TOXIC FT KONTAWA - MWAKANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 943

  • @salimally2823
    @salimally2823 10 หลายเดือนก่อน +7

    Ndio mwaka tunaumaliza Ivi..Kheri ya mwaka 2024 wanangu,ila kweli kuna watu kibao mwaka wameshindwa kuumaliza,ukiwa mzee gonga like tukimshukuru Mungu

  • @alfredbizimana7814
    @alfredbizimana7814 ปีที่แล้ว +180

    "Mwamba amehonga Kila kitu ila amebaki na kikohozi" Aliye iskia gonga like hapo🤟🤟🤟🤟

  • @jordanjonas8009
    @jordanjonas8009 ปีที่แล้ว +285

    Wanangu wa TOX tujuane kwa like jaman 🔥🔥🔥🔥

  • @dikaboy979
    @dikaboy979 ปีที่แล้ว +12

    Ewaaa nimewai nipen like zangu twende sawa

  • @hassanidrisankingilea8827
    @hassanidrisankingilea8827 ปีที่แล้ว +11

    Kuna watu mwakani siwaoni🙌🏾🙌🏾🙌🏾
    Konga like twenzetu

  • @johnpresdar1394
    @johnpresdar1394 ปีที่แล้ว +1

    Daaah aise bongelachupa mwishon limetak kuniliz daah acha tuangalie mwakan itakuwaje

  • @hdboytz2124
    @hdboytz2124 ปีที่แล้ว +4

    Hahahahaa Wale waliokua wanatembea na umeme alafu home Wakakosa LUKU ndio hao mwakani HATUWAONI daaah 😥😥

  • @jeybullaz9323
    @jeybullaz9323 ปีที่แล้ว +1

    #Harmonize njoo umskilize champion mwenzio huku anavokuona mwakani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hermanmwachuya8327
    @hermanmwachuya8327 ปีที่แล้ว +3

    Vichwa vibovuu....toxiiiikiiiii@254 tunakubali

  • @willinjowritter206
    @willinjowritter206 ปีที่แล้ว +103

    Mad combination..Kontawa is at the peak of his career.. much love and blessings from KENYA 🔥💯🙏❤️

    • @deogratiusjohn1871
      @deogratiusjohn1871 ปีที่แล้ว +1

      Kazi nzuri nmeikubal salute sana Mr sumu na kontawa Mzee wa champion sema nini heshima nyingi ziende kwa Direct Billy lenz kaz yako nmeiona usiihie endelea kupambana sana mshikaji...

    • @willinjowritter206
      @willinjowritter206 ปีที่แล้ว

      @@deogratiusjohn1871 uko sahihi kabisa kaka

  • @sidebansakula6231
    @sidebansakula6231 ปีที่แล้ว +10

    Like zang kwa waliomuelewa KONTAWAA

  • @josenaphmwara9739
    @josenaphmwara9739 ปีที่แล้ว +2

    Oyaaaa weeeeeee.......nyie wajomba mnaona far kichizi
    Cause mi mwenyewe kuna wana siwaoni mwakani.....🎤💪💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @killergravityyt4156
    @killergravityyt4156 ปีที่แล้ว +41

    Hii ngoma imetiii sana🔥🔥moja kali tutaonana mwakani, nipateni Kenya🇰🇪🌴👌

  • @Addinjr8774
    @Addinjr8774 ปีที่แล้ว +12

    Huu wimbo unatakiwa uwe katika top 10 trending tukutane mwakani one love kwa Toxic

  • @ommymsomi4362
    @ommymsomi4362 ปีที่แล้ว +72

    The finishing part of Kontawa is so Touching

    • @arynxbaba9091
      @arynxbaba9091 ปีที่แล้ว +2

      saaana wallah Kuna watu mwakani siwaoni😭😭😭😭

    • @FutureProfitinc
      @FutureProfitinc ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa

    • @nzogyamkumbo1654
      @nzogyamkumbo1654 ปีที่แล้ว +3

      Ebwana kwa uwezo wa Mwenyenzi Mungu mwenyewe akipenda tutaonana mwakani...

