ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MWINYI AJA NA MAELEKEZO KUKUZA BIASHARA NJE YA NCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2024
  • AIS wa Zanzibar,Dk Hussein Mwinyi amezitaka taasisi za biashara kuondoa urasimu Ili kuongeza biashara zaidi Kwa mustakabali wa kujenga wigo wa biashara na kukuza uchumi wa Taifa.
    Amesema serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Tanzania bara zina lengo a kuboresha mazingira ya biashara Kwa kuondoa tozo na Kodi Ili kukuza uchumi wa nchi.
    Dr. Mwinyi ameyasema hayo leo jijini DSM wakati akifunga maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu, sabasaba.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น •