Asante sana dada nimejifunza kitu hapo,nilikuwanatamani Sana na mimi nijuebkutengeneza barafu za ubuyu , thanks very much Madam,nitaendelea kukufuatilia niendelee kujifunzab zaidi
Shukran M/mungu akusameh madhambi yako yasiri na dhahiri namm pia M/mungu anisameh pia.. Sina chakukulipa zaidi hiyo duwa.. Kwan kupunguwa kwadhambi ndio huwend M/mungu akatufanyia wepes mambo yetu
Niko na freezer 4 wima mda mrefu bila kazi... ALLAH akinwezesha zitantambua.asante.. nikama umetolewa sumu si wengi walo na moyo kama wako.ALLAH ibarik Duniani na akhera
Ahsante najifunza, sana dada daima utabaki kuwa juu, smhn nauliza ktk utengenezaji wa Ice cream au barafu ni lazima kutumia Tylose( kilainishi) au sio lazima?
@@mziwandabakers8297 ahsante mno maa Mungu azidi kukuinua ktk viwango vya juu, uzidi kuwa na Moyo Wa kushare na sisi Kwa kile unachokijua wewe. Ubarikiwe Namaanisha kutoka rohoni
Shukrun sana na Mm nimeanza biashara yngu, lkn tatizo kwenye sukari inakua ndogo hadi niweke gr 400 ndio inakua sw, kemikol inakua ni gr ngapi nangojea Ya ukwaju 😋
Assalam aleikum cmckwahuku mombasa Una shida kwa huko kama kuipata ni wepesi kama naeza pata na freezer n bei ngap mmi niko mombasa kunifikia haitakua tabu
Asante sana dada nimejifunza kitu hapo,nilikuwanatamani Sana na mimi nijuebkutengeneza barafu za ubuyu , thanks very much Madam,nitaendelea kukufuatilia niendelee kujifunzab zaidi
Asante sana dada nimeelewa sasa
Asante sana kwa kazi nzuri nimejifunza
Hicho kilainishi nakiulziaje dukani?
Tyrose
Asante nimejifunza
Mungu akubari sn nimefata maelekezo barafu nzr👌 tamu balaaa 😚
Asante sanaa Mungu akubariki...nimeweza kusoma kutoka kwako
Amiin
Asante dada Kwa upendo wako
Ahsante Dada unatufunza wengi
a tip: watch series at flixzone. Been using it for watching loads of movies during the lockdown.
@Kendrick Elliott definitely, I have been watching on Flixzone for since november myself :D
Asante mnauza Bei gan
Masha'allah nimependa
Asante dada kwa maelezo mazuri
Kama una blender saga kilainishi utarahisisha kazi
Unasagaje dear
ah safi sanaaaa
Asante sana umeniongezea ujuzi, nitafanya biashara.
Uko vizuri sana nakukubali
Asante Sana kwa darasa.
❤❤
Thank you for your good training. What is bawbaw powder or substitute
Asante sana ngoja nijaribu ntakupa mlejesho
Nausubiri dear
uko vizuri mwalimu
Asante kwa somo zuri
Dada unajua kufundisha nimejua kupika vitumbua Asante nashukuru
kaz nzuri
Video zako zote ni nzuri sana. Keep up
Hongera sana 👍👍👍👍👍👌
Shukran M/mungu akusameh madhambi yako yasiri na dhahiri namm pia M/mungu anisameh pia.. Sina chakukulipa zaidi hiyo duwa.. Kwan kupunguwa kwadhambi ndio huwend M/mungu akatufanyia wepes mambo yetu
Amiin Yaa Rabb, 🙏🙏🙏🙏
@@mziwandabakers8297 barikiwa mnoo madam wangu kipenzi
Asante sana
Mmh!? Uko vizuri
Shukran karibu
Mungu akupe pepo inshallah
Asante
Niko na freezer 4 wima mda mrefu bila kazi... ALLAH akinwezesha zitantambua.asante.. nikama umetolewa sumu si wengi walo na moyo kama wako.ALLAH ibarik Duniani na akhera
Amiin Yaa Rabb, Allah akusimamie ufanyie kazi hizo freeze pleaseee
Good job
Asalam aleyku Dada naomba nifundishe kutengezeza chokstik za maziwa na karanga jazakah lah kheri
Nimependa sanaa
Nimeipenda asante
Shukran karibu
Honger, lakn hicho kilainishi kinapatikanaje
Alikujibu icho kilainishi kinauzwa wapi na maduka gani
Ajira kiganjan...asante
Safi sana
Asante dada unantupa mwangaza mzuri
Asante sana kwa haya masomo Mungu azid kukubariki..plz video ya maandazi ya biashara
Shukran nitaifanya pia
I'm Metumia sukari tu au na keikei
Mbona maji yalikuwa lt5 lkn yamejaza ndoo???
