KUMEKUCHA KWA MARAYAKWANZA RAIS MWINYI UZINDUZI MELI YA MAKONTENA MKOANI PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 131

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo หลายเดือนก่อน +1

    ALLAAHU Akubarik Rais wetu aendelee kukupa tawfiq

  • @jokhasaid429
    @jokhasaid429 หลายเดือนก่อน

    Hongera mheshimiwa Hussen Mwinyi

  • @tushutv8611
    @tushutv8611 หลายเดือนก่อน +3

    Alhamdulillah naamn Pemba sas inaend kuimarika

    • @KhatibKhatsaal
      @KhatibKhatsaal หลายเดือนก่อน

      Mwenye macho haambiwi tazama 🤣🤣🤣

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln หลายเดือนก่อน

    Safi sana kiongoz

  • @RidhiwaniKombo-k4f
    @RidhiwaniKombo-k4f หลายเดือนก่อน

    Hongera Dr mwinyi 5 kwako ni lazima ili tufike mbali zaidi

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 หลายเดือนก่อน +1

    Mwinyi oyeeeeeee❤❤❤❤

  • @dulaomar5537
    @dulaomar5537 หลายเดือนก่อน +3

    Hatutaki Jango la Abiria tunahitsji barabara chake mkoani

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 หลายเดือนก่อน

      Naam

    • @JCMaxima
      @JCMaxima หลายเดือนก่อน

      Hamtaki jengo la abiria 🤔??? Kweli??? Mmelogwa! 😅😅😅😅

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 หลายเดือนก่อน +1

    Mwinyi Tena ❤❤❤❤❤

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😅😅😅😅kwanz nicheke bandari kwele jamn hiv kumbe sisi baado niwajinga mno eti

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil หลายเดือนก่อน

    Raisi mungu akubariki

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 หลายเดือนก่อน

    Nje ya nchi [ mombasa kenya ]

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p หลายเดือนก่อน +4

    Hebu musitutanie jengeni hio bandari kwanza au hilo kontena mutalisgusha kwenye hayo maji ya bahari

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 หลายเดือนก่อน

      @@mukhtaromar-g5p bora kuliko za kuliko ku judge usichokijua Kwan ww ulisha wahi kuona sehemu ya kushusha pakawekwa makontena

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamadfaki7625 ww hujui kitu nyamaza

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x หลายเดือนก่อน +1

    Barabara Tuu imewashinda mkoani chake hakuna llte

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu ndo mh mwinyi mtajua kama hamjui huyu kalelewa na Mzee wa hapa kazi TU ,, kalelewa na Mzee wa masoga Mzee wa siasa lakini kapita mikono mingi anajua na atatuvusha NDANI ya muda mfupi makubwa makubwa sana ameyafanya ,, iwe Jua iwe mvua yeye ndo rais Tena 5 years panapimajaaliwa

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff หลายเดือนก่อน

      Allah akuzidishie hekma ktk uongozi wako. Wapo wanokebehi wapemba inauma kwa cc wapemba lkn ALLAH ni mkubwa. Malika wa mtu mtu ALLAH kakuleta
      Rekebisha na njaa kwa wengi wetu. Tunashukuru MW MUNGU .ALLAH akuzidishie kekma

  • @YassirRashidjuma
    @YassirRashidjuma หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab หลายเดือนก่อน +1

    Soon Waunguja wote tunakwenda zetu Pemba kuanza maisha mapya tunawaachia Unguja wakae wao maana wanakimbia kwao wanakwenda Unguja so tutawaachia soon InshaAllah nitakwenda kutafuta kiwanja changu Makangale huko au kojani nijenge bonge la mjengo kisha nioe mtoto wa kipemba kama hawatonibagua then natulia zangu Pemba mjuba

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 หลายเดือนก่อน

      @@R10_Rajab karbu pemba hakuna ubaguz

    • @dashuu5295
      @dashuu5295 หลายเดือนก่อน

      We mwenyeo unazungumza kiubaguz alaff tusskubague vip mwenetu hatukupi😂😂😂

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 หลายเดือนก่อน

      Ww Wala usihangaike kama unautaka njoo tutakulea

    • @AaAa-vm8bb
      @AaAa-vm8bb หลายเดือนก่อน

      Na chupa tutamnyonyesha

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln หลายเดือนก่อน

      Hujaeleweka

  • @Hamil-ud7yw
    @Hamil-ud7yw หลายเดือนก่อน

    Iyo baranara ipo ya kubebea mizgo vituko ivi kontener 1 la mapembe kwa pemba tutakula miaka 5

