ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Imependeza sana
Hongera cake imeiva vizuri
Blueband kiasi gani n skari kiasii ganii dadaaa
Fantastic I love it ❤ 💕 💖 💖 💝
Hongera Da Helliet
Mashalah unajua kufunzaaa
Hongera sana teacher mzuri sana
Nzuri,hivi naweza weka vinegar au maji ya limao kwenye keki?
Je,kama huna machine ya kukorogea blue band. Utatumia nini
Mwiko
Hi.. Could you please add English subtitles... As we all don't understand Swahili.. Thank u
Samahani kuuliza siujinga bruband ndosiagi au tafadhali mnijuze
Ndyo mpendwa
Naomba kujifunza
Ubarikiwe bidada unafundisha vzr
Unga hujachuja
Wow Nzurii inaeleweka
Kucha za mpishi Sasa uwiii
Nilazima iwe sukari nyeupe au yoyote nisawa Tu?
Cake lazima Tu itakuwa tamu maana huo mkao Tu balaaa 😋😋🤣🙌🙌
nassr almaawali 😂😂😂😂acha uchocheziii
Zukra John mhhhh mwenzangu 🤣🤣🤣🙌
nassr almaawali 😂😂😂nami nipewe lol
Zukra John we umeuona huwo mkao au 🤣🤣🤣🤣😁😁
Zukra John alafu eti cake inapikwa na chumvi au veeeep maana sielewi 🙆🙆?
Waaaahhh toooo much Eggs
Asante kwa kutufundisha kupika keki!! ila hiyo Lemon ungetuonyesha jinsi ulivyo ikwangua!!
Nimependa Jinx yajupka kek
Aaah Tumia kile kikwangulio cha Tangawizi au nyanya kwa kutumia marundu madogo kabisa
Kweli keki ni nzuri washauri watu watumia juice ya malimao au machungwa maji usipendelee sana au maziwa
Jaman na mm nataman kujua
Pia badili ya maji ungeweza kuweka maji ya ndimu ili upate fresh lime taste....mie huwa nafanya hivyo kwa lemon,orange na flavour nyingine
Àmazing
very nice
Hujataja baking poda ni vijiko vingapi na saizi gani ya kijiko - cha chai au chakula?.
Betty Massanja kasema vijiko 3
Scholastica Jackson, vijiko saizi ipi, ndilo swali langu!
@@bettymassanja881 vijiko vidogo
unga hujasema nikias Gani ,
Hongera sana
Mbona kucha ndefu na ninavyojua kucha ndef zinatunza uchafu sikunyingine ukitaka kuandaa kutu chcht Kara kucha ila nice
Auna group watsapp uningw
Naomba Namba yako hili nije unifundishe nijuwe
wooooooow
Kucha Dada duuuuuu ukate kwakweri
Sawa ingawa mkologaji hana kucha
Waooooo keki nxr cn
Nice
Nataka nijuwe na mm
Tuma vipimo vya kuweka ili tusije kuzidisha au kupunguza ikawa mbaya
Kucha chafu sana tena mkono wa mavi yaani umeboa sana na hio mipaja nayoulivojichanua jifundishe stara
Nai
Habar Mamy,mie nikipika haichambuki,, asa nashndwa kuelewa ktk kipimo cha backing powder & maziwa ,,,, unaweka kias gan ktk unga wa robo?
Zulekha ceki ya robo weka sukari robo kila kitu robo Ila baking powder kijiko kimoja cha chakula kwa cake robo maziwa pia robo
Maisara Hakizimana maziwa robo ni mangapi??
Baking powder uliweka vijiko 3 lakini hujasema kama nivikubwa au vidogo
Unga gl 600 umetumia kipimo gani maana hujaonyesha kipimo
iko chombo cha kupikia mbona hujakielezeaa,au unachukua unawekaa tuu,ikigandaa jee
Hi Magreth Karibu sana kwenye Channel yangu..Usisahau Ku-Subscribe & Share ❤️
Alitakiwa afanyaje tusije kutoa boko, mbona hajaweka hamira au hamira hamuwekagi
Unawaza tummia sukari nyekundu na kutumia Jiko la mkaa kama Sina oven?
Unaweza
Asant kwa somo zuri
Asante. Namba ya cmu please .. ckuipata = =
Hicho chombo cha kuokea keki hujapaka chochote..??