  • @roselaremigius8435
    @roselaremigius8435 ปีที่แล้ว +24

    Dah" kuna watu siwaoni mwakani" 🥺, so touching 2023 imetisha mapema sana. Well done Toxic&Kontawa👏👏❤️❤️

  • @abdulali8228
    @abdulali8228 ปีที่แล้ว +8

    kuna watu mwakani siwaoni....my best line😢😢

  • @yonasimoni2208
    @yonasimoni2208 ปีที่แล้ว +2

    wanaomwelewa kontawa tujuane kwa like

  • @girah339
    @girah339 ปีที่แล้ว +4

    The message is delivered...
    Nahsangaa kwa Nini mama hashtuki...mzee Makmb,jmk...wanaarib nchi in shadows. ...Kuna mda nataman nipate bolm afu nimpoteze yaan ni maumivu...Mkopo nastahili sababu natokea familia duni...lkn watoto w matajir ndo wanawekew 100%, si hapo tu..deni lao kwa taifa saa hii 91 trillion, afu wanasema ni deni la taifa ...mi sielew...vx wanatembelea tena sauti ya mnyonge haisikilizwi...ni hofu zimetawala juu ya kesho yangu..maana mi ni kijana 24 yrs, najua naweza kupotezwa ila ...viongoz funguka bas....kifo kipo tu, behew mnaleta mtumba kama vile mnavaa mtumba yaan , si kwa mabaya ila kumbuka Allah yupo, tulitoka mavumbin na mavumbin tutarudi

  • @NubisonBunera-em7oy
    @NubisonBunera-em7oy ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaa hilo verse la mwisho kontawa ameua aise🎉🎉🎉🎉🎉 et mwakani kuna watu siwaoni duuuuu😢😢

  • @officialmoody6246
    @officialmoody6246 ปีที่แล้ว +14

    Kama Unakubali #Toxic Ndo Mbadala wa Stamina Nipe Like Zake Hapa #Mwakani

  • @justinmuna8752
    @justinmuna8752 ปีที่แล้ว +2

    Broo una ticha sana tuko pamoja broo ❤❤❤❤❤❤

  • @pingumagongo1997
    @pingumagongo1997 ปีที่แล้ว +5

    😔Kuna watu mwakani siwaoni😔 hii nzito sana

  • @dinocentmgani247
    @dinocentmgani247 ปีที่แล้ว +1

    Kontawa kaimba kidogo ilq kauwa kinoma salute tawa minachekaga sijaisikia kaka

  • @biana8998
    @biana8998 ปีที่แล้ว +31

    This masterpiece deserves more than 100 millions views 🔥

  • @Davidoh032
    @Davidoh032 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana moto sana ...hope ungemix iwe sheng ... kiswahili & english... From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes wadau.

  • @hdboytz2124
    @hdboytz2124 ปีที่แล้ว +6

    Hili ndio lile tuliokua tunasubiria sasa lime come big up brothers 💪 gang... Toxic ft Tawa..

  • @jofreysaka132
    @jofreysaka132 ปีที่แล้ว +2

    Balaaaaa Zito buku mb10 🔝🔝🔝🔝

  • @yohancabbaye7456
    @yohancabbaye7456 ปีที่แล้ว +4

    Oyah wanangu mwakan mbn Kama panatisha😂😂,,,,,,,toxic fuvu umetisha bro🔥🔥

  • @AbuuZakiaTz
    @AbuuZakiaTz ปีที่แล้ว +1

    Good guy... good video.. good music....upo sawa mbaba pa1

  • @benedictalex6838
    @benedictalex6838 ปีที่แล้ว +4

    New trending hit song TOXIC & KONTAWA balaa zito hii ngoma mazee

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 ปีที่แล้ว +2

    bonge la pisi kali..nmeipenda sana toka kenya.

  • @rodgerskombo4403
    @rodgerskombo4403 ปีที่แล้ว +3

    Wa kwanza nipewe like

  • @morenobdi9187
    @morenobdi9187 ปีที่แล้ว +2

    Kbx nakubali kontawa anaona kwl😂😂😂😂 jeshi kaonga mila kitu kabaki na kikohozi

  • @robertnyaa3934
    @robertnyaa3934 ปีที่แล้ว +11

    Toxic Sumu, hujawahi kutuangusha bro, great Rapper✊✊🔥🔥💥💥

  • @zachariacharles5223
    @zachariacharles5223 ปีที่แล้ว +1

    Mwana kahonga kila kitu kabaki na kikohoziiiiiiiiiiiiiiiiiiii 💯👊💯👊💯

  • @clintonroimas4548
    @clintonroimas4548 ปีที่แล้ว +69

    Two Big brains in 1 track🤝🏼🍯

  • @philbertcharles8459
    @philbertcharles8459 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali xana jamaa yng pga kazi tuko pamoja xana

