ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ubarikiwe sana allah atakulipa mm nishabik wako hatar kila nikifata maelekezo yako mambo yanakua tik hatar❤❤
Mungu akuzidishie Mara 100, elimu hii naamini inawainua wengi kimaisha, barikiwa mpaka ushangae
Mashallah very nice asante
Mashaallah mwenyenzimungu akuzidishie kazi za mikono yako
Kazi safi sanaa imenipendeza Sana
Asante sana kwa darasa zuri nami nitafanya,vikopo hivyo vinapatikana wapi?
Nimeipenda hiyo be blessed my dear
Karibu
Ma sha Allah
Ahsante sana
❤❤❤
Barikiwa sana
Vizuri
Hongera kwa kutupa somo zuri,hivyo vijiti naweza vipata wapi?
Weaping cflower ndio nini conflower au maelekezo pleasse
Weaped cream ndo nn
Nzuri Sana, Asante kwa Hilo🙏🙏😋😋
Asante mziwanda,, Mungu akutunze
Amiin 🙏
Asante sana dada nataka niwe mjasriamal
Safi sana
Naomba pia tuonyeshe kwa kutumia cmc.
Hiyo flavor ndo vanilla au????
Barikiwa kipenzi.
Umepimia ladha gani dia. Bei gani uzwa
Ladha tumia itakayokupendeza ,sana huwa vanilla na strawberry
Mshine inauzwaje?
Habari mpnz mm naomba unifundishe ice creem za kifuko za mia 2
Ipo video yake jinsi yaKutengeza barafu za naziwa
What is the size of those cups you are using please
125mm
Nashukuru sana Naomba kujua vijiti ni bei gana naweza pata wapi
Vijiti ni 1000 vinakaa 100 Masokoni vipo tu
@@mziwandabakers8297 shukran habbty
Iyo crim ya kwanza umeweka nini ni nini
Sijaelewa swali
Unapatikana wapi
Wipi krim ipoje !?
Material yanapatikana wap km hayo ya mwisho
Hiyo ni kwaajil ya nyumbaniBiashara izo lambalamba ni mia mia ayo mahitaji gharama yake Bado umeme , faida unakujaje
Samahani naomba namba zako
Je kuna mbadala wa hiyo wiping cream?
Cmc ipo
Cmc unachanganya kama ulivyo changanya whipping
Kisha mtu auzaje zitakua ghali
Tengeza mwenyewe
👌👌samahani dada hiyo whipped cream ina bei gan??
16,000 kilo
Whipe cream ndio ipi kiswahili au ni cornflour
nashkuru sana kwa elimu yako,nitaanza kufanya za biashara,pia naomba upost ile video ya mtindi na ice cream ya mashine ile ya ramba ramba
Okay karibu
Mi nauliza bei ya hiyo friza, I mean standup freezer. Kwa lita 225
Ubarikiwe sana allah atakulipa mm nishabik wako hatar kila nikifata maelekezo yako mambo yanakua tik hatar❤❤
Mungu akuzidishie Mara 100, elimu hii naamini inawainua wengi kimaisha, barikiwa mpaka ushangae
Mashallah very nice asante
Mashaallah mwenyenzimungu akuzidishie kazi za mikono yako
Kazi safi sanaa imenipendeza Sana
Asante sana kwa darasa zuri nami nitafanya,vikopo hivyo vinapatikana wapi?
Nimeipenda hiyo be blessed my dear
Karibu
Ma sha Allah
Ahsante sana
❤❤❤
Barikiwa sana
Vizuri
Hongera kwa kutupa somo zuri,hivyo vijiti naweza vipata wapi?
Weaping cflower ndio nini conflower au maelekezo pleasse
Weaped cream ndo nn
Nzuri Sana, Asante kwa Hilo🙏🙏😋😋
Asante mziwanda,, Mungu akutunze
Amiin 🙏
Asante sana dada nataka niwe mjasriamal
Safi sana
Naomba pia tuonyeshe kwa kutumia cmc.
Hiyo flavor ndo vanilla au????
Barikiwa kipenzi.
Umepimia ladha gani dia. Bei gani uzwa
Ladha tumia itakayokupendeza ,sana huwa vanilla na strawberry
Mshine inauzwaje?
Habari mpnz mm naomba unifundishe ice creem za kifuko za mia 2
Ipo video yake jinsi yaKutengeza barafu za naziwa
What is the size of those cups you are using please
125mm
Nashukuru sana
Naomba kujua vijiti ni bei gana naweza pata wapi
Vijiti ni 1000 vinakaa 100
Masokoni vipo tu
@@mziwandabakers8297 shukran habbty
Iyo crim ya kwanza umeweka nini ni nini
Sijaelewa swali
Unapatikana wapi
Wipi krim ipoje !?
Material yanapatikana wap km hayo ya mwisho
Hiyo ni kwaajil ya nyumbani
Biashara izo lambalamba ni mia mia ayo mahitaji gharama yake Bado umeme , faida unakujaje