Hoteli iliyochini ya Bahari Pemba inayotoza tsh milioni 3.5 kwa saa 24 kuongeza vyumba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 437

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว +43

    Nani kaja hapa baada ya kusikia mtalii mthungu kafa wakati akiwa huko chini ya maji akimchumbia mchumba wake kutoka Marekani?

    • @lindaakinyi5379
      @lindaakinyi5379 5 ปีที่แล้ว +1

      Mimi hapa

    • @slyben9097
      @slyben9097 5 ปีที่แล้ว +1

      Mimi

    • @jambo3751
      @jambo3751 3 ปีที่แล้ว +1

      Nasikia Choo cha hapo ni take away?

  • @justinwakudat6792
    @justinwakudat6792 6 ปีที่แล้ว +59

    Nimesema hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii silali pale ☝

  • @ashab2537
    @ashab2537 6 ปีที่แล้ว +62

    Kwa jinsi ninavyoyaheshimu maji, hapo🙌🙌🙌🙌Acha wafike wazungu maana wao hawajali uhai

    • @juniortonny6920
      @juniortonny6920 6 ปีที่แล้ว +2

      Asha b hahahahahahaaaaa 😘😘😘ugalii mtamuuu chezea uhai wew

    • @ashab2537
      @ashab2537 6 ปีที่แล้ว +1

      @@juniortonny6920 Acha kabisa, ninayooga bafuni yanatosha, ila ya Bahraini 🙌🙌

    • @juniortonny6920
      @juniortonny6920 6 ปีที่แล้ว +1

      @hahahahahahaaaa poleee ata kwenye swiming pool hauend

    • @mayusahussain8045
      @mayusahussain8045 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @ashab2537
      @ashab2537 6 ปีที่แล้ว +1

      @@juniortonny6920 mie, sisubutu, mle ndio nitazama na kufa

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 6 ปีที่แล้ว +86

    hapo ndan na mm silali hata Kwa dawa hata ikiwa bure

  • @qulthumameir7480
    @qulthumameir7480 6 ปีที่แล้ว +19

    tusichezeane roho nasema nikiwa kwenye boti tena inatembea nasoma dua mpk nifike nnakoenda NASEMA TENA TUSICHEZEANE ROHO 😎😎

  • @saidasuleiman3253
    @saidasuleiman3253 6 ปีที่แล้ว +52

    Zanzibar nayo haishiw mara hotel zinaelee mara chin ya bahar 2nasubiri hotel ya hewani xx

    • @marymasanyiwa3529
      @marymasanyiwa3529 6 ปีที่แล้ว +2

      Haha hahaha nimecheka kizungu

    • @fatmax8710
      @fatmax8710 6 ปีที่แล้ว +1

      ndìo maendeleo hayo

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว

      Hehehe hewan hotel ya majin au😂

    • @zenjistar2676
      @zenjistar2676 6 ปีที่แล้ว

      Saida Suleiman itakuja2 usijali

    • @erodiasmallya406
      @erodiasmallya406 6 ปีที่แล้ว

      Saida Suleiman Mm hata bure siwez lala. Hatakuingia tu siwez.

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 6 ปีที่แล้ว +1

    Brother beautiful duguzagu Zanzibar good jobs message USA marekani duguzagu kazimzuri

  • @saumujuma9360
    @saumujuma9360 5 ปีที่แล้ว +3

    Napenda kuogelea sana, na ndio starehe yangu kubwa, ila hapo hapana aiseeee🙌🙌🙌

  • @asminkaisa2640
    @asminkaisa2640 6 ปีที่แล้ว +19

    Duh! hiyo kiboko ila mmh unalala roho mkononi

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 6 ปีที่แล้ว +19

    Mara shark katoka zake huko kachanganyikiwa ana njaa heheeee cpat kusema jaman mbona dkk tu kashawaingilia lakn chumba kimetuliaaa sana sana nimevutiwa me ningekuww na hiyo milion na ushenz ningekuja lkn nataka kujuwa usalama upo vp maana kuna emergency za hapa na pale 😂😆

