TOXIC FT ONE SIX - KIFO (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @toxicfuvu
    @toxicfuvu  3 ปีที่แล้ว +368

    Ahsanteni Nyote

    • @kephabrown9633
      @kephabrown9633 3 ปีที่แล้ว +7

      Pamoja kaka unajua

    • @rajabawathi3086
      @rajabawathi3086 3 ปีที่แล้ว +9

      Kazi safii bro. Kule #dakika 10 za maangamizi nilikujulia huko

    • @davido-scooper9471
      @davido-scooper9471 3 ปีที่แล้ว +4

      Big 🌞day utamblisho wko

    • @Ashibutz
      @Ashibutz 3 ปีที่แล้ว +2

      Salute

    • @cazoramahussein1998
      @cazoramahussein1998 3 ปีที่แล้ว +5

      Kama kuna mtu kawekeza pesa zake kwako hatajutia kamwe kip it up bro

  • @joejux1380
    @joejux1380 3 ปีที่แล้ว +24

    Wa kwanza kabisaaaa muniache na like jamani please

  • @Tutankhamun-s3n
    @Tutankhamun-s3n ปีที่แล้ว +16

    Nyimbo kama hizi ndio za kuwa na viewers wachache kiasi hiki tuwe siliazi wa tz kama tunataka kuurudisha muziki wetu kwenye reli,hakika ngoma hii itaishi maisha marefu heshima kwako fuvu.

  • @twentysevenlife6630
    @twentysevenlife6630 3 ปีที่แล้ว +12

    Hiii ngoma ni 1 trending sema wabongo wanakwama 🔥 🔥

  • @wizrocktz2088
    @wizrocktz2088 3 ปีที่แล้ว +21

    VIPAJI DAMUNI WANANG NYIE HAMNAGA KIKI KTK MZIKI ILA MZIKI UNAWAKUZA WENYEWE MUONEKANE Bless sana Ma Boes🤝🤝

    • @justinkilosa
      @justinkilosa ปีที่แล้ว

      Saf sana kamanda wanguuu 👍👍 kaza Mzee

  • @BosimuneneTv
    @BosimuneneTv ปีที่แล้ว +2

    Achia ht remix yake tu maana hii ngoma Kali sanaaa kupita maelezo

  • @muletv7489
    @muletv7489 2 ปีที่แล้ว

    Kaka unaimba sana 🙌🙌

  • @neymarjuniordiames9952
    @neymarjuniordiames9952 2 ปีที่แล้ว

    Unajuwa Kaka Koki🔥🔥🔥

  • @muddyjumaa604
    @muddyjumaa604 3 ปีที่แล้ว +1

    Sana broo umetisha

  • @francemchina8968
    @francemchina8968 2 ปีที่แล้ว

    Mwamba nakubali sana

  • @tiniboymkali3591
    @tiniboymkali3591 ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma kali sana

  • @wilonderby
    @wilonderby 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimetoka MWAKANI nimefika Hadi hapa 😔😭KIFO

  • @FrancisMlelwa-s3o
    @FrancisMlelwa-s3o 4 วันที่ผ่านมา

    One six huwa anapiga chorus kali sana❤

  • @bebetouris2145
    @bebetouris2145 2 ปีที่แล้ว

    Iyo kali sana 🙏🙏

  • @MiaTheLathini
    @MiaTheLathini 3 ปีที่แล้ว +1

    ✊🏿kazi

  • @Madphilosopher13-04
    @Madphilosopher13-04 2 ปีที่แล้ว +1

    Toxic unatsha👍🏿👍🏿👍🏿

  • @muujux9009
    @muujux9009 9 หลายเดือนก่อน

    Good music good message good art good life toxc

  • @vittaalphonce4083
    @vittaalphonce4083 3 ปีที่แล้ว +10

    "WEMA WAKO UNAZIDI ,,,,UBAYA UNAPUNGUA",,,,NOMA SANA,,,,WE RESPECT U TOXIC 👊👊

  • @charleskombe
    @charleskombe 3 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo ukitazamwa vizuri unaweza kuwa tiba ya Corona