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona mumeifungua unguja lkn costs of living ni kubwa kuliko kuliko!! Yaani huamini kama vile hakuna viongozi

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 หลายเดือนก่อน

    Meli ya makontena au kimeli cha makontena😊

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid หลายเดือนก่อน +3

    Tutaona km itakuwa rahisi ndio tunavyomba isijekua yashushwa hapa ikawa hali kw makodi

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p หลายเดือนก่อน +3

    Suali langu jamani hilo kontena litakaa wapi. Kwenye tuta hilo mana mm sioni bandari ya kontea. Hapo kiukwel

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 หลายเดือนก่อน

      @@mukhtaromar-g5p pale tuna shusha natunaweka palipokua na stand ya zaman ndio mana stand imeondilewa kwalengo lakueka makontena

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamadfaki7625 stand ya zamani unapajua ww hujui mkoani pale hapana stand Ile ni Baarbara

    • @salma0000
      @salma0000 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamadfaki7625ndio maana magari hayaruhusiwi kushusha wasafiri bandarini, nchi haimalizi mateso

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman หลายเดือนก่อน

      @@mukhtaromar-g5p kati ya contena na stand watu wakapata urahisi wa kupanda gari bora nini. Kwann wasiweke contena kipitacho ili kuwa rahisishia wasafiri kupada gari pale.

    • @tnt5965
      @tnt5965 หลายเดือนก่อน

      Ungemsikiliza kwanza raisi .usikuruouke

  • @MahmoudAli-rs5mi
    @MahmoudAli-rs5mi หลายเดือนก่อน

    NAAOMBA AKAE URAIS MPAKA AFE NIMTU MUHIM SANA

  • @drabdi6806
    @drabdi6806 หลายเดือนก่อน

    pemba hakuna watu wengi biashara ngumu sana kutokana na mzunguko wa watu mdogo sana

  • @allymaha-tv5lf
    @allymaha-tv5lf หลายเดือนก่อน +3

    Picha nyengine na ujenzi. Tuta mtawadanganya hao hao vifuu tundu waliokuwa hawajatoka nje ya bara la Africa na kuziona bandari shenzi types

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln หลายเดือนก่อน

      Acha chuki ww nyie ndio mlokua hamsapoti maendeleo ya nchi

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 หลายเดือนก่อน

      Kuna maendeleo Gani?? Ila maisha ni magumu sana mpaka karaha!!

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 หลายเดือนก่อน

      Naam!!

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 หลายเดือนก่อน

    Hizo ni kampeni tuu!! Labda muje na vikontena viwili

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 หลายเดือนก่อน

    Aloleta maendeleo ni pemba ni salmini amuri ,maana angekuepo hadi leo hata zile nyumba za karume za pemba angezivunja

  • @jumamohamed3168
    @jumamohamed3168 หลายเดือนก่อน

    Binafsi nashangaa sana mambo madogo lakini munataka kuwaaminisha watu kuwa munafanya mambo makubwa ya kimaendeleo wakati nyinyi CCM ndio mumeyachelewesha hayo maendeleo ,Zanzibar haikupaswa kuwa na Bandari ya kisanii kama hiyo .kwasababu Pemba ni kisiwa na jambo la kwanza ilipaswa kujengwa bandari ya kisasa kwa sababu Bandari ndio njia kuu ya kufikia kwenye kisiwa .Munafanya kama watu wazima ni watoto wadogo.kwa kisiwa kikubwa kama Pemba hio Bandari haiendani kabisa tuwe wakweli CCM mumeifanya Zanzibar kupitwa kimaendeleo na visiwa vidogo vidogo tu kama vile Sishells ,Maldiv na nk. Zanzibar kijografia yake na Rasilimali zake hamujatutendea haki kiukweli.

  • @AhmedShaame-f1d
    @AhmedShaame-f1d หลายเดือนก่อน

    Neema za pemba

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 หลายเดือนก่อน

    Sasa hayo makontena yatapitishiwa Barabara gani?? Kwani Barabara mkoani Chake chake haina viwango!!

