Huyu Kijana Ametumia akili.Kuishi marekani hata ulipwe milioni 100,zitaishia kwenye kulipa morgage na life expenses.But kuishi Tz in few yrs you endup bilionea..Siyo swala la kukataa milioni 400.Ni genius aliyeona mbali.
Wow! Umikuja bongo sawa nandiyo maana umilud aujawai kuzipata changa moto za maisha kwenu Ella ilikuwepo toka kuzaliwa kwako kijana ila Mimi ningelikuwa ww nisingelud kamwe kamwe
Watching From Nairobi..Watanzania someni Masomo ni muhimu..Benjamini anasema watu hawajasoma alafu Huyu presenter ansema turudi kwa huhoja ya benefits za kudrop out..Really? Msidaganywe na Kina Bill Gates Kama alivyosema Benjamin hao ni wajanja They dropped out of the best schools........God Bless you Benjamin
Thomas Edison alisoma shule miezi 3 tu maisha yake yote n Henry Ford hakwenda shule kabisa kwenye maisha yake lakin hawa wote walikuwa ni billionaires....helimu haiko shule tu...but we have to go to school
Hahaaa, don't delete my comment please Times. Lambert sidhani kama kuna ukweli katika sababu za wewe kukataa Tshs.400 million kwa mapenzi ya Tanzania. Ulilazimika kurudi kwa sababu ya masharti ya scholarship yenyewe. Stanford University wanatoa scholarship kwa international student ili ujifunze maarifa na unapograduate urudi nyumbani kushare maarifa hayo na nchi uliyotoka. J1 or J2 visa unayopewa inakuta ukae nje ya Marekani takribani miaka 2 kabla ya kuomba visa ya aina yoyote kurudi Marekani. I dispute your story full or gross misrepresentation. I attended the open house there 2 years ago and found out the facts behind your story. Please share your skills with our people.
mbona kajibu hilo. kampuni zote zilizo muhtaji zili mpa ofa ya green card kabla hata ya kurudi home. pia kurudi after scholarship ni lazima lakini ikitokea umepata kampuni ya kukupa green card siyo lazma urudi home kwanza.
Ukweli ni kwamba moja ya masharti ya scholarship aliyopata ni kurudu nyumbani baada ya ku-graduate na kufanya kazi nyumbani kwa miaka kadhaa. Pia visa aliyopewa ambayo ni exchange no sharti urudi nyumbani kwani baada ya kuhitimu kwa gharama za msaada (scholarship) ili nchi yako ifaidi utaalamu ulioupata. Hivyo Benjamin hakutaka kuliweka wazi hili na hata baada ya huyo dada kuuliza. Ni tofauti na mwanafunzi aliyepewa visa baada ya kujilipia. Benjamin please be honest brother. It's not true you refused Tshs.400 million for the sake of coming back. It's a gross misrepresentation. I went to Stanford University for open house 2 years ago and learn the facts behind your case.
Kujua Stanford University scholarship program for international students pamoja na masharti fungua link hii hapa: bechtel.stanford.edu/immigration/visa-types/j-1-scholar/two-year-home-residency-requirement
Mm naona kujitambua kwa mwafrica mpaka ajitambue yeye mwenyewe wazungu wanatutenga lakini sisi wanatubagua aise tuludi kuijenga inchi yetu tz na afrika
Benjamin your one in Million my brother.Pure heart and good person,You have good parents.
God blessed.👍👍👍
Ubarikiwe,kuwa mzalendo na nchi yako we we ni mfano was kuigwa nakutakia maisha marefu my brother!
Nataman nione historia ya maisha yako mbk hapo ulipo fikia 😘😍kwwli God bless you brother Benjamin
What a nice Interview?? nimeipenda bure, safi sana....
Keep it up brother
Our God is powerful atazidi kukupigania
Jamaaa anaenda Kwa mipango balaaa na Mungu akusaidie milele Amina 😍
Very nice man home sweet home bro we need u more in Tanzania
Mwenyezi Mungu hakujaarie.
Nmekusoma broh upo sawa sana mungu akujaliee sana
Mungu akujalie Hekima yake uisaidie Tasnzania kusonga mbele.Ubarikiwe sana kuwa na (Hofu ya Mungu).
Jamaa yupo positive kwenye kile alichokilenga, ishu si milioni 400 ishu ni utandawazi wa maisha kwa ujumla, uhuru na uzalendo wa kimaendeleo.
hongera sana , nimepata kitu ,pia mungu atafanya kitu kwangu.
yourvery intelligent brother congratuate
Unajua sana we kijana ukweli kuna watu ni wateure toka kwa mungu
kweli kabisa
Mungu akubarik sana
Bomba
Benjamin ni vizuri pia ukawashauri vijana watanzania jinsi ya kupata nafasi ya kupata scholarships kama wewe ili waweze pia kufaidika kama wewe.
Nimekwelewa sana
all to all ,huyu jamaa anaongea point.
nikweli hicho unachosema , , mungu akupandishe zaidi bora kupigania kuliko kupewa nini tujiulize leo kwa kuijenga kesho pia
Congratz bro
Mashaallah kijana hodari
Ameo
Hii ni nzuri sanaa
This guy change my mind kwa kweli.
Moja kat ya vijana admu tz guy you got new version.