    • @jenephjany7445
      @jenephjany7445 6 ปีที่แล้ว

      Subrynery Segerow umeongea point

    • @elizabethcharles5811
      @elizabethcharles5811 6 ปีที่แล้ว +2

      Subrynery Segerow 😂😂 mi hata ndani siingii lol

    • @hamisisha
      @hamisisha 5 ปีที่แล้ว

      hatareee

  • @kevinalphonce9584
    @kevinalphonce9584 6 ปีที่แล้ว +6

    Kama kuna mwenzangu alikitumia chumba hch honeymoon like chap😎

    • @amanistephano5208
      @amanistephano5208 6 ปีที่แล้ว +2

      Kevin Alphonce nakumbuk nilikitumia icho chumba kwa siku 3. ilikua raha sana. dah natamn nirudi tena vile unaon samaki waki zurura kando ya kiooo unais unaishi nao

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 6 ปีที่แล้ว

    Kama nawewe huwez lala humo kam Mimi hebu like

  • @binthysaid2764
    @binthysaid2764 4 ปีที่แล้ว

    Mm ntakuja tembea huko pemba kwa iyo resort...ila cna family huko cjui itakuaje

  • @miriyamasanja6766
    @miriyamasanja6766 5 ปีที่แล้ว +3

    Hii roho ni yangu au nimeazima mpk nilale humo?

  • @patricklary8239
    @patricklary8239 6 ปีที่แล้ว +14

    Ila ni heri nitoe kitanda nje kwenye mvua naweza lala usiku kucha nikilowa na kupigwa na baridi kuliko kulala chumba hicho.. Kwanza nitahisi nalala na majini ya baharini kila nikifumba macho

    • @aminafesali5817
      @aminafesali5817 6 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁

    • @elishapaul9423
      @elishapaul9423 6 ปีที่แล้ว

      Hkn kuchezea maisha kwan samaki mbna tunawaona kwny media nying2 uhai mhim bn kwny meli hatulali humo tulale tn Uko mwnyw

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @glorykessy1498
      @glorykessy1498 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂umenifanya ni cheke p

  • @millermsouz9785
    @millermsouz9785 6 ปีที่แล้ว +13

    Natamani kuja happy lkn 3.5 milion Sina..labda nipate mfadhili

  • @allyntunda963
    @allyntunda963 5 ปีที่แล้ว +4

    Hii inaitwa kujitakia kufa wala haina msaidizi umeenda mwenyewe na umelipia, ikitokea Tsunami na upepo wa ukweli hapo ndo utaelewa namaanisha nini.

  • @felisterdanson3812
    @felisterdanson3812 5 ปีที่แล้ว +18

    Nime cheka sn baada ya kusoma coment. Wengi wanao ogopa kulala hapo ni wanaume

    • @nureyna629
      @nureyna629 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @MA-kh2lr
      @MA-kh2lr 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kwizeraasma6344
      @kwizeraasma6344 4 ปีที่แล้ว

      Nawawo wana roho

  • @nurumambovphelman7852
    @nurumambovphelman7852 6 ปีที่แล้ว +8

    Nimezariwa siku moja nitakufa siku moja chakufanya sitaki kuambiwa nichangieni niende

  • @mdomani2404
    @mdomani2404 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaman ikitokea ni kapelekwa kama ni bbay walai bora tuachane tu siwez kulala🤣🤣🤣🙌

  • @judithpaul5946
    @judithpaul5946 5 ปีที่แล้ว +3

    Pumzika kwa aman Steven Weber... tutakukumbk daima

  • @juniortonny6920
    @juniortonny6920 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice xanaaa wenye nazoo wafaidi cc wengne waacha tufaidi kwa machoo

    • @rehemaomary2522
      @rehemaomary2522 6 ปีที่แล้ว

      Hapana kwa kweri siining'inizi roho YANGU kama nyama buchani silaliii

  • @Donitaltd
    @Donitaltd 6 ปีที่แล้ว +3

    Nimeshalala 2 times hata hakuna shida yoyote.