  • @mohamedothman678
    @mohamedothman678 หลายเดือนก่อน +1

    Pemba htaukaenda kuwatulia

  • @salma0000
    @salma0000 หลายเดือนก่อน

    Anayajua mapembe au anasema tu, anafkiri watu wananunua mapembe kwa kupenda, shenz!

  • @SamahyraOmarKassimSamomar
    @SamahyraOmarKassimSamomar หลายเดือนก่อน

    Na mwisho akapewa mtu binafsi aliendeshe bandari letu 😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 หลายเดือนก่อน +1

    Imejengwa upande gani kwani iyo bandari!

  • @KahlanMainoo
    @KahlanMainoo หลายเดือนก่อน

    Mwana kuku lala hio, 2025 hio vitazinduliwa mpaka visivofaa kuzinduliwa. Tutaona mengi tu

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa หลายเดือนก่อน +3

    Ndio kwa Dk Mwinyi anatosha anachaguliwe 🖐 tena...

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b หลายเดือนก่อน +1

      Hatumtaki Wazanzibar, tunataka mamlaka kamili ya nchi yetu

    • @awadhmwinchum5341
      @awadhmwinchum5341 หลายเดือนก่อน

      ​@@iFly-t9b usiseme wazanzibar sema ww binafsi paka ww

    • @JCMaxima
      @JCMaxima หลายเดือนก่อน

      Dr Mwinyi ni jembe, anafaa! 😅😅😅

  • @kassimsuleiman6720
    @kassimsuleiman6720 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna shukran watu mmekuwa kama banii israili kwanza bii musa kila mmachofanyiwa ni dhambi

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman หลายเดือนก่อน +1

      Kwa lipi, meli au ? Kwani watu wana shida na kuja meli au wana shida na dhiki ya kupanda kwa gharama za bidhaa km ww ukipewa urais utaangalia kuleta makontena au utaangalia namna gani ya kupunguza ukali wa maisha na upatikanaji wa fedha kwa urahis watu wakawa na maisha standard?

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 หลายเดือนก่อน

      Kasome banii israil walikuwepo wena na waovu waovu ndio walioanzisha dini zao za kiyahudi wema ndio waliomfata Musa ,banii israil wema waliomfata mtume Muhammad swala llahu alaihi wasalam

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb หลายเดือนก่อน

    Hio ndio meli ya container au pantoni tumeziona meli na zisizo kua meli zinazo tajwa

  • @simaishariffoum9882
    @simaishariffoum9882 หลายเดือนก่อน

    Hongera mheshimiwa rais unaupiga mwingi sana

  • @SamahyraOmarKassimSamomar
    @SamahyraOmarKassimSamomar หลายเดือนก่อน

    Media ccm nimeliona bandari booonge la bandari duh 😂😂😂😅😅😢

  • @brytonmnyama6562
    @brytonmnyama6562 หลายเดือนก่อน

    afadhali japo kdg lkn ni nafuu

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 หลายเดือนก่อน +1

    Tunafunguwa bandar ila barabara bado mbavu

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b หลายเดือนก่อน

    Kwa bandari gani, hilo tuta? Tutaona mengi hadi uchaguze 2025 umalizike

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari หลายเดือนก่อน

      Kila kitu hamtaki hata yalokua hayajafanyika Leo yakifika mnapinga ,

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b หลายเดือนก่อน

      @@FahadAbubakari haya haliokua hayajafanyika? Kwanin nani aliekua hajayafanya? Kwan nani ameingoza hii nchi tangia uhuru? Tumewachoka wanatuchelewesha

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari หลายเดือนก่อน

      @@iFly-t9b we unataka vp sasa ? Lini meli ya mizigo ilishusha mizigo pemba? Kingine sawa hatuwataki labda na tunataka mamlaka yetu kamili haya kwa sasa kwa hivyo hata wafanye jema tuwaponde tu au

  • @MussaMussa-v4x
    @MussaMussa-v4x หลายเดือนก่อน

    Ivi unazani wabara watatuachia tunufaike? Mimi nahisinilamda tuhilo akiondoka Mama hamna jambo tena hapo.

