JK AWAFUNDA WASOMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
  • DAR ES SALAAM: RAIS Mstaafu, Jakaya Kikwete ametoa wito kwa mamlaka za elimu ya juu nchini kuhakikisha tafiti wanazofanya wanafunzi vyuoni ziwe na manufaa kwao na jamii ili tija ya elimu yao iweze kuonekana.
    Mkuu huyo wa nchi wa Awamu ya Nne amesema hayo leo Julai 06, 2024 alipotembelea Banda la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ndani ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba 2024) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

ความคิดเห็น •