JINSI YA KUTENGENEZA ICECREAM ZA UBUYU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 84

  • @RehemaKabuta-ld8fn
    @RehemaKabuta-ld8fn 11 หลายเดือนก่อน +5

    Asante sana dada umetumia vitu vinavyopatikana kirahisi Mungu akufanikishe😊

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 2 ปีที่แล้ว +8

    Asante umetumia vitu simple na vinavyopatikana kwa urahisi🙏🇹🇿🙋❤️

  • @AshaMakani
    @AshaMakani 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante dear tuwekee na za maziwa dear za biashara

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa Somo sikuwahi kutumia na unga wa ngano,MUNGU AZIDI KUKUINUA KWA VIWANGO VYA JUU...OMBI NAOMBA UTUWEKEE NA YA CORN FLOUR🙏

  • @Salma-zc1ec
    @Salma-zc1ec 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana my mm nauza ila zinakua ngum ila leo umenipa somo

  • @macrinacaesar1564
    @macrinacaesar1564 ปีที่แล้ว +1

    Thanx dada Dina,mpaka naingia humu maana yake nina interest na hii kitu.nimepata somo zuri.unarikiwe

  • @MeryLyatuu-to9ks
    @MeryLyatuu-to9ks ปีที่แล้ว +2

    Hongera dada nilikuwa sijui kama ngano unaweka kwenye aiskrim

  • @isackibrahim-t7i
    @isackibrahim-t7i 7 หลายเดือนก่อน +1

    safi sana dada. mungu akuongoze. umefanya mke wangu asilemae nyumbani

  • @CosmasMlelwa
    @CosmasMlelwa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini hajatumia super dipu umetuma sukali?

  • @salomejoseph2868
    @salomejoseph2868 ปีที่แล้ว +1

    Asante umetumia vitu simple kuvipata

  • @gracesylvester3717
    @gracesylvester3717 ปีที่แล้ว

    Thanks Dinna. Simple and perfect.

  • @TeddyKajuna
    @TeddyKajuna 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mamy

  • @Moohsky
    @Moohsky 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kuanzia kesho naanza rasmi

  • @gatimarwa7525
    @gatimarwa7525 ปีที่แล้ว +3

    You're the best

  • @simonmagere
    @simonmagere ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana natamani kuifanya hiyo

  • @BensonKitomary
    @BensonKitomary หลายเดือนก่อน

    Nimeinjoy xana ongera❤❤

  • @kibombi
    @kibombi ปีที่แล้ว +1

    Asante njia rahis

  • @MeryLyatuu-to9ks
    @MeryLyatuu-to9ks ปีที่แล้ว +5

    Namba unielekeze vipimo mfano lt 20 unaweka unga kiasi ngani?

  • @teddyLugisho
    @teddyLugisho 5 หลายเดือนก่อน

    asante dada -.maji ya ubuyu naweza kupasha yawe na uvuguvugu ubuyu unawahi kuyeyuka

  • @DevotaMeruli
    @DevotaMeruli ปีที่แล้ว

    Ahsante kutuwezesha kimaisha

  • @sophianuhu8948
    @sophianuhu8948 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana dada nimetoka kununua vifaa naanza rasmi kesho biashara

    • @Zuhuramahadhi
      @Zuhuramahadhi 5 หลายเดือนก่อน

      Shoga nicheki kama ulishaanza biashara

  • @swaadatdullah1640
    @swaadatdullah1640 2 หลายเดือนก่อน

    Ni lazma tuweke unga wa ngano je unga wa muhogo?

  • @informer947
    @informer947 ปีที่แล้ว

    Safi sana umenisaidia sana utengwe

  • @JasminJaph
    @JasminJaph 10 หลายเดือนก่อน

    Asant kumbe ngano inafanya ipendeze

  • @LenidaKihombo-ej8py
    @LenidaKihombo-ej8py 6 หลายเดือนก่อน

    Asantee dada kwa somo lakini haina haha ya Radha na sukari kali

  • @ilyasbakar
    @ilyasbakar 10 หลายเดือนก่อน

    Acha tujaribu kwanza

  • @CosmasMlelwa
    @CosmasMlelwa 3 หลายเดือนก่อน

    Ngano ipi unatumia ya mabumunda au?