    • @salma0000
      @salma0000 หลายเดือนก่อน

      Washenzi watakuja na sheria mpya hilo tuta turudie kupita na mikokoteni yetu tu

  • @KhamisahmadaMo
    @KhamisahmadaMo หลายเดือนก่อน

    Al jununu fununu

  • @utaani1
    @utaani1 หลายเดือนก่อน

    Katika viongozi wote walokaa madarakani ni huyu pekee anaetuletea maendeleo kwenye visiwa vya Zanzibar

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mfanye Nini mwinyi ndo chaguo letu ,, kashindwa maalimu selfu nani ataiweza ccm

    • @MkasiAli-v6w
      @MkasiAli-v6w หลายเดือนก่อน

      Mungu

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman หลายเดือนก่อน

      Muda wake ukifika Mungu atamueka anaetaka. Dhulma haidumu.

    • @utaani1
      @utaani1 หลายเดือนก่อน

      Muhimu maendeleo, barabara, maji, umeme, na kodi iondoshwe kwenye vyakula na vifaa vya ujenzi

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b หลายเดือนก่อน +1

      Mungu anaiweza
      Yote hayo anayofanya Bado anaogopa uchaguzi. Atuwekee tume uhuru wapemba wamuoneshe kua hawarubuniki na vipande vya noti.
      Nyinyi msio jua kutofautisha maendeleo na mahitaji ya lazima ndo mnao fata mikumbo

    • @KahlanMainoo
      @KahlanMainoo หลายเดือนก่อน

      Chaguo LAKO ww Salim Musa, zlokupa mpaka ubunge... Huenda baada ikashinda bandari ya dar

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp หลายเดือนก่อน

    Hio ni bandari au tuta tu😂eti meli ya contena kontina gani hio ya h1bora hata kashab la Pakistan ni kubwa😂haya basi yashusheni hayo makontena ktk maji yazame😂😂😅

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq หลายเดือนก่อน

    Mbona,wewe,hodari,znz,mambo,mengi,yamebadilika,maana,umetuletea,mpaka,kura,yamapema

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 หลายเดือนก่อน +2

    Mtafute wa kumfanyia usanii

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go หลายเดือนก่อน +3

    CCM miaka 60 mumeifisidi Zanzibar halaf leo mumeleta ety tuwasifu hivi cku zote mlikuwa wapi?

    • @saidal-hind5338
      @saidal-hind5338 หลายเดือนก่อน +1

      Ujinga tu naq yy kashamaliza 5 hakuna jambo maisha ndio haya haya

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 หลายเดือนก่อน +1

      Nynyi muwapumbavu, Allah nibora zaid tunaemuas ila endapo utatubia na kufanya mema bc hubadilisha mabaya yako na kua mema vp nyiny mna angalia ujinga t amejidahid anapaswa kupongezwa achen chuki na hasad kama nikifisid hata huyo SEIF Hamad sharif alikuemo ktk wafisid wala hakuto kwa maslah ya wananch bl kwamaslah yake

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 หลายเดือนก่อน +1

      Hata hivyo Allah asema asie shukuru kidogo hawez kudhukuru kikubwa tumshikuru Allah kwatulipo sipo tulipokua jana Lau mnadanganywa na siasa danganyweni

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna watu nikama wafuas wa Musa walineemeshwa kila neema ila hawakumshukuru Allah zaid ya kumkufuru polen kwanafs za aina hio

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un หลายเดือนก่อน

      @@hamadfaki7625 tena hili ndio umeona kubwa!umesahau kwamba bandari ni sehemu ya muungano?

  • @MattarMohammed-f5v
    @MattarMohammed-f5v หลายเดือนก่อน

    Hii kuzinduwa ina maana gani kwa ccm na Serikali yake? Naona hawana kazi wanajihangaisha tu

  • @khalfannasornassor7396
    @khalfannasornassor7396 หลายเดือนก่อน

    Endelea kuuza 2

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i หลายเดือนก่อน

    TATIZO SIO BANDARI TATIZO NI UDHAIFU WA NAFSI WA HAO WAFANYA BIASHARA NA WENGI WAO NDIO HAO HAO.IANDIKWE BEI YA BIDHAA LEO NA MWAKANI TAREHE KAMA YA LEO TUONE HUU UPUNGUFU AU NAFUU YA BEI ZA BIDHAA ITAKAYOPATIKANA.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 หลายเดือนก่อน +1