Naomba email ya benjamin jmn
sawa imekuelewa
bora akiri na hekima kuliko mali
kaka wew utakuwa msaada kwetu
🇹🇿
We Flora
Huyu Kijana Ametumia akili.Kuishi marekani hata ulipwe milioni 100,zitaishia kwenye kulipa morgage na life expenses.But kuishi Tz in few yrs you endup bilionea..Siyo swala la kukataa milioni 400.Ni genius aliyeona mbali.
katarina william
Wah kweli
Dah akili nyingi
Unafaa kuwa rais wa tz wa awamu wa6 anaebisha anyooshe kidole juu ka vile unajikuna
Kweli👏
Piga kazii broo wetu mkongwe wa uchumi uweze kuinua uchumi wetu wa Tanzania
Nimekuelewa saaana Benjamin, Fanya kwa juhudi zako kama ulivyo plan.
yan ningepata no ya uyo kk ningefurah sana
safi Sana kijana Upo vizuri
good
annastazia kibole njooo nikupe
Mh raisi mchukue huyu jamaa atakusaidia sana kwenye uchumi
Huyu jamaa mbona akili hivi
this is tz men...piga kaz hata miaka kumi hivi huku ukiandaa mazingira huku
Hivi Dangote ilimtokea nini katika investiment zake Tanzania???
Daah! MUNGU AKUBALIKI SANA KAKA
muda ni utajiri
Wow! Umikuja bongo sawa nandiyo maana umilud aujawai kuzipata changa moto za maisha kwenu Ella ilikuwepo toka kuzaliwa kwako kijana ila Mimi ningelikuwa ww nisingelud kamwe kamwe
Badala ya kufanya harusi kubwa na vikao vikubwa wafanye hivyohivyo kwenye mitaji yao
kubaguliwa na kuitwa nyani ukipita mtaani bora kuishi kwenu
Watching From Nairobi..Watanzania someni Masomo ni muhimu..Benjamini anasema watu hawajasoma alafu Huyu presenter ansema turudi kwa huhoja ya benefits za kudrop out..Really? Msidaganywe na Kina Bill Gates Kama alivyosema Benjamin hao ni wajanja They dropped out of the best schools........God Bless you Benjamin
Thomas Edison alisoma shule miezi 3 tu maisha yake yote n Henry Ford hakwenda shule kabisa kwenye maisha yake lakin hawa wote walikuwa ni billionaires....helimu haiko shule tu...but we have to go to school
Mmmh pol
vitavya uganda
Ebana jamaa simpo sana
heri kwa uzalendo mkuu ndugu, naam unajitambua.
Hahaaa, don't delete my comment please Times. Lambert sidhani kama kuna ukweli katika sababu za wewe kukataa Tshs.400 million kwa mapenzi ya Tanzania. Ulilazimika kurudi kwa sababu ya masharti ya scholarship yenyewe. Stanford University wanatoa scholarship kwa international student ili ujifunze maarifa na unapograduate urudi nyumbani kushare maarifa hayo na nchi uliyotoka. J1 or J2 visa unayopewa inakuta ukae nje ya Marekani takribani miaka 2 kabla ya kuomba visa ya aina yoyote kurudi Marekani. I dispute your story full or gross misrepresentation. I attended the open house there 2 years ago and found out the facts behind your story. Please share your skills with our people.
mbona kajibu hilo. kampuni zote zilizo muhtaji zili mpa ofa ya green card kabla hata ya kurudi home. pia kurudi after scholarship ni lazima lakini ikitokea umepata kampuni ya kukupa green card siyo lazma urudi home kwanza.
Watu wanazamia Marekani na wanaishi sasa huyu shule aliosoma na rafiki waliomzunguka angetaka hasingeshindwa kuishi Marekani Aisee.
Hivi hana Jina????Aliyekataa millioni 400,hilo ni jina lake???
jina lake ni BENJAMIN FERNANDES
UNATAKA KWENDA ULAYA KAMA MIMI ..UNATAFUTA JINA LAKE?? HAHAH
Ukweli ni kwamba moja ya masharti ya scholarship aliyopata ni kurudu nyumbani baada ya ku-graduate na kufanya kazi nyumbani kwa miaka kadhaa. Pia visa aliyopewa ambayo ni exchange no sharti urudi nyumbani kwani baada ya kuhitimu kwa gharama za msaada (scholarship) ili nchi yako ifaidi utaalamu ulioupata. Hivyo Benjamin hakutaka kuliweka wazi hili na hata baada ya huyo dada kuuliza. Ni tofauti na mwanafunzi aliyepewa visa baada ya kujilipia. Benjamin please be honest brother. It's not true you refused Tshs.400 million for the sake of coming back. It's a gross misrepresentation. I went to Stanford University for open house 2 years ago and learn the facts behind your case.
Sikiliza dakika 15 kamili apo alikuwa offered green card
Acha wivu
Naamini huyu kijana ni changamoto ya watanzania
Nyamaza acha kudanganya watu ,useme yako
Million 400 alizokataa ni USD au TSh?
Nimependa
Kujua Stanford University scholarship program for international students pamoja na masharti fungua link hii hapa: bechtel.stanford.edu/immigration/visa-types/j-1-scholar/two-year-home-residency-requirement
Sawa hatujakata but alikuwa offered green card mbona iyo husemi
Mamori Dan Keep telling him to explain
Wajingaa wanaokutukanaa kila mtu hana malengoo yakee matusi yanakaa kwenye kichwa kibovuu cha mtu
V
In generally, huyu jamaa fala