  • @warrenarren6642
    @warrenarren6642 11 หลายเดือนก่อน

    Kwenye hii video uliweza kutengeneza ice cream ngapi?na kwa vipimo gani?

  • @hildachitemo751
    @hildachitemo751 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo zuri lkn naomba kujua mfano ubuyu ni sado 1 je unga wa ngano ni kias gn?
    Na hua nasikiaga kua icecrem ina sukar ya aina yake je ilo nalo lipoje?

  • @LenathaEmanueli
    @LenathaEmanueli หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @reinoraonesmo3912
    @reinoraonesmo3912 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo

  • @SimaAdrian-u3p
    @SimaAdrian-u3p 26 วันที่ผ่านมา

    Nielkeze Jinsi ya kuweka vipimo vya sukari na unga

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 ปีที่แล้ว

    mashaAllah naomba namba yako

  • @LudovickSamson
    @LudovickSamson 2 หลายเดือนก่อน

    Axante Kwa somo

  • @sophianuhu8948
    @sophianuhu8948 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani nakwama kwenye Radha naweka Radha ipi,nahata sijui zinapatikana wapi

  • @HusseinAbdallah-v8f
    @HusseinAbdallah-v8f ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Ila nilikua natakakujua eti rangi zinakua na chumvi

    • @HusseinAbdallah-v8f
      @HusseinAbdallah-v8f ปีที่แล้ว

      Kunarangi nimenunua zinachumi kabisa nimewekea ice cream zimekua na ladha ya chumvichumvi

    • @asmahmoudy9263
      @asmahmoudy9263 11 หลายเดือนก่อน

      Rangi zna chumv ndio so weka kdg mno na inakubal

  • @sarahkinemo7039
    @sarahkinemo7039 2 ปีที่แล้ว +2

    Nmependa unatumia vitu simple

  • @emmanuelmlungwana7658
    @emmanuelmlungwana7658 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Ila nikitengeneza zinajitenga rangi upande mmoja na upande mwingine inabaki haina rangi

    • @aishabandeko4249
      @aishabandeko4249 6 หลายเดือนก่อน

      Atamm jamn ivyoivyo sijui nakwama wp

  • @Leahgabriel-em9dy
    @Leahgabriel-em9dy ปีที่แล้ว

    Naitaji kujifunza naomba maelekezo

  • @RehemaYosse
    @RehemaYosse 3 หลายเดือนก่อน

    Maji ni ya moto au ya barid

  • @FatumaBakari-q2g
    @FatumaBakari-q2g ปีที่แล้ว

    Nimejifunza leo

  • @agathakagete3324
    @agathakagete3324 2 ปีที่แล้ว

    Thanks 🙏🙏

  • @sumaringo8952
    @sumaringo8952 2 ปีที่แล้ว

    Yummy 😋😋

  • @FettyMkelly
    @FettyMkelly ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako

  • @DoreenKimath-qg6ln
    @DoreenKimath-qg6ln ปีที่แล้ว

    Je na ladha huwekii au ndo hyo rangi tuu

  • @gracenyahende4075
    @gracenyahende4075 2 ปีที่แล้ว

    Vipimo tafadhali my dear

  • @TatuKablola
    @TatuKablola 9 หลายเดือนก่อน

    samahan ukitengenez hivo unakua huweki radha

    • @emilianahamad8126
      @emilianahamad8126 9 หลายเดือนก่อน

      Unajiongeza dear huwezi fundishwa Kila kitu😅

  • @shufaaramadhani4060
    @shufaaramadhani4060 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza mfano hiyo sad moja unaweka ngano kiasi gan na rangi kiasi gan naomba kujua

    • @JohnZepha
      @JohnZepha 5 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa somo tusaidie vipimo❤❤❤❤❤

  • @JaquellineBahufite
    @JaquellineBahufite 4 หลายเดือนก่อน

    Nawuriza kama hawuna izorage unanda kutumiya juwisi binawezekana nawuriza hivo kwanjo kwenye turipo hatuwezi kuzipata tuko ishi ya mozambipue

