Binadamu tungekua tunasupport talent bila bifu ingekua poa. Huyu jamaa anaimba sana bila uongo. Shida tunasupport watu hawajui mziki huku wanaojua tunawaacha😢😢
FID Q Alishawahi kuimba "Unasema we ni mkali wakati studio na redio zinakupa promo ya hatari unaua GAME" Huyu mwamba kwa uwezo wake alitakiwa awe mbali sana ila hapewi Airtime
Jamaa anaimba live vizuri kama Lucky Dube, yaani anapanda na kushuka kwa mpangilio pia anaimba hadi sauti ndogo kabisa kama alivyokua anafanya lucky Dube kwenye live shows enzi za uhai wake. Huyu ndio msanii anaeweza kuimba live kama mziki ulioandaliwa Studio. Nimemsikiliza huyu jamaa nimempenda sana style yake ya uimbaji wa Live. Ninajua hata akiwa anapiga show za live atakua anaongezea vionjo zaidi kuliko Official Audio kama alivyokua anafanya marehemu Lucky Dube
toka day one kiukweli hua nikitulia lazima nije nisikilize huyu ni mnyama kwenye maunyama kiukweli anastahili sifa sana zaidi ya sana ONESIX kiukweli hongera sana ninaamini huwezi shuka kimuzi miaka nenda rudi hiki kipaji
Ukiachana na kipaji cha onesix niwe mkweli tu. Mi nimependa hizo manyonyo za huyo dada mwenye t shirt nyeupe 😆♥️♥️ nigeini # yake niwe naview hata status tu
2024, kali kama kila mara ndo unaisikia mara ya kwanza, na ukiisikia zaidi, inazidi kuwa kali zaidi💪🏾💫💥
Huyu jamaaa ni nyashiski wa bongo 🔥🔥🔥
Moja sita namfatilia kitambo huYu jamaa ni GENIUS wa huu MUSIC🎶🎼🎤🎵🎸🎺🎷🎹🎻
Leo ndo nimegundua kua mpaka watangazaji wakajisahau nakuanza kujiona ni wa back vocal na wengine ni mashabiki 😂❤❤❤
One six we ni noma nyanshiski ana tabu sana unampa competition kubwa akikuona ataumia big up sana
mungu bariki hiki kipaj cha huyuu jamaa🙏🙏 ipo siku tanzania itatambua uwezo wake 🐐🐐
Uongo dhambi nimejikuta nalia😤😅😰 this guy is real......we have to promote him, he's tallented.....
sasa umelilia nn mzee baba
😂😂😂@@wilfredmwakatundu8968
That's a real music. ..Why we don't support him. ... Truely like him
huyu mwamba atakuja kusumbuaaaaa sanaaaaaaa ana energy ya kutoshaaaaaaaaaaaaaaaaa
Dah! Man ni mkali. Kama mzuka huu na live show huko hv, bas salute kwako
Huyu onesix ninawasi wasi na uraia wake ..huyu hatokei dunia hii labda Jupiter kule....doooh kuna raia wanaimba asee
😂
😅😅😅😅
Kabsaa 😆😆😆😆🦸🪐
Hhhh
I see Nyanshiski in Tz🇹🇿✔️🔥💯
Huyu jamaa yuko mbele ya muda kabisa!! Na siyo wa level hizi!! 🍻
One Six brother kiwango Sana aaaa mpaka sio poa aiseeeee
Huyu ni kiboko yao kwenye live performance salute kwako and naenda kusubscribe coz of your talent
Noma sana oneSIX
One six salute mingi, brother I love you
Super Talent!! Tanzania watu wa talent hii Signing with Passion na hasira ya Mziki miaka Mingi Hakuna. Onesix Hongera sana
😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤
I just love yu man yani ur on top check onesix anatamba soon real talent ... keep on pressing love from kenya
Dahh kipaji unacho bro ila sapoti huna wanasubir ufe wakusife mm nakupa mauwa Yako kabisa 😊
One six ni mzito sanaa mwanangu nakuamini
Binadamu tungekua tunasupport talent bila bifu ingekua poa. Huyu jamaa anaimba sana bila uongo. Shida tunasupport watu hawajui mziki huku wanaojua tunawaacha😢😢
cjapata ona,mtu aliyebarikiwa asee...bigup mzee
Hahaha 🤣🤣😂😂 nimemkubali jamaa alivyo na mzuka na mziki,,,God bless you and your tlent
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Ooh My Good Lord, who is this guy?? He Tanzanian? Goosebumps all over,
Her name is "one six" go and find him u can know him well
One6 ana uwezo wa Kugusa kila kona wa moyo wako ❤🔥
Jamaaa noma sanaaaaaaa ni nomaaaa talented.kunawasanii wakubwa lakin live wanafeli.tuwasuport viumbe kama hawa.big up
Akija kuimba nyimbo za dini huyu jamaa watu wengi wataokoka niamini mm lkn pia neno lango sio sheria n kajimtazamo Fulani heavy!
