UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 04|UNTOUCHABLE (NIT) - MNANIPATA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
    Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
    INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
    TIKTOK: UNITALENTSHOW
    PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
    #kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04

ความคิดเห็น • 81

  • @HappyMushi-ky5qn
    @HappyMushi-ky5qn หลายเดือนก่อน

    Mwamba 🔥🔥🔥🔥untouchable

  • @jesseelmas8434
    @jesseelmas8434 ปีที่แล้ว +2

    Watu kama hawa wapewe shavu jaman,G-nakoz G warawara plz🙏 ngoma moja na mwana hapa.

  • @lovenesskambindu995
    @lovenesskambindu995 ปีที่แล้ว +2

    Unajua Hadi unakeraa🙌🙌 sichoki kukusikiliza

  • @omarynassoro1348
    @omarynassoro1348 ปีที่แล้ว +3

    Umetisha kaka nakubali sana mwaka wako huu lazima utshe zaid

  • @salmabakari6076
    @salmabakari6076 ปีที่แล้ว +1

    Anajua anajua tena🥰🥰

  • @gwimbugwarupori6555
    @gwimbugwarupori6555 ปีที่แล้ว +2

    daaa mwamba noma sana + Tgunny tozzy

  • @floraenock1499
    @floraenock1499 ปีที่แล้ว +3

    Hatariiiii sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @makejaffar8119
    @makejaffar8119 ปีที่แล้ว +2

    Ningepata haya mausia..wallai ningekua sahii mi ni billionaire

  • @cityeldermedia23
    @cityeldermedia23 ปีที่แล้ว +3

    untouchable never disappoint 🙌🔥

  • @shadrackmwakilasa7059
    @shadrackmwakilasa7059 ปีที่แล้ว +2

    Mshindiiii nakuona untouchable 🔥🔥🔥

  • @Raymofficial98
    @Raymofficial98 ปีที่แล้ว +2

    Umetisha sana untouchable

  • @ibzanpro4680
    @ibzanpro4680 ปีที่แล้ว +3

    Big Up Andrea, we proud of you.

  • @samirshalubus-bf8du
    @samirshalubus-bf8du ปีที่แล้ว +1

    Kaka unajuwa sana mwak wako huuuu

  • @wawesttv
    @wawesttv ปีที่แล้ว +5

    Polee, confidence imepotea baada ya last season kunyimwa taji.

    • @kelvinlihiru1136
      @kelvinlihiru1136 ปีที่แล้ว +2

      confidence ipi iyo unayoisemea ww🤔🤔

  • @renathcyprian-qb5mp
    @renathcyprian-qb5mp ปีที่แล้ว +2

    Mwaka huu usipo chukua bro........ Naenda kushitaki

  • @lustikadaniel5972
    @lustikadaniel5972 ปีที่แล้ว +1

    Asiposhinda saiv mnalemu jambo🙌

  • @venanttheobard1790
    @venanttheobard1790 ปีที่แล้ว

    Na tuzo mmemnyima dah🙌😢🙌

  • @bonifasjk2290
    @bonifasjk2290 ปีที่แล้ว

    Next generation hip hop ipo mikono salama kwa untouchable

  • @HassanEmbuka-hc6xe
    @HassanEmbuka-hc6xe ปีที่แล้ว

    Young Embuka killer uyu jamaa namwona mbali xan unajua bro afu maidear kama yote sarut

  • @StimaOfficial
    @StimaOfficial ปีที่แล้ว +1

    Dope performance
    Untouchable ni performer mzuri sana

  • @gerriemagic
    @gerriemagic ปีที่แล้ว

    This is already a hit song .. Hakuna Mroma mwenye stamina ya kubattle nawewe 😅

  • @abrahamboniphas8383
    @abrahamboniphas8383 ปีที่แล้ว

    Nice job mr sks bebi

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 ปีที่แล้ว

    Jamaa anajua

  • @armyshebby2023
    @armyshebby2023 ปีที่แล้ว

    Upcoming superstar ✨

  • @issaathuman2447
    @issaathuman2447 ปีที่แล้ว

    Oyaaaa weeeeeeeeeee✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @udakutv5071
    @udakutv5071 ปีที่แล้ว

