KATAVI SHINGO UPANDE BEI ELEKEZI YA MAHINDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ค. 2024
  • KATAVI: WAKULIMA mkoani Katavi wameonesha kutoridhishwa na bei ya ununuzi wa mahindi iliyotolewa na Wakala wa Hifadhi ya Chakula Nchini (NFRA) ya Sh 500 hadi 600 kwa kilo moja katika msimu wa 2024/25 kwa madai kuwa haikidhi mahitaji.
    Wakizungumza na Daily News Digital kwa nyakati tofauti baada ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kuzindua mfumo mpya wa ununuzi wa mazao kidigitali na kusema bei hiyo inawanyonya wakulima kwa kuwa haiendani na gharama za uzalishaji.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น • 2