RAIS MWINYI KWA HILI AMETUTENDEA HAKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @mullestv2680
    @mullestv2680 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye akil ya ziada anafahamu kua maendleo sio kuboresha majengo ya serikali Tu. Maendleo ni Ile hali ya ongezeko la kipato kw serikali kuu Hadi kwa raia mmoja mmoja . Natka ajenge majengo kila Kona but mwananchi alikua anatumia 10 2019 Leo anatmia 20 elfu halfu miwili ya mwinyi pumbavu zenu. Maboresho ya majengo yanaenda sambamba na maboresho ya matumbo ya raia 😭😭😭😭

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 ปีที่แล้ว +1

    Mazimisho y Mauwaji yenu kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah

  • @sabraabdallahsabraabdallah4254
    @sabraabdallahsabraabdallah4254 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @amamossi4203
    @amamossi4203 3 หลายเดือนก่อน

    Ili ufanikiwe utafute njia kwanza ya mafanikio kwa uwepo wako rais dr mwingi utakuja kusimuliwa kwa wajao mungu akupe upeo zaidi. Itaeleweka

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 ปีที่แล้ว +1

    tv za zenj mpaka kuwe na misafara

  • @alhamiraj4570
    @alhamiraj4570 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilahi

  • @moudys
    @moudys ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 ปีที่แล้ว

    Watakuja Kkuelewa Ukiwa Ushamaliza Muda Wako Nenda Kafanye Kazi Ya Maendeleo Na Sio Maneno Mh.Rais Wetu Mpendwa

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

    Fivaa viwepo na madaktari waajiriwe..

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 ปีที่แล้ว

    Wale washezi waliopita sheni mashvu na Amani chai jaba walikuwa wakijenga maskani Tu ili jamaa zao wazidi kubweteka wasijitambuwe.wazidi kuwatumilia ktika kupiga kura.ila mjomba Mwinyi unajikaza anagawa wabunge na wakilishi na maofisini ndio wanaoiba pesa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 ปีที่แล้ว +1

    Usiseme amekutenda haki hiyo ni wajibu wa serikali yoyote Ulimwenguni bila ya kusema chochote kwenye kampeni zao za siasa, sisi tunaona nchi zilizoendelea hakuna kiongozi anayepiga kelele akasema tutajenga barabara tunajenga madaraja ni jukumu la viongozi wanaongoza nchi, muhimu ni maisha ya watu kuwa bora kuondokana na Umaskini nyie Alfatah kazi yetu kuwaombea wananchi waliokuwa na matatizo kwani serikali haipo?.

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab ปีที่แล้ว

      Chuki ,choyo na roho mbaya haijawahi kumuwacha mtu salama pole sana ndugu ,,,MITANO TENA KWA RAISI PENDWA HUSSEIN MWINYI KIPENZI CHA WAZANZIBAR

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 ปีที่แล้ว +1

      @@R10_Rajab rais pendwa kwa nani wacha uongo wewe rais alieuawa watu ili atawale watu kwa nguvu za dola huo ndio ukweli

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab ปีที่แล้ว

      @@nassorseif7907 Hayo ni maneno ya wakosa aji brother Hussein Mwinyi Ni Raisi Pendwa wa Zanzibar alichaguliwa kwa kura nyingi sana ,na sasa anawaonyesha Wazanzibari kuwa hawakukosea kumchangua nyinyi baadhi ya Wapemba endelezeni chuki na roho mbaya ila mumeua Chama chenu cha Baadhi ya Wapemba mumejipeleka Tanganyika kwa zito kambwe hahaha unadhani zito kambwe ana masilahi na Zanzibari ?

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 ปีที่แล้ว +1

      @@R10_Rajab Wallah ukweli unaujua na km unauficha Allah atakuhukumu kuuficha ukweli na kufurahia dhulma brother

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab ปีที่แล้ว

      @@nassorseif7907 Ndio iliobakia hiyo wacha Wazanzibari waendelee kufurahia uwepo wa Raisi wao Wafurahie matunda ya walichokichagua,,Nyinyi msubirini Zitto kabwe atakusaidieni