  • @iamemma5860
    @iamemma5860 ปีที่แล้ว +5

    Oyaaa hii ngoma iende billboard kmmk🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿hao jamaa watengenezewe sanam aisee✌🏿❤

    • @angelapeter8825
      @angelapeter8825 ปีที่แล้ว

      Kontowa na Toxic hiyo ni kazi mzuri bro endelea bro

  • @humtomreyson5032
    @humtomreyson5032 ปีที่แล้ว +1

    Tatizoo ndo ilii apaaa ni kubwaa palee wanapokutana vijanaa majinii wanaojuaaa kama majinii ✊✊✊✊✊🙌🙌🙌

  • @chrisbayona411
    @chrisbayona411 ปีที่แล้ว +7

    Ngoma moja creative sana kaka Toxic✊🏾, wakati umefika Uchukue nafasi yako kati ya Marap bora Tanzania

  • @ramadhankhamis6216
    @ramadhankhamis6216 ปีที่แล้ว +1

    mm sio mpenzi wa hiphop, daah mi naanza kuipnda hip hop leo sio tena mwakaniiiiiiii, kiufupi kwny hii ngoma kila mstar una neno moja au zaid kanye ujumbe mzito unaokisi maisha halisi ya hapa tanzania, hawa vijana wajengewe sanamu zao pale nyerere square, serikali iwanyanyue kimanagement nasio kuwaza kuzifungia ngoma kama hii, ubora wa hii ngoma nisawa na ile ya ALIKUFA KWA NGOMA, ya FA na ile ya STAREHE ya FEROUZ, ifike wakat tuachane na ngoma nitongoze kama unanitaka maana zinawaharibu vijana, ila daaah kontawa pambana sana mwakani nakuona unapiga kolabo na JAY Z.

  • @sidathmwanga547
    @sidathmwanga547 ปีที่แล้ว +4

    Dah hii ngoma iko pow sana ipo vyema asee nimeisikiliza zaid ya mala 3 🙌🔥🔥

  • @puzzleman7062
    @puzzleman7062 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢Naona mwakani kuna watu siwaoni😢. Dah umagusia sana hako ka vesii🤜💥🤛

  • @SonmjubaSonmjuba
    @SonmjubaSonmjuba ปีที่แล้ว +2

    Sema kk toxic unajua bn ila iii ngoma ili ishaa apa apa

  • @zakariakasimila149
    @zakariakasimila149 ปีที่แล้ว +5

    Hata tukiitoa beat .... Huu mzigo ni 🔥🔥🔥🔥

  • @nassibumusic5569
    @nassibumusic5569 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah tawaaaa kuna watu siwaoni mwakani 😆😆😆😆😀

  • @maswaladigitalplatform.7613
    @maswaladigitalplatform.7613 ปีที่แล้ว +6

    Hizi ndio nyimbo, na hawa ndio mifano bora ya wasanii.

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia ปีที่แล้ว +1

    Tuanze na tukio la manara💥💥💥#mwakani.

  • @hakizimanadjuma167
    @hakizimanadjuma167 ปีที่แล้ว +5

    Uyu ndo TOXIC ninae mjua mimi: muandishi mzuri, ana flow zakikubwa alafu bado uyu jamaa ninoma sana

  • @claudymvanda2525
    @claudymvanda2525 ปีที่แล้ว

    "Daah kuna watu mwakani siwaoni" huu mstari unamaana kubwa sana...km umeuelewa weka like 👍

  • @robinmdamu3938
    @robinmdamu3938 ปีที่แล้ว +31

    You never disappoint Tawa na Toxic☠️🔥more love from 25flow🇰🇪tuonane mwakani

  • @khamissaid7712
    @khamissaid7712 ปีที่แล้ว

    Sema mshag #tox kuna kitu Amekisoma sana kwa roma uyu chalii dah nima big up tox # Kama kontawa #ndani ya nyimbo akili tu viva roma

