MIMI MARS AMKATAA DIAMOND - NITATOKA NA MARIOO | BIG SUNDAY LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2022
- MIMI MARS AMKATAA DIAMOND - NITATOKA NA MARIOO | BIG SUNDAY LIVE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Nilidhani mpole sana hata kuongea ni tatizo....hahahaaaaa kumbe anaswaga kuliko hata v money...yuko fresh sana haboi...
💎 jina kubwa kweli nsinge waangalia but nmewacheki kwa sababu ya dangote tz
Sawa nawpenda Sana wasafi kiujumla jaman
Mimi anajuag ku interview vzuri keep it up...
Mwanaume mweusi ...weusi wetu wapendeza sana
Basi tu nampenda huyu mtoto ibaki ivo,huu uzuri kila mtu amebarikiwa kwa kiasi chake lakini tukiacha chuki awa watoto wamebarikiwa
Sawa kabisa Mimi mars mtafutaji ndo penyewe hapo👍👍👍👍
Mimi Mars Marioo ndiyo anakufaa,sisi tunajua Ulienda kuswim tu.Mbona Vanessa alikuwa karibu na Diamond wala siyo issue.
Kwan ww chenye ndugu yako anapenda ww pia n lazima upende
Anajikosha marioo mwenyewe able tuuu dini zap pingamizi kwanini Vanessa alimkimbia jux dini hao niwamama mchungaji marioo showtime tyu
Wap wapareeeeeeee
Nawkumbali wajanjaaaa wanguuu
Mi nakajuwa we mpoleeeee kumbe mcangamshi ma nsha allah😁😁
nampend sn uyu dada
Ameniturahisha dhaa 💙💙
Vzr dada
Mutafutaji atapat inshallah
mimi🎉
Hachoshi 🙌
Marioo ataanza geam sasa 😂
Nimependa San
Nimefurai❤
Fantastic 👍👍👍👍👍 sawa ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Unyamaa
You are the best
unyamaaa dadaake❤❤
Dada uko vizuri sana😘
Dope interview
Woohoo
I like it
Hapo kwa jux na Rotim 😇
🔥🔥🔥
Heheeee😂😂😂😂 cheza tu na chibu
Nice job
Anakaa comedian uyu mimi
Maria kama Maria
I like Mimi mars
❤❤❤
Big up mim mars you did it well
Katishaaaa
#yan uyu Vanessa kabis
Sawa dada
Mmmh
Waoooooh mimas
Very charming
Kweli kabisa
Chidi benzz
So beautiful
Mj
🔥🔥🔥💥
Poaàpa
🔥
Kazuga tu huyo
Beutiful
ka mke ka me amor
Deep down her heart it’s Diamond
Ni mpenzi wa Marioo
Wew unahisi Kila mwanamke anapend type kam z diamond!! Wrong my friend
@@clarachikojo6399 that’s my opinion you’ve the right to your opinion.
@@mwakazisaidi1175 That is what I mean
@@clarachikojo6399 fine
Napend San saut yako dada
Sauti nzuri Kama ya Vanessa
Maria ww umetaka kutuwia luc wetu
😂😂😂❤️❤️❤️
Sikuwahi kujua mm mars anaongea hivi!!
We ni mwisho wa kuongea anaongea mpk bac
Gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html
A naongea mno c alkuwa mtqangazaj Tv1 kpnd cha wkend gossp
Vanessa kamkimbia jux kwasababu dini tofauti nahao wakina Vanessa watoto Wamama mchungaji Kwahiyo Amani tu itawale
dini kwao sio tija marehemu Adam Isarro ( kaka yao mkubwa) alikuwa muislamu akaoa mkristo kiserikali.
mmh
Natural tuachie msitu....hahaha
Tamyris moiane ft melony malele
Saw
Numb on
A girl is wearing a vest, men in jackets? I am confused
Sarafina
Anachekesh anajifany zari au tanasha atengenez Shep kwaz Diamond sio levo Yankee😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa simulizi kali, tembelea: th-cam.com/video/OP1eWQqufJs/w-d-xo.html
Ila uyu bnt ni pic qali aiseee
Video
😂😂😂
Huyu ni dadake Vanessa mdee ama
Yeah
Mdogo wake
Hata hivyo hana uzuri wa kutoka na Diamond platnumz .Yeye kiwango chake ni Mario balotel
Duh mnapaniki mpaka kwenye mapenzi
@@alexalen6799 hahahahahah
Mmh uyo mond ana nn
Nellow panny
Gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html
o
♥️♥️✌️✌️
Pg
Kama hii bado haijamfikia simba silali wallae
Hakikisha hii imemfikia Simba😅😂
th-cam.com/video/3VHUXr6231c/w-d-xo.html
mimi mars simuelewi yani ni kama mtu Flani 0 brain. kwanini vanessa hakumfundisha jinsi ya kuongea na english? vanessa anakili sana na atafika mbali
Are you serious!!she is so fluent
Ujinga wako ni kudhani kingereza ndio akili.
@@flipflop8409 😂
Mtoto wa kishua huyo ukimpeleka kwenye kingereza anateleza kama kawa 😂.
Mimi mars kazaliwa marekani,Vanessa kazliwa marekani sio mshamba aongee kingereza kwenye interview ya kiswahili mfatilie kwenye kazi zake za uemsii yani huyu ndio anachukuliwa,zile za kiingereza kisicho na kupindapinda walitoka marekani wakaishi ufaransa,kifaransa ndio usiseme hatari,wakahamia kenya ndio kurudi tz baba yao alikufa sasa ukisema ajui kingereza yaani sikuelewi kakizoea mpk bs
Tembelea you tube channel yute makk sports ili ujipatie habari mbali mbali za michezo na uchambuzi za uhakikia
Zifaam sofa mpya Kali kuliko zote 2022 th-cam.com/video/QlGXTdSUxFQ/w-d-xo.html