya mithili mabubu. speechless
Good song
Ishara zitazameni
Nice song
zilipendwa
@hatum83 habibi nakutamani sijiwezi nitaaban
jama na iko wapi ya abdallah issa inshallah tutaoana
Hakika ni za kwetu
macho yake yalisema na yangu yakamjibu
salma masoud hi
salma masoud habari zaidi
ishaalaa
ni nzur sanaaaa
nakumbuka mbali sana
wimbo nitumie wasp 0717131797
Ukiingiya baharini lazima utaogelea
Sote tulikuwa wima kimya mithili mabubu
hi
A
X
Mashallah the best times of humanity
tarabu imetulia kabisa bin seif naomba unitimia no 0778 311926
Thurea Habib 7
Penda mm
Best taarab song. Bin seif ishara zitazameni
Mashallah Taarab Asilia
Kwapendeza jameni..Zanzibar 😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Habibu nakutamani sjiwezi taaban..mikono miwili nakukunjulia karibu habib wangu Maridhia.. special for mylovelly husband
A truly love ballad.... yaani kule kukiri kulivyo kwa dhati... sijiwezi ni taabani... wangu maridhia... nakupenda habibi wangu
Karibu habibi asante Hajji Moh'd
Yalokuwa kifuani, sasa yametoka ndani.
siri zilizo nyoyoni, sasa zisikieni.
Habibi nakutamani, sijimudu taabani....
..........
hatum83 8
Nakumbuka marehem.zamir uwanja.wa.mkele
Nyimbo hii inanikumbusha mwaka 1994 old good days
Macho yake yalisema na yangu yakamjibu midomo yasema sema nakupenda mahabubu
Ishara zitazameni anipenda nampenda.... tunapendana...
Daah hizi nyimbo mm nazipenda sn sijui kwann? Yaan haipit siku kama sijasikiliza Old is Gold 😭
I love you from Kenya?
Sauti nyororo vinanda na mashairi inafuatana kwa mpangirio love it
Asanteeeee bin seeiiffff
Bin seif asanti sana..napenda taarab😙😙😙
Mzuri mnoo huchoki kuyasikiliza mashair yake
Macho yake yalisema na yangu yakamjibu × 2
Na nyoyo zikatetema zikahimili sulubu × 2
Midomo yasema sema nakupenda mahabubu × 2
Sote tulikuwa wima kimya mithili mabubu × 3
Mikono miwili kaninyooshea karibu habibi wangu maridhia
Mikono miwili kaninyoshea karibu habibi nakufungulia