  • @jenephjany7445
    @jenephjany7445 6 ปีที่แล้ว +12

    Sasa hpo ukiwa unaangalia vivutio samaki ukiwa room"ghafla linatokea big biiiig fish je litakuvutia kuliangalia au ni mwendo wakuzirai tyu"daaah

  • @roda2mwajuma260
    @roda2mwajuma260 6 ปีที่แล้ว +21

    Humo siwezi lala ata nipewe na hela juu siwezi.

    • @happinessmillanga982
      @happinessmillanga982 6 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @aminamfaume4244
      @aminamfaume4244 5 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhhh ingekuwa msikiti wallah ngelala ila hotel ....mmmmh mwenyezimung akichukia mazira wepesi kuwafunika

  • @ilovemyfamily8925
    @ilovemyfamily8925 5 ปีที่แล้ว +3

    Hata mm siwezi lala hapo heri nilale kwa forest lkn hapo c wezi aaaah raha ya nn

  • @ramadhanmaulid4088
    @ramadhanmaulid4088 5 ปีที่แล้ว +4

    Ninasemajeee! Hata hizo 3.5 millions ingekuwa napewa mm. Sipo tayari kulala humo hata dakika 30.

  • @chalababy1317
    @chalababy1317 6 ปีที่แล้ว +14

    Zanzibar oyeeeee

  • @kashambanange6843
    @kashambanange6843 6 ปีที่แล้ว +27

    Nyie mnafanya maskhara Na bahari...huuh apo clali hata bure.kifo cha maji si mchezo ...

    • @rosemillanzi1572
      @rosemillanzi1572 6 ปีที่แล้ว +1

      Kashamba Nange tuko weng mwaya ata mie sithubutu

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว +1

      Sisubutu ht kidogo

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 ปีที่แล้ว +1

      Acheni woga uo😜😜😜👌🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @kashambanange6843
      @kashambanange6843 6 ปีที่แล้ว

      Amne Mkubwa hahahaaaaa....m mwisho Wa kuchezea maji ni bombani...hahahaa

    • @samirnaty8774
      @samirnaty8774 6 ปีที่แล้ว

      Kwa mbali tu wangu ukienda kipo tofaut japo mm ckulala kwa woga

  • @millicent9155
    @millicent9155 5 ปีที่แล้ว +4

    Mwanaume yule kafia apa ndani aki propose, apa Mimi siwezi

  • @dianamkuna2898
    @dianamkuna2898 5 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli mm siwez ingia hotel km hyo mengne yanipite tu

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 ปีที่แล้ว

    Inshaallwah ma dream siku yoyote ile nitakayokwenda kutembea nyumbani ninataka nikalale kwenye hii room napenda sana mambo kama haya na nimeondoka nyumbani muda mrefu sana vishafanywa vitu vingi sana nolivyokuwa sijaviona katika macho yangu.

  • @rashidmohammed9875
    @rashidmohammed9875 2 ปีที่แล้ว

    Ngoja nijifunze kuogelea halafu nije kulala🤣🤣🤣

  • @saidasuleiman3253
    @saidasuleiman3253 6 ปีที่แล้ว +22

    Yaan unakufa kiengereza full kiyoyozi.

    • @hamzalusinde3068
      @hamzalusinde3068 6 ปีที่แล้ว

      Hahaha kingereza

    • @hajjihajji8587
      @hajjihajji8587 6 ปีที่แล้ว

      Saida Suleiman hhahaaaa saida mambo vp

    • @tilaboy9670
      @tilaboy9670 6 ปีที่แล้ว

      Mambo namba yako plz

    • @jafarijuma7376
      @jafarijuma7376 6 ปีที่แล้ว

      Njoo nikutembeze utoe woga

    • @dulakess8928
      @dulakess8928 6 ปีที่แล้ว

      Saida Suleiman saida njoo watsap

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 ปีที่แล้ว +9

    Siwezi kupata usingizi kwa ushamba wangu

  • @bettynduati7106
    @bettynduati7106 5 ปีที่แล้ว +1

    mm na maji sio marafiki🙅

  • @tinagorges3741
    @tinagorges3741 5 ปีที่แล้ว

    Mmmhhhhhh mimi huko chini siwezi kulala hatanipigwe viboko .sisogei labda hao wazungu. Majikwao kawaidatu