    Asiposhinda naacha kufuatilia unitalent

  • @amedeusleonce
    @amedeusleonce ปีที่แล้ว

    Uyu jamaaa namkubali vibaya mno

  • @JohnJohn-fp5gj
    @JohnJohn-fp5gj ปีที่แล้ว +1

    Noma sana 🔥 🔥

  • @DoriceKavikule-ur4ns
    @DoriceKavikule-ur4ns 9 หลายเดือนก่อน

    Unaweza

  • @johngeorge-ft2ti
    @johngeorge-ft2ti ปีที่แล้ว

    daaah big up

  • @hassankilunga9364
    @hassankilunga9364 ปีที่แล้ว

    Unajua man🎉

  • @gaspermorris7508
    @gaspermorris7508 ปีที่แล้ว +1

    Untouchable 👏🙌

  • @omarhamad8983
    @omarhamad8983 ปีที่แล้ว

    umeua kabisa big up

  • @paultimothy3252
    @paultimothy3252 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha Kaka 🔥

  • @eminenttyrant4218
    @eminenttyrant4218 ปีที่แล้ว +2

    the first 1👍🏽

  • @AbdallahJudifa-vf6kw
    @AbdallahJudifa-vf6kw ปีที่แล้ว

    Hatr san

  • @miriamkaaya3766
    @miriamkaaya3766 ปีที่แล้ว

    Umeua kinouma untouchable and rammie

  • @jessejeezus
    @jessejeezus ปีที่แล้ว

    he is badd💥💥Classic

  • @alfonce8103
    @alfonce8103 ปีที่แล้ว

    nzuri mno

  • @jazilakachenje-ue8gg
    @jazilakachenje-ue8gg ปีที่แล้ว

    Unajua man

  • @yusuphmahimbo5659
    @yusuphmahimbo5659 ปีที่แล้ว

    Bro chafu xn ✊✊ ww

  • @user-jr4jj6sv8g
    @user-jr4jj6sv8g ปีที่แล้ว

    Noma

  • @wapole5620
    @wapole5620 ปีที่แล้ว

    Next big thing

  • @methuselamisana4115
    @methuselamisana4115 ปีที่แล้ว

    Umetixhaaaaaaa kaka

  • @samsonhenry3871
    @samsonhenry3871 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @aaronmukiti8315
    @aaronmukiti8315 ปีที่แล้ว +1

    If this guy didn't win ... there was a problem podium

  • @eliamwaigomole-bc1ym
    @eliamwaigomole-bc1ym ปีที่แล้ว

    Real Untouchable

  • @zakayokulwa3604
    @zakayokulwa3604 ปีที่แล้ว

    Umetisha mzee

  • @japhetjafet9680
    @japhetjafet9680 ปีที่แล้ว

    Tisha sana

  • @muliecoco6224
    @muliecoco6224 ปีที่แล้ว +1

    sKs beib 🦅

  • @barakamboj.17
    @barakamboj.17 ปีที่แล้ว

    Hyper 🤟

  • @msechutimotheo4830
    @msechutimotheo4830 ปีที่แล้ว

    BRAVO 👏👏👏👏👏👏

  • @brymoh0422
    @brymoh0422 ปีที่แล้ว

    Mkali huyu

  • @paulkahana8470
    @paulkahana8470 ปีที่แล้ว

    NIT iwekwe course ya kuimba

  • @salumkibamba4768
    @salumkibamba4768 ปีที่แล้ว +1

    BSS watching! after TGUN 😂😂😅

  • @lostjournals9859
    @lostjournals9859 ปีที่แล้ว

    Heeeh nit tujikusanyeeee apa kudadekiiii

  • @benlangson2686
    @benlangson2686 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ni mshindi by default

