my guy killed the housefly on that guy's slippery head..... Skrrrr!!! am Big HOLLA!! the show 💪💪💪 to my obvious guy I mean ule wa sawa.... pull uuuoooppp!!! you nailed it.... I hope to join the in another time with my guy.... hopefully... Am so into this💪💪 On my way... Big up!!!
Mnaoenda apo jitaidini kucheza na beat achan na mashabiki we piga punch ao watavibe ukichana utam il ukitka kwend nao wanaalib show yako First boy safi mzeee
Mwanzo nilijua jamaa huyo big audience ni yake kumbe wasikilizaji wako real.. aliyeshinda kaua, tunawasubiri nala, who sayn, ghafla bin vuuu.. ni wanyama sana
First boy ni mnyama sana ila pia lugo si haba big up mnajua
Tafadhali mashindano yana fanyika wapi na mimi naitaji kuchana
Nenda ununue karatasi nyingiii afu Anza kuzichana tu... Watakuona 🤣🤣🤣
my guy killed the housefly on that guy's slippery head..... Skrrrr!!! am Big HOLLA!! the show 💪💪💪 to my obvious guy I mean ule wa sawa.... pull uuuoooppp!!! you nailed it.... I hope to join the in another time with my guy.... hopefully... Am so into this💪💪 On my way... Big up!!!
Très bien vraiment, courage
Lugo master 💪💪 keep the flame burning Mimi naona unaeza ,nakuaminia
Big sunday live. Unyama mwingi sana sana. Na enjoy kizazi kabisa.💪💪
Dah jamaa wa bob Marley katisha sana anajua.ata uyo izzo biznesi atoboi kwa mwana wa shat ya bob Marley 🔥✌️🇹🇿.
Ahsant san 🙏✊
Kabisa kaua
Wote kiaina hawana skills ni kawaida sana
First boy umesha
P1 xn✌️✌️✌️✌️
Pumbavu leo mmetupotezea MB zangu... #JipangeniAcheniUvivu...
Lugo master
Ee bwana firstborn ✌️
🙏✊
Roma voice na Prof Jay
Hamna kitu hapo.. katika free style wote ni ovyo kabisaa... Sema kwa kuandika huyo mwe Bob ni mzur
Ferst kauwa
Lugo hajui
Nakubali
Mnaoenda apo jitaidini kucheza na beat achan na mashabiki we piga punch ao watavibe ukichana utam il ukitka kwend nao wanaalib show yako
First boy safi mzeee
🙏✊
Lugo master anaunyamwez flan hvi na punch za mbele saana.. sema first born kajiamin sana..
Ahsant san 🙏🙏✊
Fest boy mkali Sana michano.
Ahsant san
First boy🙌🙌🙌
Kabla hamjawaleta ma mc kwanza waskilizeni au chukueni ma mc waliopita kwenye dk 10 za maangamizi hao wengine michosho2 wanashusha bland ya big sundy
Kabisa....hasa hasa huyo mwenye Black ni Punga kabisa 😄
Fast boy mkali
Jamaa wa shati la Bob male kashindikana
Wanajua Sana wana
First born unyama mwingi
Ahsant san ✊🙏
Noma sana
First born mapema sana kashinda
Ahsant San 🙏🙏✊
@@firstboyink7503 we mkali sana
jama ako na confidence sana
hiyi show ni kali sanaa
Burundi tuko pamoja
Yaan mpaka Ray katulia t
Unapewa dakika Moja Kisha unaimba chorus.Maraper wengine ni fake sana
Vest boy noma
Loving the Vibes!!
Thnks
Nakubar
Unyama sanaaaaaa
Ahsant san
Good Good
Aminia ✊✊🙏
dogo F ameuwa sana
Mxhindi katixha xana anajua
hao wasanii wote wabovuuuuuuuuu hamna kitu!
Wewe lin unakuja
Niceee fine
Mleteni Haidary na Mteganda.
Aaah leoo wamefel bn big sunday,, hao marapa mmebugi,, pumba kabisa sielew,,, bora angerudiaaa kado kitengo,,
Nauwa kila aina ya nnz kwenye kipara
😁😁✊🙏
Kapitia flow za TOXIC FUVU
Mwanzo nilijua jamaa huyo big audience ni yake kumbe wasikilizaji wako real.. aliyeshinda kaua, tunawasubiri nala, who sayn, ghafla bin vuuu.. ni wanyama sana
Ahsant san ✊🙏
Mchizi umeuwa fect boy kauwa apewe mauwa yake
Hahaha nomaaaa
Tick
Iiih so Rap Battle
hamna freestyler hapo uongo uongo Tuu!!!!!! na nakuja Dar soon nitawakomesha hao maboya!!! hawajui Kuchanaaaaa
Npaka ufuke mjini kaka kumbe bado upo kimbiji
@@iyaagajitu6126 😁😁✊🙏
😂😂😂
Oya we jamaa ukogo wapi asee
@@iyaagajitu6126 yuko kazulamimba
Amn kit umo
Festy boy
Cyo atA freestyle,wametunga mistari
Muweke ma emsii wenye skills Kali ban
Show iko poa sana
Ahsant 🙏✊
Hakuna free style hapa
Huyu mwamba fst boy anapanch San Kam bando
Hii bato ya kimiyeyusho kati ya bato zote zilizopita
Hamnaaaaaa kituuuuuuuu
Sema mashabiki munavunja Sana moyo Ani mtu anajithidi ku floor Aya kelele zauongo pia akuna duhh
Akuna mkali kiukwer hakika hakuna wakunizid mm
Leo bato amna watu
Wanaonekana wanajipanga home ndo wanakuja
🙏🙏🤲🤲✊
True
Maboyaaa hamna kitu
Bado naongea andikeni majina ya hao mcs sio jamaa jamaa jamaa watfk
DJ
Beat mbovu
😂😂Diamond platnumz ka cheka sana baada yaku ona hii vidéo ebu jionee nawe u chekee😂😂😂🎬👀
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/LTrCFTrgzoI/w-d-xo.html
th-cam.com/video/wxfTfu0_S6U/w-d-xo.html harmonize na braianna
mbona hawana sauti za hiphop wanabana pua. saut za nyuki kabisa. saut za hiphop n za kina kado nondo, toxic, stan rhymes
🙏🙏🙏✊✊
Hapa hamna kitu wanaomba kupigiwa kelele Ila hamn mistar kabisa
Chiiiiiiiiiii
✊✊
Noma sana
Mleteni Haidary na Mteganda.
DJ