Steven Kambey Tz
Hiko chombo cha kupikia unakipaka mafuta kabla hujamimina huo mchanganyiko? Na ukitumia jiko lenye namba unaweka moto namba ngapi?
Anny Onesmo unapaka kwanza mafuta ndipo unamimina
Anny Onesmo unapaka blueband
Mwanishudu
Asante kwakutufundisha lakini video inakelele Sana, napataje no yako
Nataka kujua kusuka vitunguu vya rasta vya kusokota
Mmh kucha hizo umetuchefua na mkao mipaja yote nnje sikunyingine vaa apron na suruali usafi ni muhimu kwenye mapishi
vp unaweza tumia jiko la kuni au mkaa kuokea
Diana Nindi unaweza kama unavifaa vyakutosha namanisha masufuria
Diana Nindi h
oky sawa
Diana Nindi
Bruband mbn nyng sana
Ingekuwa nyingi cake ingetoka na kasoro
Why uweke chumvi wakati prestige ina chumvi
Nimeweka kwa kuongeza tu
coz inaleta ladha
Melissa Ruge mamboz
Melissa Ruge hapo chacha
@@heriethynzee3562 ur answer is unreasonable
Asante
vip kama haauna mashine unattumia nn kukorooga??
Never Nicodem unatumia mwiko
Asante sana kwa somo na nilijarbu nikaweza God bless u much
@@nevernicodem8420 asante kwa kushukuru mamy
😳mbn uweka chumv
Inaleta taste nzr ukichanganya chumvi kdg na sukari
Jaman mbona me nimepika lkn aijachambuka na nimeoka na jiko lamkaa dk 40
Vipimo vyako vilikuwaje?
chumvi ya nin kwenye cake ovyo
Upishi unatofautiana mpenzi na ukila ni rofauti na cake nyingine
Pia chumvi inawekwa kuneutralize ule utamu wa sukari.
Wengine wanaeka
Daah japo 2yrs ago ila hyu dada kanichekesha eti chumvi ya nn🤣🤣🤣🤣 i hope by now ushajua mapishi ya cake mpnz
Asante kwa somo
Kek hawawekihamila
Haiwekwi hamira cake
mimi Nauliza kwa nini ninavyopika keki katikati haichambuki? je nakosea wapi wakati nafata maelekezo yako?
Jacky Richard cake kutochambuka inaelekea umepunja Sana na pia kingine wakat wa kuoka Cake yako usiifunue mpaka ule muda ufke wa dk 40 au 30..inategemea umetumia jiko gan kuoka Cake yako
Jacky Richard umepunja Sana baking powder
Changanya vizuri
Na je kama sina hyo oven?!
he unaweza kutumia vanilla ya unga
Jonathani Mrosso
Ndio inawezekana
Sukari ilikuwa icing sugar
Sukar nyeupe sio icing sugar sawaa
Hiyo ujazo unaweza kutoa keki ngapi ,za inch 10
Keki ya maziwa
mbona hujaweka vipimo
je ukitaka kuidecorate unafanyaje,?
Iyo kijani ndio nn jaman
Salama khamis Ali maganda ya ndimu yaliyo blendiwa
Ni maganda ya ndimu nimekwqngua
Kucha uchafu
Napika lakini haichambuki kwa nn
Uko.wap.tujifunze
mnajitahidi
Siku nyingine ukate kucha
Mmmmh jaman wewe
Tuma vipimo tafathalini yaonesha tamu
🤗👍
kama unga nusu mayai ni mangp
Je kama sina hyo hand machine inakuaje?!
Hanifa Michael unatumia mwiko
Unakoroga na mwiko
Unaeza tumia brenda???
Dah mafunzo yako vema
mwaaaa
Video ina kelele,wapambe wanaongea ongeeeaBe professional
Mbona nimejaribu kuweka maganga ya limao maana ya ndimu nilikosa keki imekuwa ya uchungu mpendwa
Asante nitalekebisha
@@heriethynzee3562 dada naitaj namba yako
Je ukitumia jiko la mkaa
eeee
unapatkana wp
Tuelekeze jinsi ya kuiremba basi
Hi Richness nimependa unavyoelezea vizuri sana! karibu sana kwenye Channel yangu❤️!th-cam.com/channels/N6h3CBs_UNfGzfCSlhma_g.html
Imependeza sana
Hongera cake imeiva vizuri
Blueband kiasi gani n skari kiasii ganii dadaaa
Fantastic I love it ❤ 💕 💖 💖 💝
Hongera Da Helliet
Mashalah unajua kufunzaaa
Hongera sana teacher mzuri sana
Nzuri,hivi naweza weka vinegar au maji ya limao kwenye keki?