  • @joackimmbonde4125
    @joackimmbonde4125 2 ปีที่แล้ว +1

    Unajua sana ,be blessed

  • @boniphaceramadhan6217
    @boniphaceramadhan6217 3 ปีที่แล้ว

    Mwamba Toxic unajua sanaa mie shaniki ako toka unakiwasha kwenye dakika10 za maangamizi

  • @mabehi
    @mabehi 11 หลายเดือนก่อน

    Gooood ✌☝❤

  • @NakantaHunter
    @NakantaHunter 8 หลายเดือนก่อน

    Toxic fuvu❤🙏🙏🙏🇹🇿kweli unaweza kuimba vizuri San ❤me nakukubali Sana🙏🙏🙏🇹🇿

  • @makunganyaochu2080
    @makunganyaochu2080 2 ปีที่แล้ว

    Karudi kazini mwamba

  • @samsonistephano3327
    @samsonistephano3327 3 ปีที่แล้ว +1

    Onesix bonge moja la kiitikio

  • @jumamwandai3941
    @jumamwandai3941 3 ปีที่แล้ว +2

    *One six kweny corous huwa hakosei asee 🙌🙌 Oyah toxic tangu kitambo broh hujawai nianguxha mzee since day one nakujua kwny dakk kumi za maangamizi nilipoanza kukufatilia mzee upo on 🔥🔥 Kizazi Sana broh.!!! 🙌*

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 6 หลายเดือนก่อน

    Bongo la ngoma kali sana mzee baba Never dissapoint from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🖊️❤❤🎉🎉🎉

  • @emmanuelchowo8673
    @emmanuelchowo8673 3 ปีที่แล้ว

    Idea kali.. nymbo kali

  • @yusuphpilion2465
    @yusuphpilion2465 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali kinoma mwanangu umepita fresh na beat ya mzee baba bujaaaa

  • @LilMuuofficial-ee2lr
    @LilMuuofficial-ee2lr ปีที่แล้ว +1

    Unajua sana mwanangu
    toxic god akuweke

  • @julionyakunga9755
    @julionyakunga9755 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice song, by the way One six kaua sana huyu jamaa anajua sana. And Toxic is the best rapper, you didn't it wonderfully broo.

  • @JuniorNoel-zo5uh
    @JuniorNoel-zo5uh 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka unajuaa sanaa hongera sanaa🎉🎉🎉🎉

  • @albanitarimo9721
    @albanitarimo9721 2 ปีที่แล้ว +1

    Toxic nakuelewa sana bro keep it up mkali content iko so deep man

  • @BosimuneneTv
    @BosimuneneTv 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sanaaa hii hongera zaidi brother

  • @zuriathdasilver810
    @zuriathdasilver810 3 ปีที่แล้ว +1

    Niliisubiri sanaaa

  • @blackdesigns2085
    @blackdesigns2085 3 ปีที่แล้ว

    Brother Mungu aendelee kukuongea kipaji chako... We n more than a star

  • @Ric0974
    @Ric0974 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ngoma kali

  • @isiakaramadhani1564
    @isiakaramadhani1564 3 ปีที่แล้ว

    Kak umeuaaa yani hatari sana Huna baya wala hudaiwi.

  • @SALIMSALIM-mi7go
    @SALIMSALIM-mi7go 3 ปีที่แล้ว +5

    Oee... hip hop ni tamu sana kwa wana wanao ielewa...🔥💯

  • @miketez2160
    @miketez2160 3 ปีที่แล้ว +3

    Wooooooow..... Napenda 😭💕💯🇰🇪

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary2649 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah jaman kuna ujumbe mkubwa Sana wangap wameelewa lakini vimepita Tu kichwani

  • @nyangatejoseph8129
    @nyangatejoseph8129 2 ปีที่แล้ว +1

    Reflection of the real life ,big up ...👍 👍 👍

  • @adolphsanga683
    @adolphsanga683 3 ปีที่แล้ว

    Mkeka nilio betigi kabla sijafa naona umetiki very nice song my brother grow up 👏👏👏👏

