Untouchable katisha 🔥🔥🔥🔥🔥 Ila kilichotokea raund 1, ishu ya punchline nje ya freestyle ndo zijaji naona haisaundi gud maana wengine wako vzr kwenye kuandika na wengn wabovu n naamin weng wa mamc wanaokuja kwenye #RapBattle mindset yao ni freestyle so unapokutana na kitu tofauti inakutoa nje ya reli kidogo.
130 ni Mkali sana Sana TATIZO LAKO KUPANIC😔 utulivu wa round ya tatu una UKali ambao ungeanza nao tangu mwanzo lazma ungeshinda.. japo n kweli untouchable alkua na kikosi.. ila 130 amecheza kiwango cha chini Yake nmeumia sana
130 anajua sanaa kazingua mwenyewe pia mdg Ang wa NIT na support yake Mwampeta ila inabidi ukazeee snaaa uko partial sanaa ila we nimkaliiii mnooooo ila kwa hapo makosa ya 130 ndo yamekupa ushindi untounchable
Untouchable danger boy flammable... Kijana anazidi kuupiga mwingiiiiii. First time nakutana nae advance na kumfanyia exclusive interview and now he's blowing the roof off.
130 Won this shit! The only thing watu hawajui freestyle battle hautakiwa kuchana chana tu u have to say what’s relevant sasa hizo bars za 130 ukimskza round ya 3 unaona kabsa zna husiana na ukweli (mfano Tshrt kubwa, kichwa kama tikiti n.k) ila ukimchek untouchable anaokota vya kubuni tu ili achekeshe havna uhusika
Ephesians 5:15-17 Be very careful, then, how you live - not as unwise but as wise, making the most of every opportunity, because the days are evil. Therefore do not be foolish, but understand what the Lord’s will is.
#miathelathini ni noma sana ni vile haikua siku yake na hakuja na watu kama uyo mshindi , ni fact kabisa angalia tu round ya 2 & 3 , @130 kakmbza japo kelele za audience hazjampa support
Acha ushabiki mandazi ww roundi pekee alio jitaidi ni round y 3 tenakidg xn kwa round hio 3 ilimfanya 130 aonekane kama ana kitu ili mpinzania likua mkali kuliko yeye
@@stevenkaria6 mskize round ya 3 utaelewa 130 kafanya noma Skia pia round ya 1 verse zake n dope sio mistari big G ya untouchable Round 2 130 kacontrol stage na ana swag hyo jamaa mwengn anabwatuka
Untouchable katisha 🔥🔥🔥🔥🔥 Ila kilichotokea raund 1, ishu ya punchline nje ya freestyle ndo zijaji naona haisaundi gud maana wengine wako vzr kwenye kuandika na wengn wabovu n naamin weng wa mamc wanaokuja kwenye #RapBattle mindset yao ni freestyle so unapokutana na kitu tofauti inakutoa nje ya reli kidogo.
📌📌
Untouchable amemshinda 130 kwenye skill ya rap na delivery,130 ana bars lakini anakosa delivery
130 ni Mkali sana Sana
TATIZO LAKO KUPANIC😔
utulivu wa round ya tatu una UKali ambao ungeanza nao tangu mwanzo lazma ungeshinda.. japo n kweli untouchable alkua na kikosi.. ila 130 amecheza kiwango cha chini Yake nmeumia sana
Untouchable round 1..nguvu ya solar..nguvu ya....very creative 🔥
Untouchable🔥
Though Naeza taka kumuona Young poison na untouchable wakichanana.
130 Ni mkali sema wengi apa Awana sikio na mziki mwanangu 130 unyama sana 🔥 🔥🔥🔥
kwali man
130 ameshinda hii battle, sema ndo km ulivosema
@@iFly-t9b uwakika man 🔥🔥🔥
@@babamarkom9881 kafanya unyama mwing🔥🔥🔥
🙏🏿 th-cam.com/video/Gdt1EQDMtFY/w-d-xo.html
untouchable umtisha sanaaa...big up broh👊👊
Nice move @130...michano poa ya unstoppable
130 anajua sanaa kazingua mwenyewe pia mdg Ang wa NIT na support yake Mwampeta ila inabidi ukazeee snaaa uko partial sanaa ila we nimkaliiii mnooooo ila kwa hapo makosa ya 130 ndo yamekupa ushindi untounchable
Untouchable ndo wa nit au 130
Untouchable danger boy flammable...
