ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Natamani kuanzisha hii biashara..Mungu anijalie
AMIIN ..ni bishara nzur hasa ukipata maeneo ya shule
Asante kwa SoMo zuri
Aise nikatafute ukwajuuuuu kwakwelii..this is too helpful
Thank you dear 🥰
munno glam shilngap ?
Haiwekwi kilainishi??@@ikamalle
Mm barafu yangu ya ukwaju inakuwa kali sana na ninachemsha ukwaju
Asante vipi namna ya upangaji ndani ya defriza
Nzurii sanaaa❤️🥰🥰🥰
Salaam.Hongera sana kwa askrim nzuri na inaonesha pia tamu 🥰.Mi pia nazihitaji hizi kontena naweza kupata wapi?Shukran.
Ubarikiwe my napenda Sana ukwaju😋😋
Napenda biashara ya barafu
Napenda ukwaju anything as long as Ina ukwaju 😋😋
Wow. Nice
Ni nzuri sana je vikopo hivyo nivipate wapi? Naomba msaada wakò
Mbona mm frizer langu linachelewa kugandisha
Hongera dada nimependa kazi yako
Asante sana
😋😋saivi ntaacha kununua barafu.... ♥️😋😋
Mashallah
Naomben mnisaidie kupata freezer ya barafu pekeyake
Hivyo vikopo virefu vinauzwa wapi
Naitaji muongozo ili kujua baadhi ya products zinapopatikn
Nzuri, ila ingependeza kueka na rangi ya chakula nyekundu kubadili rang ya ukwaju
Leo ni mekuwa wakwanza.. Manager nipo vizuri
😂😂😂😂 Manager uko Vizuri sana 👍🏽
Unaweza kuweka rangi wowote?
Naomba unitumie 🙈😣😋😋😋
Usihofu dear, ngoja zigande vyakutosha tuu
Hivyo vikopo vinaitwaje?
Na hivo vikopo na vijit vinapatika wapi
Wlhi your videos are always helpful mum💯♥️
Thank you
I agree 💯💯
Unaweza kuweka rangi au ladha nyingine ?
Je Cmc inafaa kueka?
So smart
Napenda kweli😋😋😋
Dear kutengenez barafu za ubuyu je...inakua hivohivo kama ya ukwaju.????
Asante
Mi Nahitaji kwa ajil ya biashara kl moja Maj Kias gan
M bona hukuosha ukwaju
Ukwaju lovers🔥🔥🔥🔥🔥
Yeaas😋
Ivo vifaa vyengine ntapata wapi
Barafu 100 au 200 natumia ukwaju kiasi gan
Good
Nahitaji hiyo freezer naipata wapi na kwa bei gani
asnte lkn mm Nina swali je barafu za ukwaju unaweza kuweka rangi??
I like that
Sukari ni aina gani??
Barafu za ukwaju haziwekewi kitu kingne?
Wow
Nice recipe
Weka cmc
Uwii ika Malle umenitamanisha jamani 😋 namiss barafu kwa kweli
😋😋😋
🥰🥰🥰
Vicontena vya blue na weupe ivo vinapatikana wap?
❤❤
Hio iliki Huezi chemsha na ukwaju ili ikolee
unaweza kuuchemsha pia??
Mbona sip nzito nitam mojakwa moja au Ina Baki maji
Nimekupenda bureeeee
Shukrani
Ukwaju haina mchanga?
Haika natamani hivyo vicontaina vya kutengenezea barafu sijui vinapatikana wapi.
Kwenye maduka ya vyombo
Sukari mbichi???
Nice mrembo
Mbona zangu haziwi laini nafeli wapi
Samaani dada mimi zakwangu niliziwekaga kwenye firiji usiku,cha ajabu vyakula vyote viliganda ila ice cream mpaka saa tano azubui zilikua hazijaganda iyo inatokana na nin?
Uliweka kwa freezer au fridge
Namani uniorodheshee vitu vyote mhimu vinavyoitajika pia nakiwango kila hatua
Hi hivyo vidude nithapata wapi?,Niko mombasa
Mimi nilinunua kwenye maduka ya vyombo
@@ikamalle naNimethafutha nimekosa naomba kujua haswa ni duka lipi?sorry mwanzo ww mkaazi wa mombasa au tanzania?
Mi ni mkazi wa Tanzania
@@ikamalle kwa huko ni bei ngapi?kwa pesa ya kenya ni ngapi
Barafu za ukwaju zinawekwa juis cola au
Mimi sijaweka
Alike
hivyo vikopo vinapatikana wapi my
Nimependa jinsi unavyotengeneza.nisaidie niwapi vinapatikana hivyo vikopo
Vikopo vinauzwaje
Kilo moja unaweka maji kiasi gani
Kuna haha ya kusema cm?
jamani minikionaga ukwaju tu mate yana nitokaaa
Vikombe 2 sawa na nusu kilo au vp
Sorry sis hvyo vkopo navjit naweza nkavpatajee navhtaj sana
znavutia sana hizo barafu dada mm nna shida ya hivo vicontena vya kutengenezea lambalamba naomba unsaidie
maji umeweka kuasi gani
Naezaje Pata freezer kama hio yako
Mwenzangu namie wewe mimi ishu iko kwenye freezer tu
Nimeipenda sana ila mbona hujaweka flavour yeyote
Flaver ya ukwaju tia potesa arki ni tam san
Hivyo vikopo navipataje
Mamy hzo popsticks znauzwa kwenye maduka ya nini....maana nmetafta sjapata
Mm nauliza kw nn mm nikitengenez unajichuja
nitapataje ivo vikontena
Hi hivyo vidude vya mfiniko wa blue ununua kwa pesa ngapi?