Nakuunga mkono
Hakiamungu kuna watu wanavipaj bna dah ulikua wap jombaa
haleluya
Me pia naokoka jamani
Alikuwa anaimba kwaya uyu kabla ajaja uku
One six much respect to you keep it 120🤙🤙
aseh,,, nmefurahii sana bless up One six
FID Q Alishawahi kuimba "Unasema we ni mkali wakati studio na redio zinakupa promo ya hatari unaua GAME"
Huyu mwamba kwa uwezo wake alitakiwa awe mbali sana ila hapewi Airtime
Nyanshisky wa bongo hatari sana aseee
hii ni noma na nusu
Naic nyanshiski ndo one six wa 254.. Uyu ni balaa na nusu...
Sure sahihi
Piga nyundo hyo BANGO NI KUBWAA🔥🔥🔥
Imagine nasaka hii comment tu ilkuwa
nyashinski hamfikii huyu jamaa kwa kuimba, msikilizeni huyu mwamba vzry
Mm hari leo nairudia ngoma 2024❤
Mwamba anaudai muziki wetu pesa mingiiii sana. One six big up
Waambieni wakenya na sisi tuane Nyanshiski wetu hapa Tz🇹🇿🇹🇿
Nmemuelew all da bst bro @onesix
Duhhh, , big up saanaaa..br one six...ur a good and real singer...real talent.....
Huyu n anajua kuimba sana kwenye mkomboz ameua sana
Kapiga bonhe moja la mashup la chamber squad. Keep it up one 6
Onesix, Sorry Bro..., you're a music prophet in these pharaoh's time.....SUPER TALENT.... CHAMBER SQUAD
Nendeni You tube yake mka view akaunti yake Sasa muangalie kazi zake pia msisahau kusubscribe
gonga ndipo hapa...uyu jamaa anaimba kweli...toka +254 gonga like
Yaani nimerudi hii video mara kumi duuuu hongera brother kweli watu wanavipaji ila wengine wanakula kwa majasho ya wenzao
Jamaa duh, huwaga sipendagi misiki kama hii ila kwa kiwango kama hiki nacoment, ww unaweza kuimba brother!!!
Huyu jamaaa alikuaga wapi toka mwanzo mpka fake artsts wanavamia game kinazi nazi tuuu
He is coming special mzaz
@@accusciusanderson5466 sure budaa
Alikuwa anaimba kwaya huku kwetu
@@amanikudeli5297 daaah huyu jamaa anauwezo wa ajabu kwakweli Africa hamna
Hahahahaha kweli asee
Rama d njoo muone Mnyama anaetembea kwny mbuga bongo fleva tisha sana one6
Am back again to listen the heavy vocals from this man
Jamaa anaimba live vizuri kama Lucky Dube, yaani anapanda na kushuka kwa mpangilio pia anaimba hadi sauti ndogo kabisa kama alivyokua anafanya lucky Dube kwenye live shows enzi za uhai wake. Huyu ndio msanii anaeweza kuimba live kama mziki ulioandaliwa Studio. Nimemsikiliza huyu jamaa nimempenda sana style yake ya uimbaji wa Live. Ninajua hata akiwa anapiga show za live atakua anaongezea vionjo zaidi kuliko Official Audio kama alivyokua anafanya marehemu Lucky Dube
Jamaa linaimba ad najisikia raha, oohw my God blssd you..
Kipaji cha nguvu sana 🔥🔥
suzan kama kuna live naipenda kama hii
Huyu kiumbe hatari sana, asante Roma kututambulishia huyu mtu.