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaah kuko smrt lakini siwezi lala hapa akii atareee 😂😂 😂👆

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 ปีที่แล้ว

    Nataka kuweka booking wekeni namba. Hivyo vyumba vingine mtakavyo Jenga wekeni nafasi Pana ya kushuka chini lakini pia ongenzeni kiwango Cha kulala hapo Ili papande thamani

  • @rashidsalum8093
    @rashidsalum8093 4 ปีที่แล้ว

    Vizur sana tz

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 ปีที่แล้ว +1

    Sisi tulianzicha hii room kuwatambulisha watu kwamba sisi tuna akili an maarifa sana na tuna muono wa mbali kulikoni waafrica kwa sababu Tv ya rangi kuanzisha ya kwanza ni Zinjibar na hii room for da h ....Africa ya kwanza ni Zinjibar sawa?

  • @laurentmbuya2536
    @laurentmbuya2536 6 ปีที่แล้ว

    Ah salvator apa nalal@ vizury tu mbona watu waoga kwan kuna nn nimoton useme unaungua hi sem iko saf sana

  • @ABDICOM-xu3dr
    @ABDICOM-xu3dr 6 ปีที่แล้ว +1

    Labda jini ndo atalala lakini binadamu wa kawaida🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ramadhanmusa2878
    @ramadhanmusa2878 5 ปีที่แล้ว +1

    Mushamtoa chambo mzungu kafa hotelini.. Aya hawaji tena

  • @rauhiyafasihi8908
    @rauhiyafasihi8908 4 ปีที่แล้ว

    Hamna adabu nyinyi kwahio wageni wenyeji wote bei moja msiseme uongo hii mmekusudia kwa hao wageni tu na sio wenyeji hivi Tanzania wanapesa gani wanachi wke wa kuja hapo ata wajipange vip msitufokeee

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwann ikawekwa bahar na nnchi kavu mnacheza na mungu au nnchi kavu zimeisha sehem za kujenga hotel loooh me sisubutu ht

  • @peterjohn8745
    @peterjohn8745 5 ปีที่แล้ว +4

    Nimemaliza kusoma comment nimecheka lakin dah!kuliko kulala hapo bora nilale juu ya mti

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni chumba AMA hotel?
    Hii ni nyumba yenye room moja inayoelea

  • @mussamuna8258
    @mussamuna8258 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh! Ndaniyamaji boranikalale stend

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 5 ปีที่แล้ว +2

    Mmh! Hapana aisee ! Yataka moyo! Kulala humo ni kutaka kukaushana damu kwakweli!

    • @asayubeejr1199
      @asayubeejr1199 5 ปีที่แล้ว

      Tinnah Bernard hhhhhhhhhhh🤩🤣😂

  • @justinwakudat6792
    @justinwakudat6792 6 ปีที่แล้ว +10

    Ila ukikiona kwambali utazan n mtumbwi😁😁😁

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 ปีที่แล้ว

    hio sio hotel bali hilo ni Aquarium okay pals?