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 2 ปีที่แล้ว

    Brooooi uneimbaaa 😭😭😭 pia umecniimba kabasaaa yani

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 3 ปีที่แล้ว +1

    Toxic fuvuuuu

  • @mickeymaico4055
    @mickeymaico4055 3 ปีที่แล้ว +17

    One six...chorus killer|I appreciate brother

  • @kwidexy
    @kwidexy 9 หลายเดือนก่อน

    2024 Ngoma hii bado inatembea kwenye kichwa changu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @johnsonmaarifa3582
    @johnsonmaarifa3582 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwl Jamaa kaupinga mwingi sana

  • @savagetz.1447
    @savagetz.1447 2 ปีที่แล้ว +1

    salute

  • @sebaofficialtz
    @sebaofficialtz 2 ปีที่แล้ว

    Muda wako umefika, nenda juu kaka, nafasi yako naiona kule kuna watu wamekushikia nafasi kwa muda

  • @kazyobangallaba1848
    @kazyobangallaba1848 3 ปีที่แล้ว +3

    Kibabe zaidi, unanikumbusha king 🤴 ♥ Zillar mwana salasala, keep it going mwamba

  • @Damshi_Fabric
    @Damshi_Fabric 3 ปีที่แล้ว +1

    Uwapa ndo UNYAMA Bob
    Tunasapot harakati

  • @emmanuelvedastus5218
    @emmanuelvedastus5218 3 ปีที่แล้ว

    Sijaumaliza wimbo Bado ni mzuri mno toxic the future

  • @shedrackdaudi3403
    @shedrackdaudi3403 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo wenye kiwango resort toxic and one six

  • @Best_tz
    @Best_tz 2 ปีที่แล้ว

    Unyama haswa kama zari hii ngomma nimeisaka sasa naonjoy kuipata

  • @igabamc6894
    @igabamc6894 3 ปีที่แล้ว +1

    💥💥noma San yan👊👊 Ngoma kwa hewa imepenya iyo

  • @HauratTamim
    @HauratTamim หลายเดือนก่อน

    Toxic mnyamaaaaaaaàaaaaa

  • @barakachacha999
    @barakachacha999 3 ปีที่แล้ว

    One six dah wee jamaaa unatengeneza chorus bna dah asees. Sauti yako tu mwamba shikamooo kaka

  • @JayLove-JEJE
    @JayLove-JEJE ปีที่แล้ว +1

    Kwa hapo umetisha kak

  • @ezman8528
    @ezman8528 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali toxic kaka angu damu

    • @osmanofficial3262
      @osmanofficial3262 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/1CH-JxXZVQM/w-d-xo.html
      N muoto

  • @thomasnyarugembe1533
    @thomasnyarugembe1533 3 ปีที่แล้ว

    Dahhh bro toxic
    Hii ni funga mwaka

  • @INBOXSTEREO
    @INBOXSTEREO 3 หลายเดือนก่อน +1

    Best of the best

  • @JamallyApti
    @JamallyApti 2 หลายเดือนก่อน

    huyu mwamba anajua💪🏿💪🏿💥

  • @daudj.mwehoha1622
    @daudj.mwehoha1622 3 ปีที่แล้ว

    Bonge moja la chuma...nakubali bro

  • @chambijr1623
    @chambijr1623 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanangu unajua Sana
    Uwezo mkubwa akili nyingi 🔥🔥🔥👊🏿

  • @Star_bet255
    @Star_bet255 3 ปีที่แล้ว

    Wew jamaa unajua mpaka unajua zaidi ya sana

  • @AbdulKingo-n3q
    @AbdulKingo-n3q ปีที่แล้ว

    Daaah mwanangu kaza sana

  • @mshuaclassic752
    @mshuaclassic752 3 ปีที่แล้ว

    Toxic unaubunifu wahali yajuu nimekubali goma kali sana

  • @samirzakaria3738
    @samirzakaria3738 3 ปีที่แล้ว

    Hongera san huu wimbo nimeupenda sanaaa

  • @Enjoyfootballlife
    @Enjoyfootballlife 3 ปีที่แล้ว

    We mjinga unajua kinoma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹

  • @daudidanieli4651
    @daudidanieli4651 3 ปีที่แล้ว

    Hongera xn brother

  • @mpamilamihayoo3256
    @mpamilamihayoo3256 3 ปีที่แล้ว

    Toka TikTok salute mwamba umeua kinyamwezi

  • @NakantaHunter
    @NakantaHunter 8 หลายเดือนก่อน

    ❤ NAKANTA FT 🇹🇿 naukubali Sana nyimbo zako fuvu

  • @muller.m.f9287
    @muller.m.f9287 3 ปีที่แล้ว

    We msenge unauwa
    Ngoma yako ni maisha ya watu wngn (,inauhalisia)