Je,kama huna machine ya kukorogea blue band. Utatumia nini
Mwiko
Hi.. Could you please add English subtitles... As we all don't understand Swahili.. Thank u
Samahani kuuliza siujinga bruband ndosiagi au tafadhali mnijuze
Ndyo mpendwa
Naomba kujifunza
Ubarikiwe bidada unafundisha vzr
Unga hujachuja
Wow Nzurii inaeleweka
Kucha za mpishi Sasa uwiii
Nilazima iwe sukari nyeupe au yoyote nisawa Tu?
Cake lazima Tu itakuwa tamu maana huo mkao Tu balaaa 😋😋🤣🙌🙌
nassr almaawali 😂😂😂😂acha uchocheziii
Zukra John mhhhh mwenzangu 🤣🤣🤣🙌
nassr almaawali 😂😂😂nami nipewe lol
Zukra John we umeuona huwo mkao au 🤣🤣🤣🤣😁😁
Zukra John alafu eti cake inapikwa na chumvi au veeeep maana sielewi 🙆🙆?
Waaaahhh toooo much Eggs
Asante kwa kutufundisha kupika keki!! ila hiyo Lemon ungetuonyesha jinsi ulivyo ikwangua!!
Nimependa Jinx yajupka kek
Aaah Tumia kile kikwangulio cha Tangawizi au nyanya kwa kutumia marundu madogo kabisa
Kweli keki ni nzuri washauri watu watumia juice ya malimao au machungwa maji usipendelee sana au maziwa
Jaman na mm nataman kujua
Pia badili ya maji ungeweza kuweka maji ya ndimu ili upate fresh lime taste....mie huwa nafanya hivyo kwa lemon,orange na flavour nyingine
Àmazing
very nice
Hujataja baking poda ni vijiko vingapi na saizi gani ya kijiko - cha chai au chakula?.
Betty Massanja kasema vijiko 3
Scholastica Jackson, vijiko saizi ipi, ndilo swali langu!
@@bettymassanja881 vijiko vidogo
unga hujasema nikias Gani ,
Hongera sana
Mbona kucha ndefu na ninavyojua kucha ndef zinatunza uchafu sikunyingine ukitaka kuandaa kutu chcht Kara kucha ila nice
Auna group watsapp uningw
Naomba Namba yako hili nije unifundishe nijuwe
wooooooow
Kucha Dada duuuuuu ukate kwakweri
Sawa ingawa mkologaji hana kucha
Waooooo keki nxr cn
Nice
Nataka nijuwe na mm
Tuma vipimo vya kuweka ili tusije kuzidisha au kupunguza ikawa mbaya
Kucha chafu sana tena mkono wa mavi yaani umeboa sana na hio mipaja nayoulivojichanua jifundishe stara
Nai
Habar Mamy,mie nikipika haichambuki,, asa nashndwa kuelewa ktk kipimo cha backing powder & maziwa ,,,, unaweka kias gan ktk unga wa robo?
Zulekha ceki ya robo weka sukari robo kila kitu robo Ila baking powder kijiko kimoja cha chakula kwa cake robo maziwa pia robo
Maisara Hakizimana maziwa robo ni mangapi??
Baking powder uliweka vijiko 3 lakini hujasema kama nivikubwa au vidogo
Unga gl 600 umetumia kipimo gani maana hujaonyesha kipimo
iko chombo cha kupikia mbona hujakielezeaa,au unachukua unawekaa tuu,ikigandaa jee
Hi Magreth Karibu sana kwenye Channel yangu..
Usisahau Ku-Subscribe & Share ❤️
Alitakiwa afanyaje tusije kutoa boko, mbona hajaweka hamira au hamira hamuwekagi
Unawaza tummia sukari nyekundu na kutumia Jiko la mkaa kama Sina oven?
Unaweza
Asant kwa somo zuri
Asante. Namba ya cmu please .. ckuipata = =
Hicho chombo cha kuokea keki hujapaka chochote..??