  • @quilalaselemanesaidesaide9729
    @quilalaselemanesaidesaide9729 ปีที่แล้ว +5

    Unyama sana hi ngoma💪🏻

  • @samiryofficialmadinda9479
    @samiryofficialmadinda9479 ปีที่แล้ว +2

    Yeah twagize bear konyagi au mbegi ila mapenzi tuyaacheni

  • @gaspermisana7710
    @gaspermisana7710 ปีที่แล้ว +14

    Toxic verse whoooop , " naona ad tanesco wamewasha mishumaa 😁" toxic killed this

    • @revelationtz7842
      @revelationtz7842 ปีที่แล้ว

      Wew ni kontawa uyo kaka (I respect TOXIC but I think Kontawa killed in this track )

    • @nzogyamkumbo1654
      @nzogyamkumbo1654 ปีที่แล้ว

      Namuona meneja wa dawasco asubuhi haogi Bali ananawa... 🔥🔥🔥

  • @mbembefilms5379
    @mbembefilms5379 ปีที่แล้ว +1

    Mwakani tuisambze link tufike 1m views kwa mwezi mmoja

  • @directorshasibu
    @directorshasibu ปีที่แล้ว +15

    Kaka Toxic, Hii Ngoma Ni Kali Sana 🔥..... Nakubalii Sana Kazi Zako Keep Going On Ipo siku Wataamini Kwa Unachofanya Bro 🙏

  • @modecreatives6
    @modecreatives6 ปีที่แล้ว +1

    Hata Mwana aliyeahidi atakuoa kaweka ringtone ya Mwana FA... BADO NIPO NIPO KWANZA

  • @whitewolftv5447
    @whitewolftv5447 ปีที่แล้ว +5

    Mwamba anajua Yan hizi nyimbo huwa anatisha sana🔥🔥🔥🔥

  • @barakamwainuka2871
    @barakamwainuka2871 ปีที่แล้ว +1

    Dha! Si poaaa wanna mmetisha good idea👏👏👏👏👏👏👏

  • @saidndaki9783
    @saidndaki9783 ปีที่แล้ว +20

    Best hip pop collaboration 🔥🔥🔥

  • @faizatmfaume9051
    @faizatmfaume9051 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kaliiiii🙌🙌🙌#mwakani

  • @bigwallettvkomango4390
    @bigwallettvkomango4390 ปีที่แล้ว +11

    Brother hongera sana nyimbo nzr na video Kali.
    But Kuna kitu kimemiss bro. Ili kupata utamu wa video Kuna vitu ungeongeza kdg.
    Kwanza pale unaangalia kwenye darubini mara ya kwanza kabisa ilibid utulie kdg kias kwamba Kuna vitu umeona.
    Pili. Kuna scene ilibid uzitumie hasa view ya kwenye darubini paonekane kipi unakiona hata mara moja. Mfano inaweza kuonekana sub Crip za video za harmonize akiwa na kajala anamhonga hyo gar uliyoisema. Au video za tanesco wakiwa na mishumaa.
    Tatu. Hakuna sehemu ambayo umechana mistari ukiwa unaangalia kwenye darubini inaleta view nzr na tofut. Yan macho yanakuwa bizy kwenye darubini huku mdomo ukiendelea kutoa maneno
    Nne. Huyo kontawa alivyochana amekosa utulivu kwenye darubini sehemu aliyopatia ni pale tu lIposema darubini inaona hata peponi.
    Bro jitahid video izungumze yenyewe hata kama mtu akizima sauti video unaielewa.

  • @shobimzawa
    @shobimzawa ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali sana wanangu, mikazo iendelee..!!

  • @maxmilianmexades6684
    @maxmilianmexades6684 ปีที่แล้ว +5

    kontawa mg geee namkubali leo kesho huyu jamaa

  • @aloyceurio306
    @aloyceurio306 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh msg Kali Sanaa, mmegusa sehemu nyingi 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KirundoFilmsGroup
    @KirundoFilmsGroup ปีที่แล้ว +3

    Nimependa kila kitu mwakani big up

  • @Yo_tune-tb5sn
    @Yo_tune-tb5sn ปีที่แล้ว +2

    Dah kunawatu mwakani hawaonekani mungu nipe nafasi yakuwepo mpka mwakani🙏🙏🙏

  • @jurcxonmwita5469
    @jurcxonmwita5469 ปีที่แล้ว +16

    Its nice before even listening😍😍😍😍

  • @zackariarabieth4909
    @zackariarabieth4909 ปีที่แล้ว

    Ukweli kuhusu mwakani....."babe wako ana kibendi cha just a friend 🙌🏽

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 ปีที่แล้ว +3

    Hatimaye mmekutana nilikua naisubir sana hii collaboration. Ni hatariii8iiiiiiiiiii ❤️🖖🟫