  • @mubahsindamwaka7452
    @mubahsindamwaka7452 3 ปีที่แล้ว +1

    💥💯💥💯videos nzuri sanaa

  • @denicemwitakabwere7726
    @denicemwitakabwere7726 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante vivaRoma kwakunileta huku

  • @hustondara9159
    @hustondara9159 10 หลายเดือนก่อน

    Toxic nime chelewa kukufaham ila unawez boss nakubali kila kitu mpk mitindo❤

  • @masichotz
    @masichotz 3 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha sana mr TOXIC

  • @johnpol7656
    @johnpol7656 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa huu moto

  • @wachugypsumtz5089
    @wachugypsumtz5089 3 ปีที่แล้ว

    Unajua sana bro..Muda unaongea keep it up

  • @Ramoster_Champion
    @Ramoster_Champion ปีที่แล้ว

    Wenoma sana one six beg up kwako toxic

  • @georgemwaipopo6255
    @georgemwaipopo6255 3 ปีที่แล้ว

    Tipia ngoma Apple music ngoma kaliii sanaaaaa Lakn haijawa dropped at all media haswa Apple music

  • @joannesmukasa7558
    @joannesmukasa7558 ปีที่แล้ว +1

    MWANA HIP HOP YOYOTE YULE ACHUJI NEVER BILA KUMSAAU #Byafa Ndimu#🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🔨🔨🔨🔨🔨🔨🫀🫀🫀🫀🫀🫀🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠👌👌👌👌👌👌👌✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️

  • @nassibabdallah566
    @nassibabdallah566 2 ปีที่แล้ว

    Brother your fire mimi nip best wangoma halo man back boy toxic your up

  • @emmanuelsospeter2608
    @emmanuelsospeter2608 2 ปีที่แล้ว

    Nilianza kukufuatilia kitambo sana,leo nimekuelewa

  • @Gmafic
    @Gmafic 3 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali Toxic, ujumbe sana.

  • @ummusalma7618
    @ummusalma7618 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana bro one ❤

  • @Japharyhh
    @Japharyhh 3 ปีที่แล้ว

    Toxic wejaam nakufuatiliaga saan uko good zaidi🔥🔥

  • @SonOfJack255
    @SonOfJack255 3 ปีที่แล้ว +8

    New edition freestyle master @toxic & chorus killer @one six 🔥🔥🔥🔥

  • @ummusalma7618
    @ummusalma7618 ปีที่แล้ว

    Nabar sana bro unajua

  • @weisertv
    @weisertv 3 ปีที่แล้ว

    Nakubal sana

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 3 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo huwa unanifanya nawaza mengi sana af mwisho wa siku sipati Jibu... wimbo unatukumbusha mengi sana

  • @alphanlukombe3774
    @alphanlukombe3774 3 ปีที่แล้ว

    Nilikuw naisubir Sana kwa hamu kaka ww ni noooooumaaaah 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohamedkhalid5394
    @mohamedkhalid5394 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri kijana

  • @samajr.3234
    @samajr.3234 3 ปีที่แล้ว

    Big up Toxic umechora mzee

  • @jandypixs4561
    @jandypixs4561 3 ปีที่แล้ว

    inatosha kusema muda utaongea 🙌🙌🙌🙌🙌🍻

  • @mr_nyoroo
    @mr_nyoroo 2 ปีที่แล้ว

    uko sawaaa nigaaa kazaaa buti xanaaaaa

  • @NTM9320
    @NTM9320 3 ปีที่แล้ว

    👍👍👍 super kabisaaa yamoto

  • @TrrishaOthman
    @TrrishaOthman 8 หลายเดือนก่อน

    Good akpe akil zaid nyimbo nzr san hii ukuje Kenya 🇰🇪 sku ipo moja kabra sjakja tz ❤

  • @erickkasheke3701
    @erickkasheke3701 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuriiii sanaaa