  • @marychilala8928
    @marychilala8928 6 ปีที่แล้ว +1

    wow nimepapenda sana IPO siku nitatimiza ndoto zangu

  • @annacoster9271
    @annacoster9271 6 ปีที่แล้ว +11

    Home swt home pemba

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 6 ปีที่แล้ว

    Mbona hizo mbao hamuzipigi vanish mnaziachia zinakuwa weathered? Nakumbuka siku za mwanzo zikivutia sana

  • @jacklinejohn222
    @jacklinejohn222 3 ปีที่แล้ว

    Nanyie bongofive mnaboa sasa hio nembo katikati nayo ya nini sasa

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 6 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana ongerani

    • @mwalimumhunzi6694
      @mwalimumhunzi6694 6 ปีที่แล้ว

      Subhanallah! Yote hiyo ni kumfanya binadamu asahau maisha ya Akhera na kuzidi kuikumbatia Dunia!. Geo now wajenzi huru bwana wanakwambia "nthing is impossible under the sun"! Itafakar hiyo "Kwnini" eti yeye(Allah)aweze wao washindwe! Kumbe hiyo ni Rehma moja tu ya Allah alompatia binadamu kutoka ktk Rehma 100 za Allah na miongoni mwa Ilmu/Elimu kiidogo tu alojaliwa binadamu na Mola wake Muumba. But binadamu kutokana na Rehma na Ilmu hiyo alojaliwa na Allah inafikia wakti binadamu anafanya Kibri na Kufuru ana msahau Mola wake Muumba na kujiona yy binadamu ni mjuzi zaidi na husika wakti akajipangia dini na Miungu wa kuabudu nawapo wanaoamini kuwa eti hatupo Mungu! "Innalillah wainna illahyi rajiyuna"!

  • @Lynnalice217
    @Lynnalice217 6 ปีที่แล้ว +3

    ivi meli ikipotea njia hapo ikagonga😯

    • @zuhuraiddy8539
      @zuhuraiddy8539 5 ปีที่แล้ว +2

      Weee mm silali ili iweje Kwanza hata sitaman ng'oo

    • @aminashq1181
      @aminashq1181 5 ปีที่แล้ว +1

      wallah umenichekesha sana

  • @felixntimba4366
    @felixntimba4366 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaan hiyo mihela yote kwa siku moja!!!!!! nashukuru imeitaja in term of dollar maana ungeitaja kwa kuswahili ungenimalizia chaj yangu bure

  • @iddirashid8038
    @iddirashid8038 6 ปีที่แล้ว +10

    mwandish naww umeosha umevunja record

  • @anniendirengombo1070
    @anniendirengombo1070 5 ปีที่แล้ว +2

    This is so unique but at the same time its so scary ....

    • @adusamuel9033
      @adusamuel9033 2 ปีที่แล้ว

      I had loved it but its scarely somehow. I think i cant sleep at night

  • @lobalobaanase438
    @lobalobaanase438 6 ปีที่แล้ว +4

    mbona hujaonyesha jinsi unavyoingia ktk chini ya maji hatua kwa hatua umeshrtcat mno,ila nasubiri sunami tuone uimara wake ila watu wasiwepo Hiyo siku Mungu wa mbinguni awanusuru

  • @farajachengula9227
    @farajachengula9227 4 ปีที่แล้ว

    Wanapitia wap wanavoend kulal😁😁 hu ni ushamb ash nife nao

  • @focustz4408
    @focustz4408 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtakuja kulala na chini ya ?

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 5 ปีที่แล้ว

    Mm nilishafika huko Kwa chumba nilizani sitatoka Kwa hofu da nishida

  • @noelamilambo9595
    @noelamilambo9595 5 ปีที่แล้ว

    Nasema hivi ntalalia sita kwa sita Tena Cha mbao nikibadili Ni kitanda Cha chuma 😂😂 huko waende wadhungu tu mi sithubutu na siendi huko ng'ooo

  • @husnakijoji4082
    @husnakijoji4082 6 ปีที่แล้ว +17

    Dahh mi naona mawenge tu yani kifupi sielewi naona kama naota tu

    • @juniortonny6920
      @juniortonny6920 6 ปีที่แล้ว +1

      Husna Kijoji angalia ucje ukajikuta uko baharini

    • @alymwala9471
      @alymwala9471 6 ปีที่แล้ว

      Karibu uone kwa nacho yako usikubali kuhadithiwa

    • @fathiyazakuani1339
      @fathiyazakuani1339 5 ปีที่แล้ว

      Husna Kijoji ysm

    • @azizially1592
      @azizially1592 5 ปีที่แล้ว

      Husna Kijoji Mambo ?