Kijana anazidi kuupiga mwingiiiiii. First time nakutana nae advance na kumfanyia exclusive interview and now he's blowing the roof off.
Nyagabona💪
Untouchable jiniiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hatar sana th-cam.com/video/OA4DYX672us/w-d-xo.html
Untouchable 01🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪
130 ni real MC , Untouchable anafanya Rap comedy 📌
🙏🏿 th-cam.com/video/Gdt1EQDMtFY/w-d-xo.html
130 yupo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥sema hana audience
🙏🏿 th-cam.com/video/Gdt1EQDMtFY/w-d-xo.html
130 unapambana sana! Kuwa hapo tu ni millage.. Future yako iko Jirani sana man
Utakua star punde
🙏🏿 th-cam.com/video/Gdt1EQDMtFY/w-d-xo.html
130 is the best rapper Sana..
Nwachane uyo mshind wakawaida sana, rap battle ya leo ilikua kawaida sana, 130 alitolewa kweny mchezo japo from my own perspective ana mistari
Binasfc 130 anaweza kuliko jamaa
Kabisaaa
🙏🏿 th-cam.com/video/Gdt1EQDMtFY/w-d-xo.html
My Brother 130
Heeey aliyewin mnoma sana... Untouchable 💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Hatar sana th-cam.com/video/OA4DYX672us/w-d-xo.html
130 try to relax nxt time
Untouchable anajua ila akikutana na Fuvu Toxic atoboi uyo...
Hakika hatoki Toxic mnyama sana
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌untouchable round 1
Its all HIP HOP fam! Nakukaribisheni kuskiza Goma langu jipya #ALAIGU
Owaaah dogo alikua nyumban uyu
We ninoma sana
my brother ✊🎶🎶
King @130
You kill it dady worryout #official_tella
130💥💥💥
untouchable nouma.
young poison x Toxic na untouchable hii battle itakua moto
Kweli untouchable nomaa,,ni fire
Untouchable 🙌🙌😅😅
Untourchbor kizaz sanaa🍁🍁🍁
Wote Fake ao leta Yededeee ndo tunatak love from+257🇧🇮🇧🇮
Speed ni 130 jamaa kawaka na kwenye msingi wa hip hop yupo top💯🔥🔥
Untouchable kizazii mzeee
130👊👊👊👊
🙏🏿 th-cam.com/video/Gdt1EQDMtFY/w-d-xo.html
wote moto sana ...napenda their styles
Bars za kawaida mademu wanapiga kelele
Hii bongo no one like Toxic kwa freestyle toka tumpoteze gwer
Untachiable kazaaa blood upo njea pia🙏🙏🙏
The man I know untouchable see u far
Dah? Vijana wangu mnanichana ile kinoma sana.... Big up kwenu
Mnazingua. Acheni round zote 3 ziwe freestyle battle
130 Won this shit!
The only thing watu hawajui freestyle battle hautakiwa kuchana chana tu u have to say what’s relevant sasa hizo bars za 130 ukimskza round ya 3 unaona kabsa zna husiana na ukweli (mfano Tshrt kubwa, kichwa kama tikiti n.k) ila ukimchek untouchable anaokota vya kubuni tu ili achekeshe havna uhusika
Yeah"" jamaaa kashinda kwa kuchekeshaaaa.... Afu 130 round ya kwanza wamemtoa njian
😀😀 Dah untouchable fala sana
Untouchable is a future star
That guy in black t shirt is epic
Unyama mwingi 'untouchable' umeuwa kinoma
Ephesians 5:15-17
Be very careful, then, how you live - not as unwise but as wise, making the most of every opportunity, because the days are evil. Therefore do not be foolish, but understand what the Lord’s will is.