    Mapembe 😅 weye muhuni km kweli mapembe chakula muna nyinyi hamuli n hiyo bandari or tuta l muhogo

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar imebdilika n kitu gani miaka 65 hali mbaya

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq หลายเดือนก่อน +1

    Mwaka,wa,60,mnapigamatuta,yaviazi

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y หลายเดือนก่อน +1

    Baada kwenda mbele wameturudisha nyuma haya manunju

  • @azizali5759
    @azizali5759 หลายเดือนก่อน +2

    Papa havuliwi kwa dema. Siasa za ulimbukeni. Hapana bandari hapo, hiyo ni jetty tu.

  • @abdallah2676
    @abdallah2676 หลายเดือนก่อน

    Bandari ndogo wapanue na kuijenga sijaona nafasi pale ya pirika zakushushwa kwa kontena

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 หลายเดือนก่อน

    Tangu azaliwe hajawahi kula mapembe kama matamu waambie watumishi wako wakupikie japo siku moja

    • @salma0000
      @salma0000 หลายเดือนก่อน

      Nashangaa

  • @MkasiAli-v6w
    @MkasiAli-v6w หลายเดือนก่อน +1

    Ayo magari ya kontena yatapita barabara ipi mnatafuta kutuangushia makontena ya vichwa tu mkoani hakuna barabara ya kupita madude ayo muhimu kwanza barabara

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman หลายเดือนก่อน

      Kwani hujaona tokea juzi wanatia lami mashimo kumbe alikuwa anakuja mwinyi. Watu walifkiri awamu ya pili ya ujenzi.. hatari sana lkn serikali ipo mbio kuijenga ila sijui izo mbio zitamaliza lini.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hicho kitu gani tuta la muhogo munaweka zogo

  • @truthonline7832
    @truthonline7832 หลายเดือนก่อน +1

    Mafisadi

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kutudanganya haliyakua tunajua kwamba nchi yetu imetawaliwa na tanganyika kilakitu cha muungano usomanufaa kodizina kushanwa mara mbili halafu mzazibari anufaike kwa lipi acheni ujinga mungano gani tukitaka kitu mpaka tuwaombe huu utumwa na ujinga

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq หลายเดือนก่อน

    Mwaka,wa,sitini,

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 หลายเดือนก่อน

    Kama mapembe matamu na wewe kula

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 หลายเดือนก่อน +1

    Usanii ati bandati ya kimataifa meli kubwa kuliko huo uchochoro waliojenga😂😂😂😂😂

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un หลายเดือนก่อน

      Inasikitisha kwakweli

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman หลายเดือนก่อน

      Meli kubwa ifunge gati mkoani au. Sasa iache kufunga gati Mombasa ije mkoani kufanya nini? Izo ni pantoni kama za azam tu.

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdillahSOthman umesema kweli lile ni pantoni Kama la Azam linalochukua makontena Mombasa kuja Zanzibar wamewaambia twendeni Pemba tukawadanganye wapemba

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 หลายเดือนก่อน +1

    Ukikaribia uchaguzi tu wanashughulisha watu utadhani ni watendaji kweli😂😂😂

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      Unaweza ukawa na macho lakini ukawa huoni

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 หลายเดือนก่อน

      @@MohamedAhmada-ie7ke Macho yanasaidia tu kuona ndio maana kukiwa na Giza huoni lkn macho unayo ubongo ndio unaotafsiri unachokiona na kukupa picha kitakachoendelea mm nimeona na ubongo umetafsiri nilichokiona na kwa vile kila mtu ana akili yake acha hii yangu initume inavonituma na inipe picha ya kitakachoendelea cha msingi na muhimu ni umri tuombe Muungu atupe umri labda ubongo umeniongopea lkn hicho nilichokiona mm ni tofauti labda na fikra za wengine

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c หลายเดือนก่อน

    Yaani hii media ina mambo ya kisenge sana. Kichwa cha habari sio halisi na video yenyewe. Msenge gani alierusha hii picha.

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 หลายเดือนก่อน

    Tutaona mengi mpka 2025 umalizike

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kapewa mtu