    • @azizially1592
      @azizially1592 5 ปีที่แล้ว

      Husna Kijoji Naomba nikupeleke ukapaone nitumie namba yako

  • @farajachengula9227
    @farajachengula9227 4 ปีที่แล้ว

    Mim hpn jmn naogp maji hat kuog tu😁

  • @thuwabaabdi8869
    @thuwabaabdi8869 6 ปีที่แล้ว +14

    Chumba hakina tatizo nimeshawah kuingia ukikiona kwa nje tu ndo utaogopa ila ndan raha tupu

    • @hassannchalika5383
      @hassannchalika5383 6 ปีที่แล้ว

      Ipo poa makn snaaaaaaaaa muhim furah yote yanawezkn

    • @samirnaty8774
      @samirnaty8774 6 ปีที่แล้ว

      Kwel ata mm pia kipo vzr sana ata hotel ya juu iko utuliv

    • @ipyanamsomba8026
      @ipyanamsomba8026 6 ปีที่แล้ว +1

      Fala ww umefika lini? Unajua bei ya kufika apo kiavi ww? Wabongo aisee

    • @neemampinga5712
      @neemampinga5712 6 ปีที่แล้ว +2

      @@ipyanamsomba8026 usimzarau usie mjua wewe, mjinga sanah mbona wengine tushalala humo

    • @bonifasernest809
      @bonifasernest809 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 Nom saana

  • @chascowena7542
    @chascowena7542 5 ปีที่แล้ว +1

    Mhhhh sina hukidume huwooo maha ata maji ya ugoko kwangu mtian

  • @abdullahmullahmshirazy904
    @abdullahmullahmshirazy904 2 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @queent7841
    @queent7841 6 ปีที่แล้ว +7

    dunian kuna mambo

  • @calowamaye4009
    @calowamaye4009 5 ปีที่แล้ว

    Je ???🤭👁how is security where’s is save guider🤷‍♀️ 🤦🏽‍♀️ first of all let we talk the sifter please☝🏽📢 wake up Africa’s 👂🏾

  • @blancamushi8522
    @blancamushi8522 5 ปีที่แล้ว +1

    Waooo hi sehemu ninzuri nanimeipenda tunaomba kwa sisi wa Tanzania bei iwe chini kidogo tofauti na wageni kutoka njee.
    Ata week ela ikiwepo nalala na kuota

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 5 ปีที่แล้ว +1

    Woga wengi tena wanaume,kwaio ata kwenye submarine hamuezi kuingia .ushamba umewakolea

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว

    Hata iwe kwa sh ngp Silal hapo

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 ปีที่แล้ว +4

    Nice place to meet...
    PEMBA ISLAND

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis3063 3 ปีที่แล้ว

    Mbona mi nimelala hapo tena raha mustarehe ukilala siku moja tu unataman ulale kila siku yan unainjoi alooo we acha2 yan sahv najichanga upya nikalale tenaa

  • @salehkhamis9978
    @salehkhamis9978 5 ปีที่แล้ว

    Zanzibar kuna mambo, mara tumeskia NYUMBA inaelea juu ya bahari kisha tukaskia chumba kipo chini ya bahari, tunasubir chumba kinacho Elea hewaniii

  • @تكراانزانيا
    @تكراانزانيا 6 ปีที่แล้ว +6

    Choo iko wapi

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ila hatari hiyo naohopa mmmh chini ya maji

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 6 ปีที่แล้ว +11

    Mara ghafura hayo mavioo yanapasuka paa maji yanaingia ndani duu.