Ubarikiwe kipenzi Mimi ninaanza Leo inshaallah
🤝🤝💪💪
@@mziwandabakers8297 maji umetumia ya baridi
@@mziwandabakers8297 dada nashida na wewe
Nimeipenda
MashaaAllah mpx video zako zote zinanivutia na unafundisha makini mungu akuongezee ujuxi zaidi🙏
Nakupenda unavofindisha vipimo ungetuelewesha kwa nusu au kilo
Asantee mamy kwa mafuzo
Nimeipenda dada video Yako umetoa maelekezo Kwa lugha fasaa kbs
Maa shaa Allah! Uko vzr sn, nataman kuona juisi ya tende na maziwa kutoka kwako😋
😋😋😋
Hii nimependa
Mziwanda you're make perfect
Thank you
Shukran asante
Thanks mumy👏
asante kwa darasa nzuri linalotuelimisha vifaa vinapatikana wapi hasa cmc
Maduka yenye vifaa vya keki
Amna usichojua I love u
Love you more🥰🥰
Hi hv mtaj n shngap w hzo za ubuy
Kuanzia 8000
Mashaallah 😝👌
Dada kwa maji Lita 5 umetumia sukari kiasi gani na unga wa ubuyu kiasi gani
Asante kwa elimu nzuri na video zako zote nzuri. Wadau wa Mwanzaa, nisaidieni napata wapi CMC?
Maduka ya vitu vyakutengenezea km ice cream cakes
@afarahi Kassim Asante dear
Kuna duka stendi ya dampo utapata hapo
Dada ahsante sana
Habar, napta wp vikopo vya lambalamba used
Ubarikiwe Sana dada kwa elimu. Kilainishi kinapatikana wapi dada
Kinapatika kwenye maduka ya keki
Sokoni au supermarket omba cmc ya kutengenezea barafu
Asante nimejifunza ila cmc kipimo cha lita tano please
Unafundisha vizuri mno
🤝❤
🙏🥰
Naomba kujuwa hizo juice cola za majag zinapatkana wap kwa hapa dr
Asante Sana hizo ladha za juice cola unaweza kuweka kwenye maziwa
Waweza
Dada nilipoteza namba yako nashida sana nawewe plz dada naomba namba
Nimeipend sana asant my
Nice
Hiko kilainishi nikienda dukani nakiuliziaje au kinaitwaje
Maji
Kl
Ice cream powder Ni unga gani?
Iyo tylose inauzwa bei gan Dada?
Thanks mnoo
Naomba mnisaidie kupata freezer ya kugandisha barafu
Naomba namba yako...kwamafunzo nakujua vitu navipataje
habar.. cjaelewa hyo CMC
Ahsante najifunza, sana dada daima utabaki kuwa juu, smhn nauliza ktk utengenezaji wa Ice cream au barafu ni lazima kutumia Tylose( kilainishi) au sio lazima?
Shukran,ni muhimu inasaidia sana kuzifanya laini
@@mziwandabakers8297 ahsante mno maa Mungu azidi kukuinua ktk viwango vya juu, uzidi kuwa na Moyo Wa kushare na sisi Kwa kile unachokijua wewe. Ubarikiwe Namaanisha kutoka rohoni
@@dionisiajonas6305 Amiin shukran sana
👍👍👍 hy cmc inapatikana wap? My dear
Maduka ya vifaa vya keki
Sehemu gani
Naitaji kuwa mwanafunzi wako dada
Ni nzuri
Nashukuru nimejifunza kitu, ila icho kilainishi dukani naulizaje yaani jina lake.
Tyrose ...cmc
Asante dada
Ameen
Jina la kirainishi
Iyo tailozi siijui
Fika duka la vifaa vya keki utapata naimani
Dada samahani kilainishi kinapatika wap duka la vyakula au na jee bila kilainishi haitafaa
Shukrun sana na Mm nimeanza biashara yngu, lkn tatizo kwenye sukari inakua ndogo hadi niweke gr 400 ndio inakua sw, kemikol inakua ni gr ngapi nangojea Ya ukwaju 😋
Kemikol pkt2 ni utamu wa 2ltrs za maji
jamani nzuri mno. freeza km hiyo mnauzaje? Nina shida na freeza ya wima. yaani kuanzia juu mpaka chini
Barikiwa mnoo
Hicho kilainishi ni kipi?
Unauzaje freezer
Mashallah nzuri sana. Lakini unga wa ubuyu umenunu 500/ na umetoa barafu 65 pekee iko faida kweli
Ubuyu 500,sukari 700,vingine 1500,umeme 1000 jumla 3700 unabaki na 2800 toa hiyo 800 baki na pesa 2000 inatosha sana kwa Biashara kuwa ni faida mob
Shukran nauliza hio tylose inapatikana wapii au maduka gani
Maduka ya vifaa vya keki
Friza mnauzaje?
HIZO FREEZER SHINGP MNAUZA?
Thank u
Kilainishi kinanapatika wapi dad
cmc inapatika maduka gani?
bei yk pia
Kilainishi cha patikana wapi
Thanks na kilainishii vinapatikana wapi
Sokon kweny duka za vimfuko vya barafu
Naomba msaada wa namba yako nipate elimu zaidi
Bei za firiji na aina ya friji naomba kujua
Kilainishi ni kitu ganihicho?
Nzur
Assalam aleikum cmckwahuku mombasa Una shida kwa huko kama kuipata ni wepesi kama naeza pata na freezer n bei ngap mmi niko mombasa kunifikia haitakua tabu
Cmc kwa huku mombasa ulizia ni Unga wa ice cream ndo hutumika kwa milk sheak kuwa nzito Marikiti wapata Hatha mimi nimenunua huko
Saman dada apo sijaelewa kilainishi hicho ni Nini na ukienda dukan kukinunua nitumie lunga Gani ili nikipate Kwa uepesi zaid