KUKATWA CHANZO CHA UGOMVI KIKWETE NA LOWASSA | HATUUJUI URAFIKI WA BABA NA LOWASSA RIDHIWANI KIKWETE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2024
  • "Ukiangalia katika nyakati zote kuanzia mwaka 1995 jinsi ambavyo wao walivyoweza kuanza ku- dominate siasa za Tanzania wao wawili na wakaweza kufanikiwa kuchukua dola mwaka 2005 halafu wakatofautiana Edward Lowassa akiwa anataka kuchukua kiti mwaka 2015 na Jakaya Kikwete akiwa anapambana kumzuia asikichukue kiti.
    "Mwaka 1995 walikosa, walikuwa timu moja na kama utakumbuka Hayati Edward Lowassa alikatwa kwenye kamati kuu kwahiyo hakuweza kuingia hata Tano Bora na hiyo pia ilisababisha maneno. Watu wanaweza kufikiri Hayati Edward Lowassa alisababisha maneno 2015 peke yake lakini hata mwaka 1995 kulikuwa na maneno.
    "Yale maneno yalikuwa ni mengi zaidi kwa sababu mwalimu JK Nyerere aliandamwa sana. Hasa vyote vya habari walikuwa wakimuhoji. Kuna kipindi Mwalimu Nyerere akijibu swali la waandishi alisema anashangaa wanamuonea tu Edward kutaka kulizungumza hili jambo kwa sababu kamati kuu ilifanya kazi yake ikamkata na ikajieleza. Na kuendelea kumzungumzia Lowassa ilikuwa ni kumuonea!- @luqmanmaloto- Mwandishi Wa Kitabu cha KIKWETE LOWASSA, Urafiki, Ndoa ya kisiasa, Uadui.
    #PBCloudsFM
    #Tumekuverify
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 5

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 วันที่ผ่านมา

    Hakuna hoja wala nafhalia inayosimaa...zote ni hovyo tu...

  • @iambelnus
    @iambelnus 10 วันที่ผ่านมา

    Huyu kipanya amemkatsha mhojiwa haijakaa sawa😢

  • @mo-jj8im
    @mo-jj8im 10 วันที่ผ่านมา

    Jk is typing 😅

  • @alphanlukombe3774
    @alphanlukombe3774 7 วันที่ผ่านมา

    Lowassa alikuwa jembe zito fitina ndy zilimnyima kuchukua urais 2015

    • @ibrahimomari2458
      @ibrahimomari2458 วันที่ผ่านมา

      Lowasa Hakuwa mwadilifu...alisimamia tanzania kusamehewa deni lakin akachukua hela akazipeleka kwenye makanisa...