FAHAMU:Utengenezaji wa Azam Ukwaju Ice Lolly hufanyika hivi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Azam Ukwaju Ice Lolly zimepata umaarufu mkubwa kwa wateja kote nchini Tanzania na nje ya nchi.Bidhaa hii inayotumia ukwaju halisi inapendwa na watoto pamoja na wakubwa, inatumia ukwaju halisi kabisa. Lakini huenda unajiuliza ukwaju chapa Azam hupitia hatua zipi kuanzia mwanzo hadi mwisho katika kiwanda cha Bakhresa Food Products? Tazama hapa uone hatua zote hadi ukwaju unapoingia mtaani.
#UkwajuIceCream #SSB #BakhresaFoodProducts #MagomeniIceCream #UkwajuIceLolly #bakhresa
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz - แนวปฏิบัติและการใช้ชีวิต
Fantastic, I'm amang of customer of ukwaju suplayer. I like this product and my customer s
Hongeni sana
Geita gold mine
Asante
Ukwaju ni miongoni mwa bidhaa pendwa kutoka azam japo kuwa wapinzani wanajaribu kukopy
Azam hongereni kwa ubunifu mkubwa. Ukwaju ulikuwa zao pori tu sasa uchumi. Okoa mananasi ya Dar kwa kutengeneza syrup.
mimi nina ombo kama mnanunua tikiti maji nisaidie namba ya sim maana nimelima tikti kama mungu atasaidia naweza kuvuna tani 8 au 10 nipo kaliua
Huyu MKENYA VP KWANI HAMNA MTANZANIA MWENYE SIFA KWENYE HIYO POSITION
Naombeni namba kaka
Nosaidie namba zenu
😋😋
nakereka ukisema KITAALAMU kumbe ni KINGEREZA tu