  • @nancyshamba2441
    @nancyshamba2441 5 ปีที่แล้ว

    Na kwann woke chin ya maji??haraf katikati ya bahari??why??ebu funguka haraf kwann mtu azame kwa ghafra tu???au mnatumia making??ili mpate pesa coz Iwonderfully

  • @mumybhay6561
    @mumybhay6561 5 ปีที่แล้ว

    Nani alele apo?..heheeheeeee mi siee jamani

  • @kibokongurai4488
    @kibokongurai4488 6 ปีที่แล้ว +3

    duh kweli ni noma mi sikai hapo

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 2 ปีที่แล้ว

    Nimesema hiviiii silalii paleee🤔

  • @khayratsalim8576
    @khayratsalim8576 6 ปีที่แล้ว

    Niambiwe nipewe hiyo pesa na nilale bure sitakipp😂😂😂😂😂😂 naipenda roho yangu we

  • @celinelawrence5266
    @celinelawrence5266 6 ปีที่แล้ว +1

    yaaani ata mnipe mabilioni nilale silali na singiii nasema hiviii mtaingia wenywe hapa naangangalia kwenye mtandao tu nahidi mkojo unatoka we huko hunipeleki

  • @mshamhemed6607
    @mshamhemed6607 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nafanyakazi hapo msiwe nahofu nimaridadi mmnooo kithibitishwa

  • @samirnaty8774
    @samirnaty8774 6 ปีที่แล้ว +1

    Very nice

    • @mamishoseif2510
      @mamishoseif2510 6 ปีที่แล้ว

      minahisi hvyo nivya nguvu zagiza.mmmmmmmh wala siwez sogea

  • @celinelawrence5266
    @celinelawrence5266 6 ปีที่แล้ว +1

    ukikaona kwambali kama kabot kanayumbayumba ..yani hvyo unavyosema ukilala unaona samaki wanaelea sasa nitapata usingizi kweli

    • @sumayyaremmy556
      @sumayyaremmy556 6 ปีที่แล้ว

      aahhhaaa hilo balaaa😄😄😄

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 2 ปีที่แล้ว

    Popo bawa ndio kwake hapo ukiamka asubuhi ndio hivo tena

  • @mattarmohd61
    @mattarmohd61 6 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo nyinyi wabongo hamna bahari kaziyenu ngoma na wizi mtaweza kulala mule

  • @faridahmustafa3866
    @faridahmustafa3866 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata bureee siilali wee maji kitu kngne

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 6 ปีที่แล้ว +7

    Hapo me kusafiri kwa boti kwenda dar full mawazo sasa hapo kulala humo usiku mmoja na mijihela hiyo daaah itakuwa ngumu

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว

      @@bigkihanga1628 ni kwel my niliona mtangazaj mwingine aliingia humu khaaa cwez

    • @salhatphidelis8884
      @salhatphidelis8884 6 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahahahah Mohamed

    • @mohammedabdallah6390
      @mohammedabdallah6390 6 ปีที่แล้ว

      @@salhatphidelis8884 wallah ndgu yngu mie hapana kwa kweli

  • @pendoellytarimo2387
    @pendoellytarimo2387 5 ปีที่แล้ว +1

    Yannn hapo hunipeleki

  • @fatmarajabu7355
    @fatmarajabu7355 6 ปีที่แล้ว

    Mweeeeeeee ujanishawishiii bd

  • @ancomagu3155
    @ancomagu3155 5 ปีที่แล้ว +1

    Maji ni uhai ila ukizama baharini unakufa eti 🤓🤓🤓🤓 labda wazungu eti

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 5 ปีที่แล้ว +1

    Wallahi hata ingekua kulala hotel hiyo ni free of charge mi silali,ya nini roho yangu niichezee kamari?Mi sija maliza kufanya tawba,afu nikalale majini.

    • @drabdi6806
      @drabdi6806 ปีที่แล้ว

      Kwani kulala umo nakupanda ndege ipi hatari zaidi

  • @salehmuhammedsaid5088
    @salehmuhammedsaid5088 5 ปีที่แล้ว +1

    umesema ni ((kwaajili ya watalii kutoka duniani)) kwan we upo akhera apo????