  • @anithageorge164
    @anithageorge164 4 หลายเดือนก่อน

    Huwek sukari

  • @fatumachaibo-hg1me
    @fatumachaibo-hg1me ปีที่แล้ว

    Naitaji aina ya rangi unayotumia

  • @jamalsaidi-pq7tc
    @jamalsaidi-pq7tc ปีที่แล้ว

    🙏

  • @marinaarsen3151
    @marinaarsen3151 ปีที่แล้ว +1

    Eti naweza kutumia unga wa muhogo

  • @fatumaabduba1970
    @fatumaabduba1970 2 ปีที่แล้ว

    Una Waka saizi Gani ya bishara unga

  • @stellamayagi3387
    @stellamayagi3387 ปีที่แล้ว

    Wahooo

  • @Hasheemsoudy
    @Hasheemsoudy ปีที่แล้ว

    Khaa ndo ufikicha kiuchafu hvo

  • @mwanamtama8096
    @mwanamtama8096 ปีที่แล้ว

    Hiweki sukari

  • @alicegiven4358
    @alicegiven4358 2 ปีที่แล้ว +1

    kama unafanya za biashara ngano natakiwa kuchukua kiasi gani

    • @Dina-py8js
      @Dina-py8js  2 ปีที่แล้ว

      ngano inategemeana na kipimo cha ubuyu mamy kikubwa cha kuzingatia inabidi uji uwe mwepesi sana

    • @RahabuTimoth
      @RahabuTimoth ปีที่แล้ว

      Ivi ngano ndio flour

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 ปีที่แล้ว

      @@RahabuTimoth hahahaaaAaa,ngano ni wheat 🌾 kwa kizungu na sio flour 🤣

  • @fatumaabduba1970
    @fatumaabduba1970 2 ปีที่แล้ว

    Ngano ya Chapo ama

  • @gloryshayo2022
    @gloryshayo2022 ปีที่แล้ว

    Sorry naomba kuuliza unga wa ubuyu robo naweka huo unga wa ngano kias gani na sukari

  • @aminahassan7396
    @aminahassan7396 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana ila naomba uwe ukituambia viwango vya vitu inavyo tumia

    • @Dina-py8js
      @Dina-py8js  2 ปีที่แล้ว

      Okay sawa dear nitakuwa nafanya hivyo

  • @jescahassani4211
    @jescahassani4211 2 ปีที่แล้ว

    Sante dada

  • @swalehejackson4891
    @swalehejackson4891 2 ปีที่แล้ว

    Mpenz sukari atuweki

    • @Dina-py8js
      @Dina-py8js  2 ปีที่แล้ว

      sukari unaweka dear kutokana na kipimo unacho hitaji

    • @andrewboniface2824
      @andrewboniface2824 2 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa kutufundisha maana nilikuwa nakosea kidogo

    • @andrewboniface2824
      @andrewboniface2824 2 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kutufundisha maana nilikuwa nakosea kidogo

    • @andrewboniface2824
      @andrewboniface2824 2 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kutufundisha maana nilikuwa nakosea kidogo

    • @andrewboniface2824
      @andrewboniface2824 2 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kutufundisha maana nilikuwa nakosea kidogo

  • @hellenzenoh3058
    @hellenzenoh3058 2 ปีที่แล้ว +2

    Sorry unaeka unga wa ngano kabisa au corn flour

    • @Dina-py8js
      @Dina-py8js  2 ปีที่แล้ว

      mimi nimeweka unga wa gano lakini pia hata corn flour unaweza kutumia

    • @evejohn5475
      @evejohn5475 ปีที่แล้ว

      Naomba unielekeze kipimo kinakuwajee

    • @jajimkama2209
      @jajimkama2209 ปีที่แล้ว

      Kwa zilivyo tunauza sh ngapi

  • @LenidaKihombo-ej8py
    @LenidaKihombo-ej8py 6 หลายเดือนก่อน

    Asantee dada kwa somo lakini haina haha ya Radha na sukari kali