Mtanzania Benjamin alivyonyoa Nywele Marekani alafu mfukoni pesa haitoshi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Benjamin Fernandes ni Mtanzania ambaye kila mmoja anaefahamu historia yake anafurahia jinsi alivyofanikiwa hivi karibuni mpaka akafanikiwa kupata kazi kwenye kampuni ya tajiri wa dunia Bill Gates.
    Kwenye hii video Benjamin anatupa sehemu ya historia yake na jinsi alivyokua anafeli Darasani lakini pia anaelezea jinsi alivyofika Marekani na alichokutana nacho.

ความคิดเห็น • 43

  • @telesphorebideberi4298
    @telesphorebideberi4298 7 ปีที่แล้ว +3

    God is good Benjamin. God has lifted you high and WILL do more to you. Amen

  • @shohamuwokovuhalisi.2648
    @shohamuwokovuhalisi.2648 7 ปีที่แล้ว +10

    I like his story. .everything is possible if you believe in GOD and yourself. Amen

    • @mzanionlinetv1010
      @mzanionlinetv1010 7 ปีที่แล้ว +1

      thnks kijana ,naamn without god it's imposble

  • @Jackiedaniel75
    @Jackiedaniel75 5 ปีที่แล้ว +3

    huyu jamaa ni billionaire.. I'm inspired

  • @kato_tz
    @kato_tz 7 ปีที่แล้ว +3

    I am more inspired bro, hii imenionyesha hakuna ajuaye mwisho wake bali bidii na shauku yake ya kufika at the peak

  • @dioben7845
    @dioben7845 7 ปีที่แล้ว +3

    Asante bro nimejifunza kujiahamin thanks

  • @rhodamoraa3166
    @rhodamoraa3166 7 ปีที่แล้ว +3

    gud interview learnt alot

  • @tkvlogs3969
    @tkvlogs3969 7 ปีที่แล้ว +6

    kwenye hilo la njia ya kufundisha tunatakiwa tujifunze sana watanzania , tusikariri kwa ajili ya mitihani bali kuelewa na walimu wanatakiwa kuwapa nafasi wanafunzi ya kueleza maoni yao ili kujenga confidence .

  • @happychipanyanga2021
    @happychipanyanga2021 7 ปีที่แล้ว +1

    thanks brother umenifunza Ku yote yanawezekana km ukiamua

  • @danielromario5183
    @danielromario5183 7 ปีที่แล้ว +5

    the best motivation iv ever heard

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 ปีที่แล้ว +3

    wow nice bro

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 5 ปีที่แล้ว +1

    "I need to be the head and not a tail" kama unaamini unaweza like tue pamoja

  • @gangmember1575
    @gangmember1575 7 ปีที่แล้ว +7

    America kitu kingne xio bongo dola kule

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 kwenye duka la kukatia nywele, nmeipenda sana iyo...

  • @linagakii7151
    @linagakii7151 7 ปีที่แล้ว +4

    Always don't judge 📖📖by it 📕📚

  • @allyomary9318
    @allyomary9318 7 ปีที่แล้ว +1

    keep it up fernandez

  • @sankofa2231
    @sankofa2231 7 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri umerudi kusaidia kujenga nchi. Wenzako tumerudi Bongo miaka mingi iliyopita, tumeacha kazi sehemu kubwa kubwa tuu in Wall street, Gov institutions, na Pharmaceutical companies. Wengine na Phd zao tumewaacha huko...

  • @geofreykaholwe2499
    @geofreykaholwe2499 5 ปีที่แล้ว +1

    Huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja kutoka kwa huyu jamaa. Anasema kazaliwa Tanzania na kukulia Tanzania. Kwanini Kiswahili kinampiga chenga? By the way yuko vizuri sana. ANAJIELEWA.

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 5 ปีที่แล้ว

      Wahindi wengi tu Tz mbona hawajui kiswahili japo wamezaliwa na kukulia Tz mpk leo.Tena huyu anajitahidi sanaaa.
      Wenzetu hawa wamezaliwa Tz hata wazazi wao pia lakin mara nyingi wanatumia lugha za mababu na mabibi zao ,na kiiingereza tu japo ni Watanzania.
      Af mashule wanayoenda sio Kayumba,wanasoma shule ambazo wanafunzi wooote wanaongea kiingereza tu kwa mda mrefu,akienda nyumbani hivyo hivyo kiswahili sio sana.Unafikiri ataweza kuongea kama mswahili wa uswazi huko+ shuleni Kiswahili masaa yote unaingia hadi unatoka.Nyumbani ndo usiseme,kiswahili cha kila rangi unaongea.
      Hamuwezi kufanana bro

  • @sidiwizysidwzy533
    @sidiwizysidwzy533 5 ปีที่แล้ว +1

    nice bro

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 ปีที่แล้ว

    nic broo ,,, nimejifunza kitu

  • @ashurathomas482
    @ashurathomas482 5 ปีที่แล้ว +1

    Lakini kiswahili chake mmmmh sijui inglish imemukaa sana 😅😅😅

  • @wachachemwenda2003
    @wachachemwenda2003 7 ปีที่แล้ว +1

    nice

  • @maryshirima3049
    @maryshirima3049 7 ปีที่แล้ว +2

    sjui watu kama hawa tunawatumiaje ? altakiwa afanye formation ya dira ya taifa.....