  • @YoungpJoseph
    @YoungpJoseph ปีที่แล้ว

    Kila kitu ni muda tuu tazam mbele Big up mabro ambae mlifanya kaz imeenda 😎🌟

  • @shedrackdaudi3403
    @shedrackdaudi3403 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo wangu bora wa mwaka 🔥

  • @Triplek_online
    @Triplek_online ปีที่แล้ว +2

    Daaaaaah 🙌🙌nomaaaa

  • @lilmonitz4265
    @lilmonitz4265 ปีที่แล้ว +10

    Mwakani never disappoint my G 💥💥

  • @kirikuukirikuu5193
    @kirikuukirikuu5193 ปีที่แล้ว +1

    Toxic fuvu one of the best upcoming artist

  • @ketsonempire
    @ketsonempire ปีที่แล้ว +3

    Combination hatarii Hiii...💥💥🔥🔥🔥. Mob love from 🇰🇪

  • @elvisshitiavai7192
    @elvisshitiavai7192 ปีที่แล้ว

    Toxic fuvu na kontawa nawakubali nkiwa 254💪💪

  • @tausikwayu3150
    @tausikwayu3150 ปีที่แล้ว +6

    Guys you kill it!!!!! This is the best song to close the year👌👌👌👌👌👌👌👌

    • @teddykithi7339
      @teddykithi7339 ปีที่แล้ว

      Inaeleweka mwanangu tawa🔥🔥

  • @azoryyoramu9043
    @azoryyoramu9043 ปีที่แล้ว +2

    Hujawahi kuniangusha kaka ang

  • @philradjivwardenofficiel1644
    @philradjivwardenofficiel1644 ปีที่แล้ว +6

    Big Up 😇🥰
    This Is Good Vibes 🔥🔥
    I love this Song ❤

  • @gregorymaganga6732
    @gregorymaganga6732 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma kali ya kufunga mwaka.

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy ปีที่แล้ว +7

    MasterPIECE COLLABORATION

  • @mickdadybakari6052
    @mickdadybakari6052 ปีที่แล้ว

    Ngoma ni ya mwaka mpaka mwakani vichwa vya moto kwenye ngoma moja

  • @barretobacca9754
    @barretobacca9754 ปีที่แล้ว +4

    Good job guyz 🔥🔥🔥🔥 ngoma Kali sana. ❤️🇲🇿

  • @barakatv6855
    @barakatv6855 ปีที่แล้ว +2

    Roma ft stamina wapya🔥🔥🔥🔥

  • @hekimajohn3070
    @hekimajohn3070 ปีที่แล้ว +3

    Tox is the best artist in the world

  • @skills_fan1536
    @skills_fan1536 ปีที่แล้ว

    Mabro mnajua mpaka mnakera hili bonge moja la track litauza sana

  • @hagaimadonda9145
    @hagaimadonda9145 ปีที่แล้ว +5

    When two insane meet💥🔥

  • @lwitikomayele
    @lwitikomayele ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 Kaweka ringtone ya #MwanaFA bado niko niko kwnz

  • @amosjuma4362
    @amosjuma4362 ปีที่แล้ว +4

    Toxic X tawa wote n wakali sanaaaa hawa jamaa👏👏👏👏👏👏

  • @Yosemite6060
    @Yosemite6060 ปีที่แล้ว +1

    The song is touching..its hot 🥵 from Kenya wap like

  • @dladchalle9179
    @dladchalle9179 ปีที่แล้ว +5

    Another banger 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FAMILYSIMBA
    @FAMILYSIMBA ปีที่แล้ว +2

    KIZAZI CHENYE TALENT NZITO....

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 ปีที่แล้ว +4

    you guys is untouchable much love

  • @e_the_great_scholar1797
    @e_the_great_scholar1797 ปีที่แล้ว +1

    Nasemaje mwanangu Toxic na Kontawa mmeshatisha

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 ปีที่แล้ว +4

    Never disappointed 🤴 of rapper

  • @collyndenis
    @collyndenis ปีที่แล้ว

    😂😂ety Hadi ukiendaa kutoaa mimba unakatwaa tozo🖐🏾💥

  • @aloneswaggz1746
    @aloneswaggz1746 ปีที่แล้ว +4

    TOXIC IS DANGER 🔥