  • @dugehussein7465
    @dugehussein7465 ปีที่แล้ว

    Ila ni fundi zaidi ya veta

  • @intermiamidocumentary
    @intermiamidocumentary ปีที่แล้ว

    ✅✅✅

  • @jameskishamawe7256
    @jameskishamawe7256 ปีที่แล้ว

    Tumekupata

  • @oswardmkalawa9666
    @oswardmkalawa9666 ปีที่แล้ว

    Nacha flan ivi

  • @musamowino3674
    @musamowino3674 ปีที่แล้ว

    Uko na flow hatari

  • @dugehussein7465
    @dugehussein7465 ปีที่แล้ว

    Huyu mwamba basi tu

  • @YaGa60
    @YaGa60 ปีที่แล้ว

    Inaitwaje hii

  • @jerrydefocus6751
    @jerrydefocus6751 ปีที่แล้ว +3

    Nooooma

    • @agustinoissaka6063
      @agustinoissaka6063 ปีที่แล้ว

      Untachable anajua mwamba big up sana kaza mzaz

  • @thawemaster
    @thawemaster ปีที่แล้ว

    #sksbeib🌍

    • @agustinoissaka6063
      @agustinoissaka6063 ปีที่แล้ว +1

      Nilikuwa napendekeza kwenye haya mashindano waweke categories ili untouchable achukue best ruper

  • @chriseliudi5111
    @chriseliudi5111 ปีที่แล้ว

    Bro hujawahi kuniangusha toka Ngoma yako Ile ya barua hadi hiii duuu hembu ngoja niicheki Tena maana haichoshi kutazama

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 ปีที่แล้ว +1

    Kitu kinachoniuzi kizazi Cha sasa wanatukana kwenye nyimbo alafu watu wanafurahia tu nI aibu kwa kweli ,Kuna sehemu amesema usigawe papa , lakini pia Kuna ule wimbo wa gigy money pia ,kizazi kinaharibikambele ya macho yetu.

    • @peterchino3471
      @peterchino3471 ปีที่แล้ว

      Kwahy unataka msanii akitukana kweny nyimbo watu walie na wasicheke

    • @Bruno4cus
      @Bruno4cus ปีที่แล้ว

      Enheee! Kwaiyo siku hizi papa siyo Samaki tena ni tusi 🙌

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 ปีที่แล้ว +1

      @@peterchino3471 bro acha ujinga unakaa zako sebuleni na wazazi wako na dada zako ghafla unapigwa wimbo kama ule wa Gigi money ,bro ni aibu , maadili yanaporomoka kwa Kasi sana .

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 ปีที่แล้ว +1

      @@Bruno4cus kaka jiongeze hao wanatukana mfano nyimbo za WCB , wakina Gigi hao na kadhalika,watoto wanaiga ,hata ukikaa sebuleni na wazazi ni aibu ,sasa hapo majaji wanajichekesha tu Tena yenyewe ni wanawake pengine wana watoto ,wanasikia kabisa mtu anaimba anasema usigawe papa , hayo sio maadili yetu zamani haya mambo hayakuwepo leo hii wanatukana tu na zinapigwa kwenye TV, na watoto wanasikia na kukalili.

    • @Bruno4cus
      @Bruno4cus ปีที่แล้ว

      Sanaa ni uwanda mpana sana wa elimu kama utakuwa na mawazo negative lazima uwaze hivyo, Na hata tukisikiliza nyimbo za zamani huku tukiwa kwenye mawazo hasi kama yako basi tutaona matusi mengi tu ...Be positive@@isdorchuvu6280

  • @meshack2559
    @meshack2559 ปีที่แล้ว

    Tumekupta jamaa, qaariii

  • @jameskishamawe7256
    @jameskishamawe7256 ปีที่แล้ว

    Tumekupata