Steven Kambey Tz
Hiko chombo cha kupikia unakipaka mafuta kabla hujamimina huo mchanganyiko? Na ukitumia jiko lenye namba unaweka moto namba ngapi?
Anny Onesmo unapaka kwanza mafuta ndipo unamimina
Anny Onesmo unapaka blueband
Mwanishudu
Asante kwakutufundisha lakini video inakelele Sana, napataje no yako
Nataka kujua kusuka vitunguu vya rasta vya kusokota
Mmh kucha hizo umetuchefua na mkao mipaja yote nnje sikunyingine vaa apron na suruali usafi ni muhimu kwenye mapishi
vp unaweza tumia jiko la kuni au mkaa kuokea
Diana Nindi unaweza kama unavifaa vyakutosha namanisha masufuria
Diana Nindi h
oky sawa
Diana Nindi
Bruband mbn nyng sana
Ingekuwa nyingi cake ingetoka na kasoro
Why uweke chumvi wakati prestige ina chumvi
Nimeweka kwa kuongeza tu
coz inaleta ladha
Melissa Ruge
mamboz
Melissa Ruge hapo chacha
@@heriethynzee3562 ur answer is unreasonable
Asante
vip kama haauna mashine unattumia nn kukorooga??
Never Nicodem unatumia mwiko
Asante sana kwa somo na nilijarbu nikaweza God bless u much
@@nevernicodem8420 asante kwa kushukuru mamy
😳mbn uweka chumv
Inaleta taste nzr ukichanganya chumvi kdg na sukari
Jaman mbona me nimepika lkn aijachambuka na nimeoka na jiko lamkaa dk 40
Vipimo vyako vilikuwaje?
chumvi ya nin kwenye cake ovyo
Upishi unatofautiana mpenzi na ukila ni rofauti na cake nyingine
Pia chumvi inawekwa kuneutralize ule utamu wa sukari.
Wengine wanaeka
Daah japo 2yrs ago ila hyu dada kanichekesha eti chumvi ya nn🤣🤣🤣🤣 i hope by now ushajua mapishi ya cake mpnz
Asante kwa somo
Kek hawawekihamila
Haiwekwi hamira cake
mimi Nauliza kwa nini ninavyopika keki katikati haichambuki? je nakosea wapi wakati nafata maelekezo yako?
Jacky Richard cake kutochambuka inaelekea umepunja Sana na pia kingine wakat wa kuoka Cake yako usiifunue mpaka ule muda ufke wa dk 40 au 30..inategemea umetumia jiko gan kuoka Cake yako
Jacky Richard umepunja Sana baking powder
Changanya vizuri
Na je kama sina hyo oven?!
he unaweza kutumia vanilla ya unga
Jonathani Mrosso
Ndio inawezekana
Sukari ilikuwa icing sugar
Sukar nyeupe sio icing sugar sawaa
Hiyo ujazo unaweza kutoa keki ngapi ,za inch 10
Keki ya maziwa
mbona hujaweka vipimo
je ukitaka kuidecorate unafanyaje,?
Iyo kijani ndio nn jaman
Salama khamis Ali maganda ya ndimu yaliyo blendiwa
Ni maganda ya ndimu nimekwqngua
Kucha uchafu
Napika lakini haichambuki kwa nn
Uko.wap.tujifunze
mnajitahidi
Siku nyingine ukate kucha
Mmmmh jaman wewe
Tuma vipimo tafathalini yaonesha tamu
🤗👍
kama unga nusu mayai ni mangp
Je kama sina hyo hand machine inakuaje?!
Hanifa Michael unatumia mwiko
Unakoroga na mwiko
Unaeza tumia brenda???
Dah mafunzo yako vema
mwaaaa
Video ina kelele,wapambe wanaongea ongeeea
Be professional
Mbona nimejaribu kuweka maganga ya limao maana ya ndimu nilikosa keki imekuwa ya uchungu mpendwa
Asante nitalekebisha
@@heriethynzee3562 dada naitaj namba yako
Je ukitumia jiko la mkaa
eeee
unapatkana wp
Tuelekeze jinsi ya kuiremba basi
Hi Richness nimependa unavyoelezea vizuri sana!
karibu sana kwenye Channel yangu❤️!
th-cam.com/channels/N6h3CBs_UNfGzfCSlhma_g.html