Sks bebe... untouchables 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿😁
Nouma sana th-cam.com/video/OA4DYX672us/w-d-xo.html
They can be the best collabo
Untouchable nomaa aisee
hongela babu unaweza
Untouchable 🔥
Untouchboy 🦁
130 mkali
Untouchable kwel noumaa
Untouchable nibaraaa
untouchable kiboko huyu mamba i say mistari kapanga kinoma
Untouchable cyo m2 mzuri coz anajua uyo jamaa mpaka anakera
Dah! Tachaboo nomaaaa
Untouchable..hatari 🙌🔥🔥
Awoooootee untouchable😅😅😅😅😅😅
Untouchable 🔥🔥💯
Untouchable is real untouchable
aaaah huyui msenge untouchablr anajuaa an
The untouchable kama kawa kama dawa......ananipeleka safi kam Roma mkatholiki
130 ametisha kwenye Round 2 za mwisho.
#miathelathini ni noma sana ni vile haikua siku yake na hakuja na watu kama uyo mshindi , ni fact kabisa angalia tu round ya 2 & 3 , @130 kakmbza japo kelele za audience hazjampa support
Acha ushabiki mandazi ww roundi pekee alio jitaidi ni round y 3 tenakidg xn kwa round hio 3 ilimfanya 130 aonekane kama ana kitu ili mpinzania likua mkali kuliko yeye
🙏🏿 th-cam.com/video/Gdt1EQDMtFY/w-d-xo.html
Daaaah 🙌🙌🙌
Untouchable🔥🔥🔥🔥🔥
Big shoo kijanja zaid
Untouchable Vs toxic
Untaochable🔥
I can't imagine @Untouchble VS @Toxic 😩😩😩
Hatariiiiiiiiiiiiii
Mmmh 🔥🔥🙌🙌💣
Yeeeeeeeeeh
Hip hop 😊
#untochouble Genius
Mie nlkuepo hapa! Kilchomtoa #miathelathini #130 mchezoni ni watu alokuja nao untouchable (NIT coz ndo anakosoma) so kuanza kwake kukaamsha shanGwe na 130 ndo akaPaniki hapo
Ww hipap xio kama boxing mzee kama unajua unajua 2 watu hatuangalii xhangwe tunanga lia michano mzee
Hatar sana th-cam.com/video/OA4DYX672us/w-d-xo.html
Kwn shoo huw wanashut Lin kak I mean nisku amby wanashoot shoo kka
Kka big sunday shoo wanashutig juma ngpii skuizii
kweli hizi zakuchacha kamkalisha untouchable
Ueleewa mdogo ila huyo 130 mkali na anatulia ila huyo dogo mwngine mvivu kuandika
am come best rapper from kenya
@UNTOUCHABLE..... FIRE
Untouchable noma
Untouchable oooh my God
Untouchable vs toxic 💥
Untuchable amebebwa na wanachuo wenzake
Angalia round ya pili ndio utajua untouchable yupo vizuri..anampigia mwenzie pasi rula jamaa anarudisha pasi mkaa 😀
Tuwatoe wanachuo, 130 kafanya nini?
@@stevenkaria6 mskize round ya 3 utaelewa 130 kafanya noma
Skia pia round ya 1 verse zake n dope sio mistari big G ya untouchable
Round 2 130 kacontrol stage na ana swag hyo jamaa mwengn anabwatuka
Round 3 130...🔥alimchana
130 mkali mshamba awez elewa
Untouchable umetixha xn
Untouchable katishaaaaa
Akooo chiniii
360🔥🔥🔥
✊🏿
Bongoland there's plenty of talents..!
Untouchable akaze Sana anafanania kama Roma sauti
Hio noma
Nice
Unaweza sema s k s umezingua kumtaja janjaro yule baba ako slow down japo unaweza lakn umeniboa Janja unamwambia we so uwoya
Noma Sana untaochable
Untouchable
Untouchable 🔥
Noma noma
Jamaa alie vaa black 🖤 katisha
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Beat ya CNN kashindwa kuitendea haki