Dada mm nahitaji kufinya ivyo vitu ila mahitaji yake nayapata VP km ivyo vikontena
Uko wapi km Dar nenda kkoo
Unauza sh ngapi
Mimi naomba tuwasiliane namba yangu ni hiyo nataka huo ufundi lakini kutumia karkadela badala ya ukwaju
Yaani niko tayari kulipia mafunzo niko namba 0716140342
Naomba namba yako
Hio kilo moja unachanganya na maji kiasi gani
hivi vikona Huwa vinauzwa
Ndio
Mahitaji nisukari nanini
Ivo vikopo vyenye ufuniko wa bahar vinapatkan wap
😋😋😋😘
Nzuri
Nataka kuanza biashara shida mifuko
Karibu sana
Natamani kuanzisha hii biashara..Mungu anijalie
AMIIN ..ni bishara nzur hasa ukipata maeneo ya shule
Asante kwa SoMo zuri
Aise nikatafute ukwajuuuuu kwakwelii..this is too helpful
Thank you dear 🥰
munno glam shilngap ?
Haiwekwi kilainishi??@@ikamalle
Mm barafu yangu ya ukwaju inakuwa kali sana na ninachemsha ukwaju
Asante vipi namna ya upangaji ndani ya defriza
Nzurii sanaaa❤️🥰🥰🥰
Salaam.Hongera sana kwa askrim nzuri na inaonesha pia tamu 🥰.Mi pia nazihitaji hizi kontena naweza kupata wapi?
Shukran.
Ubarikiwe my napenda Sana ukwaju😋😋
Napenda biashara ya barafu
Napenda ukwaju anything as long as Ina ukwaju 😋😋
Wow. Nice
Ni nzuri sana je vikopo hivyo nivipate wapi? Naomba msaada wakò
Mbona mm frizer langu linachelewa kugandisha
Hongera dada nimependa kazi yako
Asante sana
😋😋saivi ntaacha kununua barafu.... ♥️😋😋
Mashallah
Naomben mnisaidie kupata freezer ya barafu pekeyake
Hivyo vikopo virefu vinauzwa wapi
Naitaji muongozo ili kujua baadhi ya products zinapopatikn
Nzuri, ila ingependeza kueka na rangi ya chakula nyekundu kubadili rang ya ukwaju
Leo ni mekuwa wakwanza.. Manager nipo vizuri
😂😂😂😂 Manager uko Vizuri sana 👍🏽
Unaweza kuweka rangi wowote?
Naomba unitumie 🙈😣😋😋😋
Usihofu dear, ngoja zigande vyakutosha tuu
Hivyo vikopo vinaitwaje?
Na hivo vikopo na vijit vinapatika wapi
Wlhi your videos are always helpful mum💯♥️
Thank you
I agree 💯💯
Unaweza kuweka rangi au ladha nyingine ?
Je Cmc inafaa kueka?
So smart
Napenda kweli😋😋😋
Dear kutengenez barafu za ubuyu je...inakua hivohivo kama ya ukwaju.????
Asante
Mi Nahitaji kwa ajil ya biashara kl moja Maj Kias gan
M bona hukuosha ukwaju
Ukwaju lovers🔥🔥🔥🔥🔥
Yeaas😋
Ivo vifaa vyengine ntapata wapi
Barafu 100 au 200 natumia ukwaju kiasi gan
Asante sana
Good
Nahitaji hiyo freezer naipata wapi na kwa bei gani
asnte lkn mm Nina swali je barafu za ukwaju unaweza kuweka rangi??
I like that
Sukari ni aina gani??
Barafu za ukwaju haziwekewi kitu kingne?
Wow
Nice recipe
Weka cmc
Uwii ika Malle umenitamanisha jamani 😋 namiss barafu kwa kweli
😋😋😋
🥰🥰🥰
🥰🥰🥰
Vicontena vya blue na weupe ivo vinapatikana wap?
❤❤
Hio iliki Huezi chemsha na ukwaju ili ikolee
unaweza kuuchemsha pia??
Mbona sip nzito nitam mojakwa moja au Ina Baki maji
Nimekupenda bureeeee
Shukrani
Ukwaju haina mchanga?
Haika natamani hivyo vicontaina vya kutengenezea barafu sijui vinapatikana wapi.
Kwenye maduka ya vyombo
Asante
Sukari mbichi???
Nice mrembo
Mbona zangu haziwi laini nafeli wapi
Samaani dada mimi zakwangu niliziwekaga kwenye firiji usiku,cha ajabu vyakula vyote viliganda ila ice cream mpaka saa tano azubui zilikua hazijaganda iyo inatokana na nin?
Uliweka kwa freezer au fridge
Namani uniorodheshee vitu vyote mhimu vinavyoitajika pia nakiwango kila hatua
Hi hivyo vidude nithapata wapi?,Niko mombasa
Mimi nilinunua kwenye maduka ya vyombo
@@ikamalle na
Nimethafutha nimekosa naomba kujua haswa ni duka lipi?sorry mwanzo ww mkaazi wa mombasa au tanzania?