HUYU JAMAA YUKO TOKA KITAMBO WALA ROMA HAJAMTAMBULISH NI AKILI FUPI TUU ZA WATANZANIA KUSHOBOKEA UMAARUFU NA KUACHA UHALISIA
@@josephelvis9938 nimesha ona baadhi ya nyimbo zake za kitambo namshukuru Roma maana tumeanza mtambua baada ya kushirikishwa na Roma.
@@josephelvis9938 mm namfahamu tangu 2018 by the way wengi wamemjua kupitia Roma no doubt
Nilidhani ni nyashinski from Kenya,,,, one six is the most talented
👊👊u kill it brother....
Onesix Mtu mubaya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 💪💪💪💪
Nimerudi tena kuskiza one six anajua sana.
The meaning of being talented.... FIIIIIIREEEE One six
Jamaaa n noumaaaaah #FIREEEEEEEEEEEEEEE
2023 still watching 🫡🔥🔥🫡🫡
I love the energy
Ebhanaeeeee mambo yalikua ni motoooooooo balaaaaaaaa👉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥big up brother
where have you been bro??? kipaji chako kinaogopesha sana, how come mastaa mnaishi kama underground!!!?
#16 ni jini 🖤✌🏿💪🏽
One Of All Six My Ninja,,,,Nice Up Bigting.
Jaman uongo Ni dhambi kubwa sana,, yani ww nikiboko mungu akutie nguvu ufike mbali broo🤞😍
Fundi sanaaaaaa, natamani sana awe na collabo nyashiski itakuwa Bonge la ngomaaaaaaaa
Acha tu daah
Much talented One six
I Come back to watch this,
Maombi mengi sana kwako wakukaya
Onesix mtu mbad, hio mixing nimeielewa hasa kwa kuwakumbuka wanachamber🙌
Sijaona platform nyingine zaidi ya planet bongo inayosogeza vijana mjini sijaona huyuuuu jamaa anajua mnooo
Sema huyu jamaaa anajua sanaa na pia ni msikilizaji mzuri wa reggea music especially turbulence
The undisputed talent in Tz one six is like a time bomb 💣waiting to explode tik tok fake artist
Wooooo!! more than crazy talent
This is true music keep it brother
Da hii bongo watu wenye uwezo awapati nafasi kabisa
wats.................?wooooooooow he talented..he is fireeeeeeee
Who's listening to this masterpiece in June 2022?
This guy is a legend...I can as well feel saut Sol in him😍
Like he is Anointed 🙌
If am not mistaken !!?
Bro mbn ww nimsanii uko na kitu cha kitofauti sana ee pongezi unastahili
Acheni Mambo zaajabu mpeni mwamba nafasiyake jamaa anaimba Tanzania sijaona
🤔 Uyoo Jaamaa Ndoo Jini la kweli kwa music fucktop Mpeeni mdaa kama sah zima A 1-6 💪🏾
Mwana anajua du!!
This is undisputed boyka wa music 🎶 🎵
Talented ✊
Jamaa nouma Sana huyo akipata sapot nibonge la mwanamzk
One six mzee wa masaut tofaut tofaut ich ni kizazi cha Jamaica
Damn...this is music
One six nakuogopa kama Ukimwi🔥🔥🔥🔥
Mwamba ana og voice anajua sana Vivaroma
toka day one kiukweli hua nikitulia lazima nije nisikilize huyu ni mnyama kwenye maunyama kiukweli anastahili sifa sana zaidi ya sana ONESIX kiukweli hongera sana ninaamini huwezi shuka kimuzi miaka nenda rudi hiki kipaji
Uyu jamaa ndo angekuwa diamond asee Tz tungeuwa sana
Nimevutiwa xana na vibe muliyo Show kwa mshikaji ,mwamba anaweza.
Every I revist lazima niachie emoji za moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimerudia tena aseee❤😂😂 unyama sana. One6💥💥💥
Ayela uyo ninani joh hatari brother uko on top
Dullah, Jr, Mwamba anajua sana.
Touchable.... I appreciate you broo
Noma sana uyo jamaa anajua sana sema taratb ndo mwendo
Ukiachana na kipaji cha onesix niwe mkweli tu. Mi nimependa hizo manyonyo za huyo dada mwenye t shirt nyeupe 😆♥️♥️ nigeini # yake niwe naview hata status tu
Vedasto Genius hahahahah
Modenho Souza kwa kweli nikipata # itakua mukide