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 ปีที่แล้ว +6

    Kunabahaz yawatu wanaona marekan kama mbingun vile

    • @muddaththirhamoud1240
      @muddaththirhamoud1240 7 ปีที่แล้ว +5

      Fafi 90 yah ni kweli but alipofika wewe hujafika sasa usimtilie kijicho mwenzio

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 7 ปีที่แล้ว +3

      sio kijicho. ameongea point muhimu sana. Yaani waswahili wanaona kuishi marekani ni kama wameingia peponi. aibu sana hii

  • @ezekielmbise3723
    @ezekielmbise3723 7 ปีที่แล้ว +1

    glory to god

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 ปีที่แล้ว

    watanzania tunaupendo sana na huruma

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 5 ปีที่แล้ว +1

    Jmn kaka ndg yng unapatikan wp mm nakutafuta nakuomba nitafute kwa no yng hii +255622259604 nipo imo tu kwa no hii kam unatumia WhatsApp nitumie tutafutane kimaisha kaka

  • @matarasteven5715
    @matarasteven5715 7 ปีที่แล้ว +3

    Huyu atakuwa mtoto wa Mtumishi wa Mungu Fernandis wa ATN. Hakika kumtumikia Mungu kunalipa hadi watoto wananyanyuliwa.

    • @JBB875
      @JBB875 7 ปีที่แล้ว

      Matara Steven kabisa yan. Kumtumikia MUNGU kuna faida. yule Mchungaji venon Fernandez. Na mkewe ann fernandes wa television ya ATN.

    • @jacksonmkuye7739
      @jacksonmkuye7739 7 ปีที่แล้ว

      Kwel kaka uyu ni mtoto wa venon fernandes

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 7 ปีที่แล้ว +3

    mwalimu wa kbongo ukiulza sana lazma uchukiwe elmu ya bongo bhana?

  • @nzegeatv6355
    @nzegeatv6355 4 ปีที่แล้ว

    2019

  • @omarymrisho1674
    @omarymrisho1674 7 ปีที่แล้ว +6

    mchawi pesa nazani ndo imekusaidia wewe

    • @abusalman5139
      @abusalman5139 7 ปีที่แล้ว +1

      Asante

    • @kidahyarevocatus8203
      @kidahyarevocatus8203 7 ปีที่แล้ว

      Omary Mrisho 😁😁😂😂

    • @ibrahimbalhawasel5458
      @ibrahimbalhawasel5458 7 ปีที่แล้ว +1

      Omary Mrisho :SAWA KABISA DADA YAKE WALIKUWA ANAAKILI SANA SHULENI,AKAPATA KUZAWADIWA SCHOLARSHIP KWENDA SOMA OVERSEAS NA YEYE ALIKUWA MTUNDU SANA NA ALIKUA DAIMAN WA MWISHO LAKINI AKAVUTA SOCKS JUU AKASEMA MUNGU NISAIDIE NIWE WA KWANZA KABISA,MUNGU AKAMSAIDIA PIA AKAPATA SCHOLARSHIP KAMA VILE DADA YAKE. AKATOKEA WAKWANZA KATIKA WANAFUNZI WOTE MAREKANI ,NAMIMI LAZIMA NIPANDISHE SOCKS JUU KAMA YEYE,SORRY KAZI KUBWA HII NIMISAHAU SOCKS ZANGU ZA ZAMANI ZISIJE ZIKACHANIKA.

  • @sakinandoile9439
    @sakinandoile9439 7 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏

  • @beentertained537
    @beentertained537 5 ปีที่แล้ว

    Naweza pata his contract

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 ปีที่แล้ว

    marekani mambo ni magumu kweli

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 ปีที่แล้ว +1

      Ni Marshisi Maana wanakujenga katika uwezo wako wewe..Sio kukaririshwa kqma huKu na kama kukaririshwa ndio Elimu Rahisi sio nzuri hiyo. ila wanajiandaa Sio kujibu mitihani..Ukimaliza Chuo Kweli Ulichosoma Unauwezo wa Kukitetea Sisi huku hakuna hilo ni Kujibu ukimaliza hata Kozi uliyosomea ukiambiwa kuifanyia kazi hatuwezi..na Wengi huwa hatupendi kuongea na Presentation hatuzipendi.
      .Na huku huwa hatuangalii Uwezo wa mtu kwanza tunaangalia tu Marks hata kama Kichwani hizo A hazipo.Nineshaona kuna Watu Wana uwezo ila Marks zao za Kawaida Na Wanachukuliwa wale wanaonekana kuwa Marks zao za Juu Mwisho wa Siku wanashindwa wanakuja kwa Wale wenye za Kawaida..Kuna umuhimu wa Kuangalia Uwezo wa Mtu kwanza ndio Makaratasi Yaje..Hata kama nakaratasi yake hayajakaa vizuri sana Ila Uwezo uko Poa ni Bora sema hilo huku kufika Sio leo.
      Tuna complicate Sana hata pasipo takiwa
      Mtazamo Wangu tu.