Ajali zinavyo uwa tz hai tofautiani San na mauwaji yatokanayo na vita kule gaza kiukweli wa afriytume kuwa wa kufa kufa tuu poleni yetu jamani tuna Isha eet
Kusema "MUNGU AMEWAPENDA ZAIDI" hizo ni kauli za makafir sisi hatuna itikadi hiyo, na km kufa ni kupendwa basi hakuna ambaye hatopendwa na Allah ktk dunia hii ata fir'auna ataingia kwenye mapenzi.
Naam innalilah wainnailaihi rajiun
Poleni sana nduguzetu
Kazi ya mola Haina makosa allah awajalie safari njema ammn
إنا لله وإنا إليه راجعون . اللهم اغفر لهم وأسكنهم في الجنة.
Inna lillah wainna ilaihi rajiun
Allah amsameh makosa yake ampe makaazi mema peponi
Amiin
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun
Innalillah winnaailayh rrajiuun
,mungu azilaze mahali pema pepon
Amin amin
INALILAH WAINA ILAYH RAJIOUN
Inna Lilah wa inna ilayh rajiun poleni sana
إنا لله و انا اليه راجعون
Ajali zinavyo uwa tz hai tofautiani San na mauwaji yatokanayo na vita kule gaza kiukweli wa afriytume kuwa wa kufa kufa tuu poleni yetu jamani tuna Isha eet
Hao madereva wanaenda mbio sana ingawa ajali ilishaandikwa na dereva nae ahukumiwe kifo. Maana hawajui kuendesha polepole
Haya magari ya iris yatamaliza watu wazembe mno hawajali watu wengine sijui wanaringia nini
Jifuzeni kuripoti habari .mnaleta fujo tuu kwaza tangazeni nyy km nyy ndo mutuletee mashuhuda bwana
Ingawa ajali haina kinga lakini hawa madereva wanaondesha magari ya kampuni IRIS wanae desha magari yao vibaya sana
Poleni sana ndo ahadi lakina
Poleni sana
Kusema "MUNGU AMEWAPENDA ZAIDI" hizo ni kauli za makafir sisi hatuna itikadi hiyo, na km kufa ni kupendwa basi hakuna ambaye hatopendwa na Allah ktk dunia hii ata fir'auna ataingia kwenye mapenzi.
Ukisema Kua..mungu katupenda zaidi hujakosea hata kidogo na usipotoshe wenzako soma kwanza ndo ujue kupinga kauli
@@NassoroHaji-i8kww ulosoma nisomeshe na mm hapo
Kauli za kinaswara
Haifai kusema ivo tunawaiga manasara au Kusema R.I.P Nayo haifaiila tuseme innalillahi wainnailayhiraajiun.
Kikubwa ni kusema INNALILLAH WAINNA ILAH RAJI'UN, Hii ndy kaul thabit, tusizozane Sana jamani Allah amesema tunapopatwa na mitihani tuseme ivyo